Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
HIYO NI DHANA YA KUFA NA KUFUFUKA YESU

Hata ukionyeshwa ndio iweje , wacha kujitia wazimu unajua kuwa trinity haimo katika biblia ni kujitia wazimu tu ni namna mnavyodanganyana kanisani

endelea kusoma vizuri usijitie wazimu


Dhana ya kufa na kufufuka kwa Yesu si mafundisho ya Mungu

Kwa kweli, zaidi ya masimulizi ya Wainjilisti na wanaadamu wengine kwa ujumla, hakuna kamwe mafundisho sahihi ya Mungu yanayothibitisha kufa na kufufuka kwa Nabii Isa au Yesu (a.s.).

Kinyume chake, tunaona maandiko mengi ya Mungu yanashutumu vikali tendo zima la mtu kusulubiwa kwa kutundikwa mtini, kama lile linalodhaniwa kufanyika kwa Bwana Yesu (a.s.)

Na ndio maana sambamba na kutoa amri ya Pasaka kabla ya kuzaliwa Yesu, tendo hilo (la mtu kutundikwa) mapema Mungu alilishutumu vikali kwa kusema:

"...kwa aliyetundikwa amelaaniwa na Mungu..." (Kumbukumbu la Torati 21:22-23).

Aidha, kabla ya shutuma hiyo (ya Mungu) dhidi ya mtu aliyetundikwa (aliyesulubiwa), Mungu alieleza bayana wasifu wa laana kwa mtu, kwa kusema:

"Angalieni, nawawekea mbele yenu hivi leo baraka na laana; baraka ni hapo mtakapoyasikiza maagizo ya BWANA, Mungu wenu, niwaagizapo leo; na laana ni hapo msiposikiza maagizo ya BWANA, Mungu wenu, mkikengeuka katika njia niwaagizayo leo, kwa kuandama miungu mingine". (Kumb. 11:26-28)

Kuhusu laana, Mungu pia hakuacha kuelekeza mahali ambako laana yake hupatikana kama tunavyosoma maandiko yafuatayo:

"Laana ya BWANA i katika nyumba ya waovu, Bali huibariki maskani ya mwenye haki". (Mithali 3:33).

Kwa shuhuda hizo, tunachojifunza hapa ni kwamba yeyote aliyetundikwa (aliyesulubiwa) basi anahesabika kuwa amelaaniwa, asiyesikiza maagizo ya Mungu na kukengeuka njia yake, mshirikina (anayemuabudu Mungu pamoja na miungu mingine) na kwa ujumla mtu huyo ni mwovu (rejea Mithali 3:33).

Zaidi ya hivyo, kwa maandiko hayo, yaonyesha wazi Mungu hafurahishwi na kwa ujumla hapendi tendo la mtu kusulubiwa. Kwa mantiki hiyo, ni dhahiri kuwa dhana ya kusulubiwa Yesu ingelikuwa sahihi iwapo tu Mungu asingelishutumu tendo la mtu "kusulubiwa" kwa kiwango hicho, hasa unapolinganisha shutuma hizo (za Mungu) na hadhi, utukufu na ucha Mungu kwa ujumla wa Bwana Yesu (a.s.) mbele ya Mwenyezi Mungu. Isitoshe, Mungu asingeacha kueleza tukio zito na 'muhimu' kama hilo kwa ufasaha, kwa uwazi na kwa maelezo ya kukinaisha.

Aidha, dhana hiyo ya kusulubiwa Yesu pia ingelikuwa ni sahihi na tendo la wokovu, iwapo tu Yuda Iskariote angeliitwa "mwokozi wa kwanza" kwa 'kuharakisha' wokovu wa walimwengu, kinyume na anavyoitwa mpaka sasa kwamba ni "msaliti" aliyemsaliti Yesu! (tazama Mathayo 26:25). Kwani inasimuliwa kuwa ndiye aliyewaonyesha maadui wamuue Yesu baada ya kuahidiwa fedha (tazama Mathayo 26:14-15). Ni ajabu watu wa timu moja wamshutumu mtoa pasi kwa mchezaji aliyeifungia goli timu yao!

