mgen
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 23,169
- 9,054
....waandishi walikunywa divai ya altareni
....waandishi walikunywa divai ya altareni
gongo mpaka sardaus [emoji117]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
....waandishi walikunywa divai ya altareni
....waandishi walikunywa divai ya altareni
Kwani unapofuzu na kukabidhiwa mahulu 72 Wenye makalio ujiuji ft.40 kiuno kama nyigu unapo wangonoa allah naye anaona, unavyo pata speed ya kumwako kumwangu bwabwaju...[emoji38] [emoji38]....kateswa huku mungu anatizama !View attachment 860074
Naona hapa kawa traffic !View attachment 860080
Naona hapa kawa traffic !View attachment 860080
LUGHA YA YESU
Kila mti hutambulika kwa matunda yake (Luka 6:44) na vile vile mtu anatambulika kwa ulimi na lugha yake kwamba anazo nyendo za aina gani? Maana lugha ya mtu inaonesha masomo yake, tabia na nyendo yake.
Tunampima Bwana Yesu Kristo sawa na maandiko ya Biblia.
Bila ya kupoteza muda wa wasomaji wangu, ningependa kuwaletea baadhi ya maneno na lugha ya Bwana Yesu aliyotumia katika uhai wake.
1. Wasioamini (wasio Waisraeli) wameitwa mbwa na nguruwe. (Mathayo 7:6).
2. Aliwaita watu wabaya: ”Enyi wazao wa nyoka” (Mathayo 12:34).
3. Mayahudi waliitwa: “Kizazi cha zinaa.” (Mathayo 12:40,, 16:4).
4. Mayahudi waliitwa “Wazinifu na wakosefu.” (Marko 8:38).
5. “Ole wenu waandishi na wafarisayo, wanafiki,” (Mathayo 23:16).
6. “Ole wenu viongozi vipofu.” (Mathayo 23:16).
7. “Enyi nyoka, wana wa majoka” (Mathayo 23:33).
8. “Watu wengine waliitwa mbwa.” (Mathayo 15:27).
9. Aliwaita manabii wenzake: “wote walionitangulia ni wevi na wanyang'anyi.” (Yohana 10:8).
10. Aliwaita wanafunzi wake: ”Enyi kizazi kisicho amini, kilichopotoka.” (Mathayo 17:17).
11. Akamwambia Petro “Nenda nyuma yangu Shetani.” (Mathayo 16:23).
12. Akamwambia mama yake: “Ewe mwanamke nina nini nawe? (Yohana 2:4).
13. Akasema mama yangu ni nani na ndugu zangu ni akina nani? (Mathayo 12:48).
14. Siku ya Kiyama atawaita wahubiri Wakristo: “Nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi mtendao maovu.” (Mathayo 7:23).
WANAFUNZI WA YESU
Na majina ya hao mitume kumi na wawili ni haya;
Wa kwanza Simon aliyeitwa Petro, na Andrea nduguye; Yakobo wa Zebadayo, na Yohana nduguye; Filipo, na Bartholomayo; Tomaso, na Mathayo mtoza ushuru; Yakobo wa Alfayo; na Thadayo; Simon Mkananayo, na Yuda Iskariote, naye ndiye mwenye kumsaliti.(Marko 10:2-4).
Kila mti hutambulika kwa matunda yake (Luka 6:44).
Basi tuone mti uliopandwa na Bwana Yesu Kristo, matunda yake ni ya ladha gani? Madaraja yaliyofundishwa na Bwana Yesu tuone wanafunzi wake walikuwa wa aina gani?
Yesu alipoleta imani, basi tuone kiwango cha imani ya waaminio wake.
Sina kawaida ya kuwafundisha watu kwa maneno yangu bali nawafundisha kulingana na maandiko yao matakatifu.
Sasa tuone hali na imani ya wanafunzi wa Bwana Yesu.
