Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Ahahahaaahahahhaajajajajajja bureee kabisa
Msikie Paulo[emoji116] [emoji116] [emoji116]

1 Wakorintho 8:6
lakini kwetu sisi Mungu ni mmoja tu, aliye Baba, ambaye vitu vyote vimetoka kwake, nasi tunaishi kwake; yuko na Bwana mmoja Yesu Kristo, ambaye kwake vitu vyote vimekuwapo, na sisi kwa yeye huyo.
 
Kila siku namiambia Paulo ni mtu wa kufuru bado mnasoma maandiko yake , huyu kuua na kufundisha kufuru ndio tabia yake Wewe unamuona paulo mtu wa maana
 
Kwani Biblia inasemaje?

Mathayo anatufahamisha katika Injili yake:

"Hapo baadhi ya waandishi na Mafarisayo wakamjibu, wakasema, Mwalimu, twataka kuona ishara kwako. Akajibu, akawaambia, kizazi kibaya na cha zinaa chatafuta ishara, wala hakitapewa ishara, ila ishara ya nabii Yona. Kwani kama vile Yona alivyokuwa siku tatu mchana na usiku katika tumbo la nyangumi, hivyo ndivyo mwana wa Adamu atakavyokuwa siku tatu mchana na usiku katika moyo wa nchi. (Mt. 12:38-40) (Rejea Yona 1:15 –2:1).

Kwa maelezo haya ya Yesu ni kwamba hatakufa kama vile ambavyo Yona hakufa, ila atakaa kaburini siku tatu, mchana na usiku kwa kila siku, na hivyo kusingekuwa na ufufuko. Lakini Mathayo anaeleza katika 27:45 – 28:1-6 kwamba Yesu alikufa, akazikwa kisha akafufuka. Kanisa nalo linafundisha kwamba Yesu alikufa Ijumaa jioni na akafufuka Jumapili alfajiri, yaani kukaa kaburini siku moja na nusu tu.

Bado kuna hitilafu nyingi kuhusu mwisho wa Yesu baada ya kukamatwa.

Kwa mfano, Marko anasema Yesu alisulubiwa saa tatu asubuhi (Mk. 15:25) lakini Yohana anasema alisulubiwa baada ya saa sita mchana (Yn. 19:14).

Luka anapingana anaposema kwamba Yesu alipaa siku ile ile aliyofufuka (Lk. 24:13-51).

Lakini katika kitabu chake cha Matendo ya Mitume akaeleza kuwa alipaa siku ya arobaini baada ya kufufuka (Mdo 1:1-12).

Licha ya hayo, hakuna ushahidi wowote unaothibitisha kama Waandishi wa Injili nne walikuwa watu wa kutumainiwa na walioongozwa na Mungu. Kwa mfano, Biblia Takatifu, Agano Jipya, UBS 1990, inaeleza katika uk. 13 "utangulizi wa Injili kama ilivyoandikwa na Mathayo":

Injili ya Mathayo haisemi chochote kuhusu mtungaji wake. Kadiri ya mapokeo ya zamani, Mathayo mtoza ushuru na mmoja wa Mitume kumi na wawili aliandika maneno ya Yesu katika lugha ya Kiaramu. Bahati mbaya mtungaji wa Injili yetu ya sasa aliyeandika katika lugha ya Kigiriki (ambaye habari zake maalum hatuna) aliongozwa na mawaidha ya Mathayo, mfuasi wa Yesu).

Na kuhusu Injili ya Luka tunaelezwa:

Kadiri ya mapokeo ya zamani Injili ya tatu imeandikwa na Luka aliyezaliwa Antokia akawa Daktari. Alikuwa mpagani (au wa asili ya mazingira ya Kigiriki) si Myahudi kama walivyokuwa akina Mathayo, Marko na Yohana (Uk. 84 wa Biblia hiyo hiyo).

Nayo Biblia Takatifu T.M.P. Book Department Tabora, 1967, uk, 911 inaeleza kwamba Marko hakuwa mwanafunzi wa Yesu, na Injili yake ni muhtasari wa mafundisho ya Petro. Na ama Injili ya Yohana inajishuhudia yenyewe kwamba waandishi wake ni wengi na wala hawafahamiki:

Huyu ndiye yule mwanafunzi ayashuhudiaye haya, na aliyeyaandika haya; nasi twajua ya kuwa ushuhuda wake ni kweli. (Yn. 21:24).