Vile vile dhana hiyo (ya kusulubiwa Yesu) ingekuwa sahihi na tendo la "ukombozi" wa wanaadamu, iwapo tu Yesu asingemkemea mapema yule atakayemsaliti kwa kumwambia:

"...Lakini ole wake mtu yule ambaye amsaliti Mwana wa Adamu! Ingekuwa heri kwake mtu yule kama asingalizaliwa". (Mathayo 26:24)

Kinyume na andiko hilo juu, dhana ya kusulubiwa Yesu ingekuwa sahihi na nzuri iwapo Yesu angelimpongeza yule atakayemsaliti, kwa kumwambia:

"Heri yake mtu yule ambaye amsaliti Mwana wa Adamu! Ingekuwa vibaya kwake mtu yule asingezaliwa". n.k.

Na kubwa zaidi, masimulizi ya Mwinjilisti Mathayo ya kudai kuwa eti Yesu alipokuwa msalabani alisema: "... Eloi, Eloi, lamasabakhtani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?" (Tazama Mathayo 27:46) yanapingwa vikali na mwenyewe Bwana Yesu (a.s.) kwa kusema:

"Naye aliyenipeleka yu pamoja nami; hakuniacha peke yangu, kwa sababu nafanya siku zote yale yampendezayo". (Mathayo 8:29).

Kwa kauli hiyo peke yake ya Yesu inadhihirisha wazi kuwa yule aliyekuwa akilalamika kuachwa na Mungu hapo msalabani hakuwa Yesu. Yesu hawezi kuachwa na Mungu kwa sababu kama mwenyewe anavyoeleza katika andiko hilo hapo juu kwamba siku zote hufanya yanayompendeza Mungu.

Na kwa ujumla ukombozi wa wanaadamu kamwe haupatikani kwa njia ya laana (kusulubiwa) ambayo i katika nyumba ya waovu. (Mithali 3:33).

Na ndio sababu, kutokana na uzito wa shutuma za Mungu dhidi ya mtu anayesulubiwa (kama tulivyoona hapo awali), Mwenyezi Mungu katika Qur'an Tukufu akaeleza wazi kwamba:

"Hawakumwua wala hawakumsulubu". (Qur. 4:158).

Kwa maandiko haya na mengine mengi ni dhahiri kuwa dhana ya kufa na kufufuka Yesu katu haimo katika mafundisho ya Mungu. Na kwa mantiki hiyo, Pasaka iliyofundishwa na Mungu haina uhusiano wowote na dhana ya kufa na kufufuka kwa Yesu hasa ukizingatia kuwa Pasaka hiyo (ya Mungu) imekuwepo kabla ya Yesu kuzaliwa, na pia kufa na kufufuka kwa Yesu ni jambo lililozuliwa na wanaadamu baada ya Yesu kuondoka
Haiitaji Yuda ili Yesu Afe Msalabani. Iliandikwa kua Lazima Afe msalabani. Yuda anafahamika kua na Matatizo mbalimbali.


Marko 14:21
[21]Kwa maana Mwana wa Adamu aenda zake KAMA ALIVYOANDIKIWA; LAKINI ole wake mtu yule ambaye amsaliti Mwana wa Adamu; ingekuwa heri kwake mtu yule kama asingalizaliwa.


Mathayo 26:31
Ndipo Yesu akawaambia, Ninyi nyote mtachukizwa kwa ajili yangu usiku huu kwa kuwa IMEANDIKWA, Nitampiga mchungaji, na kondoo wa kundi watatawanyika.


Zekaria 13:7
Amka, Ee upanga, juu ya mchungaji wangu, na juu ya mtu aliye mwenzangu, asema BWANA wa majeshi; mpige mchungaji, nao kondoo watatawanyika; nami nitaugeuza mkono wangu juu ya wadogo.
 
UTAPATA BAKORA KILA KONA ; TULIA UPATE DAAWA

Yesu mwenyewe aliwahi kumla Pasaka

Ili kuonyesha zaidi kwamba Pasaka haina uhusiano wowote na dhana potofu ya kufa na kufufuka kwa Yesu, maandiko ya Biblia yanaeleza wazi kuwa Bwana Yesu naye kabla ya kuondoka aliwahi kumla Pasaka. Maandiko yafuatayo yanathibitisha ukweli huu.

"Hata siku ya kwanza ya mikate isiyochachwa, walipoichinja Pasaka, wanafunzi wake wakamwambia, Ni wapi utakapo tuende tukuandalie uile Pasaka? Akatuma wawili katika wanafunzi wake, akawaambia, Nendeni zenu mjini; atakutana nanyi mwanamume amechukua mtungi wa maji; mfuateni; na popote atakapoingia, mwambieni mwenye nyumba, Mwalimu asema, ki wapi chumba cha wageni, niile Pasaka humo, pamoja na wanafunzi wangu? Naye mwenyewe atawaonyesha orofa kubwa, imeandikwa tayari; humo tuandalieni. Wanafunzi wakatoka, wakaenda mjini, wakaona kama alivyowaambia, wakaiandaa pasaka. Basi ilipokuwa jioni yuaja na wale Thenashara, wakila, Yesu alisema, Amin, naawaambieni, mmoja wenu, naye anakula pamoja nami atanisaliti". (Marko 14:12-18)

Kufuatana na maandiko hayo juu, tunaona hapa kwamba Bwana Yesu aliwatuma wanafunzi wake wakaandaa mahali atakapomla pasaka na wala haielezwi kwamba aliwatuma wakaandaa mahali "yeye atakapokufa kwa pasaka".

Aidha, haielezwi kwamba wanafunzi wake walipochinja, walimchinja Yesu kuwa Pasaka. Lakini tunaona kuwa baada ya kupatikana hicho chumba na maandalizi kwa ujumla kukamilika, naye Yesu pia alimla Pasaka.

Hii yote ni kudhihirisha kuwa Pasaka ni mnyama anayechinjwa na kuliwa na siyo binadamu. Na kwamba Pasaka ilifanyika mwenyewe akiwa hai na wala hajafundisha kwamba Pasaka ni kufa na kufufuka kwake.
Hujui Neno. Unachanganya uelewa kati ya Fumbo la Imani na dhana nzima ya Pasaka. Unafaa uanzishe dhehebu lako.jipya ili ukusanye sadaka.
Mweupe sana wewe. We msome mudi tu.
 
Kama Quran kaindika Muhhamad kwa mujibu wa wakristo basi jamaa genius sana maana bible imeandika na watu 40 na bado makosa kibao sio kisayans wala ya kirohi lakin kama Quran yote kaandika muhammad peke yake na akafanikiwa kishawashi watu 1.8 B wamuamin basi jamaa alikuwa genius sana na hapo hapo unaambiwa alikuwa hajui kusoma na kuandika.!
eti genius Yaani kuokota simulizi za Wayahudi na Wakristo vijiweni kisha Kujifanya kaambiwa na allah kisha KUWATUPIA ndio unaona ni u-genius [emoji12] ndio sababu Wayahudi walimwambia umepata misukule na kuwatumia kama fursa swafi [emoji4] kipi baba kasim alicho hadithia Ambacho hakija simuliwa kabla yake? Kweli ashki majunun [emoji4]
 
angekamilisha angesema [emoji117] View attachment 866160 tatizo bado linakurudia kwamba HUJUI KUSOMA [emoji12] kama unaona unajua KUSOMA kamkoromee allah na baba kassim walio sema HUJUI KUSOMA, HUJUIIII [emoji12] ni mazwazwa tu! na dalili mojawapo ni kwamba HUJUI NI KUMBISHIA mgen wakti si yeye aliye sema ilaha kanukuu kauli ya allah kwa mdomo Wa baba fatuù kwamba HAMJUI KUSOMA [emoji53] [emoji12] kama kweli wewe sio kafir kwa kauli HIYO YA ALLAH KUWA HUJUI KUSOMA ungepiga takbirr kubwa na kufunga bakuli lako [emoji53]


Umeiganda Al baqara 78 kama ruba , huna jengine ndio iliyobakia , HAMAA HUKOOO USIJITIE WAZIMU
 
mungu wako aliyejibandika nyama mpaka za kuleeeeee, kazi yake hiyo ,

jee hiyo ni worship???? akimwabudu mary magdalene ???