1. Yesu alisema, hata sasa ninyi nanyi mngali hamna akili? (Mathayo15:16).
2. Alimwambia Petro kwamba; “Ewe mwenye imani haba, mbona uliona shaka? (Mathayo 14:31).
3. Petro alikanusha kuwa mfuasi wa Yesu mara tatu bali alimlaani. (Mathayo 26:69-75).
4. Yuda Iskariote alimuuza Yesu kwa shilingi 30 tu. (Mathayo 26:15).
5. Wakati Yesu alikuwa hatarini, wanafunzi waliendelea kulala). Mathayo 26:40-45; Marko 14:36:041).
6. Yuda alijinyonga. (Mathayo 27:5).
7. Imani ya wanafunzi: “Kwa sababu ya upungufu wa imani yenu” (Mathayo 17:20).
8. Ndipo wanafunzi wote wakamwacha wakakimbia. (Mathayo 26:50).
9. Wengi wataniambia siku ile; Bwana, Bwana hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi? Ndipo nitawaambia dhahiri. Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu. (Mathayo 7:22-23).
Hapa juu mmesoma hali na imani ya wanafunzi wa Bwana Yesu sawa na Biblia. Lakini sisi Waislamu hatuamini kwamba Nabii yeyote anaweza kushindwa kiasi hiki kwamba asiweze kupata matunda ya juhudi yake na athari nzuri isitokee kwa mahubiri na mafundisho yake.
Hata katika Qur'an Tukufu wanafunzi wa Bwana Yesu wametajwa kuwa mfano mzuri juu ya ulimi wa Bwana Yesu mwenyewe. Qur'an:
“Enyi mlioamini! Muwe wasaidizi wangu kwa Mwenyezi Mungu kama alivyosema Isa bin Mariam kuwaambia wanafunzi (wake): Ni nani wasaidizi wangu kwa ajili ya Mwenyezi Mungu? Wanafunzi wakasema: Sisi ni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu.” (Qur'an 61:15).
Kisla kisla wee umepatia wanakuona sawa na dr of divinity [emoji4] kale tano msikitini gavana [emoji12]
Hoja zimekushinda unarudia mapicha na maslogan yako , pata zawadi hii
Kwa miaka hamsini ya mwanzo ya kile tunachokiita hivi sasa zama za Ukristo, hakuna hata neno moja lililosalimika katika nyaraka yoyote ile juu ya Kristo na wafuasi wake.
Katika kipindi cha miaka hamsini iliyofuatia, Wakristo wenyewe waliandika vitabu vingi ambavyo kwa sasa vinaunda Agano Jipya.
Lakini bado hakuna neno hata moja, pamoja na kuyatoa kidogo, lililotoka nje ya mwandishi. Na baadaye, katika karne ya pili, mamlaka ya Roma ilianza kueleza:[1]
“Kuna kundi, lililochukiwa, kwa sababu ya chuki zao, lililoitwa Wakristo na watu wengine. Christus, amboa kutokana na wao ndio limepatikana jina Ukristo, waliteseka kwa adhabu kali mno katika kipindi cha utawala wa Tiberius mikononi mwa mmoja wa maofisa wetu, Pontius Pilate.” (Tacitus).
“Wakristo ni kundi la watu walioleta ushirikina na uovu mpya.” (Seutonius).
“Maskini, mafukara waliojikinaisha kuwa hawafi na wataishi milele, kwa kuabudu ghiliba aliyesulubiwa na kwa kuishi chini ya sheria zake. Kwa hiyo, wao wanadharau vitu vya dunia hii, na kuvichukulia kuwa ni mali ya uma. Wao wamepokea imani hii toka katika tamaduni bila kuwa na ushahidi unaotambulika. Kwa hiyo, kama tapeli au laghai yoyote atatokea miongoni mwao, basi kwa haraka haraka atapata utajiri kwa kuwaamuru watu hawa duni.” (Lucian)
Bila kujali, Ukristo umeshastawi na kuwa moja ya dini kuu, lakini mafundisho ya Ukristo wa kisasa kama tunavyoujua leo hii, yapo tofauti na kile kilichofundishwa na Yesu (AS) kwa wanafunzi wake.
