Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Umeandika Mambo mengi sana. Hata kuariri hauwezi. Anyway..
Labda niseme hivi. Unachokipinga na unachokubaliana nacho non of them you believe.
Hivyo Hata ukifahamu kua Yesu Kristo ni Mtume. Bado haujafuata Amri zake.

Kinachokuumiza zaidi hapa sio swala la Miungu watatu au Mmoja. Kwakua Wakristo wanaamini katika Mungu Mmoja. Hili halina ubishi.

Kinachokuumiza hapa ni kuona Wakristo hawamuamini Mohammad wala allah wake wa kutengeneza.

Na hii imethibitishwa hata Kuran yako na Bibilia kwamba Ukoo wa Makuhani unapitia kuanzia line ya Abrahamu, Isaack, na Israel tu.

Ukweli Mchungu ni kwamba hata Paulo naye ni Mwisraeli.

Wakati Mohammad ni mwarabu Mpagani wa Mecca yeye na Babu yake wakihudumu Kaaba miaka nenda miaka rudi. Na Mtoto pekee Aliyesuswa na Mama yake mzazi.

Koran ni ya waarabu wa Mecca peke yake.
Waarabu wametumia dini yao kama kasha la kuenesa utamaduni wao. Hata wakajichukulia mapande ya ardhi kutoka Afrika huko Libya,Algeria, Morocco, Sudan ni ardhi ya watu weusi.
Wakataka kumpora na Mwisraeli wakijidai Yerusalemu ni Mji wao Mtakatifu. Kumbe Mwisraeli ni mtoto Mrithi akawagundua Hila zao. Akawachapa vibaya.
Ha ha ha ha.
 
point yangu ni hii hapa

Kwani nani alikuambia kuwa kuna conflict ??
Kama hamna conflict, ukichotaka kusema ni kipi?

You are jumbled.

Sijui hata kama unaelewa confkict ni nini.

You juxtapose two statements as if they create a collision.

And then when asked. You say there is no conflict.

So what are you trying to say?

That you are a fucking moron?
 

Sifa kuu za mungu-mtu wa Ukristo kama zilivyohubiriwa na Paulo

Wakati tukiendelea kupata uchambuzi huu maridhawa juu ya mungu-mtu wa dini ya Kikristo, jambo lingine muhimu ambalo ningependa kuligusia ni kwamba, kulingana na maelezo ya Biblia tukufu, Bwana Paulo ninayemzungumzia hapa ndiye aliyekuwa mtu wa kwanza katika agano jipya kuandika nyaraka zake kabla ya waandishi wengine wa agano jipya kuandika Injili zao na nyaraka zao.

Aidha, Biblia inaeleza pia kuwa Bwana Paulo alipokuwa akiandika nyaraka zake hizo alikuwa akiandikia dini yake ya Ukristo (ya mungu-mtu huyo na ibada zake).

Waandishi hao wa agano jipya ambao imeripotiwa kuwa nao pia waliuandikia Ukristo ambapo walianza rasmi kuandika Injili zao na nyaraka zao kuanzia miaka ya 36 hadi 45 baada ya Paulo kuandika na kusambaza nyaraka zake hizo (rejea Biblia ya Wakatoliki Imprimatur, Mihayo, 1967 Tabora, kwenye maelezo juu ya nyaraka za Paulo na kwenye maelezo ya Injili mbalimbali).

Kwa shuhuda hiyo, ni wazi kuwa waandishi hao nao pia walikuwa wakiiandikia dini ya Kikristo ya Paulo.

Kwa hali hiyo, imedhihirika kuwa baada ya Bwana Paulo kuzichukua imani na ibada za watu wa mataifa (au wapagani) na kuziandika kwenye nyaraka zake na kudai kuwa zinamhusu Yesu (a.s.) kazi ya pekee iliyofanywa na waandishi hao ni kusherehesha maneno hayo ya Paulo kama yalivyo kwenye nyaraka zake.