Jesus Kissed Mary Magdalene on the Mouth': the Gnostic Gospels Could Rewrite Religious History



And the companion of the [...] Mary Magdalene. [...] loved her more than all the disciples, and used to kiss her often on her [...]. The rest of the disciples [...]. They said to him "Why do you love her more than all of us?" The Savior answered and said to them, "Why do I not love you like her? When a blind man and one who sees are both together in darkness, they are no different from one another. When the light comes, then he who sees will see the light, and he who is blind will remain in darkness."​

The 'lacuna', or gap, which hides where Jesus kissed Mary has tantalised scholars for decades."
Amembusu mtu sawa [emoji106] wapi Yesu kabusu jiwe [emoji47] [emoji15]
 
Mathayo 16:21-23
[21]Tangu wakati huo Yesu alianza kuwaonya wanafunzi wake ya kwamba imempasa kwenda Yerusalemu, na kupata mateso mengi kwa wazee na wakuu wa makuhani, na waandishi, na kuuawa, na siku ya tatu kufufuka.
[22]Petro akamchukua, akaanza kumkemea, akisema, Hasha, Bwana, hayo hayatakupata.
[23]Akageuka, akamwambia Petro, Nenda nyuma yangu, Shetani; u kikwazo kwangu; maana huyawazi yaliyo ya Mungu, bali ya wanadamu.

Yohana 3:14
Na kama vile Musa alivyomwinua yule nyoka jangwani, vivyo hivyo Mwana wa Adamu hana budi kuinuliwa;

Ili mbegu iote na Kuzaa Matunda lazima kWanza Ife.
Mzee kila siku unakuwa unazunguka yesu alitoa ishara moja tu nayo ni ya Yona , kama unaakili timamu ungejiuliza Yona alikuwaje ? mnasoma lakini amtafakari kwanini utata uwe mwingi kwenye jambo ambalo mnaitakidi mmekumbolewa kwalo? jibu ni rahisi kitu kama hicho akijawai kutokea ni habari za kutengenezwa ndio maana mmesulubu mayesu lukuki, kuna yule yesu mliesulubu saa tatu , halafu kuna yule yesu mliesulubu saa sita, lakini sio yesu alietumwa na Mungu
 
Kama Wewe mpaka leo Umeshindwa kuthibitisha huyo yesu unaemsema kasulubiwa je alisulubiwa saa ngap? mohamadi amesema kweli

allah aliwabaishia mtu mwingine badala ya Yesu saa ngapi ??
CpR964FWcAAhDKx.jpg
 
eti genius Yaani kuokota simulizi za Wayahudi na Wakristo vijiweni kisha Kujifanya kaambiwa na allah kisha KUWATUPIA ndio unaona ni u-genius [emoji12] ndio sababu Wayahudi walimwambia umepata misukule na kuwatumia kama fursa swafi [emoji4] kipi baba kasim alicho hadithia Ambacho hakija simuliwa kabla yake? Kweli ashki majunun [emoji4]
Ahahahahahahahahaha tatizo sio kusimuliwa tatizo ni kusimuliana uongo , kama 1+1+1=1.huu ni uongo uliovuka mipaka lazima tukufundishe ili ujinga ukutoke, kuwa mpole
 
Hujui Neno. Unachanganya uelewa kati ya Fumbo la Imani na dhana nzima ya Pasaka. Unafaa uanzishe dhehebu lako.jipya ili ukusanye sadaka.
Mweupe sana wewe. We msome mudi tu.

Mimi mweupe sana , wewe uliye mweusi sana jisafishe hapa , Pata shampoo hii

Msalabani, Yesu alimsihi sana Mungu amsaidie: Matayo 27:46 “Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?”

Katika Luka 22:42, inasimuliwa kuwa; “Akasema, Ee Baba, ikiwa ni mapenzi yako, uniondolee kikombe hiki; walakini si mapenzi yangu, bali yako yatendeke.” (Kombe hilo ni kombe la mauti.)

Ombi la Yesu asife msalabani lilikubaliwa na mungu, kwa mujibu wa Luka, mwandishi wa Waebrania, na Yakobo. Kwa hiyo, vipi afie msalabani?

Luka 22:43 “Malaika kutoka mbinguni akamtokea akamtia nguvu.”

Hili linamaanisha kuwa malaika amemuhakikishia kuwa Mungu hato mwacha bila ya kumpa msaada:

Waebrania 5:7 “Yeye, siku hizo za mwili wake, alimtolea yule, awezaye kumwokoa na kumtoa katika mauti, maombi na dua pamoja na kulia sana na machozi, akasikilizwa kwa jinsi alivyokuwa mcha Mungu.”

Maombi ya Yesu “yalisikilizwa,” jambo linalomaanisha kuwa maombi yake yalijibiwa na Mungu kwa wema:

Yakobo 5:16 “...Kuomba kwake mwenye haki kwafaa sana, akiomba kwa bidii.”

Yesu mwenyewe amesema katika Matayo 7:7-10 “Ombeni nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtaona, bisheni, nanyi mtafunguliwa; kwa maana kila aombaye hupokea; naye atafutaye huona; naye abishaye atafunguliwa. Au kuna mtu yupi kwenu, ambaye, mwanawe akimwomba mkate, atampa jiwe? Au akiomba samaki, atampa nyoka?”

Ikiwa maombi ya Yesu yote yalikubaliwa na Mungu, likiwemo lile ombi lake asife msalabani, sasa itakuwaje mng`ang`anie kuwa amefia msalabani?
 
Hujui Neno. Unachanganya uelewa kati ya Fumbo la Imani na dhana nzima ya Pasaka. Unafaa uanzishe dhehebu lako.jipya ili ukusanye sadaka.
Mweupe sana wewe. We msome mudi tu.
Fumbo la imani ni story za kutengenezwa na watu tu , Yesu kafundisha watu wapate kuelewa
 
Haiitaji Yuda ili Yesu Afe Msalabani. Iliandikwa kua Lazima Afe msalabani. Yuda anafahamika kua na Matatizo mbalimbali.


Marko 14:21
[21]Kwa maana Mwana wa Adamu aenda zake KAMA ALIVYOANDIKIWA; LAKINI ole wake mtu yule ambaye amsaliti Mwana wa Adamu; ingekuwa heri kwake mtu yule kama asingalizaliwa.


Mathayo 26:31
Ndipo Yesu akawaambia, Ninyi nyote mtachukizwa kwa ajili yangu usiku huu kwa kuwa IMEANDIKWA, Nitampiga mchungaji, na kondoo wa kundi watatawanyika.


Zekaria 13:7
Amka, Ee upanga, juu ya mchungaji wangu, na juu ya mtu aliye mwenzangu, asema BWANA wa majeshi; mpige mchungaji, nao kondoo watatawanyika; nami nitaugeuza mkono wangu juu ya wadogo.
Ahahaahahahah ndio maana nikakwambia ishara ya Yona unaijua? Shetani na yuda ndio mashujaa kwenye tukio hilo la kutengenezwa, kama unabisha muondoe shetani uone kama yuda angefanya usaliti huo mnaoutengeneza kwa mayesu wa kichina
 
umeanza qasida [emoji12] weka ayat Toka Biblia Takatifu Wakristo wana Mungu zaidi ya.1 [emoji53]
Inamaana ujui au unajitoa akili 1+1+1=1 hii hesabu umewai kuiona wap? Ahahahahahahauauauauuauauauauauau
 
Ndio jibu?

JIBU NI HILI

Kama bado unaamini kuwa alikufa msalabani, basi alikuwa ni mtume wa uwongo na amelaaniwa na Mungu kwa mujibu wa vifungu hivi:

Kumbukumbu 13:5 “Na yule nabii, au yule mwotaji wa ndoto, na auawe...”

Kumbukumbu 21:22-23: “Akiwa mtu ametenda dhambi ipasayo kufa, akauawa, nawe ukamtundika juu ya mti; mzoga wake
usikae usiku kucha juu ya mti; lazima utamzika siku iyo hiyo; kwani aliyetundikwa amelaaniwa na Mungu; usije ukatia unajisi katika nchi yako akupayo BWANA, Mungu wako, iwe urithi wako.”

Kuamini kifo hicho cha msalabani ni kuabisha unabii wake.

Wayahudi wanadai kuwa wao wamemuua Yesu msalabani ili kuonyesha kuwa Yesu ni nabii wa uwongo.

Wakristo wanaamini kuuliwa msalabani, ni lazima kwa ajili ya imani yao ya kuokolewa dhambi na, matokeo yake,
wanalazimika waamini kulaaniwa kwa Yesu, vilevile.

Imani hii ya Kikristo inapingana na mafundisho ya Biblia katika Hosea 6:6 “Maana nataka fadhili wala si sadaka; na kumjua Mungu kuliko sadaka za kuteketezwa.”

Pia inapingana na mafundisho ya Yesu mwenyewe katika Matayo 9:13 “Lakini nendeni, mkajifunze maana yake maneno haya,
Nataka rehema, wala si sadaka...”

Yesu amesema tena katika Matayo 12:7 “Lakini kama mngalijua maana yake maneno haya, Nataka rehema, wala si sadaka, msingaliwalaumu wasio na hatia
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom