Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Ahahahahahahaahahahhaahaha nimekuruhusu itafute uilete mimi kazi yangu ni moja kujibu hoja zako, hakuna hoja hapa ambayo haitojibiwa mbona rahisi tu
Kashindwa baba kassim itakuwa wewe [emoji47] kusoma kwenyewe hujui [emoji12]
 
Ahahaahahahah ndio maana nikakwambia ishara ya Yona unaijua? Shetani na yuda ndio mashujaa kwenye tukio hilo la kutengenezwa, kama unabisha muondoe shetani uone kama yuda angefanya usaliti huo mnaoutengeneza kwa mayesu wa kichina
Labda nikueleze hivi:-

Mpango wa Yesu Kristo Kufa ni Wa Shetani.
Kama ilivyoandikwa,"Uadui kati ya Uzao wa Mwanamke na Shetani'(Genesis 3:15)

Lakini Yesu alikua Mwaminifu hata Kifo cha Msalaba.(wafilipi 2:8)

Ilitabiriwa na Manabii wa Mungu kua ni Lazima Yesu Kristo apitie Kifo na Kufufuka..ili Mbegu ili iote na kuzaa Matunda Ni Lazima Ife na Izikwe katika ardhi.


Hii ndio test ya Juu, Hata Leo.

Wakristo ambao ni mashahidi wanakufa kwa ajili ya kutetea Imani.
Sio kama ile ya Kishetwaini ambapo Unaua Mtu ili kueneza Imani.



Shetani hutafuta kuwaangamiza
Watu wema waliopo Duniani. Akitaka wamkane KRISTO.


Shetani Alijaribu kumfanya Yesu Kristo atende Dhambi ili ashindwe Jukumu la Kuukomboa Ulimwengu na dhambi zao. Lakini kwakua Yesu Kristo Ndiye Simba wa Yuda, Alimshinda na Kumnyang'anya Funguo za Mauti na Kuzimu.



In Christianity point of view:
Mwili si Kitu kama ilivyo Roho.

Warumi 8:14
Kwa kuwa wote wanaoongozwa na Roho wa Mungu, hao ndio wana wa Mungu

Hivyo ni Heri Uokoe Roho yako kwenye Jehanam ya Moto kuliko Mwili.

Mithali 4:23
Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo; Maana ndiko zitokako chemchemi za uzima.


Kwahiyo Kuu DEFEAT Mwili haimaanishi Roho IMESHINDWA
[emoji116] [emoji116]

Mathayo 10:28
Msiwaogope wauuao mwili, wasiweze kuiua na roho; afadhali mwogopeni yule awezaye kuangamiza mwili na roho pia katika jehanum.

Hivyo, Yesu aliweza ku endure yote, Hata kufa Msalabani. Ndio Maana tunasema sio defeat bali Ni Triumph dhidi ya Mkuu wa Ulimwengu huu.

Yesu kwa kulifahamu hilo anasema:-
[emoji116] [emoji116]
Mathayo 26:41
... roho i radhi, lakini mwili ni dhaifu.


Warumi 8:8
Wale waufuatao mwili hawawezi kumpendeza Mungu.
 
Ahahahahahahhaajajaajaj unaanza kutoa mapepo, wakristo awaelewi na watapata tabu sana asa kitendo cha kumfanya mtu kuwa Mungu kitawatafuna sana
Hujui kusoma [emoji38] [emoji38] [emoji38] hiloo [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Pepo ya kuimba imba anaitaka nani? yaani mimi nijitese ujira uwe kuimba , kauli yangu ipo pale pale Mungu awezi kufanywa Toy na viumbe wake, huo ni upungufu wa akili
Athari za kutojua kusoma kama hujui ndio hizo [emoji38] [emoji24]
 
Ni kweli wapo miongoni mwao kama wewe , Mungu anakwambia Yesu ni mtu alietumwa na Mungu , Wewe umeendelea kutoa mishipa ya shingo na kutoka povu eti yesu ni Mungu, wewe huwezi kujua kitabu bali utajua kufuru zile za bwana Paulo ahahahahahhahaahahahaa
Njoo kwa Yesu yuko Hai akufundishe kusoma [emoji106] kengele inàkuita kila asubuhi wajinga njoo wajinga njoooo..wee hutakj bakia na ujinga wako [emoji4]
 
Anzisha uzi [emoji12] [emoji15]
 
Fumbo la imani ni story za kutengenezwa na watu tu , Yesu kafundisha watu wapate kuelewa
1 Wakorintho 2:10
Lakini Mungu ametufunulia sisi kwa Roho. Maana Roho huchunguza yote, hata MAFUMBO ya Mungu.
 
Ahahaahahahah ndio maana nikakwambia ishara ya Yona unaijua? Shetani na yuda ndio mashujaa kwenye tukio hilo la kutengenezwa, kama unabisha muondoe shetani uone kama yuda angefanya usaliti huo mnaoutengeneza kwa mayesu wa kichina
Yuda Inskariote Sio Shujaa kwasababu kuu moja. Ameisaliti Damu isiyo na Hatia. Amekataa Ukombozi wa Kristo kwasababu ya vipande vya Fedha.
Amejiua, Hakutubia Dhambi. Amekufa na dhambi.
 
Inamaana ujui au unajitoa akili 1+1+1=1 hii hesabu umewai kuiona wap? Ahahahahahahauauauauuauauauauauau
Don't be Ignorant.
Kama unajua Hesabu vizuri. Chochote unaweza ku prove kimahesabu.

1+1+1= TriuneGod
kwa muktadha wa kiroho:-

If Baba =1
Mwana =1
Roho Mtakatifu =1.

[emoji115] [emoji115]
Kupitia Simultaneous Equation, Utaanzaje kusema Mwana sio Baba?. Ikiwa wote wana value ya Moja?
 
..Kwasababu Yesu Kristo ndio Sadaka iliyo Bora.
 
Bwashee hujui unachokiongelea. Nani alikuongopea uislamu ulienea kwa kupendwa na watu au kwa hiyari yao.
Nenda kasome upya historia ya kusambaa kwa uislamu kuanzia kwa mtume hadi makhalifa wake utajua nini kilitokea.
Ndio unaimbie wewe? Na leo uislam ndio dini inayisambaa kwa kasi amarica na ulaya na kule wanatumia nini? Hadith zenu za historia et uislam ulinea kwa upanga hazinaga mashiko mtume alipigana vita dhid ya makafari kama alivyopigana Daud,joshua na wengine wengi na baada ya hapo hamna kilichoendelea ila nafahamu kwenye historia hata Pope aliomba radhi kuhusu vita vya msalaba Crusade waliuwawa watu kisa sio wakristo...lakin tafute mahali uislam ukiingia kwa upanga julazikisha watu wawe waislam , uturuki,egypt,tunisia na morroco zote zilikuwa nchi za kikristo je zilibadilishwa kwa upanga
 
Kama ilishandikwa Yuda ndio atamsaliti Yesu...je yuda kosa lake ni nini? Na je si atakuwa hajayendewa haki na Mungu hakuwa na nafasi ya uchaguzi..!
 
Anzisha uzi [emoji12] [emoji15]


NAKUWEKEA KAMBA YA KITANI HII SIO VIJIUZI UZI

JIULIZE, kwa nini watu wanaamini ufufuo?

MAJIBU

Paulo ndiye aliyefundisha ufufuo: Matendo 17:18 “...Wengine [Wayahudi] wakasema, Mpuzi huyu [Paulo] anataka kusema nini?
Wengine walisema, Anaonekana kuwa mtangaza habari za miungu migeni, kwa maana alikuwa akihubiri habari za Yesu na ufufuo.”

Paulo ambaye hajamwona Yesu, vilevile alikiri kuwa ufufuo wa Yesu ni Injili yake 2 Timotheo 2:8 "Mkumbuke Yesu Kristo, aliyefufuka
katika wafu, wa uzao wa Daudi kama inenavyo injili yangu."

Vilevile Paulo alikuwa ni mtu wa kwanza kutangaza kuwa Yesu ni Mwana wa Mungu: Matendo 9:20 “Mara [Paulo] akamuhubiri Yesu katika masinagogi, ya kwamba yeye ni Mwana wa Mungu.”

Kwa hiyo, Ukristo si mafundisho ya Yesu bali ya Paulo.
 
Unashindwa kutofautisha jiwe na Mtu [emoji12] mbona mwenzio omari Alifahaimisha vyema [emoji117] View attachment 866330 kweli mpo gereza la shetani [emoji15]
Umeulizwa kubusu ni kuabudu? unaanza kuleta habari za omari ambazo tulikujibu amesema kweli, na katika uislamu mtume ajawai kufundisha kuliabudu jiwe sasa hapo napo unaona umeongea jambo la ajabu ahahahahaaha
 
Sura ya 5:101 mbona iko wazi ";na mkiyauliza inapoteremshwa Quran MTABAINISHIWA"" sasa hapo kipi ujaelewa wakati Mungu amesema msiulize kwasababu Quran ikishuka itabainisha kipi halali kipi haramu kwanini tuangaike kuuliza, kiufupi hoja yako hakuna hapo,
Kuhusu al an'aam :68 mbona ipo wazi hiyo ni tahadhari anayopewa mtume kuhusu watu kama ww mnaoingilia aya Mungu anasema Yesu HAWAKUMSULUBU wewe umekomaa wamemsulubu ukiambiwa ni mayesu wangapi walisulubiwa unasema mmoja, ukiulizwa ni yesu yupi alisulubiwa saa tatu nani yesu yupi alisulubiwa saa sita , unabaki kupuyanga ahhahahaahahah
 
Saaafi wanapiga kelele nchi ya AHADI bila kujua damu zimemwagika pale ndio kupatikana , wamebaki kukaririshana tu uislamu umepatikana kwa panga ahahahhahaahaqhhqhq
 
Kama wana value ya moja twende kazi sasa
1+1+1=1 hii ni sheria gani ya kimahesabu , nimekusikia ukizungumzia simultaneous equation ahahhahahahahahahhah
 
Yuda Inskariote Sio Shujaa kwasababu kuu moja. Ameisaliti Damu isiyo na Hatia. Amekataa Ukombozi wa Kristo kwasababu ya vipande vya Fedha.
Amejiua, Hakutubia Dhambi. Amekufa na dhambi.
Umesema damu haina hatia" si kila siku mnasema kusulubiwa kwa yesu ni jambo lililotabiriwa , yaani Yuda katimiza unabii mjomba yuda na shetani wamefanikisha ukombozi wenu ahahahahahahahah
 
1 Wakorintho 2:10
Lakini Mungu ametufunulia sisi kwa Roho. Maana Roho huchunguza yote, hata MAFUMBO ya Mungu.
Huyo ni Paulo amekushika akili unaamini mambo ambayo Yesu ajawai kukufundisha wapi Yesu alikwambia kuna " Fumbo la imani" wewe unatuletea maneno ya bingwa wa KUKUFURU , yesu amesema amefundisha waziwazi wala sio kwa kificho , miaka 100 baada ya yesu ndio mtu aje alete msamiati mpya tena amsingizie Yesu kama mwalimu wake , angalia Paulo anakupoteza
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…