Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.

Asante kwa kukubali kwamba, mwanadamu hana UWEZO Wa kumfanya Mungu toy [emoji106] sasa KUBALI KWAMBA MUNGU ATAKALO HUWA NA HANA MSHAURI [emoji123] [emoji106] dhahir eeh [emoji15] [emoji4]
 
Unarudia jambo lile lile nimeshakwambia mimi ni mbobezi kwenye kusaidia watu , unachotakiwa ni kutoa tatizo lako usaidiwe
wee utamsaidia nini mwanaume mwenzio [emoji15] umefikia kupigia debe [emoji47] kweli habit Mara wahed [emoji15] [emoji47] mzoefu eeh [emoji47] [emoji15] [emoji4]
 
Uisilamu uelekeze zaidi ya kauli ya HAQI ya allah [emoji15] [emoji47] au hiyo aya ilikuja alipo logwa na Yahudi laabid akabakia kubwabwaja na nyie mkabakia takbirrrrr [emoji15] [emoji12] kataa Leo kama allah na Malaika zake wanamsalia mtume [emoji53]
 

Naona umeamua kuijikita kwenye Usabato.
Hata hivyo sio lethal huo upande w shimoni.

Sio lazima ukubaliane na Paulo. Unaweza kumuamini Yesu Kristo na mitume wengine ukaishi kwa Upendo na kua na amani ya kweli moyoni.
Kuliko kumfuata Mohammad ambaye unajua fika kua yupo motoni.
Sioni haja ya ku kuelezea kuhusu mungu wa waarabu bwana baali(Hubaal) na mabinti zake watatu.
 
Nafurahi kwakua Umeifahamu Ukweli.Noor iliyo katika Yesu Kristo umeitambua. You either woven or shave it
I know its kinda hard to make decision right now. Omba Mungu akusaidie akutoe kwenye Nira za Dini Islam.

Sio tena kuhangaika kubabaisha na Taqiyyah Tawriya wala kitman. Unayo fursa sasa ya kuitazama dunia kwa sura ya Mungu Muumba. tofauti na yule tyranical arab god.

Hakika Nitawafanya wale wanaokufuata Ku Juu dhidi ya wale wanaokukataa.
 
Ukweli gani huo unaoulazimisha mimi kuujua , mimi nimekujibu Mtume ni nabii na mtume wa Mungu, yesu ni nabii alietumwa na Mungu, na hicho ndio unapaswa kujua na ndio ukweli
 
Paulo ndio nani kijana , mbona unatutajia mtu aliemingiza kwenye shimo la upotevu
 
Uisilamu uelekeze zaidi ya kauli ya HAQI ya allah [emoji15] [emoji47] au hiyo aya ilikuja alipo logwa na Yahudi laabid akabakia kubwabwaja na nyie mkabakia takbirrrrr [emoji15] [emoji12] kataa Leo kama allah na Malaika zake wanamsalia mtume [emoji53]
Ahahahahahhahaahaahah ujaelewa na ujuhi vip mtume anaswaliwa ,ndio maana umekuja na udhu, sasa hata jambo hili dogo la mtume kuswaliwa ujuhi ,kipi utafahamu kwenye uislamu mtukufu ahahhahahhahahaha
 
wee utamsaidia nini mwanaume mwenzio [emoji15] umefikia kupigia debe [emoji47] kweli habit Mara wahed [emoji15] [emoji47] mzoefu eeh [emoji47] [emoji15] [emoji4]
Ahahahhhahahahhahahaha ntamsaidia kama vile yesu unavyomtangazia kakubebea laana zako msalabani ahahahhahahahahahahah
 
Asante kwa kukubali kwamba, mwanadamu hana UWEZO Wa kumfanya Mungu toy [emoji106] sasa KUBALI KWAMBA MUNGU ATAKALO HUWA NA HANA MSHAURI [emoji123] [emoji106] View attachment 862078View attachment 862079 dhahir eeh [emoji15] [emoji4]
Nimeshakwambia upuuzi wa kumsemea yesu na kuunga unga maandiko usilete humu, yesu aliishi duniani na akafundisha wapi kakwambia yeye ni Mungu? Ahahahaahahahahaa amekuonya ",Mwanafunzi hawezi mzidi mwalimu"
vilevile amekwambia "mjifunze kwangu"; wapi umejifunza Yesu kakwambia ni Mungu
 
Hiyo meseji yako uliosema unatatizo ujaiona au unajitoa akili ?
Nimekwambia tatizo langu la awali hujaweza kuniambia kwa nini wewe unafikiri unaweza kunisaidia, sasa niseme hilo mara ngapi?

Wewe umeleta tatizo kwa kusema unataka kunisaidia halafu huwezi kusema kwa nini wewe unaweza kunisaidia mimi.
 
Ukweli gani huo unaoulazimisha mimi kuujua , mimi nimekujibu Mtume ni nabii na mtume wa Mungu, yesu ni nabii alietumwa na Mungu, na hicho ndio unapaswa kujua na ndio ukweli
Kweli Ni Yesu Kristo pekee. Na Mohammad hakumjua Yesu Kristo. Akisema anamjua, basi kweli haimo ndani yake.
 
Ahahaaaahaahahaha tumeshakwambia nani kupoteza ni SAM SHAMOUN ahahaaha kwa tafsiri zake za uongo hilo neno mirt huyu ndugu yako sam anasema garment wakati ni A SHEET OF CLOTH
Ok sheet of cloth. Kwa hiyo mtume alikuwa hawezi kupata maono mpaka avae sheet of cloth ya Aisha. Mmm
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…