Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Wewe kwa mujibu Wa deen yako Adam na mkewe walikuwa wanaishi sardaus! Baada ya kutenda dhambi allah aliwafuza na kuwatupa duniani! dhambi afanye Adam na mkewe wewe gavana upo duniani umefanya dhambi gani [emoji47] [emoji15] naomba useme kama sababu ya Uwepo wako duniani ulibaka bata [emoji38] [emoji38]
 

Aliye Kufundisha Anayo Sifa na Mamlaka ya Kufundisha hilo Ameyapata wapi [emoji53] Yesu alitupa Wafuasi wake Tbs hii [emoji117] wewe gavana kujua hii ni HAQI NA HII NI BATILI UNATUMIA TBS GANI [emoji47]
 
Huyo wa 100 mmetia kwenye biblia tena amejitangazia mtu wa kufuru ahahaahahahah Quran sio biblia imekuja kuondoa uzushi wote wa wahuni kama Paulo wanaojinasibisha na yesu nakumsemea asiyoyafundisha
Quran ni tokeo la Mohamed kukopi hadithi wayahudi na akaazisha dini apate mademu na mall. Period. Mtume gani mzinzi kama mswati
 
Huelewi maana ya ukristo. Ukristo haufungamani na dola wala tamaduni. Hivyo hakuna dola ya kikristo. Hakuna tamaduni ya kikristo. Ukristo ni imani ya kuamini na kuishi kwa namna ya Yesu ili twende mbiguni.
 
Waandishi waliandika kile walichoandika. Hata Leo tukio moja reporter huandikà katika angel tofauti na priority tofauti.
 
Quran ni tokeo la Mohamed kukopi hadithi wayahudi na akaazisha dini apate mademu na mall. Period. Mtume gani mzinzi kama mswati
Ahahahahahhahahahahaha mzinzi kama selemani(alikuwa na 700) au kama Yakobo(Israel) alikuwa na wawili na vijakazi wawili , halafu kuhusu kukopi hayo ni maneno ya vijiweni
QURAN 69:43
",Ni uteremsho utakao kwa mola wa mlezi wa walimwengu wote";
hapa porojo na blah blah sio mahali pake
 
Huelewi maana ya ukristo. Ukristo haufungamani na dola wala tamaduni. Hivyo hakuna dola ya kikristo. Hakuna tamaduni ya kikristo. Ukristo ni imani ya kuamini na kuishi kwa namna ya Yesu ili twende mbiguni.
Hao ni wakristo wenzenu tena wakatoliki wameruhusu ushoga , sasa unataka tuseme wahindi ?
 
Waandishi waliandika kile walichoandika. Hata Leo tukio moja reporter huandikà katika angel tofauti na priority tofauti.
Waangeandika kwa akili zao ungekuwa sahihi, lakini kama waliandika kwa uwezo wa roho mtakatifu unachekesha , vinginevyo huyo roho mtakatifu anamakengeza aoni vizur kwahiyo anafanana na wew
 
Aliye Kufundisha Anayo Sifa na Mamlaka ya Kufundisha hilo Ameyapata wapi [emoji53] Yesu alitupa Wafuasi wake Tbs hii [emoji117] View attachment 867725 wewe gavana kujua hii ni HAQI NA HII NI BATILI UNATUMIA TBS GANI [emoji47]
Ahahahahahahahahahahahhaaaha mtawatambua kwa MATENDO haya sasa
MATENDO YA MITUME 26:10
";Na mara nyingi katika Masinagogi yote naliwaadhibu,nikawashurutisha KUKUFURU; nikawaonea hasira kama mwenye WAZIMU, nikawaudhi hata katika miji ya ugenini",

ahahahahahahahaah Paulo huyo bingwa wa kukufurisha watu anajitangazia wazimu
 
Ahahahahaaahah bure kabisa Mungu alishasema " mimi nitafanya katika ardhi khalifa" lengo la kuumbwa ilikuwa kuja kuwa mtawala ardhini , na ndio kilichofanyika hata walipokula tunda Mungu aliwasamehe baada ya kuomba toba, hivyo walikuja ardhini wakiwa awana dhambi watu saafi kabisaaaa ,ndio maana hata mtoto akizaliwa anakuwa saafi ahahahaahaha mambo ya dhambi ya asili ni matatizo yenu na huyo Mungu wenu asiesamehe
 
