Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Haiitaji Yuda ili Yesu Afe Msalabani. Iliandikwa kua Lazima Afe msalabani. Yuda anafahamika kua na Matatizo mbalimbali.


Marko 14:21
[21]Kwa maana Mwana wa Adamu aenda zake KAMA ALIVYOANDIKIWA; LAKINI ole wake mtu yule ambaye amsaliti Mwana wa Adamu; ingekuwa heri kwake mtu yule kama asingalizaliwa.


Mathayo 26:31
Ndipo Yesu akawaambia, Ninyi nyote mtachukizwa kwa ajili yangu usiku huu kwa kuwa IMEANDIKWA, Nitampiga mchungaji, na kondoo wa kundi watatawanyika.


Zekaria 13:7
Amka, Ee upanga, juu ya mchungaji wangu, na juu ya mtu aliye mwenzangu, asema BWANA wa majeshi; mpige mchungaji, nao kondoo watatawanyika; nami nitaugeuza mkono wangu juu ya wadogo.
 
Hujui Neno. Unachanganya uelewa kati ya Fumbo la Imani na dhana nzima ya Pasaka. Unafaa uanzishe dhehebu lako.jipya ili ukusanye sadaka.
Mweupe sana wewe. We msome mudi tu.
 
eti genius Yaani kuokota simulizi za Wayahudi na Wakristo vijiweni kisha Kujifanya kaambiwa na allah kisha KUWATUPIA ndio unaona ni u-genius [emoji12] ndio sababu Wayahudi walimwambia umepata misukule na kuwatumia kama fursa swafi [emoji4] kipi baba kasim alicho hadithia Ambacho hakija simuliwa kabla yake? Kweli ashki majunun [emoji4]
 


Umeiganda Al baqara 78 kama ruba , huna jengine ndio iliyobakia , HAMAA HUKOOO USIJITIE WAZIMU
 
Amembusu mtu sawa [emoji106] wapi Yesu kabusu jiwe [emoji47] [emoji15]
 
Mzee kila siku unakuwa unazunguka yesu alitoa ishara moja tu nayo ni ya Yona , kama unaakili timamu ungejiuliza Yona alikuwaje ? mnasoma lakini amtafakari kwanini utata uwe mwingi kwenye jambo ambalo mnaitakidi mmekumbolewa kwalo? jibu ni rahisi kitu kama hicho akijawai kutokea ni habari za kutengenezwa ndio maana mmesulubu mayesu lukuki, kuna yule yesu mliesulubu saa tatu , halafu kuna yule yesu mliesulubu saa sita, lakini sio yesu alietumwa na Mungu
 
Ahahahahahahahahaha tatizo sio kusimuliwa tatizo ni kusimuliana uongo , kama 1+1+1=1.huu ni uongo uliovuka mipaka lazima tukufundishe ili ujinga ukutoke, kuwa mpole
 
Hujui Neno. Unachanganya uelewa kati ya Fumbo la Imani na dhana nzima ya Pasaka. Unafaa uanzishe dhehebu lako.jipya ili ukusanye sadaka.
Mweupe sana wewe. We msome mudi tu.

Mimi mweupe sana , wewe uliye mweusi sana jisafishe hapa , Pata shampoo hii

Msalabani, Yesu alimsihi sana Mungu amsaidie: Matayo 27:46 “Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?”

Katika Luka 22:42, inasimuliwa kuwa; “Akasema, Ee Baba, ikiwa ni mapenzi yako, uniondolee kikombe hiki; walakini si mapenzi yangu, bali yako yatendeke.” (Kombe hilo ni kombe la mauti.)

Ombi la Yesu asife msalabani lilikubaliwa na mungu, kwa mujibu wa Luka, mwandishi wa Waebrania, na Yakobo. Kwa hiyo, vipi afie msalabani?

Luka 22:43 “Malaika kutoka mbinguni akamtokea akamtia nguvu.”