Imani tofauti za Ukristo kama vile Utatu iliendelezwa baadae. Motisha wake ulianza katika kipindi cha utawala wa Mfalme Mkuu Constantine huko (Nicasea) na baadaye uliendelezwa katika imani kamili ya kuamini bila kuhoji (dogma) wakati wa utawala wa Mfalme Theodosius mwaka 381 C.E.
Ajabu ilioje! Kuanzia hapo, Ukristo una madhehebu mengi tofauti tofauti na ni vigumu kwa sasa kutambua imani sahihi ya Kikristo. Vyovyote ulivyo, katika muktadha wa sasa, hakuna aliye karibu zaidi na mafundisho asilia ya mitume. Wao wanaegemeza mafundisho yao juu ya Biblia ambayo yenyewe ni mada inayoendelea kurekebishwa.
Mungu pekee ndiye ajuaye ni lini Wakristo wataweza kutoa nakala sahihi (asilia) ya kitabu chao (Biblia).
Mtu atashangaa, juu ya idadi ya matoleo ya Biblia yaliyopo leo hii. Kila moja linatofautiana na jingine, ndio, kila moja linadai kuwa yeye ndio toleo asilia.
Matoleo yote hayo yameshawahi kutangaza duniani kuwa, yenyewe ni ufunuo mtakatifu.
Rejeo lao lililo tayari lipo katika (2 Timotheo 3:16), isemayo “Kila andiko, lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho...”
Lakini kile wasichokifahamu Wakristo ni kuwa, “Kwa hakika, yaliyomo katika Biblia zao si Maandiko matakatifu ispokuwa ni hekaya, fikra, matukio na tamaduni tu.”
Tatizo hilo linachanganya zaidi pale tunapojua kuwa baadhi ya matoleo ya Biblia yana vitabu vingi zaidi kuliko mengine.
Toleo la Orthodox (OVC), lina vitabu 86; Toleo la Charismatic (CV), lina vitabu 76; Toleo la Roman Catholic (RCV), lina vitabu 73; na matoleo yote ya Kiprotestanti yana vitabu 66 likiwemo The New World Translation of the Holy Scripture [1984] (NW), linalotumiwa na Mashahidi wa Yehova na matoleo mengine kama vile the King James [1611-1942] (KJ), American Standard [1901-1944] (AS), Rivised Standard [1971] Second Edition (RS) Jerusalem Bible [1966] (JB), Good News Bible (1954: iliyochapwa 1956), Ronald A, Knox (Kx), New International Version (NIV), na motoleo mengine yasiyo na idadi.
Zaidi ya hayo, vipi kuhusu hoja ya Warejeaji wanosifika wa Biblia ya the Rivised Standard Version (RS), Rivised Edition ya 1952, na kwa Agano Jipya, Second Edition ya 1971, by Wm. Collins Sons & Co. Ltd. Iliyochapwa na Canadian Bible Society, isemayo katika Utangulizi wake:
(1) “Naam, Toleo la King James lina dosari kubwa mno.... dosari hizo ni nyingi sana na hatari sana kiasi cha kupelekea kuitishwa wito wa kurekebishwa kwa tafsiri yake ya Kingereza.”
(2) “Toleo la King James la Agano Jipya liliegemea katika mandiko ya Kigiriki yaliyoharibiwa kimakosa” Vipi kuhusu hoja ya Mashahidi wa Yehova katika chapa ya Mwamko ya Septemba 1951 inayoeleza; “Biblia ina makosa 50,000!”
Na vipi kama nikisema, kinyume na imani yetu, kuwa “Katika Waandishi wanne wa Injili Hakuna hata mmoja aliyekuwa Mwanafunzi wa Yesu (AS).”
Katika (Luka 6:14-16 na Marko 3:17) tunaona yametajwa majina ya wanafunzi kumi na wawili na Yesu (AS). Huku majina Mathayo na Yohana yamo, na majina Marko, Luka na Paulo hayajatwaja.
Hata hivyo, kutokana na nukuu zifuatazo, utagundua kuwa hizo Injili mbili zinatajwa kuwa ni za Mathayo na Yohana kwa kuwaheshimu tu, kwani ziliandikwa na mtu wa tatu. Soma nakala halisi ya mstari wa (Mathayo 9:9):
"Naye Yesu alipokuwa akipita kutoka huko aliona mtu ameketi forodhani aitwaye Mathayo, akamwambia nifuate. Akaondoka akamfuata."
Na katika (Yohana 21:24):
"Huyu ndiye yule mwanafunzi ayashuhudiaye haya, na aliyeyaandika haya; nasi twajua ya kuwa ushuhuda wake ni kweli?"
Katika aya ya kwanza, mwandishi anasimulia tu kile kilichotokea kati ya Yesu (AS) na Mathayo, huku katika aya ya pili, ni wazi kuwa kiwakilishi “nasi” kinawakilisha mwandishi.
Hebu kwa sasa tutafakari juu ya kile kilichosemwa na waandishi wawili wa Kikristo kuhusu kuundwa kwa Biblia:
“Wakati mwingine, Wanukuzi wanatia kile kisichokuwemo katika maandishi, pia kile wanachokifikiria kitakuwemo. Mnukuzi anaweza kuamini kumbukumbu zinazobadilika, au anaweza kuunda maandiko kwa mujibu wa mtazamo wa madhehebu anayoyafuata. Kwa kuongezea katika matoleo na manukuzi ya Mapadri wa Kikristo, takriban (Miswada) ya Mandiko Matakatifu elfu nne ya Wagiriki [MSS], ilijulikana kuwa ipo. Kwa hiyo, tofauti za usomaji ni jambo la kuzingatiwa.”[2]
Kwa hiyo Injili ziliundwa, na ambazo kiwaziwazi, ziliakisi mitazamo ya ufahamu wa mahitajio na matumizi ya jamii za waandishi. Kwao wao, vitu vya kimila vilitumika, lakini kulikuwa hakuna kusita katika kukibadilisha kile kisichoendana na lengo la mwandishi.”[3]
[1] Bamber Gascoigne: “The Christians”, Granada Publishing Limited, 1976, Frogmore, St Albans, Herts A12 2NF and 3 Upper James Street, London Wir 4BP, p.9.
[2] J.R., dummelow: Commentary on the Holy Bible, p. 16. – (see – Mrs. Ulfat Aziz-Us-Samad: “Islam and Christianity”, 1984, Presidency of Islamic Research IFTA and Propagation, Riyadh, Kingdom of Saud Arabia p.7).
[3] T.G. Tucker: The History of The Christian in the Light of Modern Knowledge, p. 320. (Ibid, p. 6).
Tatizo la hili suala la majini ni chanzo cha hao majini,yani wewe unapoona ugumu kuelewa kwamba katika kundi la waasi kuna waasi wema,hiyo ni kwa sababu ya kwamba kwako chanzo cha majini ni malaika waasi hivyo ni ngumu hapo kupatikana wema. Halafu wengine nao huona ugumu kuelewa kwamba majini ni malaika waliyoasi, hiyo ni kwa sababu kwao malaika si kama binaadamu kwamba anauwezo wa kuamua kufanya jema au uovu na ndiyo inakuwa ngumu kuambiwa kwamba katika malaika kuna ambao waliweza kumuasi Mungu.Ndio, mbona Qurani tukufu ina mafundisho mazuri tu.
Ni kwamba inabidi uisome bila kuwa na mtazamo hasi.
Niliowauliza wakati huo kuhusu hiyo Sura hawakunielewesha katika level ya kukata kiu yangu ya kuelewa.
MBONA ZILIPENDWA KILA SIKU ????
UKOO WA YESU
Sisi Waislamu tunaamini kwamba Bwana Yesu a.s. alikuwa Nabii wa Mungu. Na manabii wote ni watukufu na wapendwa wa Mwenyezi Mungu. Wanatoka kutoka koo takatifu.
Kuhusu ukoo wa Bwana Yesu Kristo Masihi Mwana wa Mariamu a.s. Qur'an Tukufu inaeleza kwamba:
A. Masihi bin Mariamu siye ila ni Mtume tu, bila shaka mitume wote wamekwisha fariki kabla yake, na mama yake ni mwanamke mkweli. (Qur'an 5:76).
B. (Ewe Mariam) baba yako hakuwa mtu m’baya wala mama yako hakuwa asherati. (Qur'an 19:29).
Kwa hiyo sawa na mafundisho ya dini ya Kiislamu tunamheshimu Nabii Isa a.s. (Yesu Kristo) na vile vile wazee wake.
Sisi tunashangaa sana wakati tunaposoma Biblia, tunaona Biblia inamfedhehesha Yesu Kristo vibaya sana. Licha ya kuwa Mtume wa Mungu sawa na Biblia, Bwana Yesu haonekani hata mtu mwenye ukoo safi, bali tunalazimika kumtafautisha Isa a.s. na Yesu.
Biblia inasema kwamba:
1. Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi mwana wa Ibrahim. (Mathayo 1:1).
2. Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu. (Mathayo 1:5) Rahabu alikuwa kahaba (Yoshua 2:1).
3. Yuda alimzaa Peresi na Zera kwa Tamari (Mathayo 1:3). Tamari alikuwa kahaba na mzinifu. (Mwanzo 38:13-18).
4. Daudi alimzaa Sulemani kwa yule mke wa URIA (Mathayo 1:6). Beth Sheba mkewe URIA alipata mimba ya zinaa. (2 Samuel 11:2-5).
Hawa mabibi wote wa Yesu Kristo walikuwa makahaba na wazinifu. Lakini sisi hatukubaliani na Biblia bali tunaona kwamba ni taka taka zilizoongezwa katika Biblia.
Na kama Wakristo wanang’ang’ania usahihi wa Biblia, basi wajuwe kwamba Biblia inasema:
“Mwana wa haramu asiingie katika mkutano wa Bwana; hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutano wa Bwana. (Kumb. la Torati 23:2).
Enyi ndugu Wakristo! Kama mnaona kwamba Biblia bado ni sahihi basi mjue kwamba Yesu ni kizazi cha wazinifu, hawezi kuingia katika mkutano wa Mungu.
Kama hawezi hata kuingia katika mkutano wa Mungu, ninyi mnamtegemea nini?
Karibuni, katika UISLAMU tunawakaribisheni kwa mikono miwili.
Kama mnaona kwamba Yesu Kristo ni mtakatifu lakini Biblia imechafuka kwa mikono ya waandishi, karibuni katika dini ya Kiislamu. Qur'an kitabu cha Mungu kitawatoshelezeni. Maana sasa hakuna njia ya kusalimika isipokuwa katika dini ya Kiislam. Kwa hiyo karibuni sana.
Vaa hariri uone nitakavyo andika vizuri [emoji4]Acha jazba andika vizuri ahahahhahahahha
Kachukue udhu Wa Kiroho NDIPO UTAJUA [emoji4] sio huo wenu Wa Maji ya kisima kata.3 ukikosa Maji eti dongo [emoji12]Hayo ndio mafundisho sahihi ya Yesu, hizo blah blah zenu hajawai fundisha uzushi wa kujiita Mungu
Alivyo na uchu baba kassim anaweza kutuhukumu Ukiwa ktk kifo cha mende...[emoji4] afu hii dhakar haitasinyaa milele hiyo ni Raha au karaha [emoji15] [emoji4] Yaani muda woote imesimama [emoji38] [emoji38] aliye mbele yako achunge mvutu na wewe wa nyuma yako achunge mvutu...[emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa endelea na kumuita yesu Mungu hata hilo andiko linakwambia kuna amri ya Mungu , na kuna imani ya yesu , hivi wewe hushituki tu au akili yako ipo likizo Yesu ni mtu kama wewe ila yeye kapewa ufunuo , halafu kuhusu wanawake peponi sana tu, au ulitaka tukaimbe kama wewe huko mbinguni ahahhahaha yaani wakristo kujitesa kote mnaenda kuimba Bila shaka bendi yenu itakuwa maarufu
Kataa kama hakughani sura ya makafir...tuwekee sasa imeshuka wapi sababu ya kushuka na baba fatuma kaifundishaje [emoji4] au kama hiyo sura ni wakati alipo logwa na Yahud laabid sema[emoji4]Hizi tunaita porojo uharo