Na hii ikawa ndio sababu ya wasomi wa juu wa Kikristo kusema kwamba mwandishi wa Injili hii sio Yohana, huenda labda ni wanafunzi wake (Dictionary of the Bible, John Mackenzie; 1981 maelezo kuhusu Injili ya Yohana).

Napenda kukufahamisha kwamba utupe hoja kuthibitisha kwamba itikadi unayoitetea haikujengeka juu ya dhana.

Pia kwa Waislamu kupinga kifo cha Yesu sio kumpinga Mungu kwa sababu Mwenyezi Mungu hajasema mahali popote kwamba Yesu kafa.

Hayo ni madai ya watu wasiofahamika (kwa wanahistoria wa Kikristo na Wakristo wenyewe) pamoja na Wapagani.

Tuzingatie tahadhari aliyoitoa Mwenyezi Mungu katika Qur’an Tukufu:

Basi adhabu kali itawathibitikia wale wanaoandika kitabu kwa mikono yao, kisha wakasema, "hiki kimetoka kwa Mwenyezi Mungu". (Wanasema uwongo huo) ili wachukue thamani ndogo ya kilimwengu. Basi ole wao kwa yale walivyoyaandika kwa mikono yao (wakasingizia kuwa ya Mungu). Na ole wao kwa yale wanayoyachuma. ( Qur’an Tukufu 2:79).
Msingi Mkuu wa Ubishi wako dhidi ya Ukristo ni Quran. Japo unajificha kwenye Upagani na hiyo avatar yako.

Inaonyesha Uu mweupe kwenye Quran. Unaogopa jehanum ya allah ndio maana hauna uwezo wa kuhoji Quran yako.
Yesu alikufa na Yesu alifufuka.

O Jesus, I will cause you to die, and exalt you to My presence, AND CLEAR YOU OF THOSE WHO DISBELIEVE and clear you of those who disbelieve and make those who follow you above those who disbelieve till the day of Judgment." (3:54)

[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji108]

Make those who follow you above those who disbelieve till the day of Judgement", i.e. his followers would forever have the upper hand over his rejectors.

Xxxxxxxxxxxxxxxxxxxx

O Jesus, I will cause you to die, and exalt you to My presence, AND CLEAR YOU OF THOSE(Mohamadans) WHO DISBELIEVE and and make those who follow you above those who disbelieve till the day of Judgment." (3:54)
 
Mnamsingizia Paulo, huyu kapiga kazi kuliko mitume wote wa kristo..
 
Unapata tabu mpaka unaingiza maneno ambayo hayapo kabisa katika hiyo aya hili upate kujitetea , ndugu Quran ilishamaliza kazi kitambo hizo tafsiri unazotaka kuzileta unapoteza muda
QURAN 4:157-158
";Na kwa kusema kwao :sisi tumemuua Masihi Isa , mwana wa Maryamu , mtume wa Mwenyezi Mungu nao HAWAKUMUUA WALA HAWAKUMSULUBU, bali walifananishiwa tu. Na hakika walio khitilafiana katika haya wamo katika shaka nayo"

Mpo kwenye shaka kubwa dhambarau au nyekundu , saa tatu au saa sita , Yesu hakusulubiwa vijana , ukweli ndio huo hata dai lenu mwenzenu atundikwe ili laana yenu iondoke ni imani ya ovyo kwelikweli
 
Mnamsingizia Paulo, huyu kapiga kazi kuliko mitume wote wa kristo..
Kwa lipi mimi nimsingizie Paulo , huyo paulo ni mtu wa kufuru aliejitengenezea movie ya kudai katumwa na yesu

MATENDO YA MITUME 26:11
";Na mara nyingi katika Masinagogi yote naliwaadhibu , nikawashurutisha KUKUFURU; nikawaonea hasira kama mwenye wazimu, nikawaudhi hata katika miji ya ugenini;"

Huyo ndio Paulo kufuru ni tabia yake kitambo , akamipiga changa la macho eti katokewa na yesu ahahaahaahaaha
 
Msingi Mkuu wa Ubishi wako dhidi ya Ukristo ni Quran. Japo unajificha kwenye Upagani na hiyo avatar yako.

Inaonyesha Uu mweupe kwenye Quran. Unaogopa jehanum ya allah ndio maana hauna uwezo wa kuhoji Quran yako.
Yesu alikufa na Yesu alifufuka.

O Jesus, I will cause you to die, and exalt you to My presence, AND CLEAR YOU OF THOSE WHO DISBELIEVE and clear you of those who disbelieve and make those who follow you above those who disbelieve till the day of Judgment." (3:54)

[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji108]

Make those who follow you above those who disbelieve till the day of Judgement", i.e. his followers would forever have the upper hand over his rejectors.

Xxxxxxxxxxxxxxxxxxxx

O Jesus, I will cause you to die, and exalt you to My presence, AND CLEAR YOU OF THOSE(Mohamadans) WHO DISBELIEVE and and make those who follow you above those who disbelieve till the day of Judgment." (3:54)
Nimekusikia ukisema his followers unawajua hao followers haya sasa ngoja Quran ikufundishe tena maana unaweza kujiaminisha kisichokuwepo kabisaa

QURAN 3:52
";Isa alipo hisi kuwa kati yao pana ukafiri alisema; nani wasaidizi wangu kwa Mwenyezi Mungu? wanafunzi wake wakasema; sisi ni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu.Tumemuamini Mwenyezi Mungu , na shuhudia kwamba sisi hakika ni WAISLAMU";

hao wanafunzi wa Yesu ndani ya QURAN wamekiri ni waislamu haya leta hoja yako tena
 
Kwa lipi mimi nimsingizie Paulo , huyo paulo ni mtu wa kufuru aliejitengenezea movie ya kudai katumwa na yesu

MATENDO YA MITUME 26:11
";Na mara nyingi katika Masinagogi yote naliwaadhibu , nikawashurutisha KUKUFURU; nikawaonea hasira kama mwenye wazimu, nikawaudhi hata katika miji ya ugenini;"

Huyo ndio Paulo kufuru ni tabia yake kitambo , akamipiga changa la macho eti katokewa na yesu ahahaahaahaaha
Hujamuelewa. Hapo anateleza kua:- alikua akiwalazimisha kukufuru. Kwakua alipokua awali, alijua anafanya yampendezayo Mungu
 
Msingi Mkuu wa Ubishi wako dhidi ya Ukristo ni Quran. Japo unajificha kwenye Upagani na hiyo avatar yako.

Inaonyesha Uu mweupe kwenye Quran. Unaogopa jehanum ya allah ndio maana hauna uwezo wa kuhoji Quran yako.
Yesu alikufa na Yesu alifufuka.

O Jesus, I will cause you to die, and exalt you to My presence, AND CLEAR YOU OF THOSE WHO DISBELIEVE and clear you of those who disbelieve and make those who follow you above those who disbelieve till the day of Judgment." (3:54)

[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji108]

Make those who follow you above those who disbelieve till the day of Judgement", i.e. his followers would forever have the upper hand over his rejectors.

Xxxxxxxxxxxxxxxxxxxx

O Jesus, I will cause you to die, and exalt you to My presence, AND CLEAR YOU OF THOSE(Mohamadans) WHO DISBELIEVE and and make those who follow you above those who disbelieve till the day of Judgment." (3:54)

KUDANGANYA NDIO HOJA YENU BILA HIVYO UKRISTO KWISHNEI, FISI MMOJA WEEE

WACHA KILA MTU ASOME HIYO QURAN 3:54 INASEMA NINI:Surah Ali 'Imran [3]
 
Jesus was teaching his disciples in the outer court of the Temple and one of them said unto him: Master, it is said by the priests that without shedding of blood there is no remission. Can then the blood offering of the law take away sin?

And Jesus answered: No blood offering, of beast or bird, or man, can take away sin, for how can the conscience be purged from sin by the shedding of innocent blood? Nay, it will increase the condemnation. (Gospel of the Nazorenes, Lection 33, verses 1-2)

Christianity is based on the Mystery Religions of the ancient world. The doctrines of the ‘trinity’ and ‘incarnation’ were borrowed from the pagans. In fact, the whole religion was fabricated after the departure of Jesus. This article will prove just that.

The legendary stories of ‘man-god’ saviors dying for the sins of their people (and rising three days later) were very common! Christianity plagiarized the stories and foisted them upon Jesus (pbuh). The scholar Tom Harper writes:

“The divine teacher is called, is tested by the “adversary”, gathers disciples, heals the sick, preaches the Good News about God’s kingdom, finally runs afoul of his bitter enemies, suffers, dies, and is resurrected after three days. This is the total pattern of the sun god in all the ancient dramas”. (The Pagan Christ, p. 145)

A very important part of the pagan faiths was the belief in a god who was young and handsome and was supposed to have died or mutilated himself for the sake of mankind.(A.D. Ajijola , The Myth of the Cross)

The dogma of the Incarnation was taken into Christianity, like many other Christian doctrines, from paganism. In pre-Christian mythologies we often read of the hero being regarded as a God. The Hindus of India even today worship their ancient heroes, Rama and Krishna, as incarnations of Vishnu, the second person of the Hindu Trinity.