Hili linamaanisha kuwa malaika amemuhakikishia kuwa Mungu hato mwacha bila ya kumpa msaada:

Waebrania 5:7 “Yeye, siku hizo za mwili wake, alimtolea yule, awezaye kumwokoa na kumtoa katika mauti, maombi na dua pamoja na kulia sana na machozi, akasikilizwa kwa jinsi alivyokuwa mcha Mungu.”

Maombi ya Yesu “yalisikilizwa,” jambo linalomaanisha kuwa maombi yake yalijibiwa na Mungu kwa wema:

Yakobo 5:16 “...Kuomba kwake mwenye haki kwafaa sana, akiomba kwa bidii.”

Yesu mwenyewe amesema katika Matayo 7:7-10 “Ombeni nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtaona, bisheni, nanyi mtafunguliwa; kwa maana kila aombaye hupokea; naye atafutaye huona; naye abishaye atafunguliwa. Au kuna mtu yupi kwenu, ambaye, mwanawe akimwomba mkate, atampa jiwe? Au akiomba samaki, atampa nyoka?”

Ikiwa maombi ya Yesu yote yalikubaliwa na Mungu, likiwemo lile ombi lake asife msalabani, sasa itakuwaje mng`ang`anie kuwa amefia msalabani?
 
Hujui Neno. Unachanganya uelewa kati ya Fumbo la Imani na dhana nzima ya Pasaka. Unafaa uanzishe dhehebu lako.jipya ili ukusanye sadaka.
Mweupe sana wewe. We msome mudi tu.
Fumbo la imani ni story za kutengenezwa na watu tu , Yesu kafundisha watu wapate kuelewa
 
Ahahaahahahah ndio maana nikakwambia ishara ya Yona unaijua? Shetani na yuda ndio mashujaa kwenye tukio hilo la kutengenezwa, kama unabisha muondoe shetani uone kama yuda angefanya usaliti huo mnaoutengeneza kwa mayesu wa kichina
 
umeanza qasida [emoji12] weka ayat Toka Biblia Takatifu Wakristo wana Mungu zaidi ya.1 [emoji53]
Inamaana ujui au unajitoa akili 1+1+1=1 hii hesabu umewai kuiona wap? Ahahahahahahauauauauuauauauauauau
 
Ndio jibu?

JIBU NI HILI

Kama bado unaamini kuwa alikufa msalabani, basi alikuwa ni mtume wa uwongo na amelaaniwa na Mungu kwa mujibu wa vifungu hivi:

Kumbukumbu 13:5 “Na yule nabii, au yule mwotaji wa ndoto, na auawe...”

Kumbukumbu 21:22-23: “Akiwa mtu ametenda dhambi ipasayo kufa, akauawa, nawe ukamtundika juu ya mti; mzoga wake
usikae usiku kucha juu ya mti; lazima utamzika siku iyo hiyo; kwani aliyetundikwa amelaaniwa na Mungu; usije ukatia unajisi katika nchi yako akupayo BWANA, Mungu wako, iwe urithi wako.”

Kuamini kifo hicho cha msalabani ni kuabisha unabii wake.

Wayahudi wanadai kuwa wao wamemuua Yesu msalabani ili kuonyesha kuwa Yesu ni nabii wa uwongo.

Wakristo wanaamini kuuliwa msalabani, ni lazima kwa ajili ya imani yao ya kuokolewa dhambi na, matokeo yake,
wanalazimika waamini kulaaniwa kwa Yesu, vilevile.

Imani hii ya Kikristo inapingana na mafundisho ya Biblia katika Hosea 6:6 “Maana nataka fadhili wala si sadaka; na kumjua Mungu kuliko sadaka za kuteketezwa.”

Pia inapingana na mafundisho ya Yesu mwenyewe katika Matayo 9:13 “Lakini nendeni, mkajifunze maana yake maneno haya,
Nataka rehema, wala si sadaka...”

Yesu amesema tena katika Matayo 12:7 “Lakini kama mngalijua maana yake maneno haya, Nataka rehema, wala si sadaka, msingaliwalaumu wasio na hatia
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…