Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
John 10:17-18Hebu mda mwingine bila kuapply akili kubwakubwa tujiulize tu kwa akili ya kawaida, hivi mchungaji mwema akiutoa uhai wake kwajili ya kondoo je hao kondoo watabaki (watachungwa) na nani?
Kuweni serious mda mwingine bana!
Mimi nanukuu tu dogo [emoji4] kama kujichanganya kajichanganya allal na baba yake kassim [emoji12] [emoji38] [emoji38]Wewe ndo kabisaa hueleweki yani bora wenzako... hiyo ya kutuwekea vipandevipande hivyo maana yake nini sasa! Tena kama hivyo vya Qur'an ndo kabisa umejichanganya
Laiti ungefungua macho yako ya rohoni kuona jinsi Mohammad alivyopoteza watu wengi sana.Kwa darasa hili lakini bado mtu haelewi tu sijui ataelewa nini tena...
Paulo kapoteza watu sana.
Wa kristowee kwa nini unapenda kuzusha zusha [emoji53] Yesu Mwenyewe Alianza kutuita WA-KRISTO [emoji117] View attachment 868583 zusha lingine [emoji117] View attachment 868584 [emoji53]
Me Mwenyewe sikumwelewa kabisa kabisa alichokimaanishaEmbu tuliza munkari uliza swali ujibiwe , unazunguka wewe mara malaika jibril ,mara marriamu , mara sijui Mungu ebu kaa chini panga swali lako ulilete , sio unarudia aya unaenda mbele unarudia tena ueleweki unataka nini?ahahahaahhahaahahahaha uliza maswali ujibiwe sio kupuyanga
Mzee pumzika tu mana hueleweki hataKwa hiyo allah aliye chukua tenda kulinda majumba yao ya Ibada (Makanisa),View attachment 869108 aliye sema wanamcha Mwenyezi Mungu na wasihofu [emoji117] View attachment 869044 huyu Hajui ila mtoto Wa mushahara ni mjuzi zaidi yake [emoji15] sema kama wee ni mjuzi zaidi yake [emoji4] ooh nani Alianza kuwaita nyie Wa-KRISTO [emoji12] Wapi¿? Kama kulele Silari ni mzee Chacha Wambura...kule kwa wasambaa au unguja Mimi sijui [emoji53] mkiambiwa hamjui kusoma Mnabishia wakati hata baba fatu kawapasha [emoji117] View attachment 869118 [emoji33] [emoji33] [emoji33]
Akijibu kiusahihi nitagNIMEKUULIZA ; MKRISTO KWA KIARABU ANAITWAJE UNASUASUA HUTAKI KUJIBU
Huyo jamaa anakawaida ya kuulizwa maswali na kukataa kuyajibu. Na yeye leo anataka kupewa majibu. Ha ha haAkijibu kiusahihi nitag
Hilo la kwanza ni kwamba mtu akifa au kiumbe yoyote ni kwamba anakufa kwenye muda wake maalum ulowekwa (na Allah)Hivi kwa nini baba fatu aliwafundisha [emoji117] View attachment 869134 na hapa [emoji117] View attachment 869144 kuna MTIHANI kwa nyinyi mnaogonga kichwa Ardhi [emoji4] hapo ni kuvunja GOTI tu hakuna sijui sigda...Nakushauri ndugu yangu daudiī kabla huja kunjishwa goti kwa Mbele ya Bwana Yesu anza KUKUNJA mwenyewe Ukiwa hapa duniani [emoji120] ni ushauri tu kama utaupuuza kivyako dogo [emoji53] hata baba kassim aliwaambia nakubaliane kwenye mambo mlingano [emoji4]
Unakijua hicho ulichokiandika ?? Umechanganyikiwa?? Kichwa umekiweka makalioni ,mkono mgongoni, mdomo nyayoni, hata hakijulikani ni kiumbe gani au unaandika Revelation nyengine ??CONCERNING ORIGINAL SIN
Uislamu umekua ukidhihaki Ukristo kwa kuamini kuhusu Dhambi ya Asili “original sin”
Lakini Jambo hili limejaa ndani ya Uislamu kuliko hata ndani ya Ukristo. Uslamu umekua ikikataa kuamini hii Christian concept of the original sin.
Tuangalie Hadithi za Usilamu zinavyoeleza bayana hii:-
Hadith of Sahih Al-Bukhari, Book 77, Hadith 611? Reported Abu Huraira:
“Allah's Messenger said: ‘Adam and Moses debated with each other’. Moses said to Adam, ‘TO YOU ADAM! You are our ancestor who displeased us and fired us out of heaven’”. “Moses said to Adam, “To You Adam! You are our ancestor who displeased us and fired us out of heaven.”
(NOTE: Mohammad amechanganya Garden of Eden na Mbinguni( Heaven).
Akifikiri kua Adam and Eve waliishi Mbinguni kabla hawajatenda dhambi. Na wakafukuzwa mbinguni walipotenda Dhambi.
Is this not exactly what the original sin is about?
Muslims are out of heaven (Paradise) due to Adam’s sin NOT Muslims’ sin
(Sahih Muslim, Book 016, Hadith 4156):
Allah's Messenger said, “No man who is murdered unjustly, but THE SHARE THIS TRANSGRESSION OF HIS also DESCENDS FROM from the first son of Adam for he was the first to establish killing.”
HAPA MOHAMMAD ANAONYESHA KUHUSISHA KURITHISHWA 'ORIJINO SIN'.
When Cain, the first son of Adam, killed his brother, it was his choice. If I kill today, I do it by my own choice also.
In other words, I did not kill because Cain killed, but I SINNED (by killing), BECAUSE SIN STARTED WITH CAIN. Cain's capacity for sin became our inheritance, or as Muhammad puts it, we share the sin of Cain.
HADITHI NYINGINE HII HAPA CHINI:-
Sahih Al-Bukhari, Book 55, Hadith 547: Abu Huraira Reported:
“The Messenger said, ‘If there were no Jewish existence, meat would never spoil and if Eve did not exist, wives would never cheat on their spouses.’”
HII ni Ushahidi tosha kua Muhammad anaamini katika an endless connection between the sin of Eve and the sin of every woman. Otherwise, how can we explain the connection between what Eve did and what women do today?
Kwa mujibu wa Muhammad:
1. Dhambi ye Eve ndio sababu ya wanawake wote kutenda Dhambi.
2. It looks like the words of Muhammad are trying to make us accept that sin is the same as an inherited disease.
Imeelezwa kwenye Qur’an 2:35-38
that Adam was given the gift of heaven; then he sinned, which caused him to be expelled from heaven.
Ikiwa Adam alitenda dhambi? Kwanini sisi tuliobaki hatupo Mbinguni?.
Kama hakuna connection kati ya between Dhambi ya Adamu na sisi tulipaswa kuwepo mbinguni Muda huu.
Is it the fault of Adam or is it ours? Are we out of heaven due to the sin of Adam or due to our sins?
Tukizingatia kua Mtoto mdogo (a newborn baby) hajatenda dhambi bado, hivyo hastahili kutokuwepo mbinguni.
Ikiwa naye angepewa nafasi kama walivyopewa Adam na Eve. Angefukuzwa mbinguni kama angefanya makosa.
Therefore, it obviously makes sense that we are out of heaven as a result of Adam’s disobedience to God.
We also see Muhammad showing his hypocrisy by blaming women, to this day, for Eve’s sin as if it were her’s alone. It is important to remember that even in the teachings of Islam, the first sin or original sin--that is, sin committed by Adam and Eve together--is connected to our life today.
Ndiyo tafsiri ya Neno Mkristo Kwa kiarabu hiyo ??Huyo jamaa anakawaida ya kuulizwa maswali na kukataa kuyajibu. Na yeye leo anataka kupewa majibu. Ha ha ha
Hao watu akili zao wanazijua wenyewe.Mchungaji kajiua na ndio Mapadri wakajinyakulia vikondoo mpaka vichanga na kuvitandika bakora makanisaniHebu mda mwingine bila kuapply akili kubwakubwa tujiulize tu kwa akili ya kawaida, hivi mchungaji mwema akiutoa uhai wake kwajili ya kondoo je hao kondoo watabaki (watachungwa) na nani?
Kuweni serious mda mwingine bana!
Wanajukwaa:
Dunia yetu inaendelea kushika kasi katika suala la Sayansi na Tekinolojia.Kwa siku za hivi karibuni,wanasayansi wamegundua kuweza kutengeneza Moyo kwa kutumia stem cells,ikiwa ni hatua katika kuelekea kutengeneza moyo wa binadamu,hali ambayo itasaidia katika kukabiliana na matatizo ya Moyo yanayowakabili wanadamu,kwa kiasi kikubwa, yale ambayo uhusisha mwanadamu kupoteza maisha, kwa sababu tu Moyo wa mgonjwa husika hauna repair au hauwezi kubadilishwa.Miaka kama kumi hivi iliyopita,wanasayansi walikuwa wamefanikiwa kutengeneza Moyo wa panya kwa kutumia hizo stem cells.
Kumbe,kwa tafiti mbalimbali zinazoendelea kufanyika sehemu mbalimbali duniani,ama ardhini au angani,zote zinalenga katika kuboresha maisha ya mwanadamu na hata kuongeza siku za kuishi kwake.Historia inao watu wengi sana ambao wamejihusisha na Sayansi kwa nyakati tofuati tofauti.
Leo,ninataka tumuangalie Mtume Muhammad kwa namna alivyoweza kujihusisha na suala la Sayansi kwa kile kinachosemwa ni kwa msaada wa Mungu.Kurani neno la Mungu;maneno ambayo Mungu akiisha kuyaandika huko Mbinguni, alikuwa anampatia Malaika Gabriel na malaika Gabriel akampatia Mtume Muhammad katika Nyakati tofauti tofauti na Muhammad kuyaweka katika maandishi,lakini kwa namna ya pekee,kwa mara ya kwanza kabisa ikiwa ni katika Pango lililoko katika Mlima Hira, Jabal an-Nour,huko Makka,ambako inadaiwa Mtume Muhammad alipokea ufunuo huo, kwa matatizo sana kwa sababu ya kutojua kwake kusoma na kuandika,Malaika Gabrieli alijikuta anamkaba.
Kwa njia ya ufunuo wa Kurani,tunafunuliwa mambo mengi ya Kisayansi ambamo Muhammad anatujuza jinsi mambo yalivyo.Kwa leo, ninawaletea jambo moja tu.Nalo ni juu ya namna Jua linavyokuchwa na kadri Mungu atakavyotujalia tutayaangazia na mambo mengine.
Kurani kupitia Sura al-Kahf (18: 83-86), inaeleza kwamba Jua huchwea katika chemchemu ya matope meusi mazito(dark Muddy spring):
“83-Na wanakuuliza khabari za Dhul- Qarnaini. Waambie: Nitakusimulieni baadhi ya hadithi yake.84 -Sisi tulimtilia nguvu katika ardhi na tukampa njia za kila kitu.85 - Basi akaifuata njia. 86 - Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika chemchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema.”
Wakati Muhammad akiwa ametupasha ukweli huo ambao aliandikiwa na Mungu, Ukweli wa kisayansi umebainisha kwamba Jua ni kubwa zaidi na lenye joto kali kuliko dunia.Na ikitokea kwamba Dunia inakaribiana na Jua,basi dunia itayeyuka kutokana na joto kubwa la Jua.
Ukweli mwingine,ambao pia Sayansi imetupatia ni kwamba Jua halitembei bali sayari mbalimbali ndio hulizunguka,ikiwemo Sayari yetu ya Dunia. Historia inaonyesha kwamba mtu wa kwanza kugusagusa habari za kuwa Jua lilikuwa halizunguki alikuwa ni Aristarchus (310-230KK).
Aristarchus alikuwa ni mwana-Astronomia wa Kigriki. Yeye aliamini dunia ilikuwa katikati ya Mfumo wa Jua(Solar system) na sayari zingine (ikijumuishwa na nyota ambazo zilikuwa zimefungwa katika nafasi fulani) ndio zilizokuwa zikilizunguka Jua.
Hata hivyo, baadaye mwanasayansi,Aristarchus, alikuja kugundua kuwa sio dunia iliyokuwa katikati ya Mfumo wa Jua, bali ni Jua na hivi kwamba ni Dunia na sayari zingine ndizo zilikuwa zikilizunguka Jua.Ugunduzi wa namna hii ulipatikana miaka mingi sana (takribani karne tatu hivi) kabla hata ya Yesu Kristu kuzaliwa na karne tisa kabla ya Muhammad kuzaliwa.
Mwanasayansi mwingine pia aliyekuja na mtizamo tofuati na wa Muhammad (kwa kadri ya ufunuo kutoka kwa Mungu) ni Jean Buridan (1300-1359/61). Huyu) anafahamika kama Mwanafalsafa Mashuhuri sana katika Ufaransa.Buridan alikuwa Mwalimu katika Kitivo cha Sanaa cha Chuo Kikuu cha Paris kwa kupindi chote cha maisha yake ya kitaaluma akimakinika hasa hasa katika masuala ya Logiki (Logic) na kazi za mwanafalsafa Aristotle.
Ni Bridan aliyeanzisha wazo juu ya kiitwacho Copernican Revolution katika Ulaya.Hili ni fundisho lililoleta mwangaza kutoka kuamini kwamba dunia ilikuwa imesimama sehemu moja katika ulimwengu na kwamba Jua ndio lilikuwa linaizunguka dunia (Geocentrism) hadi kueleweka kwamba kumbe Jua ndilo limesimama wakati dunia na sayari zingine zikilizunguka (Heliocentrism).
Kumbe, sasa kwa uchache,kwa mawazo ya hao wanasayansi wawili,tunapata picha kwamba Muenendo wa Jua kuchomoza na kutua sio jambo lililoanza wakati wa Muhammad.Na kama suala la Sayansi ya Mfumo wa Jua lilianza mapema kabla ya Yesu na Muhammad kuzaliwa, yeye Muhammad alipopewa ufunuo na Mungu, hakuweza kujiuliza iwapo ufunuo huo wa Mungu inakuwaje unapingana na ukweli wa mambo?Katika kutafakari ufunuo huu wa Mungu kwa Muhammad, nimejikuta nina maswali yafuatayo,ambayo naomba yatuongoze katika kujadili suala hili.Ni muhimu kujadili kwa sababu pengine Dunia inatufundisha vitu ambavyo havipo.Hivi kweli Mungu anaweza kumueleza Muhammad mambo ya uongo?Maswali mengine ambayo bila shaka hata wewe unaweza kujiuliza ni haya:
1. Hiyo Chemchemi ya matope mazito na meusi iko hapa duniani?Na kama haipo hapa duniani iko angani? Na kama iko angani iko sehemu gani?
2. Huyo Dhul-Qarnaini alikuwa ni kiumbe wa namna gani huyo aliyepewa uwezo wa kuona Jua linavyotumbukia katika matope?
3. Pamoja na kwamba wakati wakati wa Muhammad, labda Sayansi ya kwamba Jua halizunguki, isipokuwa dunia ndio hulizunguka Jua, ilikuwa haijafika katika maeneo ya ardhi ya Arabia, bado hata vizazi vya zamani sana havikupata kuwa na uelewa kama huo wa Muhammad kuwa Jua lilikuwa linatua matope meusi! Je,ilikuwaje katika Vizazi vyote hivyo hapo katikati(ikiwemo na Yesu mwenyewe ambaye Muhammad anamuelezea kama aliyekuwa na uwezo wa kufinyanga wanasesere na kuwapulizia uhai na wakawa ndege kamili), kabla ya Muhammad, akakosekana mtu mwenye uelewa wa kuliona Jua likizama katika matope meusi tofauti? Hivi wewe kwa sayansi hii ya Muhamma juu ya Jua kuchwea katika matope meusi haikupelekei kujiuliza yafuatayo:
· Je, Muhammad kusema mambo ambayo hakuwa nayo uthibitisho ilikuwa ni kutafuta tu kuonekana kwamba Mungu amempa ufunuo wa kipekee juu ya ulimwengu?
· Je, vizazi ya Kiarabu na dunia kwa ujumla baada ya kugundua kwa tafiti za kisayansi, ambazo zimethibitisha kuwa Jua huzungukwa na sayari mbalimbali, ikiwemo Sayari yetu ya dunia, vimuoneje, Muhammad na Uislamu kwa ujumla?
· Je,wanadamu wa vizazi vyote vinavyofahamu kuwa Jua halijawahi kuzama katika matope ama meusi,bluu au meupe, visimuamini Muhammad katika mambo mengine aliyoyasema au vimuchukulie kama mtu aliyekuwa anajaribu kupiga ramli ya jinsi mambo yalivyo?
Lakini swali la mwisho kabisa ambalo nitaomba ujiulize ni hili:Je,Ni kwa nini hadi leo baada ya kugundulika kuwa Jua halizami na wala halizunguki,ni kwa nini hadi sasa aya hiyo iko imesalia katika Kurani?Je,ni nani anasema uongo kati ya Mungu na wanasayansi juu ya suala la Jua?
Karibu kwa mjadala ili tupate kujua ukweli kwa faida ya maendeleo ya Dunia yetu.
Joshua hakusimamisha jua isipo kuwa alimamisha dunia Manake jua halizunguki lipo center na sayari dunia ikiwemo ndio hulizunguka jua
Hilo la kwanza ni kwamba mtu akifa au kiumbe yoyote ni kwamba anakufa kwenye muda wake maalum ulowekwa (na Allah)
Hakuna kutangulia- kwamba kakarogwa, au amekufa kabla ya siku zake na shutuma nyingine kama hizo...
Hakuna kukawia -kwamba uhonge ili uachwe uishi mda mrefu zaidi n.k
Ama hilo la pili ngoja nikupeleke kulingana na kiwango cha uelewa wako tu;
Biblia inaonesha kuwa kwake yeye MwenyeziMungu kila goti litapigwa sasa je, hivi kati ya Waislam na Wakristo ni akina nani ambao hukunja goti (wanapiga goti)
utanielewaje wakati una mahaba ya kufuzu ili ukangonoke mbele ya allah [emoji47] [emoji12] nimeamini ashki majunun [emoji4]Mzee pumzika tu mana hueleweki hata
Ndio maana hua sipendi kujadiliana na wewe. Huchelewi kUnachanganyikiwa haraka sana.Unakijua hicho ulichokiandika ?? Umechanganyikiwa?? Kichwa umekiweka makalioni ,mkono mgongoni, mdomo nyayoni, hata hakijulikani ni kiumbe gani au unaandika Revelation nyengine ??