Islam has liberated its followers from the bondage of such superstitions by rejecting the dogma of the Incarnation.

(Islam and Christianity, Mrs. Ulfat Aziz-Us-Samad, International Islamic Federation of Student Organizations, pp.38)

It seems that Jesus was actually the Sun of God, and not the ‘Son of God’, yet both of these titles are pagan, ascribed to Jesus after his departure. No wonder the early Christians of Egypt were accused of sun worship. Jesus rejected the title ‘Son of God’ (Luke 4:41) and that is why the Holy Quran rejects the sonship of Jesus, because it’s entirely pagan.
 
Kila siku namiambia Paulo ni mtu wa kufuru bado mnasoma maandiko yake , huyu kuua na kufundisha kufuru ndio tabia yake Wewe unamuona paulo mtu wa maana

Tofautisha Sauli na Paulo Mwana Wa Mungu wewe [emoji12] kafir mkubwa ni Baba fatu ambaye amekataa hata kuitwa yeye ni Mwana wa Mungu na wanao kataa kuitwa wana wa Mungu baba yenu ibilisi [emoji117]
IMG_20180914_065640_076.jpg
hakuna neutral ground Mwana Wa Mungu ima wa ibilisi [emoji4]
 
WATOTO WA PAULO HAWA

German report details widespread and ongoing clerical child sex abuse
Study finds evidence of nearly 4,000 cases of abuse, and says it ‘continues to take place’

Wed, Sep 12, 2018, 19:17

Derek Scally in Berlin

image.jpg

Bishop Stephan Ackermann of Trier, who was appointed head of German Catholic efforts to investigate the scale of abuse in church ranks, described the results as “depressing and shameful for us”. File photograph: Torsten Silz/AFP/Getty Images

German researchers have uncovered evidence of at least 3,677 cases of clerical physical and sexual abuse in the German church over seven decades.

A 350-page report, due to be presented later this month but leaked on Wednesday, found the most recent cases date from 2010. This suggests that abuse of minors by Catholic clerics in Germany is in no way a “historical phenomenon but . . . continues to take place”.

The study covers 38,000 church files from 27 German dioceses, with indications that 1,670 German clerics abused mostly young boys, up to a half under 13 years old at the time. The vast majority of victims had contact with clergy in a religious or pastoral context and over half – 969 – were altar boys.

The number of collated abusers corresponds to 4.4 per cent of active religious – rising to 5.1 per cent among parish priests. But the authors warned that “this represents a low estimate”.

Weeks after the Philadelphia grand jury report uncovered decades of clerical abuse, and a papal visit to Ireland dominated by its abuse legacy, the German abuse report uncovered about 600 incidents of statutory rape.

In echoes of Ireland, researchers found that many priests facing accusations were moved without their new parish being informed of the circumstances.

By doing so, German bishops had “recklessly or consciously accepted” the related risk to children in new parishes, the authors of the report said.
mushahara ona mwenzio kaja na c&p kaona ni rejea safi sanaà kuliko alio waachia allah kwa kinywa cha baba fatu [emoji4] kama wewe sio kafir mrekebishe ilaha kama kafir kausha [emoji4]
 
Kwani Biblia inasemaje?

Mathayo anatufahamisha katika Injili yake:

"Hapo baadhi ya waandishi na Mafarisayo wakamjibu, wakasema, Mwalimu, twataka kuona ishara kwako. Akajibu, akawaambia, kizazi kibaya na cha zinaa chatafuta ishara, wala hakitapewa ishara, ila ishara ya nabii Yona. Kwani kama vile Yona alivyokuwa siku tatu mchana na usiku katika tumbo la nyangumi, hivyo ndivyo mwana wa Adamu atakavyokuwa siku tatu mchana na usiku katika moyo wa nchi. (Mt. 12:38-40) (Rejea Yona 1:15 –2:1).

Kwa maelezo haya ya Yesu ni kwamba hatakufa kama vile ambavyo Yona hakufa, ila atakaa kaburini siku tatu, mchana na usiku kwa kila siku, na hivyo kusingekuwa na ufufuko. Lakini Mathayo anaeleza katika 27:45 – 28:1-6 kwamba Yesu alikufa, akazikwa kisha akafufuka. Kanisa nalo linafundisha kwamba Yesu alikufa Ijumaa jioni na akafufuka Jumapili alfajiri, yaani kukaa kaburini siku moja na nusu tu.

Bado kuna hitilafu nyingi kuhusu mwisho wa Yesu baada ya kukamatwa.

Kwa mfano, Marko anasema Yesu alisulubiwa saa tatu asubuhi (Mk. 15:25) lakini Yohana anasema alisulubiwa baada ya saa sita mchana (Yn. 19:14).

Luka anapingana anaposema kwamba Yesu alipaa siku ile ile aliyofufuka (Lk. 24:13-51).

Lakini katika kitabu chake cha Matendo ya Mitume akaeleza kuwa alipaa siku ya arobaini baada ya kufufuka (Mdo 1:1-12).

Licha ya hayo, hakuna ushahidi wowote unaothibitisha kama Waandishi wa Injili nne walikuwa watu wa kutumainiwa na walioongozwa na Mungu. Kwa mfano, Biblia Takatifu, Agano Jipya, UBS 1990, inaeleza katika uk. 13 "utangulizi wa Injili kama ilivyoandikwa na Mathayo":

Injili ya Mathayo haisemi chochote kuhusu mtungaji wake. Kadiri ya mapokeo ya zamani, Mathayo mtoza ushuru na mmoja wa Mitume kumi na wawili aliandika maneno ya Yesu katika lugha ya Kiaramu. Bahati mbaya mtungaji wa Injili yetu ya sasa aliyeandika katika lugha ya Kigiriki (ambaye habari zake maalum hatuna) aliongozwa na mawaidha ya Mathayo, mfuasi wa Yesu).

Na kuhusu Injili ya Luka tunaelezwa:

Kadiri ya mapokeo ya zamani Injili ya tatu imeandikwa na Luka aliyezaliwa Antokia akawa Daktari. Alikuwa mpagani (au wa asili ya mazingira ya Kigiriki) si Myahudi kama walivyokuwa akina Mathayo, Marko na Yohana (Uk. 84 wa Biblia hiyo hiyo).

Nayo Biblia Takatifu T.M.P. Book Department Tabora, 1967, uk, 911 inaeleza kwamba Marko hakuwa mwanafunzi wa Yesu, na Injili yake ni muhtasari wa mafundisho ya Petro. Na ama Injili ya Yohana inajishuhudia yenyewe kwamba waandishi wake ni wengi na wala hawafahamiki:

Huyu ndiye yule mwanafunzi ayashuhudiaye haya, na aliyeyaandika haya; nasi twajua ya kuwa ushuhuda wake ni kweli. (Yn. 21:24).

Na hii ikawa ndio sababu ya wasomi wa juu wa Kikristo kusema kwamba mwandishi wa Injili hii sio Yohana, huenda labda ni wanafunzi wake (Dictionary of the Bible, John Mackenzie; 1981 maelezo kuhusu Injili ya Yohana).

Napenda kukufahamisha kwamba utupe hoja kuthibitisha kwamba itikadi unayoitetea haikujengeka juu ya dhana.

Pia kwa Waislamu kupinga kifo cha Yesu sio kumpinga Mungu kwa sababu Mwenyezi Mungu hajasema mahali popote kwamba Yesu kafa.

Hayo ni madai ya watu wasiofahamika (kwa wanahistoria wa Kikristo na Wakristo wenyewe) pamoja na Wapagani.

Tuzingatie tahadhari aliyoitoa Mwenyezi Mungu katika Qur’an Tukufu:

Basi adhabu kali itawathibitikia wale wanaoandika kitabu kwa mikono yao, kisha wakasema, "hiki kimetoka kwa Mwenyezi Mungu". (Wanasema uwongo huo) ili wachukue thamani ndogo ya kilimwengu. Basi ole wao kwa yale walivyoyaandika kwa mikono yao (wakasingizia kuwa ya Mungu). Na ole wao kwa yale wanayoyachuma. ( Qur’an Tukufu 2:79).
Kama Yesu hakufa kubali Leo Yesu ni MUNGU [emoji123] [emoji106]
 
Kama UJASILIMU unajidanganya bureeeee, wewe endelea kujipa moyo huku unaungua , Mungu alisema tumiulize swali moja tu je MMESILIMU? kama bado changamka mda umebaki mdogo
Hicho ulicho post ndio mstari kwamba Wakristo wana Mungu zaidi ya Mmoja?
 