Huyu anakula kutumia mkono! Mwingine kijiko, mwingine vijiti..kwa akili za kisla kisla hakuna chakula hapo [emoji15] [emoji47] [emoji12]
Neno la Mungu sio neno la SHIGONGO, ahahhahaahahaha unajitetea ujinga kabisa , tukio ambalo unadai uokovu limejaa utapeli mtupu , roho mtakatifu aliewaongoza waandishi bila shaka alikuwa aoni ahahahhhhahahhahahhahajaj
 
Ahahahahahahhahahahhha tulia dawa iendelee kufanya kazi nafikir sasa 1+1+1=1 utakuwa umefahamu ata mwanao anakuekea alama ya kosa , cha ajabu ww na madevu yako umekomaa jibu ni moja, kuhusu Quran haina shaka imetoka kwa Allah
QURAN 69:43
";Ni uteremsho utokao kwa mola mlezi wa walimwengu wote"
QURAN 2:2
";Hiki ni kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake; ni uwongozi kwa wamchao Mwenyezi Mungu",
haya mambo yanatoka kwenye QURAN karim
 
Acha watu wa discuss. Imani ya Kweli haiogopi kujadiliwa Ndio maana Mungu alituumba na Akili ili tuweze kujenga Hoja













bla bla bla bla...bla blaaaa [emoji12] kila ukiambiwa kwa kutojua KUSOMA imekuathir hadi umelaaniwa [emoji117] kwa nini unapenda laana badala ya Baraka [emoji15] [emoji4]
 
Hoja yako ni ipi hapo ni kweli hatavunja misalaba yote mnayoitakidi ni alama ya ukombozi , ataondoa uzushi wote kuwa yeye ni Mungu na ataondoa JIZYA , na kila mtu atakuwa na ukwasi wa mali
Tutashukuru Akivunja Misalaba [emoji106] kwani hujui Msalaba ni shulba[emoji47] [emoji12] sasa pamoja na mambo mengine anakuja kuondoa shida, wee hutaki [emoji47] [emoji15]
 
bla bla bla bla...bla blaaaa [emoji12] kila ukiambiwa kwa kutojua KUSOMA imekuathir hadi umelaaniwa [emoji117] View attachment 867862 kwa nini unapenda laana badala ya Baraka [emoji15] [emoji4]
Ahahahahahahahahahahahahajana mwalimu wakufuru (Paulo).atoe laana hivi vichekesho
MATENDO YA MITUME 26:11
";Na mara nyingi katika masinagogi yote NALIWAADHIBU, nikawashurutisha KUKUFURU; nikawaonea hasira kama mwenye WAZIMU, nikawaudhi hata katika miji ya ugenini";

ahahahahahahahahaaha huyo ndio kakuingiza chaka
 
Tutashukuru Akivunja Misalaba [emoji106] kwani hujui Msalaba ni shulba[emoji47] [emoji12] sasa pamoja na mambo mengine anakuja kuondoa shida, wee hutaki [emoji47] [emoji15]
Ataondoa uzushi wa kumfanya yeye Mungu wakati ni kiumbe kama wewe tu ahahahaahaaha na misalaba ataivunja kwelikweli mpaka mkome kuivaa mashingoni
 
Ni tajia nchi ngap za kiarabu zimeruhusu ushoga , halafu uje uniambie nchi ngap za ulaya zimeruhusu ushoga namaanisha adi Israel , hii namaanisha kutokana na katiba za nchi zao, ushenzi wa ulaya ni matokeo yao wenyewe sasa kama Obama tu aliomba kura kwa mashoga hapo inakuaje?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…