Kwa maantiki hiyo, kama tulivyoona katika toleo lililopita kwamba sifa kuu mojawapo ya miungu-Zeu na Herme ya wapagani kwamba ni kufa, Bwana Paulo naye alifundisha kuwa mungu wake huyo (mungu-mtu) aliyemhubiri kuwa na desturi moja na miungu hiyo (ya wapagani) na kumwita "Yesu" kwamba naye vile vile anayo sifa hiyo (ya kufa), kwa kusema:

"Bali Mungu aonyesha pendo lake yeye mwenyewe kwetu sisi, kwa kuwa Kristo alikufa kwa ajili yetu, tulipokuwa tungali kwenye dhambi". (Warumi 5:8)

Hapa Bwana Paulo anafundisha wazi kuwa mungu wake huyo aliyemwita "Yesu" (Kristo) alikufa! Sambamba na mafundisho yake hayo, ili kuthibitisha kwamba waandishi wa Injili na nyaraka wa agano jipya kwamba mara nyingi walikuwa wakisherehesha nyaraka za Paulo, sifa hiyo (ya kufa) aliyonayo mungu huyo wa Paulo baadae nao waliishabikia ajabu, kwa kuandika kwa mapana na marefu; ambapo kila mwandishi aliandika kwa staili ya aina yake katika juhudi za kumpambia mungu wao huyo sifa yake hiyo (ya kufa), hali iliyoibua mgongano mkubwa kimasimulizi na kuwaacha wasomaji wasijue nani mkweli. (Tazama Injili ya Mathayo, Marko, Luka,Yohana na nyaraka za Petro, Yohana, Yakobo, Yuda na Ufunuo wa Yohana n.k.)

Na ndivyo hivyo hivyo waandishi hao walivyosheresha kwa unazi sifa ya kufufuka (ya miungu- Zeu na Herme) miaka michache baada ya 'mwalimu wao', Bwana Paulo kuandika katika nyaraka zake kwamba mungu wake huyo aliyemwita "Yesu" naye vile vile anayo sifa hiyo (ya kufufuka), kwa kusema:

"Mkumbukeni Yesu Kristo aliyefufuka katika wafu, wa uzao wa Daudi kama inenavyo Injili yangu". (2 Timotheo 2:8)

Kwa ufupi, haya ndio mafundisho ya Bwana Paulo yaliyo katika Injili yake yakiithibitisha sifa kuu nyingine ya kufufuka aliyonayo mungu wake huyo aliyemwita "Yesu", ambapo baadae waandishi wa agano jipya waliisherehesha kwa mapana na marefu. (Rejea Injili na nyaraka zao).

Sifa Kuu nyingine za Mungu huyo wa Paulo na Ukristo mwenye asili na desturi za miungu-watu ya wapagani, kwa uchache waandishi hao walizisherehesha katika Injili zao kama ifuatavyo:

Kuzaliwa na mwanamke (Tazama Luka 2:4-7)
Kuvikwa nguo ( Luka 2:6)
Kuona kiu (Yohana 19:28)
Kula na kunywa (Mathayo 11:19 na Yohana 4:7)
Kuvuliwa nguo (Mathayo 27:27-28)
Kupigwa (Mathayo 27:27-30)
Kulia machozi (Yohana 11:35)
Kuchoka (Yohana 4:6)
Kulala usingizi (Mathayo 8:23-24)
Kutokujua mambo yote (Mathayo 24:36)
Kuwa na ukoo (Mathayo 1:1)

Kwa uchache, hizi ndizo sifa kuu za mungu wa Paulo aliyemwita "Yesu" mwenye desturi ya kujigeuza kuwa mwanadamu sawa na miungu-Zeu na Herme inayoaminiwa na wapagani. Na kama tulivyoona katika sifa za kwanza za mada hii katika gazeti hili, Mungu-Yehova ameepukana mbali kabisa na sifa zote hizi.

Kwa shuhuda hizo, ni wazi kuwa mungu aliyemhubiri Paulo ambaye ndiye mungu wa Wakristo, siyo Mungu-Yehova ambaye ndiye Mungu wa Nabii Ibrahimu, Ismaili, Isaka, Yakobo, Nabii Yesu, Muhammad na Mitume na Manabii wake wengine wote aliowatuma duniani (a.s).
 


Take it easy

Kwani nani alikuambia kuwa kuna conflict ??
 
Take it easy

Kwani nani alikuambia kuwa kuna conflict ??
Umeshakubali hakuna conflict.

Point yako katika kulinganisha sehemu mbili nikizoandika ni nini?

