Ahaahahahahahhahhha rudi tena ukasome uwezo wako mdogo hii ndio amri aliopewa musa na akaitekeleza mjomba hatubahatishi
KUMB la Torati 20:17-18
17";Lakini uwaangamize kabisa , mhiti, na mwamori, na mkaanan, na mperizi , na mhivi,na myebusi, kama alivyokuamuru Bwana Mungu wako;
18";. Wasije WAKAWAFUNZA kufanya mfano wa MACHUKIZO yao, yote; waliyoifanyia MIUNGU yao; hivyo itakuwa ni MAKOSA juu ya Bwana, Mungu wenu";
ahahahahahahahahhahahahhaha tena WAUENI wote kwa taarifa yako hao ndio walikuwa wenye nchi yao hiyo ya ahadi, kisingizio cha kuwaua umekiona mubashara " “WASIJE WAKAWAFUNZA KUFANYA MFANO WA MACHUKIZO YAO YOTE,WALIYOIFANYIA MIUNGU YAO" ,hii ni sababu tu lakini lengo walikuwa wanataka kupora nchi ya watu