Kubali kwanza Yesu Ana Baba [emoji15] Mtoto Wa kiume UNAKUWA mnafiki mnafiki [emoji15] [emoji12] [emoji12]wayahudi na wewe akili zenu wote sawa si ndio nyie mnasema yesu na Mungu ni sawa ahahahahaahhhah ndio maana nikakwambia mwanafunzi hawezi mzidi mwalimu mda mrefu yesu alishajibu hilo swali
YOHANA 14:28
"Mlisikia ya kwamba mimi naliwaambia , naenda zangu , tena naja kwenu , kama mungalinipenda , mungalifurahi kwa sababu naenda kwa Baba, kwa maana BABA NI MKUU KULIKO MIMI,
ahahahhahahahaha unakaa unajadili ujinga wakati Yesu alishajibu, wewe huwezi kupata andiko lolote litakalo tetea ushirikina wako wa sifa ya Mungu kumpa kiumbe
Ndio umeandika nini? mbona havina maana au ili mradi uandike tu AhahahahaKataa kama hakughani sura ya makafir...tuwekee sasa imeshuka wapi sababu ya kushuka na baba fatuma kaifundishaje [emoji4] au kama hiyo sura ni wakati alipo logwa na Yahud laabid sema[emoji4]
Ahahahahhhaha punguza jazba hata Israel ni watoto wa mungu hata Wewe ni mtoto wa Mungu sasa ubaba huo hauna shida, ubaba wenye shida ni wa Bikira maria mama wa Mungu hizi ndio kufuru mnazofundishana , yaani ni upuuzi mtupu mbona ww ni mtoto wa Mungu lakini mbona mama yako haitwi mama wa Mungu? msipoacha kufuru hizo mtapata tabu sanaKubali kwanza Yesu Ana Baba [emoji15] Mtoto Wa kiume UNAKUWA mnafiki mnafiki [emoji15] [emoji12] [emoji12]
Inasinyaa ile iweje wakati ni utamu mtupu , ahahahahahaha wewe endelea kukausha makoo na nyimbo huko mbinguni , unajitesa kumbe mwisho wa siku ni minyimbo ndio zawadi yenu pole sanaAlivyo na uchu baba kassim anaweza kutuhukumu Ukiwa ktk kifo cha mende...[emoji4] afu hii dhakar haitasinyaa milele hiyo ni Raha au karaha [emoji15] [emoji4] Yaani muda woote imesimama [emoji38] [emoji38] aliye mbele yako achunge mvutu na wewe wa nyuma yako achunge mvutu...[emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndio wala hakuna shaka ila muache kumtangazia yesu uzushi ambao katu ajawahi kuifundisha maisha yake yote ,eti Yesu ni Mungu huo ni umbeya na uzushi mnaompakazia yesu ww na genge lakoKachukue udhu Wa Kiroho NDIPO UTAJUA [emoji4] sio huo wenu Wa Maji ya kisima kata.3 ukikosa Maji eti dongo [emoji12]
Unaandika kama unafukuzwa na simba ahahahahhaahahahahVaa hariri uone nitakavyo andika vizuri [emoji4]
Ezekiel 18:20(Mwana hatauchukua uovu wa baba yake,wala baba hatauchukua uovu wa mwanawe, Haki yaki mwenye haki itakuwa juu yake, na uovu wake mwenye uovu utakuwa juu yake) hilo andiko liko vizuri kabisa mwenye macho na aone endeleeni kuaminishana ujinga kuwa Yesu kafa kwa ajili ya dhambi zenu ahahahahahaahahaUnatujazia server tu kafir mkubwa wee [emoji57] [emoji12] hata hili [emoji117] View attachment 860550 hujui [emoji47] [emoji12]
Hizi tunaita changamsha genge baada ya mtu kushikwa pabaya anatapatapaMtu aliopanda baba kassim umesha zaa haya matunda [emoji117] View attachment 860538View attachment 860539View attachment 860541 huyu sijui kakosa nafasi [emoji117] View attachment 860543 unaonaje hapo kibuzi marka [emoji38] [emoji38]