Kama hata wewe mwenyewe unaelewa unachoandika at all.
 
Umeshakubali hakuna conflict.

Point yako katika kulinganisha sehemu mbili nikizoandika ni nini?

Kama hata wewe mwenyewe unaelewa unachoandika at all.


Mbona hujibu

Hivi nani alikuambia kuna conflict ???
 

Kule India kuna miungu watu (Gurus) hadi ya Ng'ombe.
Na wako peace sana wahindu. Kua na Mungu Mtu, Sio jambo Baya kama unavyofikiri. Tena unampata Mungu anayeweza kuendana na hali zetu sisi wanadamu. Jambo baya ni kua na mungu ambaye ni "ghost" ( i.e. fiction character). Na ambaye anaongoza waumini wake waue kila mtu asiyeamuamini. Kuongozwa na mtu ambaye hana Elimu hata ya chekechea kuua wanadamu wasio na Hatia, aliyedai kuwaumba.kukataza kuichunguza dini, kwakua ukichunguzA itapelekea uiache Imani. Kueneza imani kwa uongo. kuua yeyote anayehasi dini. Haya na mengine yote yanaiweka imani yako kwenye maswali yaliokosa majibu. Ive touched the nerves.Najua kinachofuata hapa ni Povu
 
Umeshakubali hakuna conflict.

Point yako katika kulinganisha sehemu mbili nikizoandika ni nini?

Kama hata wewe mwenyewe unaelewa unachoandika at all.
Usimuamini huyu Gavana
Ugomvi upo palepale. Its all about kill, Pay Jizya or convert to Islam.
 

Kama ndivyo unapo mswalia mtume elekezeza makalio kibla ili wende na wakati [emoji12] inakugusa pabaya eeh [emoji15] kunywa glasi ya kohozi [emoji53]

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Yule uliyemfanya mungu aliyejibandika nyama alikuelekezea wewe makalio aliposujudu??
According to Islam and the Qur’an, Allah is the name given to the one deity that was already known to the pagan Arabs as the supreme being.

The Arab Christians’ never used the term “Allah” when referring to God.
Hence, “Allah” refers only to the supreme deity of Islam.
 
Adam, Noah, Abraham, Moses and Jesus.
[emoji115] [emoji115]
A full study of all these supposedly “similar characters” But 
What is gained from this comparison is that, through a process of denials, omissions, replacements and additions, the Qur’an has created different versions of the Biblical characters, with similar sounding names, but with stark differences in the nature of their missions, storyline details, outcomes—in short a completely new and different narrative.


The central question is:
“Who is this Allah?”,

[emoji115] [emoji115]
which leads to the following further questions:
What did he create?
How did Muslim scholars through the centuries develop the “Tawheed” characterisation?
If Allah is basically the same as the Lord God of the Bible, then why is he limited, yet absolutely powerful?
Why isn’t belief in Allah alone sufficient?
Why is it FORBIDDEN TO ASK ANY QUESTIONS about the nature of Allah?
 
Tumekusikia sasa jibu swali , Yule unayemuabudu aliyejibandika nyama alikuelekezea wewe makalio aliposujudu??
 
Tumekusikia sasa jibu swali , Yule unayemuabudu aliyejibandika nyama alikuelekezea wewe makalio aliposujudu??

Em tuambie, Abrahamu wa kwenye Koroani aliambiwa na akina nani achome masanamu ya wapagani. Ikiwa allah hakumshushia wahyi ? Na mnasema allah sio Mtu na pia hazungumzi moja kwa moja na manabii wake. Abrahamu Alijuaje?

Ukishindwa hili swali choma hicho kitabu uje kumpokea Yesu.
 
Usimuamini huyu Gavana
Ugomvi upo palepale. Its all about kill, Pay Jizya or convert to Islam.
Huyu haelewi hata aliposimamia wapi, mradi anabisha kubisha tu.

Hata anachobisha hakijui, hajui anabishaje, kwa sababu gani, kivipi, wapi, kwa mantiki gani.

Anabisha tu.

Hajui hata anapokubali na anapokataa, anakubali, halafu baada ya kukubali, anabisha tena alichokubali.

Anabisha mpaka anabisha hata kwamba anabisha!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…