Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.

SIKILIZA HAYA KUTOKA JF

Kuhusu itikadi ya "Dhambi ya asili (Original Sin) na Upatanishi (Atonement):

Hii nayo sio kweli, wala haingii akilini.

Akili timamu inakataa kabisa nadharia hii ya Dhambi ya Asili na Kafara. Kusema eti dhambi walioitenda wazazi wetu Adam (a.s.) na Hawa (r.a.) maelfu ya miaka iliyopita - dhambi hiyo imerithishwa kwa kila mwanadamu hadi siku ya mwisho, kunapinga aya nyingi za Biblia na Qur'an zifuatazo:

"Kum 24:16 Mababa wasiuawe kwa ajili ya watoto wao, wala watoto wasiuawe kwa ajili ya baba zao; kila mtu auawe kwa ajili ya dhambi zake mwenyewe".

Aya ya 2 Fal 14:6, na 2 Nya 25:4 zasema vivyo hivyo pia.

"Yer 31:30 Bali kila mtu atakufa kwa sababu ya uovu wake mwenyewe..."

"Eze 18:20 Roho itendayo dhambi ndio itakayokufa, mwana hatachukua uovu wa baba yake, wala baba hatauchukua uovu wa mwanae, haki yake mwenye haki itakuwa juu yake, na haki yake mwenye uovu itakuwa juu yake".

Hata Yesu mwenyewe kaipinga hii nadharia ya "Dhambi ya Asili" kwa kusema kuwa watoto wadogo hawana dhambi (Mt 18:2-4, 19:14; Mt 18:2)

Qur'an nayo imesisitiza kuwa kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe:

"17:15 Anayeongoka, basi anaongoka kwa maslahi ya nafsi yake mwenyewe, na anayepotea basi anapotea kwa hasara ya nafsi yake mwenyewe. Wala hatabeba mbebaji mzigo wa mwingine...".

"53:36 Au hakuambiwa yaliyomo katika vitabu vya Mussa?

37: na vya Ibrahimu aliyetimiza ahadi ya Mwenyezi Mungu?

38: Ya kwamba haichukui nafsi yeyote dhambi ya nafsi nyingine?

39: Na kwamba mtu hatapata ila yale aliyoyafanya

40: Na kwamba amali itaonekana.

41: Kisha atalipwa malipo yaliyo kamili..."

Ukifika hapa, yanazuka masuali mengine mengi tata kwamba:

Je, Mariamu, mama wa Yesu naye anayo dhambi ya kurithi au hana?

Iwapo Mariamu anayo dhambi ya urithi kutoka kwa Adamu na Hawa, Yesu naye ameirithi hiyo dhambi kutoka kwa mzazi wake pekee Mariamu?

Hii ndio itikadi ya Dhambi ya Asili aliyoizusha Mt. Paulo ili apate kuhalalisha itikadi yake nyingine ya Fidia (Kafara, sadaka Cacrifice, Atonement) kwa njia pekee ya kufa Yesu msalabani (Rum 5:12-15, 1 Kor 15:22)
Wewe kwa mujibu Wa deen yako Adam na mkewe walikuwa wanaishi sardaus! Baada ya kutenda dhambi allah aliwafuza na kuwatupa duniani! dhambi afanye Adam na mkewe wewe gavana upo duniani umefanya dhambi gani [emoji47] [emoji15] naomba useme kama sababu ya Uwepo wako duniani ulibaka bata [emoji38] [emoji38]
 
Yesu hakusulubiwa, Mwenyezi Mungu alimwokoa.

Biblia inasema hivi,

"Yesu alipokuwa akiishi duniani, alitoa dua na maombi kwa kilio kikuu na machozi kwa Mungu ambaye angeweza kumwokoa na kumtoa katika kifo, naye Mungu alimsikia kwa sababu alikuwa mnyenyekevu na mtiifu" (Waebrania 5:7)

Bible inatuambia kila aliyetundikwa msalabani amelaaniwa na mungu.
Katika kumbukumbu la Torati 21:23, Mungu anamwambia Musa kwamba mtu " aliyetundikwa katika mti amelaaniwa na Mungu".

MSIKILIZENI MUNGU.
Katika kumbukumbu la taurati 24:16, anasema nini:"mababa wasiuwawe kwa ajili ya watoto wao, wala watoto wasiuawe kwa ajili ya dhambi za baba zao.KILA MTU AUWAWE KWA DHAMBI ZAKE MWENYEWE"

Biblia pia inasema:

Numbers 23:19"God is not a man, so He does not lie. He is not human, so He does not change His mind. Has He ever spoken and failed to act? Has He ever promised and not carried it through?"

Quran tukufu inasema hivi,"Na kwa kauli yao kuwa: ‘Tumemuua Yesu mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu’. Hakika ni kuwa hawakumuua wala hawakumsulubu, lakini walishabihishiwa kwao. Wale wanaotofautiana katika hilo wako katika shaka wala hawana ilimu ya uhakika kuhusu hilo, wanafuata tu dhana. Hakika ni kuwa hawakumuua".
"Bali Mwenyezi Mungu Alimnyanyua Kwake, na hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu, Mwenye hikima". [An-Nisaa: 157-158]

Today's Christianity holds that Jesus was crucified to ransom people and save them from their sins, whether original or acquired. Christians believe that the crucifixion of Jesus is the guarantee of their salvation. To disprove this belief, here are some evidences:

1. There is no logical relationship whatsoever between crucifixion and salvation. How can the crucifixion of X erase the sins of Y?!

2. Crucifixion for salvation contradicts God's justice. Why should one be crucified in order to redeem another one?!

3. What saves you is your deeds, not the crucifixion or hanging of another one whoever he might be.

Aliye Kufundisha Anayo Sifa na Mamlaka ya Kufundisha hilo Ameyapata wapi [emoji53] Yesu alitupa Wafuasi wake Tbs hii [emoji117]
IMG_20180916_081900_407.jpg
wewe gavana kujua hii ni HAQI NA HII NI BATILI UNATUMIA TBS GANI [emoji47]
 
Huyo wa 100 mmetia kwenye biblia tena amejitangazia mtu wa kufuru ahahaahahahah Quran sio biblia imekuja kuondoa uzushi wote wa wahuni kama Paulo wanaojinasibisha na yesu nakumsemea asiyoyafundisha
Quran ni tokeo la Mohamed kukopi hadithi wayahudi na akaazisha dini apate mademu na mall. Period. Mtume gani mzinzi kama mswati
 
Roho ya yesu ipo ireland kwenye ukatoliki wa 70% lakini papa aliwatembelea hata baada ya kujua ushoga ni halali huko, marekani kuna ukristo kwa 95% ndio maana hata sheria ya marekani imeruhusu ushoga , waingereza wameruhusu ushoga ahahahhahhahahaa sasa toka lini nchi hizo zikaongozwa na waislamu aibu tupu ukristo na ushenzi wa ulaya uwezi kuvitenganisha uwe na aibu ahahahahahahahah unaulaumu uislamu kwa ushenzi wenu kuwachekea kuwachekea mashoga , waanglicana sio ndio mpaka wale mapadre wanapakatwa
Huelewi maana ya ukristo. Ukristo haufungamani na dola wala tamaduni. Hivyo hakuna dola ya kikristo. Hakuna tamaduni ya kikristo. Ukristo ni imani ya kuamini na kuishi kwa namna ya Yesu ili twende mbiguni.
 
Taarifa za kusulubiwa Yesu katika Injili zote nne sio kweli kwa sababu zifuatazo:

Taarifa za Injili zinatafautiana mno, kama mifano michache hapa chini ionyeshayo:

Injili tatu zinasema Simoni ndiye aliyechukua msalaba wa Yesu (Mt 27:32; Mk 15:21-2; Lk 23:26); lakini Injili ya nne inasema Yesu aliubeba msalaba wake mwenyewe (Yn 19:17).

Mathayo yasema Yesu alipewa divai iliyochanganywa na nyongo akaionja na hakuinywa, Marko anasema Yesu hakuinywa, na Luka na Yohana wala hawalitaji tukio hilo.

Kuhusu saa aliposulubiwa Yesu, Mathao na Luka haiwaitaji kabisa, lakini Marko anasema ilikuwa ni saa tatu (Mk 15:25) na Yohana asema saa sita (Yn 19:14).

Mathayo na asema ilipasuka kutoka juu hadi chini; na Luka sema ilipasuka kutoka upande hadi upande (horizontally), na ni Mathayo peke yake aliyearifu kuhusu matetemeko, kufunuka makaburi na miili kuinuka, miamba kupasuka.

Mathayo, Marko na Luka wanasema wanawake walisimama mbali na msalaba (Mt 27:55-6; Mk 15:40-1; Lk 23:49), lakini Yohana anasema walisimama jirani na msalaba (Yn 19:25).

Yohana peke yake ndiye karipoti kuwa mamake Yesu naye alikuja kule msalabani.

Pia Injili zatofautiana juu ya idadi ya wanawake hao.

Kuhusu giza, Mathayo, Marko na Luka wanasema lilitanda dunia nzima, lakini Yohana hataji kabisa na kadhalika.

Mifano iko zaidi ya 20 mingine, yote hii inazipinga aya ambazo hunukuu akina Batendi na kudai kuwa zinasema Yesu aliuliwa pale msalabani.

Qur'an inasema akina Mgen hawana hakika, bali wanadhani tu.

Maneno haya ya kupingana namna hii kweli yote ni ya Mungu au ya waandishi wapotofu?
Waandishi waliandika kile walichoandika. Hata Leo tukio moja reporter huandikà katika angel tofauti na priority tofauti.
 
Quran ni tokeo la Mohamed kukopi hadithi wayahudi na akaazisha dini apate mademu na mall. Period. Mtume gani mzinzi kama mswati
Ahahahahahhahahahahaha mzinzi kama selemani(alikuwa na 700) au kama Yakobo(Israel) alikuwa na wawili na vijakazi wawili , halafu kuhusu kukopi hayo ni maneno ya vijiweni
QURAN 69:43
",Ni uteremsho utakao kwa mola wa mlezi wa walimwengu wote";
hapa porojo na blah blah sio mahali pake
 
Huelewi maana ya ukristo. Ukristo haufungamani na dola wala tamaduni. Hivyo hakuna dola ya kikristo. Hakuna tamaduni ya kikristo. Ukristo ni imani ya kuamini na kuishi kwa namna ya Yesu ili twende mbiguni.
Hao ni wakristo wenzenu tena wakatoliki wameruhusu ushoga , sasa unataka tuseme wahindi ?
 
Waandishi waliandika kile walichoandika. Hata Leo tukio moja reporter huandikà katika angel tofauti na priority tofauti.
Waangeandika kwa akili zao ungekuwa sahihi, lakini kama waliandika kwa uwezo wa roho mtakatifu unachekesha , vinginevyo huyo roho mtakatifu anamakengeza aoni vizur kwahiyo anafanana na wew
 
Aliye Kufundisha Anayo Sifa na Mamlaka ya Kufundisha hilo Ameyapata wapi [emoji53] Yesu alitupa Wafuasi wake Tbs hii [emoji117] View attachment 867725 wewe gavana kujua hii ni HAQI NA HII NI BATILI UNATUMIA TBS GANI [emoji47]
Ahahahahahahahahahahahhaaaha mtawatambua kwa MATENDO haya sasa
MATENDO YA MITUME 26:10
";Na mara nyingi katika Masinagogi yote naliwaadhibu,nikawashurutisha KUKUFURU; nikawaonea hasira kama mwenye WAZIMU, nikawaudhi hata katika miji ya ugenini",

ahahahahahahahaah Paulo huyo bingwa wa kukufurisha watu anajitangazia wazimu
 
Wewe kwa mujibu Wa deen yako Adam na mkewe walikuwa wanaishi sardaus! Baada ya kutenda dhambi allah aliwafuza na kuwatupa duniani! dhambi afanye Adam na mkewe wewe gavana upo duniani umefanya dhambi gani [emoji47] [emoji15] naomba useme kama sababu ya Uwepo wako duniani ulibaka bata [emoji38] [emoji38]
Ahahahahaaahah bure kabisa Mungu alishasema " mimi nitafanya katika ardhi khalifa" lengo la kuumbwa ilikuwa kuja kuwa mtawala ardhini , na ndio kilichofanyika hata walipokula tunda Mungu aliwasamehe baada ya kuomba toba, hivyo walikuja ardhini wakiwa awana dhambi watu saafi kabisaaaa ,ndio maana hata mtoto akizaliwa anakuwa saafi ahahahaahaha mambo ya dhambi ya asili ni matatizo yenu na huyo Mungu wenu asiesamehe
 
Huyu anakula kutumia mkono! Mwingine kijiko, mwingine vijiti..kwa akili za kisla kisla hakuna chakula hapo [emoji15] [emoji47] [emoji12]
Neno la Mungu sio neno la SHIGONGO, ahahhahaahahaha unajitetea ujinga kabisa , tukio ambalo unadai uokovu limejaa utapeli mtupu , roho mtakatifu aliewaongoza waandishi bila shaka alikuwa aoni ahahahhhhahahhahahhahajaj
 
Ninachoshukuru ni kua:-
Hata wewe unaanza kuona Hatari ya Uislamu kwa Ustawi wa Binadamu, wanyamaz Bahari na Mimea ulimwenguni kote.

Natumai Kuna Ayah sasa ukisoma utakua unachukua with only a grain of Salts. Hutaamini Kila kitu kama kipofu.

Umezoea kusikia eti allah kashusha Koran. Nadhani umeshaanza kugundua kua kuna walakini katika Madai hayo.

Na kama sio hii discussion labda ungeendelea kua Fanatics hata kujilipua uue watu wasio na hatia bila sababu ya msingi.

Naimani inakufikirisha sana. Japo najua bado unaogopa kuwaza sana, ukiamini Pengine allah anakuona, hivyo atakasirika akubanike motoni.
Ni swala la Muda tu. Listen to your heart. Kama Vile Yesu alivyosema Upendo ndio kila kitu.
Na Kama nilivyokueleza mwanzoni, "Mti Mwema hujulikana kwa Matunda yake."
Ahahahahahahhahahahhha tulia dawa iendelee kufanya kazi nafikir sasa 1+1+1=1 utakuwa umefahamu ata mwanao anakuekea alama ya kosa , cha ajabu ww na madevu yako umekomaa jibu ni moja, kuhusu Quran haina shaka imetoka kwa Allah
QURAN 69:43
";Ni uteremsho utokao kwa mola mlezi wa walimwengu wote"
QURAN 2:2
";Hiki ni kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake; ni uwongozi kwa wamchao Mwenyezi Mungu",
haya mambo yanatoka kwenye QURAN karim
 
Acha watu wa discuss. Imani ya Kweli haiogopi kujadiliwa Ndio maana Mungu alituumba na Akili ili tuweze kujenga Hoja

Taarifa za kusulubiwa Yesu katika Injili zote nne sio kweli kwa sababu zifuatazo:

Taarifa za Injili zinatafautiana mno, kama mifano michache hapa chini ionyeshayo:

Injili tatu zinasema Simoni ndiye aliyechukua msalaba wa Yesu (Mt 27:32; Mk 15:21-2; Lk 23:26); lakini Injili ya nne inasema Yesu aliubeba msalaba wake mwenyewe (Yn 19:17).

Mathayo yasema Yesu alipewa divai iliyochanganywa na nyongo akaionja na hakuinywa, Marko anasema Yesu hakuinywa, na Luka na Yohana wala hawalitaji tukio hilo.

Kuhusu saa aliposulubiwa Yesu, Mathao na Luka haiwaitaji kabisa, lakini Marko anasema ilikuwa ni saa tatu (Mk 15:25) na Yohana asema saa sita (Yn 19:14).

Mathayo na asema ilipasuka kutoka juu hadi chini; na Luka sema ilipasuka kutoka upande hadi upande (horizontally), na ni Mathayo peke yake aliyearifu kuhusu matetemeko, kufunuka makaburi na miili kuinuka, miamba kupasuka.

Mathayo, Marko na Luka wanasema wanawake walisimama mbali na msalaba (Mt 27:55-6; Mk 15:40-1; Lk 23:49), lakini Yohana anasema walisimama jirani na msalaba (Yn 19:25).

Yohana peke yake ndiye karipoti kuwa mamake Yesu naye alikuja kule msalabani.

Pia Injili zatofautiana juu ya idadi ya wanawake hao.

Kuhusu giza, Mathayo, Marko na Luka wanasema lilitanda dunia nzima, lakini Yohana hataji kabisa na kadhalika.

Mifano iko zaidi ya 20 mingine, yote hii inazipinga aya ambazo hunukuu akina Batendi na kudai kuwa zinasema Yesu aliuliwa pale msalabani.

Qur'an inasema akina Mgen hawana hakika, bali wanadhani tu.

Maneno haya ya kupingana namna hii kweli yote ni ya Mungu au ya waandishi wapotofu?

Yesu asingekosa kutabiri kuuliwa kwake msalabani, atabiri kuteswa tu

"Mt 23:35 Hivyo ni ije juu yenu damu yote ya haki iliyomwagika juu ya nchi, tangu damu ya Habil, yule mwenye haki, hata... Zekaria... mliyemuua kati ya patakatifu..."

"Mt 17:12 .. Vivyo hivyo mwana wa Adamu naye yuenda kutesa kwao".

"Lk 22: 15... Nimetamani sana kula pasaka hii pamoja nanyi kabla ya kuteswa kwangu". Hata baada ya huko "kusulubiwa" kwake, Yesu alitaja kuteswa kwake tu:

"Lk 24:25... Enyi msiofahamu...

26: Je! Haikumpasa Kristo kupata mateso haya ni kuingia katika utukufu wake?"
Jamani, na tujihadhari sana na utatanishi wa lugha ya Biblia. Hata aya anazosemewa Yesu kuwa kauawa huenda zimetiwa chumbi, kama Paulo alivyotia chumbi usemi wake wa mtu kufa (kwa maana ya kuteswa) kila leo, kama Biblia inavyoumbua:

"1Kor 15:31 ... Kwa huku kujisifu kwangu niliko nako juu yenu katika Kristo Bwana wetu, nimekufa kila siku".

Kwa hiyo kama kulikuwepo mpango wa kumuuwa Yesu, basi hakuujua na Mungu, akina Plato na kadhalika waliunda njama za kumuokoa na kifo cha laana cha msalabani, na ni dhahiri kabisa kwamba Yesu hakufa wala hakusulubiwa.

Kung'ang'ania kifo cha Yesu ni uoni finyu

HAKUNA aya hata moja ya Biblia inayomtaja mtu yeyote aliyeona sura ya Yesu hasa wakati akifa pale msalabani.

Yesu alidhaniwa tu kuwa ni Yesu aliyeuawa msalabani, lakini baada ya siku chache Yesu huyo akaonekana yu hai, wala hakurudi kama pepo (ghost)! Kung'ang'ania kuwa ni Yesu aliyeuawa pale msalabani ni utani mgonjwa, hususan tukizingatia ushahidi wote huo hapo nyuma, vipofu na hata kuwafufua watu.

Kwa upande mwingine twaambiwa eti kumtesa Yesu kwa kumpiga, kumchoma kwa ncha kali, na kumpigilia misumari mtini eti ilitosha kumuuwa Yesu.

Hii haiingii akilini kimantiki labda kwa kuiamini tu kiupofu (blindly).

Isitoshe, Yesu angalisubuliwa kweli, ingekuweko aina moja tu ya msalaba aliouliwa. Lakini Catholic Encyclopaedia peke yake ina aina 40 za misalaba.

Kwa sababu zisizo dhahiri, msalaba ule wa vipande viwili vinavyosigana yaani +, ndio umependelewa zaidi na Waingereza wakauita "Cross", ingawa neno la awali la msabala kwa Kigiriki ni "Stauros" ambalo halina dhana ya vipande viwili ila kimoja tu.

Biblia chache tu kama ile ya Mashahidi wa Yehova ndio imetaja waziwazi kuwa Yesu aliangikwa kwenye mti (stauros) na usulubisho kwao wao sio "cricifixion" bali "stafixion".

Dhehebu jingine limesema Yesu aliangikwa kwenye mti wenye umbo la T. Ke bado Wakristo wengine wanauabudu msalaba huo wa alama ya kujumlisha +.

Gazeti la Newsweek la Aprili 4, 1994 liandika: "Kifo cha Yesu - Fikra mpya za siku zake za mwisho". Limesema kuwa, kama Yesu kweli aliuliwa msalabani, basi lazima iweko aina moja tu ya msalaba.

Katika gazeti hilo hilo, Padri wa Kikatoliki Raymond Brown kaandika kitabu chake, "The Death of the Messiah (Kifo cha Masihi)". Doubleday na wanaseminari wenziwe 2000 amesema kuwa hadithi za Yesu kuhusu kuhubiri, kuponya wagonjwa, kufanya miujiza, hizo zaweza kuwa kweli; lakini hadithi nyingine (kama ya kusulubiwa Yesu) hazina usahihi wa kihistoria (historical accuracy).

Hii anasema ni kwa sababu waandishi wote wa Injili hawakuwa mashahidi wa macho (eye witnesses) kushuhudia hata moja ya yale wayoyaandika mnamo miaka 35-70 baada ya Kristo; na mpaka leo hatuna hakika ni nani hasa aliyeandika Injili zote hizo, ambazo kila inatofuatiana na yenzie.

Yesu asingekosa kutabiri kuuliwa kwake msalabani, akatabiri juu ya kuteswa tu:

"Mt 23:35 Hivyo ije juu yenu damu yote ya haki iliyomwagika juu ya nchi, tangu damu ya Habil, yule mwenye hakika hata ... Zakaria ... mliyemuua kati ya patakatifu".

"Lk 22:15 ... Nimetamani sana kula pasaka hii pamoja nanyi kabla ya kuteswa

Yesu hakusulubiwa, Mwenyezi Mungu alimwokoa.

Biblia inasema hivi,

"Yesu alipokuwa akiishi duniani, alitoa dua na maombi kwa kilio kikuu na machozi kwa Mungu ambaye angeweza kumwokoa na kumtoa katika kifo, naye Mungu alimsikia kwa sababu alikuwa mnyenyekevu na mtiifu" (Waebrania 5:7)

Bible inatuambia kila aliyetundikwa msalabani amelaaniwa na mungu.
Katika kumbukumbu la Torati 21:23, Mungu anamwambia Musa kwamba mtu " aliyetundikwa katika mti amelaaniwa na Mungu".

MSIKILIZENI MUNGU.
Katika kumbukumbu la taurati 24:16, anasema nini:"mababa wasiuwawe kwa ajili ya watoto wao, wala watoto wasiuawe kwa ajili ya dhambi za baba zao.KILA MTU AUWAWE KWA DHAMBI ZAKE MWENYEWE"

Biblia pia inasema:

Numbers 23:19"God is not a man, so He does not lie. He is not human, so He does not change His mind. Has He ever spoken and failed to act? Has He ever promised and not carried it through?"

Quran tukufu inasema hivi,"Na kwa kauli yao kuwa: ‘Tumemuua Yesu mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu’. Hakika ni kuwa hawakumuua wala hawakumsulubu, lakini walishabihishiwa kwao. Wale wanaotofautiana katika hilo wako katika shaka wala hawana ilimu ya uhakika kuhusu hilo, wanafuata tu dhana. Hakika ni kuwa hawakumuua".
"Bali Mwenyezi Mungu Alimnyanyua Kwake, na hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu, Mwenye hikima". [An-Nisaa: 157-158]

Today's Christianity holds that Jesus was crucified to ransom people and save them from their sins, whether original or acquired. Christians believe that the crucifixion of Jesus is the guarantee of their salvation. To disprove this belief, here are some evidences:

1. There is no logical relationship whatsoever between crucifixion and salvation. How can the crucifixion of X erase the sins of Y?!

2. Crucifixion for salvation contradicts God's justice. Why should one be crucified in order to redeem another one?!

3. What saves you is your deeds, not the crucifixion or hanging of another one whoever he might be.

bla bla bla bla...bla blaaaa [emoji12] kila ukiambiwa kwa kutojua KUSOMA imekuathir hadi umelaaniwa [emoji117]
IMG_20180916_112533_089.jpg
kwa nini unapenda laana badala ya Baraka [emoji15] [emoji4]
 
Hoja yako ni ipi hapo ni kweli hatavunja misalaba yote mnayoitakidi ni alama ya ukombozi , ataondoa uzushi wote kuwa yeye ni Mungu na ataondoa JIZYA , na kila mtu atakuwa na ukwasi wa mali
Tutashukuru Akivunja Misalaba [emoji106] kwani hujui Msalaba ni shulba[emoji47] [emoji12] sasa pamoja na mambo mengine anakuja kuondoa shida, wee hutaki [emoji47] [emoji15]
 
bla bla bla bla...bla blaaaa [emoji12] kila ukiambiwa kwa kutojua KUSOMA imekuathir hadi umelaaniwa [emoji117] View attachment 867862 kwa nini unapenda laana badala ya Baraka [emoji15] [emoji4]
Ahahahahahahahahahahahahajana mwalimu wakufuru (Paulo).atoe laana hivi vichekesho
MATENDO YA MITUME 26:11
";Na mara nyingi katika masinagogi yote NALIWAADHIBU, nikawashurutisha KUKUFURU; nikawaonea hasira kama mwenye WAZIMU, nikawaudhi hata katika miji ya ugenini";

ahahahahahahahahaaha huyo ndio kakuingiza chaka
 
Tutashukuru Akivunja Misalaba [emoji106] kwani hujui Msalaba ni shulba[emoji47] [emoji12] sasa pamoja na mambo mengine anakuja kuondoa shida, wee hutaki [emoji47] [emoji15]
Ataondoa uzushi wa kumfanya yeye Mungu wakati ni kiumbe kama wewe tu ahahahaahaaha na misalaba ataivunja kwelikweli mpaka mkome kuivaa mashingoni
 
Fuatilia maeneo ya Pakistan na Afghanistan
Kuna mambo mengi Yanayotokea Maovu kuliko Ulaya.ambako ni Secular Na kuna Freedom of expression.

Lakini huwezi sikia yanayotendeka ndani ya Ufalme wa Saudia. Na kama umepofushwa na Dini, ndio usitegemee kabisa kusikia. Wale ma X muslims waliojikomboa, wamekua wakiyaeleza sana haya kwenye mitandao ya kimagharibi. Kwakua mnakatazwa msisikie msije kuiacha Imani. Ndio maana waarabu wanakimbilia Ulaya kutafuta amani.

Pia hata Rate ya unyongaji ya Saudia na Iran ni kubwa sana. Je Inamaana watu hawaogopi Kufa sio?

Au fuatilia wale Matajiri wa Kiarabu wanaoishi UK. Wanaomiliki Klabu za Soka kama Asernal, ManCity. Ukisoma Maisha yao binafsi utajiona wewe ndio unanafuu.

Na naskia mumehalalishiwa shamba la Mwanamke.Waarabu wanapenda sana hiyo Michezo.

Kwa taarifa yako waafrika ndio angalau tumestaarabika duniani. Labda kwakua hatuna Pesa.
Ni tajia nchi ngap za kiarabu zimeruhusu ushoga , halafu uje uniambie nchi ngap za ulaya zimeruhusu ushoga namaanisha adi Israel , hii namaanisha kutokana na katiba za nchi zao, ushenzi wa ulaya ni matokeo yao wenyewe sasa kama Obama tu aliomba kura kwa mashoga hapo inakuaje?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom