Ndivyo Qur'an ya Mwalimu Wa shoga Yayo Agassi Pope Francis inavyosema hivyo??Ndio maana hua sipendi kujadiliana na wewe. Huchelewi kUnachanganyikiwa haraka sana.
Allah knows everything, as long as you do not ask him questions and no one is allowed to ask him questions (Qur'an 5:101-102)
Ndio maana hua sipendi kujadiliana na wewe. Huchelewi kUnachanganyikiwa haraka sana.
Allah knows everything, as long as you do not ask him questions and no one is allowed to ask him questions (Qur'an 5:101-102)
Allah sent a prophet to every nation, but yet Muslims cannot name one prophet for nations such as China, India, Japan, etc. (Qur'an 10:47; 16:36, 84, 89; 23:44)
Allah sent a prophet to every nation speaking to them in their own language (Qur'an 14:4).
I wonder what the book of Allah is in the Russian language?
Hii Tafsir unayo itoa humu umeitoa kwenye Kijiweni cha kahawa eeh [emoji15] [emoji12]
Aya inaelezea "UMMA" wewe unaelezea mtu [emoji38] [emoji38] kuna ummat ngapi hadi sasa [emoji47] Fichaga ujinga wako [emoji33] [emoji33]
Kuhusu kuvunja goti aya ya kabla ya Baba kasimu KUWEPO INASEMA [emoji117] View attachment 869447 GOTI LITAPIGWA KWA YESU, KWA YESU NA si kupiga goti huku unasujudu [emoji12] unaweza kusoma kitabu huku unasujudu??? zawadi ya wanao sujudu hii hapa [emoji117] View attachment 869460..wewe unapiga goti kwa Yesu [emoji47] [emoji47] [emoji47] baba kasimu anasema wakiwa kwenye kuvunja goti watasoma Kitabu chao! wewe Utasoma kitabu gani wakati koloani allah anasema koloani ni copy tu [emoji117] View attachment 869454 kapige ramli halafu uje [emoji12]
Umeandika madabu kwanza unaeewa lengo la kuumbwa mwanadamu? Kwanini tuwe mbingun had sasa? Adam alipokuwa kwenye bustan za pepon ilikuwa ni kama honey moon yeye na mkewe ukisuburiwa muda muafaka wa kushuka duniani...Mungu alimesema kwemye Quran nataka kupekeka kiongozi duniani na yotee yalitokea alijua yatatokea sababu maisha yetu sisi ni mtihani ili tuweze kupanda daraja ndio maana kuna siku ya hukumu ama siku ya malipo kila mmoja alipwe kwa kile alichokichuma na hakuna mtu anabeba mzigo wa mtu isipokuwa kama majukumu yako yalikuwa juu ya mtu fulan na huku yatekeleza kwemye Quran imeweka waz adam aliomba msamaha na Mungu akawamsamehe ni atory inakuingia akili sio kama ya bible kuwa adam alisikia hatua za Mungu anatembea yaan Mumgu anamtafuta adam kwenye bustani huku akimuuliza adam adam uko wapi? ndio maana Pope fransic kasema hiyo story ni uzushi iondolewe kwemye bible....CONCERNING ORIGINAL SIN
Uislamu umekua ukidhihaki Ukristo kwa kuamini kuhusu Dhambi ya Asili “original sin”
Lakini Jambo hili limejaa ndani ya Uislamu kuliko hata ndani ya Ukristo. Uslamu umekua ikikataa kuamini hii Christian concept of the original sin.
Tuangalie Hadithi za Usilamu zinavyoeleza bayana hii:-
Hadith of Sahih Al-Bukhari, Book 77, Hadith 611? Reported Abu Huraira:
“Allah's Messenger said: ‘Adam and Moses debated with each other’. Moses said to Adam, ‘TO YOU ADAM! You are our ancestor who displeased us and fired us out of heaven’”. “Moses said to Adam, “To You Adam! You are our ancestor who displeased us and fired us out of heaven.”
(NOTE: Mohammad amechanganya Garden of Eden na Mbinguni( Heaven).
Akifikiri kua Adam and Eve waliishi Mbinguni kabla hawajatenda dhambi. Na wakafukuzwa mbinguni walipotenda Dhambi.
Is this not exactly what the original sin is about?
Muslims are out of heaven (Paradise) due to Adam’s sin NOT Muslims’ sin
(Sahih Muslim, Book 016, Hadith 4156):
Allah's Messenger said, “No man who is murdered unjustly, but THE SHARE THIS TRANSGRESSION OF HIS also DESCENDS FROM from the first son of Adam for he was the first to establish killing.”
HAPA MOHAMMAD ANAONYESHA KUHUSISHA KURITHISHWA 'ORIJINO SIN'.
When Cain, the first son of Adam, killed his brother, it was his choice. If I kill today, I do it by my own choice also.
In other words, I did not kill because Cain killed, but I SINNED (by killing), BECAUSE SIN STARTED WITH CAIN. Cain's capacity for sin became our inheritance, or as Muhammad puts it, we share the sin of Cain.
HADITHI NYINGINE HII HAPA CHINI:-
Sahih Al-Bukhari, Book 55, Hadith 547: Abu Huraira Reported:
“The Messenger said, ‘If there were no Jewish existence, meat would never spoil and if Eve did not exist, wives would never cheat on their spouses.’”
HII ni Ushahidi tosha kua Muhammad anaamini katika an endless connection between the sin of Eve and the sin of every woman. Otherwise, how can we explain the connection between what Eve did and what women do today?
Kwa mujibu wa Muhammad:
1. Dhambi ye Eve ndio sababu ya wanawake wote kutenda Dhambi.
2. It looks like the words of Muhammad are trying to make us accept that sin is the same as an inherited disease.
Imeelezwa kwenye Qur’an 2:35-38
that Adam was given the gift of heaven; then he sinned, which caused him to be expelled from heaven.
Ikiwa Adam alitenda dhambi? Kwanini sisi tuliobaki hatupo Mbinguni?.
Kama hakuna connection kati ya between Dhambi ya Adamu na sisi tulipaswa kuwepo mbinguni Muda huu.
Is it the fault of Adam or is it ours? Are we out of heaven due to the sin of Adam or due to our sins?
Tukizingatia kua Mtoto mdogo (a newborn baby) hajatenda dhambi bado, hivyo hastahili kutokuwepo mbinguni.
Ikiwa naye angepewa nafasi kama walivyopewa Adam na Eve. Angefukuzwa mbinguni kama angefanya makosa.
Therefore, it obviously makes sense that we are out of heaven as a result of Adam’s disobedience to God.
We also see Muhammad showing his hypocrisy by blaming women, to this day, for Eve’s sin as if it were her’s alone. It is important to remember that even in the teachings of Islam, the first sin or original sin--that is, sin committed by Adam and Eve together--is connected to our life today.
GAY AND LESBIAN JUSTICE IN THE QUR’ANNdivyo Qur'an ya Mwalimu Wa shoga Yayo Agassi Pope Francis inavyosema hivyo??
Mtoa post umepotosha,Mtume Muhammad hakutoa elimu kwamba jua lilikuwa likizama kwenye matope meusi,suratul kahfi inaelezea hadithi za wale waliolala kwenye pango na mbwa wao kwa miaka kadhaa Kisha wakafufufliwa wakijua walilala jana yake tu,Hii inaelezea mtitririko mzima wa watu hao walipoingia mitaani baada ya kutoka mapangoni.
Ndio Mtume Muhammad alikuwa akiwahadithia,na Maswahaba walipotaka kuelezewa habari ya Dhurqanaini ndio akawahadithia kupitia Huyo Dhulqarnaini kuna sehemu akaeleza ya kwamba nilipofika machwea jua nililikuta linazama kwenye chemchem yenye matope meusi.
Hii ni hadithi ambayo haikusema kisayansi kuwa jua linazama kwenye matope,bali katika mtirirko wa hadithi za huyu Dhurqanaini katika safari yake ndio anaelezea alivyokutana navyo,ni sawa unapotembea barabarani ukakuta mvuke upo kama maji ya bahari ndivyo huyu alivyohadithia alikuta jua kama linazama kwenye matope,na hii ni kawaida jua linapozama kwenye wingu jeusi utaona hvyo.
Lakini haikuwa elimu kuwa Mtume anatoa fatwaa kuwa jua huwa linazama matopeni,isomeni hiyo sura mtaelewa,na katika Quran zipo sura za makundi tofauti,zipo za kuonya,kufunza,hadithi za mafunzo ya waliopita na hukmu kwa matendo mbalimbali n.k.
Tusiwe wenye kupotosha aliesema amekuta matope ni huyo muhusika wa anaelezewa hadithi yake.
Hahaha... kazi kwelikweliHao watu akili zao wanazijua wenyewe.Mchungaji kajiua na ndio Mapadri wakajinyakulia vikondoo mpaka vichanga na kuvitandika bakora makanisani
Vitabu vya kale unafikiri biblia yako ya Queen James nayo imo??Hii Tafsir unayo itoa humu umeitoa kwenye Kijiweni cha kahawa eeh [emoji15] [emoji12]
Aya inaelezea "UMMA" wewe unaelezea mtu [emoji38] [emoji38] kuna ummat ngapi hadi sasa [emoji47] Fichaga ujinga wako [emoji33] [emoji33]
Kuhusu kuvunja goti aya ya kabla ya Baba kasimu KUWEPO INASEMA [emoji117] View attachment 869447 GOTI LITAPIGWA KWA YESU, KWA YESU NA si kupiga goti huku unasujudu [emoji12] unaweza kusoma kitabu huku unasujudu??? zawadi ya wanao sujudu hii hapa [emoji117] View attachment 869460..wewe unapiga goti kwa Yesu [emoji47] [emoji47] [emoji47] baba kasimu anasema wakiwa kwenye kuvunja goti watasoma Kitabu chao! wewe Utasoma kitabu gani wakati koloani allah anasema koloani ni copy tu [emoji117] View attachment 869454 kapige ramli halafu uje [emoji12]
Sio Dini tuHizo dini zote tumeletewa bora tubaki na zetu za kina mwanamalunde
Hivi ufunuo alikuandikia nani??
Acha kukoroga mambo ndgKamuulize baba fatûû [emoji12] kila mkiambiwa baba fatûû kawazuia kuuliza maswali maadamu koloani Ipo View attachment 869646 humuamini umebakia wazimu Wa maswali [emoji117] View attachment 869657
Acha kukoroga mambo ndg
Usilolijua,ni sawa na usiku wa kiza
Ila jamaa
Punguza Chuki
na kama unalipwa kwa ajili ya kuuchafua Uislam,Basi fahamu ndg fahamu
UMEFELI VIBAYA SANA
Namuomba Mola akuongoze
Isome Aya vizr kwa mara nyengine tena
kisha weka hoja
wapi tumekatazwa kuuliza?!
sijaona katazo la moja kwa moja la kuuliza hapo!!!View attachment 869732 wewe muumini au mwichilamu? alicho waagiza waumin baba fatuma [emoji117] View attachment 869739 tuwekee aya humu baba fatuma anawaagiza muulize maswali [emoji12] [emoji4]
Hupaswi kufuata mafundisho ya Dini kibubusa,maana aliyekuumba kakupa msisitizo juu ya kutafuta Elimu,na manabii+mitume wote walikua ni watu wenye Elimu+utambuzi wa hali ya juu ambao walifanya kazi ya kuwatoa ktk Giza Nene watu kama wewe ili waione kweli na kuifuata na ndio maana utagundua wengi waliotokea kufuata mafundisho ya manabii+mitume walikua ni watu waliokwisha potoka/waovu/waliokengeuka na kufuata njia zao kwa namna ambayo waliona inawafaa lkn Mwisho wa siku wakaenenda ktk njia nyoofu,hivyo ukijitizama vzr pengine "mpumbavu" ni wewe ila kwa sasa hutoliona hilo kwakua upo ktk gizakwanza"" ni umbumbu"" kukaa na"kuamini kuwa Jua linatua kwenye ""matope " wakati"" inafamika kuwa linajoto Kali ""na kuunguza""", hayo matope"" mpka muda huu jamani"" si yangekuwa"" yameshaungua na udongo wake ""kuwa"" kma"" tofari la"" kuchoma""
wanao"" amini ""mafundisho", Ya dini",, ni watu " ambao ",wameamua " kuwa " wapumbavu" kifikira
Ahahahhqqhaqqahqhqhqhqhqhqhq waislamu tunaongozwa na QURAN na Sunah , hicho kitabu cha KONTRA BALIK umekitoa Vatican ahahahahahhahhahhaHakuna kitabu cha stori unakikubali [emoji15] [emoji4]
Ahahahaahaaaahaahaah tabu iko pale pale QURAN iko wazi kabisa Adamu aliposhushwa dunia alikuwa mtu saaafi wala hakuwa na dhambi ( Mungu wetu ni mwenye kupokea toba) , midhambi ya kurisishana kama mali za ukoo huku kwenye uislamu tumekataaSema anae shangaa popobawa [emoji11] [emoji15] burdan ninapo chat na daudi kama vile nakula kitimoto [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji106]