Ahahaahahahah ndio maana nikakwambia ishara ya Yona unaijua? Shetani na yuda ndio mashujaa kwenye tukio hilo la kutengenezwa, kama unabisha muondoe shetani uone kama yuda angefanya usaliti huo mnaoutengeneza kwa mayesu wa kichina
Labda nikueleze hivi:-
Mpango wa Yesu Kristo Kufa ni Wa Shetani.
Kama ilivyoandikwa,"Uadui kati ya Uzao wa Mwanamke na Shetani'(Genesis 3:15)
Lakini Yesu alikua Mwaminifu hata Kifo cha Msalaba.(wafilipi 2:8)
Ilitabiriwa na Manabii wa Mungu kua ni Lazima Yesu Kristo apitie Kifo na Kufufuka..ili Mbegu ili iote na kuzaa Matunda Ni Lazima Ife na Izikwe katika ardhi.
Hii ndio test ya Juu, Hata Leo.
Wakristo ambao ni mashahidi wanakufa kwa ajili ya kutetea Imani.
Sio kama ile ya Kishetwaini ambapo Unaua Mtu ili kueneza Imani.
Shetani hutafuta kuwaangamiza
Watu wema waliopo Duniani. Akitaka wamkane KRISTO.
Shetani Alijaribu kumfanya Yesu Kristo atende Dhambi ili ashindwe Jukumu la Kuukomboa Ulimwengu na dhambi zao. Lakini kwakua Yesu Kristo Ndiye Simba wa Yuda, Alimshinda na Kumnyang'anya Funguo za Mauti na Kuzimu.
In Christianity point of view:
Mwili si Kitu kama ilivyo Roho.
Warumi 8:14
Kwa kuwa wote wanaoongozwa na Roho wa Mungu, hao ndio wana wa Mungu
Hivyo ni Heri Uokoe Roho yako kwenye Jehanam ya Moto kuliko Mwili.
Mithali 4:23
Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo; Maana ndiko zitokako chemchemi za uzima.
Kwahiyo Kuu DEFEAT Mwili haimaanishi Roho IMESHINDWA
[emoji116] [emoji116]
Mathayo 10:28
Msiwaogope wauuao mwili, wasiweze kuiua na roho; afadhali mwogopeni yule awezaye kuangamiza mwili na roho pia katika jehanum.
Hivyo, Yesu aliweza ku endure yote, Hata kufa Msalabani. Ndio Maana tunasema sio defeat bali Ni Triumph dhidi ya Mkuu wa Ulimwengu huu.
Yesu kwa kulifahamu hilo anasema:-
[emoji116] [emoji116]
Mathayo 26:41
... roho i radhi, lakini mwili ni dhaifu.
Warumi 8:8
Wale waufuatao mwili hawawezi kumpendeza Mungu.