Mkuu mgeni, hayo ni mambo ya kiimani inahitaji open mind kujifunza ya upande usiokuwa kwako, mababu zetu wasingepokea mapya uislamu na ukiristo visingekuwepo kwetu, so open your mind to allow learning process to take place, binafsi tangia udogo wangu nliposikia wakristo namm muislamu ilinichanganya sana, nliwaza ikiwa Luna mungu wawili???, BT toka nkiwa kidato cha kwanza nmekua karbu sana na wakristo ili nijue wanachoabudu! maana Kama makundi mawili makubwa kila watu wanamungu wao maana yake nilitaka kujua!!! na nlijifunza kwa moyo safi nkaelewa na nmekuw mwislamu halisi wa kujua ila mwanzo nlikua wa kuzaliwa tu.ila kungekua sahihi huko wallah ningehami! NAKUJIBU SASA, Mungu alituma manabii wengi na kwavipindi tofauti ili kuleta ujumbe wake kwa watu MF musa, nuhu, yesu, daudi, Muhammad Nk. Na wrote walileta ujumbe kwanamna tofauti kadri Mungu alivyomkadiria. Maana ake ni kwamba manabi wote walitumwa na Mungu mmoja katika vipindi tofauti tofauti na Muhammad ndie mtume wa mwisho kuja BT yupo ambae alipaa atarudi(yesu)kila hatakuja mpya baada ya Muhammad. kabla ya Adam kushushwa tayari shetani alikuwepo hapa duniani na alikua keshaeneza tamaduni zake za kichawi kila kona, ndio maana utakuta kila kijiji inasemekana Luna mambo ya kishirikina, hivyo Mungu nlikua anatuma mitume ili kulingania watu namna ya kuishi(katiba y duniani/vitabu vya Mungu)na kila mtume alikuja katika kipindi maalumu kwa watu wa enzi maalumu.anapoondoka nabii mmoja ajae mpya anaweza kuwa na mabadiliko Fulani ya kisheria kadri Mungu anavyomuongoza.kwahyo si ajabu baadhi ya mambo ya musa yakafanana na ya yesu au Muhammad, Muhammad amekuja na sheria zake lakini Mungu akaona busara kutukusanyia habar na visa vya manabii waliopita ili tujua kuwa sisi si wa kwanza kutungiwa sheria, hizi tafrani za kidini ni kazi Ya IBILISI kuvuluga wanadamu tena kwakutumia wanadamu vibaraka wake hata kuyumbisha maandiko ya Mungu, so tuwe lakini TUSIONE TWAELEA TUMEUMBWA, na aliyetuumba katupa muongozo wa namna ya kuishi hapa duniani na kwa zama hizi Qur'an ndio. nb.anapokuja nabii mpya wapi waliobaki na sheria za nabii aliepita,vile wapi ambao si waislamu wala wakristo kila ni watu wa matambiko tu,MWENYEZIMUNGU NDIE MJUZI ZAIDI TUSIMUINGILIE KATIKA MAMLAKA YAKE, JIULIZE ULITOKA WAPI? KWANINI UPO HAPA? NA BAADA YA HAPA UTAENDA WAPI? vile unaweza pata raha au tabu wakati umelala kupitia ndoto basi labda hata ukifa nafsi yako itayahisi hayo, chukulia usingizi ni mfano wa kifo na ndoto ndo mfano wa malipo yako.vile mambo duniani yalivyopangika, bila shaka Luna aliyeyapanga, naamini anayeishi kwa kufuata injiri, torati, zaburi na Qur'an tukufu wanamalipo mwema wakifa, Kufa ni lazima,
Mukuli Bokera wengine wavivu Wa kusoma khutba [emoji4] nakuomba tu unijibu huyu Muhammad kasema kweli yake au kweli ya Kweli? Kwa sababu sisi wanadamu kila mtu anayo sababu ya Kuamini!
 
KUDANGANYA NDIO HOJA YENU BILA HIVYO UKRISTO KWISHNEI, FISI MMOJA WEEE

WACHA KILA MTU ASOME HIYO QURAN 3:54 INASEMA NINI:Surah Ali 'Imran [3]
Nyie ndio mnaodanganya na Taqiyah, Kitman yenu. Wana zuoni waliosoma Deen wakazama ndani, wanasema waziwazi. Mmeedit kwa tafsir za Non-Arabs ili ionekane hajafa. Lakini ikikaa hivi ndio ina make sense. Nimekuwekea Tafsir ya Ndani.

(Quran 21:8)
They (i.e. the prophets) did not abide for ever (khalidun)"
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom