Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Aliye Kufundisha Anayo Sifa na Mamlaka ya Kufundisha hilo Ameyapata wapi [emoji53] Yesu alitupa Wafuasi wake Tbs hii [emoji117] View attachment 867725 wewe gavana kujua hii ni HAQI NA HII NI BATILI UNATUMIA TBS GANI [emoji47]


Kila mti hutambulika kwa matunda yake.” (Luka 6:44). Sawa na usemi huu wakati tunampima Bwana Yesu Kristo tunamkuta kwamba ameanguka vibaya sana.

Ingawa sisi tumempenda na tumemuheshimu. Lakini kumpenda kwetu hakumsaidii. Maana Biblia inamuangusha vibaya sana.

Kwa mfano:

(1) “Amini nawaambieni, pana watu katika hawa wasimamao hapa, ambao hawataonja mauti kabisa, hata watakapo muona mwana wa Adamu akija katika ufalme wake.” (Mathayo 16:28).

Watu ambao walikuwa pamoja naYesu na vizazi vyao zaidi ya hamsini wamekwisha kufa tayari. Hakuna mmoja wao ambaye
ameweza kushuhudia, mwana wa Adamu (Yesu Kristo) akija katika ufalme wake.

Kwahiyo utabiri wa Yesu haujatimia bali imeonekana uwongo.

2. “Yesu akamwambia, amin, nawaambia ya kwamba ninyi mlionifuata mimi, katika ulimwengu mpya, atakapoketi Mwana wa Adamu katika kiti cha utukufu wake, ninyi nanyi mtaketi katika viti kumi na viwili, mkiwahukumu kabila kumi na mbili za Israel.” (Mathayo 19:28).

Katika aya hii Bwana Yesu Kristo aliwabashiria wanafunzi wake kumi na wawili kuhusu mwisho mwema wa kiimani na kuwa viongozi wa makabila ya Waisraeli.

Lakini mwanafunzi wake mmoja bwana Yuda hakumuasi tu bali alimuuza kwa shilingi thelathini.

Kwa hivi alitoka katika imani na ufalme wa kiroho.

Biblia inasema kwamba: “Wakati huo mmoja wa wale thenashara, jina leke Yuda Iskariote, aliwaendea wakuu wa makuhani, akisema, ni nini mtakacho nipa, nami nitamsaliti kwenu? Wakampimia vipande thelethini vya fedha.” (Mathayo 26:14 -15).

3. Bwana Yesu Kristo alisema kwamba: “(Ewe Petro) nami nitakupa funguo za ufalme wa mbinguni, na lolote utakalo lifunga duniani, litakuwa limefungwa mbinguni, na lolote utalolifungua duniani, litakuwa limefunguliwa mbinguni.” (Mathayo 16:19).

Katika aya hii Bwana Yesu alim'bashiria Petro kwamba ataendelea vizuri kiimani kwa hali ya juu, lakini hali inaonesha kwamba utabiri huu wa Bwana Yesu ulivurugika vibaya mno. Hata inaonekana aibu kutaja utabiri ule.

Biblia inasema kwamba: “Na Petro alikuwa ameketi nje behewani; kijakazi mmoja akamwendea, akasema, wewe nawe
ulikuwapo pamoja na Yesu wa Galilaya. Akakana mbele ya wote, akisema, sijui usemalo. Naye alipotoka nje hata ukumbini, mwanamke mwingine alimuona, akawaambia watu walio kuwako huko, huyu alikuwa pamoja na Yesu Mnazareti. Akakana tena kwa kiapo, simjui mtu huyu. Punde kidogo, wale walio hudhuria wakamwendea, wakamwambia Petro, hakika wewe nawe u mmoja wao. Kwa sababu hata usemi wako wakutambulisha. Ndipo akaanza kulaani na kuapa na kusema, simjui mtu huyu.” (Mathayo 26:69-74).

4. “Yesu akamwambia mwizi mmoja aliyekuwa pamoja naye msalabani: “Amin, nakuambia leo hii utakuwa pamoja nami peponi.” (Luka 23:43).

Aya hii inaonesha kwamba siku ya kusema habari hii Bwana Yesu Kristo na huyu mwizi wangeenda peponi kwa Baba lakini
inaonekana kwamba utabiri huu haukutimia, maana baada ya siku ya tatu Yesu bado alikuwa duniani.

Biblia inasema kwamba Yesu alimwambia, usinishike, kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu.” (Yohana 20:17).

Katika mifano hii ya Biblia nimejaribu kuonesha watu baadhi ya matunda ya tabiri za Yesu, na kila mmoja analalamika kwamba matunda haya ni machungu sana. Kwahiyo mti umetambulika kwa matunda yake.
 
Ndo tofauti na Mohamed. Mohamed aliteka na kuwafanya waislam.

Pia jua ilikua Katka establishment ya state of Israel.

Katika establishment of Christianity hakuna vita ni neno tu.

Uislam wao ni upanga na mademu basi. .
Sasa kama misingi ya Israel ni KUUA WATU, ahahahahahahahhahha na Mungu akaridhia watu kuuliwa kwasababu watawafundisha waisrael KUKUFURU , hoja yako haina mashiko , swali langu ni hili kwa akili yako fupi Mungu wa Israel alikosa alternative ya kuestablish state of Israel mpaka AUE WATU? nakusubir , halafu kuhusu ukristo nimekuuliza swali mpaka yesu anaondoka duniani hakuna aliyeitwa mkristo ww na wenzio leo mtuambie nani alimiita nyie ni wakristo? Ahahahhahaahahhaahhaaahaha
 
Umesha vurugwa uko mbende mbende..umebakia ooh mabomu ya mkono, mma ndio maji, ndio unamnusuru baba fatù kihivyo [emoji12] Fundisha uislamu na umgeze baba kassim kama shababi [emoji53]
Uislamu tumeifundisha kwelikweli lakini wahenga Wanasema" MWANA WA MTU KIZUKA AKIZUKA ZUKA NAE" tulia sindano ndio kwanza inaanza
 
Ni kweli kwani mimi nikikuambia uliandika message yako 9:34 am na mwengine akiandika uliandika message yako saa 12:34 pm wote wako sawa au vipi ??
Usichojua ni vipi walipima mida na hakukua na chombo saa. Pia jua roho hakuwaambia misamiati ya kuandika aliwavuvia uwezo kuandika bila kutia chumvi na maslahi mengine.
 
Usichojua ni vipi walipima mida na hakukua na chombo saa. Pia jua roho hakuwaambia misamiati ya kuandika aliwavuvia uwezo kuandika bila kutia chumvi na maslahi mengine.
Ahahahahahahaahhahqha roho akuwaambia misamiati ? haya maneno unaweza kuthibitisha kwenye maandiko au unatuletea story za vijiweni hapa alaaaaaaaa
 
Huyu anakula kutumia mkono! Mwingine kijiko, mwingine vijiti..kwa akili za kisla kisla hakuna chakula hapo [emoji15] [emoji47] [emoji12]


Hatungumzii kula chakula tunazungumzia biblia na waandishi


Kifo Kimoja Kufuta Dhambi za Wote?


Kwa haraka haraka, imani ya kafara inaeleza kwamba Yesu alipatwa na masaibu makubwa na kufa msalabani ili kumkomboa mwanadamu kutoka kwenye minyororo ya dhambi.

Imani ya Kuwepo kwa Dhambi ya Asili

Lau Paulo angekuwa mfanyabiashara bila shaka angejenga nyumba iliyojaa fedha, lakini alikuwa mtu mbunifu hodari na mjanja sana, hii inaweza kuonekana kwa jinsi alivyounda mfumo wenye mzunguko mrefu usiokuwa na ulazima wa imani kwa ajili ya uokovu katika Ukristo. Hii inaweza kuonekana vizuri zaidi katika Imani ya Mateso na kifo cha Yesu - Imani ambayo imani nyingine zote - ile ya uungu wa Yesu, Utatu Mtakatifu na kuokoka kwa imani peke yake zimejengwa juu yake.

Mbele ya Paulo, wanadamu wote ni waovu na wadhambi, sifa ambayo wote wameirithi kutoka kwa Adam na dhambi lake la kula tunda la mti uliokatazwa katika Bustani ya Eden. Hii "dhambi ya asili" imewatambaa na kuwaambukiza wanadamu wote tokea wakati wa Adam. Kwa sababu ya maambukizi haya ya dhambi, mwanadamu hawezi kijinusuru kutoka kwenye minyororo ya dhambi hata afanye jitihada kubwa kiasi gani. Yesu ndiye angeweza kumkomboa na kumnusuru mwanadamu kutoka kwenye minyororo ya dhambi kwa kuwa yeye hakuzaliwa kutokana na mbegu ya mwanadamu.

Japokuwa kimantiki (kiakili) hii ni dhulma kwa Mwenyezi Mungu na Mwanadamu, ukristo kwa moyo mkunjufu umeichukua na kuihalalisha imani hii ya dhambi ya asili ili kuithibitisha dhana yao ya ujumbe na kazi ya Yesu, yaani kuteswa na kufa kwa ajili ya dhambi za mwanaadamu.

Alipokuwa akiunda imani hii ya dhambi ya asili yaelekea Paulo alisahau maneno ya Mungu katika Ezekiel 18:20 -22:

"- - Mtoto hatabeba dhambi za baba, wala baba hatabeba dhambi za mtoto."
 
Usichojua ni vipi walipima mida na hakukua na chombo saa. Pia jua roho hakuwaambia misamiati ya kuandika aliwavuvia uwezo kuandika bila kutia chumvi na maslahi mengine.


Hakukua na chombo cha saa huo muda waliokuandikia waliujua vipi ??
 
Movement ya jua

Mwokozi Yesu: Muhanga wa Mwisho

Kwa mujibu wa Paulo, mwokozi alikuja katika sura ya Yesu:

Mungu alimtuma mwanaye wa pekee duniani ili aje apate mateso na hatimaye afe msalabani ili damu itakayomwagika iwe kafara ya dhambi za wanaadamu, kwa hiyo Yesu ndiye aliyetolewa kafara (mhanga).

Paulo alipata fikra hii kutokana na kafara zilizokuwa zikitolewa na Wayahudi kwa Mungu - ambapo maelezo yake yanapatikana katika agano la Kale na akahisi kwamba kafara hizi zilitolewa ili kupata msamaha wa Mungu kutokana na madhambi ya watu.

Wakati baadhi ya kafara hizi zilizotolewa na Wayahudi zilifanywa kwa ajili ya maondoleo ya dhambi, Mitume waliokuja baadaye walikataza jambo hili. Katika Hosea 6:6, kwa mfano, tunasoma:

"Kwa kuwa Ninataka upendo thabiti na sio kafara".


Mungu alitaka upendo - ambao husababisha kumwamini Yeye na utii wa sheria yake - kwani hii ni bora kuliko damu ya kafara. Hata Yesu mwenyewe aliusisitiza ujumbe huu tena, katika Mathayo 9:13, ambapo anasema:

"Nendeni na mkajifunze maana ya maneno haya: Ninataka rehema sio kafara."


Paulo aliyaweka yote haya pembeni akasema kwamba Yesu, kiumbe mkamilifu, alikuwa "Kafara (muhanga) wa mwisho" alipoyatoa maisha yake msalabani.

Nadharia ya Paulo ni kwamba Mungu hawezi kuchukuliwa kuwa ni Muadilifu mpaka amuadhibu mwenye dhambi.

Toba peke yake haiwezi au haitoshi kuwa sababu "muhimu" kwa ajili ya kusamehewa madhambi yaliyofanywa.

Anasema kuwa kuteswa na kufa msalabani kwa Yesu, ni muhimu sana kwa sababu heshima, haki, utukufu na uongofu wa Mungu haviwezi kukamilika kwa toba "tupu".

Mkristo anaamini kwamba Yesu alisuluhisha na kupatanisha baina ya wanadamu na Mwenyezi Mungu kupitia kifo chake.

Mwandishi wa Kikristo Anis Shorrosh alilichunguza jambo hili kwa umakini sana miaka mingi iliyopita, na akahitimisha kwamba hakuna ukweli juu ya kuteswa na kufa katika kukiri imani na toba; nani atakayechukua mzigo wa dhambi zetu?[9]

Kutokana na suala zima kwamba Mwenyezi Mungu alimtaka Yesu ayatoe maisha yake kwa ajili ya dhambi za wanadamu,

Paulo alimchukua Mwenyezi Mungu anayewapenda na kuwajali viumbe wake akamfanya kuwa ni katili na aliye mbali sana ambapo kitu kingine chochote kisichokuwa damu ya Yesu hakiwezi kumfikia wala kumridhisha.
 
Movement ya jua


Mungu wa Upendo

Fikra ya kwanza kubuniwa na Paulo na ambayo hutumika mara nyingi katika Ukristo kuhusiana naYesu ni Upendo na Mungu.

Kwa mujibu wa wakristo, upendo wa Mungu umekuwepo tu kwa sababu ya kusulubishwa na kufa kwa Yesu - alama ya upendo wa Mungu ni msalaba, kwa mujibu wa Wakristo.

Kwa mujibu wa namna yao ya kufikiri, Mungu alitupenda mno hata akamtuma mwanae wa pekee ili apate mateso na hatimaye afe ili amwokoe mwanadamu kutoka kwenye minyororo ya dhambi.
 
Amini nawaambieni, pana watu katika hawa wasimamao hapa, ambao hawataonja mauti kabisa, hata watakapo muona mwana wa Adamu akija katika ufalme wake.” (Mathayo 16:28).
Ngoja nikujibu hii kwanza maana kuifanya point namba moja natumai unaamini ndo turufu yako. ambacho jujui ni dhana ya neno ufalme wa Yesu. Ufalme wa Yesu ni kanisa lake kitakaloishi na kudumu mililele kwa amani. na lilianza kuandalia siku alipofufuka na kuwatokea na kuwaambia sasa enenendeni ulimwengini kote muiuitangaze injili. hivyo kwa mstari huo alimaanisha kunaambao hawatakufa na watashuhudia akiwa amamfufuka kuanzisha ufalme wake wa amani.
 
Ngoja nikujibu hii kwanza maana kuifanya point namba moja natumai unaamini ndo turufu yako. ambacho jujui ni dhana ya neno ufalme wa Yesu. Ufalme wa Yesu ni kanisa lake kitakaloishi na kudumu mililele kwa amani. na lilianza kuandalia siku alipofufuka na kuwatokea na kuwaambia sasa enenendeni ulimwengini kote muiuitangaze injili. hivyo kwa mstari huo alimaanisha kunaambao hawatakufa na watashuhudia akiwa amamfufuka kuanzisha ufalme wake wa amani.

unapata kitabu gani maneno hayo ??
 
2. “Yesu akamwambia, amin, nawaambia ya kwamba ninyi mlionifuata mimi, katika ulimwengu mpya, atakapoketi Mwana wa Adamu katika kiti cha utukufu wake, ninyi nanyi mtaketi katika viti kumi na viwili, mkiwahukumu kabila kumi na mbili za Israel.” (Mathayo 19:28).

Katika aya hii Bwana Yesu Kristo aliwabashiria wanafunzi wake kumi na wawili kuhusu mwisho mwema wa kiimani na kuwa viongozi wa makabila ya Waisraeli.

Lakini mwanafunzi wake mmoja bwana Yuda hakumuasi tu bali alimuuza kwa shilingi thelathini.

Kwa hivi alitoka katika imani na ufalme wa kiroho.

Biblia inasema kwamba: “Wakati huo mmoja wa wale thenashara, jina leke Yuda Iskariote, aliwaendea wakuu wa makuhani, akisema, ni nini mtakacho nipa, nami nitamsaliti kwenu? Wakampimia vipande thelethini vya fedha.” (Mathayo 26:14 -15).
Kama kawaida ya wana wa Mohamad mabingwa wa kuchomeka verse kwenye maandiko matakatifu. haya elewa sasa hao aliokuwa anawambia yesu si Thenashara bali ni wanafunzi tazama mstari wa 19;23 hadi hiyo 28. nikusaidia zaidi kunatofauti ya wanafunzi na theanshara. waliokuwa 12 ni thenashara, wanafuzi walikuwa makumi mengi tu. endelea kusubiri bikra ubikiri mbinguni hahah
 
Movement ya jua


Je Mungu Aweza Kufa?

Tukiendelea na dhana yenye kutatanisha kwamba Mungu wa Wakristo anaweza tu kusamehe dhambi ndogo kwa kusababisha dhambi kubwa - dhambi ya kumtoa Yesu ili auliwe - dhambi ya kuua, tunalazimika kujadili mada ya uungu ili tuweze kuijadili mada hii. Mungu ni wa milele, alikuwepo tangu na tangu na atakuwepo milele na milele: Hakuumbwa; Hawezi kufa; n.k.

Kama Yesu ni mtoto wa Mungu, kama wakristo wanavyodai, hii ingemfanya na yeye kuwa Mungu pia, ingewezekanaje yeye, kama Mungu, afe msalabani kama wanavyodai?

Ikiwa "mwili wake wa ubinadamu" ndio ulikufa, hii italeta maana kwamba alikufa kama mtu mwingine yeyote.

Na kama ni hivi - imani yote ya kuwa Yesu aliteswa na kufa msalabani kwa ajili ya dhambi za wanaadamu, itakuwa haina msingi wowote - kwani damu ya mtu wa kawaida haiwezi kuwa fidia ya dhambi za mtu mwingine.
 
Kama kawaida ya wana wa Mohamad mabingwa wa kuchomeka verse kwenye maandiko matakatifu. haya elewa sasa hao aliokuwa anawambia yesu si Thenashara bali ni wanafunzi tazama mstari wa 19;23 hadi hiyo 28. nikusaidia zaidi kunatofauti ya wanafunzi na theanshara. waliokuwa 12 ni thenashara, wanafuzi walikuwa makumi mengi tu. endelea kusubiri bikra ubikiri mbinguni hahah

nikusaidia zaidi kunatofauti ya wanafunzi na theanshara. waliokuwa 12 ni thenashara,

NDIO UMEANDIKA LUGHA GANI HII HAPO KWENYE RED ??? MBONA UMEANZA KUCHANGANYIKIWA ???

HIVI YUDA HAYUMO KATIKA WANAFUNZI WAKE 12 ALIOWACHAGUA ??
 
Imeeandikwa................ Yesu aliulizwa je ufalme wa Mungu unakuja lini akajibu...................... ufalme wa Mungu uu ndani yenu. Maana yake upo ni jambo la kiroho siyo political. soma mathayo 17 20 na 21. asante.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom