masoud mshahara
JF-Expert Member
- Mar 31, 2018
- 4,712
- 2,010
Kiuno hakiusiki na ukazaji ebu kasome tena ahahahahhaahahaaa mwaka huu maji utaita mmaKaza kiuno unapo ulizwa ili ujibu[emoji53] jibu sasa [emoji15]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiuno hakiusiki na ukazaji ebu kasome tena ahahahahhaahahaaa mwaka huu maji utaita mmaKaza kiuno unapo ulizwa ili ujibu[emoji53] jibu sasa [emoji15]
Na huyu aliye kabwa pangoni mpaka akamwaga kojo [emoji4]Ahahahahhahahahahajhahahaajaja nacheka sana Mtu wa kufuru paulo kalala kamka anasema yeye ni mtume
Siwezi kurejea kila kitu kama ww unakataa akukata aya leta hiyo comment yake tuanzeee upyaaaaaaaaaaaWeka alipo kata hiyo ayat [emoji12]
Alikabwa Mungu wako na yakobo mpaka akacheza rafu ,akapiga jirani kabisa na ikulu ya yakobo, nasikia maeneo ya ile nyama mpaka leo waisrael wamegoma kule lile eneo Mungu wako alipojifanya john cena ahahahahhaahahaaaNa huyu aliye kabwa pangoni mpaka akamwaga kojo [emoji4]
Sasa mtu anaeamini ili ufuzu lazima ukamuliwe ngama kata.3 mvutuni, kisha mavi uyaache chumbani ufuoni na maiti kuitupa jalalani [emoji15] [emoji12] mtu kama huyo atakufundisha na kukuaminisha cha maana gani [emoji47] [emoji12] wakati mwenyewe kiimani ni pofu [emoji47] [emoji15] tunawatumia kama ubao wa kufundishia tu [emoji12] [emoji4]Hili andiko halimtetei Paulo , miaka 100 baada ya yesu , mtu wa kufuru anakuja kudai utume ahahahahhaahahaaa nawewe ulivyokuwa amnazo unaingia kichwa kichwa
yaani hujui unatwanga Maji na kuloana kanzu na pumbu [emoji15] [emoji47] [emoji12] [emoji38] [emoji38]Kawaida yangu ni kuwatwanga wafuasi wa Paulo bingwa wa kufuru, wanaojificha kwenye kichaka cha yesu
Kiuno hakiusiki na ukazaji ebu kasome tena ahahahahhaahahaaa mwaka huu maji utaita mma
weka unaposema alikata aya upate daawa [emoji382] [emoji53] hatukuja kucheza humu ilaha kufanya mapofu yaone na waliofungwa na ibilisi wafunguliwe na kuachwa huru [emoji123] [emoji106]Siwezi kurejea kila kitu kama ww unakataa akukata aya leta hiyo comment yake tuanzeee upyaaaaaaaaaaa
Alikabwa Mungu wako na yakobo mpaka akacheza rafu ,akapiga jirani kabisa na ikulu ya yakobo, nasikia maeneo ya ile nyama mpaka leo waisrael wamegoma kule lile eneo Mungu wako alipojifanya john cena ahahahahhaahahaaa
Ulicho c&p hapo ni dhana wanadhani [emoji53] nimekwambia weka ayat toka Biblia Tukufu humu kwamba Wakristo wanae Mungu zaidi ya Mmoja [emoji15] [emoji12] wee vipi [emoji15] [emoji47] [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33]Dhana ya kufa na kufufuka kwa Yesu si mafundisho ya Mungu
Kwa kweli, zaidi ya masimulizi ya Wainjilisti na wanaadamu wengine kwa ujumla, hakuna kamwe mafundisho sahihi ya Mungu yanayothibitisha kufa na kufufuka kwa Nabii Isa au Yesu (a.s.).
Kinyume chake, tunaona maandiko mengi ya Mungu yanashutumu vikali tendo zima la mtu kusulubiwa kwa kutundikwa mtini, kama lile linalodhaniwa kufanyika kwa Bwana Yesu (a.s.)
Na ndio maana sambamba na kutoa amri ya Pasaka kabla ya kuzaliwa Yesu, tendo hilo (la mtu kutundikwa) mapema Mungu alilishutumu vikali kwa kusema:
"...kwa aliyetundikwa amelaaniwa na Mungu..." (Kumbukumbu la Torati 21:22-23).
Aidha, kabla ya shutuma hiyo (ya Mungu) dhidi ya mtu aliyetundikwa (aliyesulubiwa), Mungu alieleza bayana wasifu wa laana kwa mtu, kwa kusema:
"Angalieni, nawawekea mbele yenu hivi leo baraka na laana; baraka ni hapo mtakapoyasikiza maagizo ya BWANA, Mungu wenu, niwaagizapo leo; na laana ni hapo msiposikiza maagizo ya BWANA, Mungu wenu, mkikengeuka katika njia niwaagizayo leo, kwa kuandama miungu mingine". (Kumb. 11:26-28)
Kuhusu laana, Mungu pia hakuacha kuelekeza mahali ambako laana yake hupatikana kama tunavyosoma maandiko yafuatayo:
"Laana ya BWANA i katika nyumba ya waovu, Bali huibariki maskani ya mwenye haki". (Mithali 3:33).
Kwa shuhuda hizo, tunachojifunza hapa ni kwamba yeyote aliyetundikwa (aliyesulubiwa) basi anahesabika kuwa amelaaniwa, asiyesikiza maagizo ya Mungu na kukengeuka njia yake, mshirikina (anayemuabudu Mungu pamoja na miungu mingine) na kwa ujumla mtu huyo ni mwovu (rejea Mithali 3:33).
Zaidi ya hivyo, kwa maandiko hayo, yaonyesha wazi Mungu hafurahishwi na kwa ujumla hapendi tendo la mtu kusulubiwa. Kwa mantiki hiyo, ni dhahiri kuwa dhana ya kusulubiwa Yesu ingelikuwa sahihi iwapo tu Mungu asingelishutumu tendo la mtu "kusulubiwa" kwa kiwango hicho, hasa unapolinganisha shutuma hizo (za Mungu) na hadhi, utukufu na ucha Mungu kwa ujumla wa Bwana Yesu (a.s.) mbele ya Mwenyezi Mungu. Isitoshe, Mungu asingeacha kueleza tukio zito na 'muhimu' kama hilo kwa ufasaha, kwa uwazi na kwa maelezo ya kukinaisha.
Aidha, dhana hiyo ya kusulubiwa Yesu pia ingelikuwa ni sahihi na tendo la wokovu, iwapo tu Yuda Iskariote angeliitwa "mwokozi wa kwanza" kwa 'kuharakisha' wokovu wa walimwengu, kinyume na anavyoitwa mpaka sasa kwamba ni "msaliti" aliyemsaliti Yesu! (tazama Mathayo 26:25). Kwani inasimuliwa kuwa ndiye aliyewaonyesha maadui wamuue Yesu baada ya kuahidiwa fedha (tazama Mathayo 26:14-15). Ni ajabu watu wa timu moja wamshutumu mtoa pasi kwa mchezaji aliyeifungia goli timu yao!
Vile vile dhana hiyo (ya kusulubiwa Yesu) ingekuwa sahihi na tendo la "ukombozi" wa wanaadamu, iwapo tu Yesu asingemkemea mapema yule atakayemsaliti kwa kumwambia:
"...Lakini ole wake mtu yule ambaye amsaliti Mwana wa Adamu! Ingekuwa heri kwake mtu yule kama asingalizaliwa". (Mathayo 26:24)
Kinyume na andiko hilo juu, dhana ya kusulubiwa Yesu ingekuwa sahihi na nzuri iwapo Yesu angelimpongeza yule atakayemsaliti, kwa kumwambia:
"Heri yake mtu yule ambaye amsaliti Mwana wa Adamu! Ingekuwa vibaya kwake mtu yule asingezaliwa". n.k.
Na kubwa zaidi, masimulizi ya Mwinjilisti Mathayo ya kudai kuwa eti Yesu alipokuwa msalabani alisema: "... Eloi, Eloi, lamasabakhtani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?" (Tazama Mathayo 27:46) yanapingwa vikali na mwenyewe Bwana Yesu (a.s.) kwa kusema:
"Naye aliyenipeleka yu pamoja nami; hakuniacha peke yangu, kwa sababu nafanya siku zote yale yampendezayo". (Mathayo 8:29).
Kwa kauli hiyo peke yake ya Yesu inadhihirisha wazi kuwa yule aliyekuwa akilalamika kuachwa na Mungu hapo msalabani hakuwa Yesu. Yesu hawezi kuachwa na Mungu kwa sababu kama mwenyewe anavyoeleza katika andiko hilo hapo juu kwamba siku zote hufanya yanayompendeza Mungu.
Na kwa ujumla ukombozi wa wanaadamu kamwe haupatikani kwa njia ya laana (kusulubiwa) ambayo i katika nyumba ya waovu. (Mithali 3:33).
Na ndio sababu, kutokana na uzito wa shutuma za Mungu dhidi ya mtu anayesulubiwa (kama tulivyoona hapo awali), Mwenyezi Mungu katika Qur'an Tukufu akaeleza wazi kwamba:
"Hawakumwua wala hawakumsulubu". (Qur. 4:158).
Kwa maandiko haya na mengine mengi ni dhahiri kuwa dhana ya kufa na kufufuka Yesu katu haimo katika mafundisho ya Mungu. Na kwa mantiki hiyo, Pasaka iliyofundishwa na Mungu haina uhusiano wowote na dhana ya kufa na kufufuka kwa Yesu hasa ukizingatia kuwa Pasaka hiyo (ya Mungu) imekuwepo kabla ya Yesu kuzaliwa, na pia kufa na kufufuka kwa Yesu ni jambo lililozuliwa na wanaadamu baada ya Yesu kuondoka
Ulicho c&p hapo ni dhana wanadhani [emoji53] nimekwambia weka ayat toka Biblia Tukufu humu kwamba Wakristo wanae Mungu zaidi ya Mmoja [emoji15] [emoji12] wee vipi [emoji15] [emoji47] [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33]
Tatizo ulilo nalo Wa kukusomea kafa View attachment 865960 kafa analia lia na kusikitika [emoji117] View attachment 865969 huna ulijualo na hujui kwamba hujui [emoji12]
Uwe unachekaga kama kawaida yako [emoji4]
Q. What is Mercy?Hayo maneno yako hayaondoi ukweli kuwa Paulo ni mtu wa kufuru,aliedai kupewa utume na yesu miaka 100 baada ya yesu kuondoka duniani, umeingia kichwa kichwa kwenye maigizo ya Paulo, bila Jihadi ile Israel ingebaki mali ya waamori na wayebusi shukuru sana Jihadi ahahahahhaahahaaa
Q. What is Mercy?
Tazama Waarabu leo niambie which mercy do you see in them?.
Mercy ndio inawafanya wanahamia Ulaya
Hivi Mohammad falsely declared to bring mercy to the world. He brought swords instead.. He brougt deaths. Like the angel of death zirail.
Katika Miaka 23, Mohammad alitumia miaka 13 akihubiri Mecca PEKE YAKE. Hakuzidi waumini 150 tu. Japo yalikua yamejaa Uongo lakini yalikua ya AMANI.
Alipokuja Mara ya pili akiwa na Jeshi within 3Years of Terror, Enslaving, Bloodbaths and Stealing alijikusanyia waumini zaidi ya 10,000. Record breaking!.
Katika Sunnah, Mtume Mohammad anasema atafanya Ummah wa allah kugawanyika mara 73. Na dhehebu moja tu ndio litaingia peponi. Wengine mtakua Kampani ya moto.
Kiuhalisia ni vigumu sana kwa Ulimwengu wote kwa kila Muumini kwenda Mecca. Kama sehemu ya kutimiza zile nguzo Kuu. Na hii inathibitisha kua dini ile haikuwahusu walimwengu kwasababu mabilioni ya Waumini wa Mohammadans will never reach arabia.FACT.
Tazama Rihanna, Safiya, Ayesha. Hawa ni victims of false prophet.
You will find good teachings in any cult. False prophets mix good things and bad things to deceive people. If they only preach evil no one will believe in them. Even Jim Jones and Charles Manson had good teachings. A person who claims to come from God must not have any bad teaching nor should he commit any crime. All it takes to disqualify a person as a messenger of God is one error, one lie or one bad conduct. Muhammad had thousands of them and he committed horrendous crimes.
Criminals are transformed through their own will power. Religion is a pretext. They use it as a psychological prop but the power comes from the people themselves.
HIYO NI DHANA YA KUFA NA KUFUFUKA YESU
Hata ukionyeshwa ndio iweje , wacha kujitia wazimu unajua kuwa trinity haimo katika biblia ni kujitia wazimu tu ni namna mnavyodanganyana kanisani
endelea kusoma vizuri usijitie wazimu
Dhana ya kufa na kufufuka kwa Yesu si mafundisho ya Mungu
Kwa kweli, zaidi ya masimulizi ya Wainjilisti na wanaadamu wengine kwa ujumla, hakuna kamwe mafundisho sahihi ya Mungu yanayothibitisha kufa na kufufuka kwa Nabii Isa au Yesu (a.s.).
Kinyume chake, tunaona maandiko mengi ya Mungu yanashutumu vikali tendo zima la mtu kusulubiwa kwa kutundikwa mtini, kama lile linalodhaniwa kufanyika kwa Bwana Yesu (a.s.)
Na ndio maana sambamba na kutoa amri ya Pasaka kabla ya kuzaliwa Yesu, tendo hilo (la mtu kutundikwa) mapema Mungu alilishutumu vikali kwa kusema:
"...kwa aliyetundikwa amelaaniwa na Mungu..." (Kumbukumbu la Torati 21:22-23).
Aidha, kabla ya shutuma hiyo (ya Mungu) dhidi ya mtu aliyetundikwa (aliyesulubiwa), Mungu alieleza bayana wasifu wa laana kwa mtu, kwa kusema:
"Angalieni, nawawekea mbele yenu hivi leo baraka na laana; baraka ni hapo mtakapoyasikiza maagizo ya BWANA, Mungu wenu, niwaagizapo leo; na laana ni hapo msiposikiza maagizo ya BWANA, Mungu wenu, mkikengeuka katika njia niwaagizayo leo, kwa kuandama miungu mingine". (Kumb. 11:26-28)
Kuhusu laana, Mungu pia hakuacha kuelekeza mahali ambako laana yake hupatikana kama tunavyosoma maandiko yafuatayo:
"Laana ya BWANA i katika nyumba ya waovu, Bali huibariki maskani ya mwenye haki". (Mithali 3:33).
Kwa shuhuda hizo, tunachojifunza hapa ni kwamba yeyote aliyetundikwa (aliyesulubiwa) basi anahesabika kuwa amelaaniwa, asiyesikiza maagizo ya Mungu na kukengeuka njia yake, mshirikina (anayemuabudu Mungu pamoja na miungu mingine) na kwa ujumla mtu huyo ni mwovu (rejea Mithali 3:33).
Zaidi ya hivyo, kwa maandiko hayo, yaonyesha wazi Mungu hafurahishwi na kwa ujumla hapendi tendo la mtu kusulubiwa. Kwa mantiki hiyo, ni dhahiri kuwa dhana ya kusulubiwa Yesu ingelikuwa sahihi iwapo tu Mungu asingelishutumu tendo la mtu "kusulubiwa" kwa kiwango hicho, hasa unapolinganisha shutuma hizo (za Mungu) na hadhi, utukufu na ucha Mungu kwa ujumla wa Bwana Yesu (a.s.) mbele ya Mwenyezi Mungu. Isitoshe, Mungu asingeacha kueleza tukio zito na 'muhimu' kama hilo kwa ufasaha, kwa uwazi na kwa maelezo ya kukinaisha.
Aidha, dhana hiyo ya kusulubiwa Yesu pia ingelikuwa ni sahihi na tendo la wokovu, iwapo tu Yuda Iskariote angeliitwa "mwokozi wa kwanza" kwa 'kuharakisha' wokovu wa walimwengu, kinyume na anavyoitwa mpaka sasa kwamba ni "msaliti" aliyemsaliti Yesu! (tazama Mathayo 26:25). Kwani inasimuliwa kuwa ndiye aliyewaonyesha maadui wamuue Yesu baada ya kuahidiwa fedha (tazama Mathayo 26:14-15). Ni ajabu watu wa timu moja wamshutumu mtoa pasi kwa mchezaji aliyeifungia goli timu yao!
Vile vile dhana hiyo (ya kusulubiwa Yesu) ingekuwa sahihi na tendo la "ukombozi" wa wanaadamu, iwapo tu Yesu asingemkemea mapema yule atakayemsaliti kwa kumwambia:
"...Lakini ole wake mtu yule ambaye amsaliti Mwana wa Adamu! Ingekuwa heri kwake mtu yule kama asingalizaliwa". (Mathayo 26:24)
Kinyume na andiko hilo juu, dhana ya kusulubiwa Yesu ingekuwa sahihi na nzuri iwapo Yesu angelimpongeza yule atakayemsaliti, kwa kumwambia:
"Heri yake mtu yule ambaye amsaliti Mwana wa Adamu! Ingekuwa vibaya kwake mtu yule asingezaliwa". n.k.
Na kubwa zaidi, masimulizi ya Mwinjilisti Mathayo ya kudai kuwa eti Yesu alipokuwa msalabani alisema: "... Eloi, Eloi, lamasabakhtani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?" (Tazama Mathayo 27:46) yanapingwa vikali na mwenyewe Bwana Yesu (a.s.) kwa kusema:
"Naye aliyenipeleka yu pamoja nami; hakuniacha peke yangu, kwa sababu nafanya siku zote yale yampendezayo". (Mathayo 8:29).
Kwa kauli hiyo peke yake ya Yesu inadhihirisha wazi kuwa yule aliyekuwa akilalamika kuachwa na Mungu hapo msalabani hakuwa Yesu. Yesu hawezi kuachwa na Mungu kwa sababu kama mwenyewe anavyoeleza katika andiko hilo hapo juu kwamba siku zote hufanya yanayompendeza Mungu.
Na kwa ujumla ukombozi wa wanaadamu kamwe haupatikani kwa njia ya laana (kusulubiwa) ambayo i katika nyumba ya waovu. (Mithali 3:33).
Na ndio sababu, kutokana na uzito wa shutuma za Mungu dhidi ya mtu anayesulubiwa (kama tulivyoona hapo awali), Mwenyezi Mungu katika Qur'an Tukufu akaeleza wazi kwamba:
"Hawakumwua wala hawakumsulubu". (Qur. 4:158).
Kwa maandiko haya na mengine mengi ni dhahiri kuwa dhana ya kufa na kufufuka Yesu katu haimo katika mafundisho ya Mungu. Na kwa mantiki hiyo, Pasaka iliyofundishwa na Mungu haina uhusiano wowote na dhana ya kufa na kufufuka kwa Yesu hasa ukizingatia kuwa Pasaka hiyo (ya Mungu) imekuwepo kabla ya Yesu kuzaliwa, na pia kufa na kufufuka kwa Yesu ni jambo lililozuliwa na wanaadamu baada ya Yesu kuondoka
Mathayo 26:26-28Mapinduzi ya Paulo dhidi ya Pasaka aliyefundishwa na Mungu!
Pamoja na Mungu kufundisha wazi kwamba Pasaka ni mnyama (kondoo, ng'ombe au mbuzi) anayetakiwa achinjwe na kuliwa kwa utaratibu na kwa lengo maalum kama tulivyoona hapo awali, lakini Paulo hakukubaliana kabisa na mafundisho hayo ya Mungu. Yeye alikuja na mafundisho mapya kabisa. Tofauti na Pasaka yule aliyefundishwa na Mungu, Paulo alikuja na Pasaka wake, kama mwenyewe anavyosema hapa chini:
"Basi, jisafisheni, mkatoe ile chachu ya kale, mpate kuwa donge jipya, kama vile mlivyo hamkutiwa chachu. Kwa maana Pasaka wetu amekwisha kutolewa kuwa sadaka, yaani Kristo". (1 Wakorintho 5:7)
Kulingana na maelezo yake hayo juu, mbali na kuwataka watu waache kufuata anavyokiri kuwa ni kuishika sheria za Torati (angalia Wagalatia 3:10-13 na Warumi 7:14), katika juhudi zake hizo za kupindua mafundisho ya Mungu, Bwana Paulo amejaribu kumgeuza Yesu kuwa ndiye Pasaka badala ya mnyama (kondoo, ng'ombe au mbuzi) aliyefundishwa na Mungu, na Yesu mwenyewe kabla hajaondoka!
Kwa shuhuda hiyo, ni dhahiri kuwa Bwana Paulo ndiye muasisi mkuu wa dhana ya kuchinjwa (kusulubiwa), kufa na kufufuka kwa Yesu. Vinginevyo asingethubutu kumwita Yesu kuwa ni "Pasaka" kwani hilo siyo fundisho la Mungu.
Wewe bado Mweupe sana.. Hujui hata usemalo.Wakristo wavivu sana yaani walijivika dhambi ambayo hawajaitenda halafu wakapata wokovu ambao hawajautumukia...yaan dhambi hamjaifanya na pia kasukuniwa mtu mwingine kwa ajili ya dhambi hiyo ili wewe uokolewe kimsingi ambaye huna dhambi hiyo..!
Huyo Mungu wa ajabu sana yaan shetan kamuumba yeye na wanadamu kawaumba yeye shetan kamshamwishi mwanadamu kutenda dhambi hiyo dhambi ikawaendea wanadamu wote halafu huyo Mungu akashindwa kusamehe dhambi kwa viumbe vyake akaona ashuke duniani viumbe vyake alivyo viumba vije kumsulubu ili aviokoe na siku ya mwisho yeye ndio atahukumu.!..huyu ni wa ajabu sana
Au maana yake huyo Mungu sio mtenda haki wafanyae dhambi wanadamu na shetan aadhibu mtu mwingine ambae hausiki ambae ni mtu mwema mtoto wake au kwa mujibu wenu Yeye Mungu kaja kuadhibiwa kwa ajili ya watu wake aliwaumba sababu ya dhambi ya shetani aliyeumuumba... Hii logic huwana nashangaa hata wenye degree uwezo wao wa kufukiri huwa unashuka na amin huu uchizi.!
Na hiyo dhambi ya asili imeanza kuhubiriwa wakari wa Yesu tu au maana kabla ya yesu wametumwa watu wengi kwa taifa la israel DAUD,MUSA,JACOB,ISACK, wote hao hawajawai kutamka hiyi dhambi ya asili imekuja kuibukia kwa Yesu.
Ila ukisoma EZEKIEL 18:20 imeweka waz na mnachokiabudu ni ujinga inasema
"The person who sins is the one who will die. The child will not be punished for the parent's sins, and the parent will not be punished for the child's sins. Righteous people will be rewarded for their own righteous behavior, and wicked people will be punished for their own wickedness"
UTAPATA BAKORA KILA KONA ; TULIA UPATE DAAWA
Yesu mwenyewe aliwahi kumla Pasaka
Ili kuonyesha zaidi kwamba Pasaka haina uhusiano wowote na dhana potofu ya kufa na kufufuka kwa Yesu, maandiko ya Biblia yanaeleza wazi kuwa Bwana Yesu naye kabla ya kuondoka aliwahi kumla Pasaka. Maandiko yafuatayo yanathibitisha ukweli huu.
"Hata siku ya kwanza ya mikate isiyochachwa, walipoichinja Pasaka, wanafunzi wake wakamwambia, Ni wapi utakapo tuende tukuandalie uile Pasaka? Akatuma wawili katika wanafunzi wake, akawaambia, Nendeni zenu mjini; atakutana nanyi mwanamume amechukua mtungi wa maji; mfuateni; na popote atakapoingia, mwambieni mwenye nyumba, Mwalimu asema, ki wapi chumba cha wageni, niile Pasaka humo, pamoja na wanafunzi wangu? Naye mwenyewe atawaonyesha orofa kubwa, imeandikwa tayari; humo tuandalieni. Wanafunzi wakatoka, wakaenda mjini, wakaona kama alivyowaambia, wakaiandaa pasaka. Basi ilipokuwa jioni yuaja na wale Thenashara, wakila, Yesu alisema, Amin, naawaambieni, mmoja wenu, naye anakula pamoja nami atanisaliti". (Marko 14:12-18)
Kufuatana na maandiko hayo juu, tunaona hapa kwamba Bwana Yesu aliwatuma wanafunzi wake wakaandaa mahali atakapomla pasaka na wala haielezwi kwamba aliwatuma wakaandaa mahali "yeye atakapokufa kwa pasaka".
Aidha, haielezwi kwamba wanafunzi wake walipochinja, walimchinja Yesu kuwa Pasaka. Lakini tunaona kuwa baada ya kupatikana hicho chumba na maandalizi kwa ujumla kukamilika, naye Yesu pia alimla Pasaka.
Hii yote ni kudhihirisha kuwa Pasaka ni mnyama anayechinjwa na kuliwa na siyo binadamu. Na kwamba Pasaka ilifanyika mwenyewe akiwa hai na wala hajafundisha kwamba Pasaka ni kufa na kufufuka kwake.
Hebu soma hii ayat [emoji117] View attachment 866037View attachment 866040 Ambao mnahitilafia na hamna hakika ni nyinyi maisilamu [emoji15] [emoji12] kadiani anasema Yesu Amekufa wewe gavana unasema hakufa [emoji4] hata huoni mnavo hitilafiana??? sasa Nitajie dhehebu moja la Kikristo Ambao hawaamini hicho kisa [emoji53]