Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
WHO IS THE HOLY SPIRIT IN ISLAM? WHO SPOKE TO MARY?

Quran 6:101.

Kama tulivyoona Allah hawezi kua na Mtoto unless ana Mke.
Ameumba kilakitu na mjuzi wa vyote.

Quran nayo inatueleza kuhusu Bikira Maria. Maria alikua mjamzito akiwa bikira.

(or 'Isa, as He is called in the Qur’an).

Qur'an 3:47 tells us:

She (Mary) said, “My God, how I am going to have a son when no man had intercourse with me.” He said, “This is how Allah creates. He says 'be' and it would be!”

[emoji115] [emoji115] Regarding this verse, Waislamu watakuambia huyu ni Malaika Gabriel, or Jibreel, aliyekua akizungumza na Bikira Maria.

NB:Usichanganye na Stori ya Kwenye Bibilia.

Waislamu pia watakuambua alikua akizungumza na Roho Mtakatifu aliyemtokea kwa umbile la Malaika Jibreel.

Let’s review the verse 47 carefully:

[emoji116] [emoji116]
She (Mary) said, “MY GOD, how I am going to have a son when no man had intercourse with me.” He said, “THIS IS HOW ALLAH CREATES. HE SAYS 'BE' AND IT WOULD BE"

Huu ni Ushahidi mwingine tunawekewa kuonyesha kua Quran ni man-made.

Notice the following:

Mary alimwita Roho Mtakatifu aliyemtokea kwa umbile la Mtu.-"MY GOD."

(
Qur’an 19:17) “My God” (RABY), but he told her that he is only a messenger, not God

( Qur’an 19:19).
As long as Mary called the Holy Spirit “My God,” in Qur’an 3:47 and assuming that he was Allah, why was he talking about himself in the third person—that is, why did he say, “This is how Allah creates,” instead of, “This is how I create”?
Je Mary alifanya Kosa kumwita Roho Mtakatifu "My God"
.
Au je alikua Ni Allah?.

Hakuna mahali kwenye Quran panaposema aliyezungumza na Mary ni Malaika Jibree(Gabriel).
Na hakuna Popote kwenye Quran panaposema Malaika Jibreel ndiye Roho Mtakatifu.

In Qur’an 3:45 we read:

And recall when the angels said: “O Mary! Lo! Allah gives thee joyful tidings of a word from him. Whose name is the Christ Jesus, son of Mary, glorious in the world and the Hereafter, and nearer unto Allah;”

[emoji115] [emoji115]
Hapa Inasema Ni Malaika.

Lakini Quran 19:16 tunasoma kua one spirit became a perfect man!
[emoji116] [emoji116]
Makosa ya wazi kua malaika ni mmoja na ndiye Roho Mtakatifu na ndoye aliyeleta habari, anayezungumza kama.mtu mmoja.

Lakini Je malaika wote wanazungumza na wote ni Roho Mtakatifu?.
Qur’an 3:45

This would mean that the Holy Spirit is holy spirits.

Hatahivyo inapingana na story nyingine tunaipata ndani ya Quran 19:16-21.

Qur’an 19:17:
So she (Mary) screened herself from them. So we send to her our spirit, who appeared to her as a normal man.

Roho moja ikawa Mwanadamu.

Waislamu wanasema Roho Mtakatifu ni Mmoja na ndiye Malaika Jibreel.

Waislamu wengu hutafsiri Roho kwenda Malaika. Tafsiri ambayo ni ya Uongo na yenye Makosa.

Roho Mtakatifu ametajwa kua Mungu na Mary.

Lakini wakati huohuo anajieleza kua ni Mesenja wa Mungu.

Qur’an 19:19:

I am only a messenger from your Lord, to announce to thee the gift of a holy son.

Kwanini Roho Mtakatifu awe Malaika Jibreel?.
Qur’an 16:2:

He dispatches down the angels with the Ruh (Spirit) of His Command to whom of His slaves He wills, saying, “none has the right to be worshiped but I, so protect yourself from me.”

Allah anamtuma Malaika mwenye Roho.
Hii inamaanisha Malaika sio Roho.

Waislamu wanajaribu kutafsiri neno Ruh, حورل, kama “revelation”,
Nakudhihirisha Uongo na aibu nyingine.

Qur’an 16:2,
He sendeth down the angels with the Spirit of His command unto whom He will of His bondmen, (saying), “Warn mankind that there is no Allah save Me, so keep your duty unto Me.”

Kuna Ushahidi mwingine wa Quran.

Quran 26:192-193:
192
Verily these are scriptures from the Lord of the two Worlds (world of mankind, and Jinn).
193 With it, came down with it, the Faithful spirit.

[emoji115] [emoji115]
Allah hasemi itashuka pamoja na Jibreel?.is.is just a word?.

Kwanini Allah hakuweka wazi kama.huyo ni Malaika?

Qur'an 70:4

The angels AND the spirit, rise up unto him (Allah), in a Day which is identical to fifty thousand years of your years.

[emoji115] [emoji115] 

Kama Malaika ndiye Roho?.
Kwanini allah anawataja separately?.

Qur'an 78:38 says:

1. In that day (Judgment day) the Spirit and the angels will line up in ranks, and not one of them shall talk except by Allah's order Most Gracious, and He speaks correct.

2. Again, Allah is saying they will stand next to each other, in ranks, Spirit and the angels.
[emoji115] [emoji115]
Huu ni ushahidi kua Waislamu wanajichanganya kati ya Malaika na Roho.

Kama.Mtume wao ndiye wa mwisho kwanini hakutoa Majibu?.

Kwanini allah hakusema wazi kua mesenja aliyemtuma kwa mary ni Malaika Jibreel badala yake akaweka confusion?.
Kwa mfano Ukisoma bibilia
Luke 1:19.

And the angel answering said unto him, I am Gabriel, that stand in the presence of God; and am sent to speak unto thee, and to shew thee these glad tidings.

Lakini zipo aya nyingi kwenye Quran, like Qur'an 7:52, zinazoeleza wazi kua it is a very clear book.

For We had definitely sent unto them a Book, based on wisdom which We explained it to them in clear details, as a guide and a mercy to people who believe.

Wakati huo huo
Qur’an 3:7 clearly states that
the Qur’an has two parts. The first part is clear, and the other one is not only vague but it also indicates that no one except Allah knows its meaning; “but no one knows the Qur’an’s real meaning except Allah.”

Kuna anayejua sehemu ya allah aliyojiwekea aisome?

Yaweza kuwa ni kweli kuwa mwenyewe Paulo akiamini kuwa hila hizo zote azitendazo ni kwa ajili apate "kuwaokoa watu."

Wengi miongoni mwa wataalamu wa Biblia wanakubaliana na Dr. Craveri na Dr. Schonfield kuwa makusudio ya Paulo ni kuwa apate yeye binafsi wafuasi wengi zaidi ili apate kuwashinda wale wanafunzi wa Yesu mwenyewe.

Kwa hivyo ndio akawa hasikii haoni.

Kwa lengo hilo yu tayari kufanya lo lote, hata akakhiari kugeuza mafunzo ya Kristo ili apate wafuasi yeye "kwa jina la Kristo."

Kwa hakika wale wafuasi wake kutokana na mataifa walibakia kuwa vile vile makafiri ila waligeuzwa jina tu, wakaitwa Wakristo.

Ndio hivyo alivyowaandikia Warumi:

Lile neno li karibu nawe, katika kinywa chako, na katika moyo wako: yaani, ni lile neno la imani tulihubirilo. Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka.
Warumi 10.8-9

Ndio hivyo Ukristo umerahisishwa na Paulo ili isiwe taabu kwa makafiri waweze kuitwa Wakristo bila ya kuufuata Ukristo wa Yesu.

Katika mtindo huu Paulo alipata upinzani kutokana na wengi, kama tunavyoona katika waraka wa Yakobo, nduguye Yesu, unavyofunza imani ya matendo, si imani tupu.

Natusome:

Ndugu zangu, yafaa nini, mtu akisema ya kwamba anayo imani, lakini hana matendo? Je! ile imani yaweza kumwokoa? Ikiwa ndugu mwanamume au ndugu mwanamke yu uchi na kupungukiwa na riziki, na mtu wa kwenu akawaambia, enendeni zenu kwa amani, mkaote moto na kushiba, lakini asiwape mahitaji ya mwili, yafaa nini? Vivyo hivyo na imani, isipokuwa ina matendo, imekufa nafsini mwake. Lakini mtu atasema, Wewe unayo imani, nami ninayo matendo. Nionyeshe imani yako pasipo matendo, nami nitakuonyesha imani yangu kwa njia ya matendo yangu. Wewe waamini ya kuwa Mungu ni mmoja; watenda vema. Mashetani nao waamini na kutetemeka. Lakini wataka kujua, wewe mwanadamu usiye kitu, kwamba imani pasipo matendo haizai? Je! baba yetu Ibrahimu hakuhesabiwa kuwa ana haki kwa matendo, hapo alipomtoa Isaka mwanawe juu ya madhabahu? Waona kwamba imani ilitenda kazi pamoja na matendo yake, na ya kwamba imani ile ilikamilishwa kwa njia ya matendo yale. Maandiko yale yakatimizwa yaliyonena, Ibrahimu alimwamini Mungu, ikahesabiwa kwake kuwa ni haki; naye aliitwa rafiki ya Mungu. Mwaona kwamba mwanadamu huhesabiwa kuwa ana haki kwa matendo yake; si kwa imani peke yake. Vivyo hivyo na Rahabu, yule kahaba naye, je! Hakuhesabiwa kuwa ana haki kwa matendo, hapo alipowakaribisha wajumbe, akawatoa nje kwa njia nyingine? Maana kama vile mwili pasipo roho umekufa, vivyo hivyo na imani pasipo matendo imekufa.
Yakobo 2.14-26

Mafunzo haya yanapingana moja kwa moja na yale ya Paulo, na yanakubaliana moja kwa moja na yale ya Yesu, mwenyewe.

Si ajabu basi kumsikia Paulo anakakamia kwa hasira isiyofichikana akisema:

Lakini nifanyalo nitalifanya, ili niwapinge hao watafutao nafasi wasipate nafasi; ili kwamba katika neno hilo wajisifialo waonekane kuwa kama sisi. Maana watu kama hao ni mitume wa uwongo, watendao kazi kwa hila, wanaojigeuza wawe mfano wa mitume wa Kristo. Wala si ajabu. Maana Shetani mwenyewe hujigeuza awe mfano wa malaika wa nuru. Basi si neno kubwa watumishi wake hao wakajigeuza wawe mfano wa watumishi wa haki, ambao mwisho wao utakuwa sawasawa na kazi zao.

2 Wakorintho 11.12-15

Ni dhaahiri kuwa Paulo anakusudia kwa matusi yake haya kuwatukana wale wanafunzi wa Yesu, ambao Yesu mwenyewe aliwateua, ambao wakiongozwa katika kutimiliza ujumbe wa Yesu na watu kama Yakobo, ambaye anaambiwa kuwa ni nduguye Yesu.

Je, sisi tutendeje tunapokabiliwa na maoni mbali mbali yanayogongana miongoni mwa watu ambao wote wanadai kuwa ni wanafunzi wa Yesu, ijapokuwa huyu mmoja Paulo, hata hakumwona Yesu, na huo ushahidi wa kuwa kamwona katika njozi ni wake yeye tu, tena unagongana na kupingana wenyewe kwa wenyewe?

Tutendeje?

Liliopo ni tuyaendee mafunzo yake mwenyewe Yesu, ambayo ijapokuwa yametatanishwa na maongezo na mapunguzo, lakini hayaachi kuwepo ya kutosha kwa jumla kutufahamisha nini khasa mafunzo yake.

Ikiwa kweli tunatafuta hakika ya mambo na ukweli wake basi tutayachukua yale yalio wazi, dhaahiri, katika maneno yake mwenyewe Yesu, na tusiyabali yale ambayo ni maneno ya wasimulizi.

Kadhaalika yasitushughulishe yale ya mafumbo yanayotatanisha tukajaribu kuleta tafsiri na maelezo tuyapendayo nafsi zetu. Ikiwa ni kufasiri basi tufasiri fumbo kwa kauli ya Yesu ilio wazi.

Wapotoshaji hufanya kinyume cha hayo.

Mafundisho yaliyotulia kabisa ya Yesu ni yale aliyohubiri juu ya Mlima wa Zaituni.

Na maoni yake yaliyo wazi na kauli ya kukata juu ya sharia na matendo, ni yaliyomo katika sura 5 ya Mathayo.

Akizungumzia juu ya wale wanaodai kuwa wao ni wafuasi wake, na kuwa ati wanafunza mafunzo yake, na huku kumbe wanayapotoa yale aliyoyafunza, Yesu anaambiwa kasema:

Si kila mtu aniambaye, Bwana, Bwana, atakayeingia katika ufalme wa mbinguni; bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni. Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi? Ndipo nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi kamwe ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu. Basi kila asikiaye hayo maneno yangu, na kuyafanya, atafananishwa na mtu mwenye akili, aliyejenga nyumba yake juu ya mwamba; mvua ikanyesha, mafuriko yakaja, pepo zikavuma, zikaipiga nyumba ile isianguke; kwa maana misingi yake imewekwa juu ya mwamba. Na kila asikiaye hayo maneno yangu asiyafanye, atafananishwa na mtu mpumbavu, aliyejenga nyumba yake juu ya mchanga; mvua ikanyesha, mafuriko yakaja, pepo zikavuma, zikaipiga nyumba ile, ikaanguka; nalo anguko lake likawa kubwa.
Mathayo 7.21-27

Hayo ni maneno aliyokhitimishia Yesu mawaidha yake juu ya Mlima wa Zaituni. Ni maneno yaliyokaa sawa, yawazi, hayana ubabaishi.

Ni nani hao "watendao maovu", hao wapumbavu, wasiofuata mafunzo ya Yesu wakayatenda, mafunzo ambayo msingi wake ni kutimiliza sharia na manabii, na kutenda mapenzi ya Mungu?

Ni nani hao wanaodai kufanya miujiza na kuponyesha watu kwa jina la Yesu, na kudai kuwa ni mitume wa Kristo, na huku wanapinga mafunzo yake, na kuwaambia watu kuwa wataokoka kwa imani tu kwamba Yesu kafa msalabini kwa ajili yao, bila ya haja ya vitendo?

Ni nani hao wanaolitumia jina la Yesu naye mwenyewe atawakataa?

Kama tuna akili basi yafaa tuitumie.

Tusiwe kama mtu mpumbavu ajengaye nyumba yake juu ya fungu la mchanga.

Tutaanguka, na anguko letu litakuwa kubwa.
 
A ha hahahahhahahah" WATU WA KRISTO " ndio neno lililotumika nataka uniambie neno "WAKRISTO" nani alilitumia neno hilo mpaka yesu anaondoka hakuna alielitumia hilo neno , unafikiri Yesu hakuwa na akili mpaka akatumia neno "WATU WA KRISTO" mpaka wewe na wenzako mkalinyumbua mkajiita "WAKRISTO" kitu ambacho yesu ajawai kuwaita wafuasi wake kwa jina hilo? mbona rahisi huko unapotaka kujificha kupowazi ahahahahahahhahahahahahhhah utuambie nani alianza kumiita nyie ni WAKRISTO badala ya WATU WA KRISTO kama alivyoelekeza Yesu?

Kwa hiyo allah aliye chukua tenda kulinda majumba yao ya Ibada (Makanisa),
Screenshot_20180917-175927.jpg
aliye sema wanamcha Mwenyezi Mungu na wasihofu [emoji117]
IMG_20180917_175645_264.jpg
huyu Hajui ila mtoto Wa mushahara ni mjuzi zaidi yake [emoji15] sema kama wee ni mjuzi zaidi yake [emoji4] ooh nani Alianza kuwaita nyie Wa-KRISTO [emoji12] Wapi¿? Kama kulele Silari ni mzee Chacha Wambura...kule kwa wasambaa au unguja Mimi sijui [emoji53] mkiambiwa hamjui kusoma Mnabishia wakati hata baba fatu kawapasha [emoji117]
IMG_20180911_192542_350.jpg
[emoji33] [emoji33] [emoji33]
 
YESU ANASEMA:-

John 16:12
Hata bado nikali ninayo mengi ya kuwaambia, LAKINI HAMWEZI KUYASTAHIMILI HIVI SASA.

..TAFAKARI!.

TAFAKARI WEWE

Yesu ametwambia kuwa huyo ajaye hatanena kwa shauri lake mwenyewe.

Je, Roho Mtakatifu, ambaye ni Mungu, hunena kwa shauri ya nani?

Mungu hunena anayoyasikia au hunena yake mwenyewe? Ikiwa hunena anayoyasikia, basi anayasikia kwa nani?

Kwa Mungu Baba, au kwa Mungu Mwana, na hali tunaambiwa katika Utatu, nafsi zote tatu ni sawa.

Ikiwa yeye ni Roho Mtakatifu, ambaye ni Mungu, pana lipi la ajabu hata ihitajie Yesu kusema kuwa atatoa habari ya mambo yajayo?

Hapana ajabu Mungu kuagua yajayo, na hali ni Yeye aliyeyaumba.

Huyo ajaye, Yesu anasema, atamtukuza Yesu. Kwani Mungu Mwana ana haja gani ya kutukuzwa na Mungu Roho?

Hayo yote tukiyazingatia kwa nia safi tutaona kuwa hayamuelekei Roho Mtakatifu, ambaye ni Mungu kama lisemavyo Kanisa, hata chembe.

Je, kama bishara hii haimuelekei Roho Mtakatifu, inamuelekea nani?
 
Kwa hiyo allah aliye chukua tenda kulinda majumba yao ya Ibada (Makanisa),View attachment 869108 aliye sema wanamcha Mwenyezi Mungu na wasihofu [emoji117] View attachment 869044 huyu Hajui ila mtoto Wa mushahara ni mjuzi zaidi yake [emoji15] sema kama wee ni mjuzi zaidi yake [emoji4] ooh nani Alianza kuwaita nyie Wa-KRISTO [emoji12] Wapi¿? Kama kulele Silari ni mzee Chacha Wambura...kule kwa wasambaa au unguja Mimi sijui [emoji53] mkiambiwa hamjui kusoma Mnabishia wakati hata baba fatu kawapasha [emoji117] View attachment 869118 [emoji33] [emoji33] [emoji33]

NIMEKUULIZA ; MKRISTO KWA KIARABU ANAITWAJE UNASUASUA HUTAKI KUJIBU
 
Jitibu mnyewe ndio uone maradhi ya mwenzio [emoji12] nyumba yako ya vioo unafanya mchezo wa kurushiana mawe [emoji12] [emoji4]

Ni mtu gani huyo ambaye alikuja ulimwenguni baada ya kuondoka Yesu, akauhakikisha ulimwengu kwa khabari ya dhambi na hukumu, akauongoza ulimwengu na kuutia kwenye kweli yote, akawa haneni kwa shauri lake wala mapenzi yake bali husema kwa aambiwayo na Mwenyezi Mungu, akatoa khabari ya dhambi na mambo yajayo, akatwachia mafunzo katika Kitabu kisichobadilika milele na mafunzo yake yakakaa nasi milele mpaka mwisho wa dunia, akamtukuza Yesu Kristo?

Katika historia yote hakutokea mtu mwenye kukusanya sifa zote hizo ila Nabii Muhammad tu.

Mtume Muhammad s.a.w. ndiye aliyekuja baada ya Nabii Isa a.s.

Yeye peke yake katika Manabii na Mitume wote ndiye aliyesema maneno ya kutimiza ujumbe wote wa Mwenyezi Mungu, ndiye aliyeleta kweli yote.

Kila Nabii aliyetangulia alibashiri kuja mwinginewe baadae. Musa alisema hayo, na Yesu kasema hayo, na wenginewe wote wamesema. Ila Nabii Muhammad ndiye aliyesema: "Hapana Nabii baada yangu." Na Mwenyezi Mungu alimwambia karibu ya kufa kwake:

Leo waliokufuru wamekata tamaa katika Dini yenu, basi msiwaogope, bali niogopeni Mimi. Leo nimekukamilishieni Dini yenu, na nimekutimizieni neema yangu, na nimekupendeleeni Uislamu uwe ndiyo Dini.
Qur’an Al Maida 5:3

Mwenye kukamilishiwa Dini na kutimiliziwa Neema, amekamilishiwa na kutimiliziwa kila kitu: ndiyo kweli yote, na hukumu na khabari ya dhambi.

Ni Muhammad ndiye ambaye alikuwa akijuulikana hata na maadui wake kuwa ni msema kweli, wa kuaminiwa, Assaadiq, Al Amin, "Mkweli Muaminifu" na kweli ndiye Roho wa kweli.

Huyo ajaye, Yesu anatwambia, hatanena kwa shauri lake.

Ni Mtume Muhammad, peke yake, ndiye ambaye historia inatwambia kuwa mafunzo yake ni maneno ya Mwenyezi Mungu.

Qur’an Tukufu yote ni maneno ya Mungu, moja kwa moja.

Qur’an haikutungwa na Muhammad wala na ye yote katika wanaadamu.

Sio kama vitabu vya Biblia, ambavyo vinajuulikana vimeandikwa na watu fulani kama vile Injili ya Mathayo, ya Marko n.k. na Torati ya Musa.

Hii ni Qur’an ya Mwenyezi Mungu, si ya Muhammad.

Kama isemavyo hiyo Qur’an:

Arrahman (Mwingi wa Rehema) amefundisha Qur’an.
Qur'an Arrahman 55.1-2

Na ilivyobainishwa katika Sura An Najm:

Wala (Muhammad) hasemi kwa matamanio. Hayakuwa haya ila ni ufunuo uliofunuliwa; amemfundisha Mwenye nguvu kweli.
Qur’an Annajm 53.3-5

Na ilivyosemwa katika Sura An Nisaa
:

Hawaizangatii Qur’an? Na lau kama imetoka kwa asiyekuwa Mwenyezi Mungu bila ya shaka wangelikuta ndani yake khitilafu nyingi.
Qur’an An Nisaa 4.82

Mkristo wa Kiingereza, Dr. John B. Taylor, Mwalimu wa Masomo ya Kiislamu katika Chuo cha Birmingham, ameandika katika kitabu chake: Thinking About Islam (Kuufikiria Uislamu):

"Tumethibitisha ya kuwa Waislamu hawasemi kuwa Muhammad ndiye aliyeandika Qur’an, lakini kuwa yeye ameipokea na akaisoma. Kama alivyokuwa Muhammad mwenyewe akishughulika mno kuyaweka safi maandiko (matini) ya Qur’an, basi hali kadhaalika wale Waislamu waliokuja baada yake walifanya juhudi kuhifadhi bila ya kukosea ko kote vipande mbali mbali vya Qur’an. Miaka miwili tu baada ya kufa Muhammad, kwa kuwa walikufa vitani baadhi ya wale waliokuwa wameihifadhi kwa moyo, sehemu mbali mbali za Qur’an zilikusanywa...

"Baada ya miaka michache, katika enzi ya Uthman, Khalifa wa tatu kuwatawala Waislamu baada ya Muhammad, ilipitiwa mara ya mwisho kusahihishwa matini ya Qur’an. Twaweza kutambua vipi walivyokuwa na hadhari kubwa wale Waislamu wa mwanzo kwa vile hata kukhitalifiana matamshi baina ya sehemu moja ya nchi za Kiislamu na nyengine, hakukuruhusiwa. Kwa hivyo yale maandishi ya rasmi yakathibitishwa kufuata lafdhi ya Makka, na zile ziliobaki zikateketezwa kwa amri ya Khalifa. Kwa hivyo tunaweza kuwa na yakini kuwa hii Qur’an tulio nayo hii leo, kama iwezekanavyo kibinaadamu, ndio ile ile iliyothibitishwa miaka michache tu baada ya kufa Mtume."

Hayo ni maneno ya Mkristo ambaye kazi yake ni kuutafutia ila na nuksani Uislamu.

Qur’an ni neno la Mwenyezi Mungu lisio na upungufu wo wote kwa sababu ni maneno yake mwenyewe.

Hayo ndiyo makusudio ya Yesu aliposema kuwa huyo Msaidizi ajaye, "hatanena kwa shauri lake mwenyewe."
 
KUUA WASIAMINI Ahahahhahaha hawa hapa
SAMWELI wa kwanza 15:3
"; Basi sasa enda ukawapige Amaleki, na kuviharibu kabisa vitu vyote walivyo navyo, wala msiwaachilie ; bali WAUENI ,mwanamume na mwanamke, MTOTO NAYE ANYONYAYE, NG'OMBE na KONDOO, NGAMIA na PUNDA "
hii ni kiboko mpaka Punda mnataka aamini ahahahahahaahahaahahhahhahahaha

UBAGUZI ahahhahahah unataka kuuona msikilize Bwana Mungu huyo
KUTOKA 23:33
"WASIKAE katika nchi yako, wasije wakakufanya kunitendea mimi DHAMBI; kwa sababu ukiitumikia miungu yao, jambo hili halikosi litakuwa ni tanzi kwako";

Ahahahahaahhahha unafukuza watu wasikae kwenye nchi yako kisa dhambi , sasa si bora sisi tunawatoza kodi lakini wanaishi ahahahhahaahhahahaha

Hivi kwa nini baba fatu aliwafundisha [emoji117]
IMG_20180917_191354_027.jpg
na hapa [emoji117]
IMG_20180917_192031_843.jpg
kuna MTIHANI kwa nyinyi mnaogonga kichwa Ardhi [emoji4] hapo ni kuvunja GOTI tu hakuna sijui sigda...Nakushauri ndugu yangu daudiī kabla huja kunjishwa goti kwa Mbele ya Bwana Yesu anza KUKUNJA mwenyewe Ukiwa hapa duniani [emoji120] ni ushauri tu kama utaupuuza kivyako dogo [emoji53] hata baba kassim aliwaambia nakubaliane kwenye mambo mlingano [emoji4]
 
Hivi kwa nini baba fatu aliwafundisha [emoji117] View attachment 869134 na hapa [emoji117] View attachment 869144 kuna MTIHANI kwa nyinyi mnaogonga kichwa Ardhi [emoji4] hapo ni kuvunja GOTI tu hakuna sijui sigda...Nakushauri ndugu yangu daudiī kabla huja kunjishwa goti kwa Mbele ya Bwana Yesu anza KUKUNJA mwenyewe Ukiwa hapa duniani [emoji120] ni ushauri tu kama utaupuuza kivyako dogo [emoji53] hata baba kassim aliwaambia nakubaliane kwenye mambo mlingano [emoji4]

Si ajabu basi kumsikia Paulo anakakamia kwa hasira isiyofichikana akisema:

Lakini nifanyalo nitalifanya, ili niwapinge hao watafutao nafasi wasipate nafasi; ili kwamba katika neno hilo wajisifialo waonekane kuwa kama sisi. Maana watu kama hao ni mitume wa uwongo, watendao kazi kwa hila, wanaojigeuza wawe mfano wa mitume wa Kristo. Wala si ajabu. Maana Shetani mwenyewe hujigeuza awe mfano wa malaika wa nuru. Basi si neno kubwa watumishi wake hao wakajigeuza wawe mfano wa watumishi wa haki, ambao mwisho wao utakuwa sawasawa na kazi zao.
2 Wakorintho 11.12-15

Ni dhaahiri kuwa Paulo anakusudia kwa matusi yake haya kuwatukana wale wanafunzi wa Yesu, ambao Yesu mwenyewe aliwateua, ambao wakiongozwa katika kutimiliza ujumbe wa Yesu na watu kama Yakobo, ambaye anaambiwa kuwa ni nduguye Yesu.

Je, sisi tutendeje tunapokabiliwa na maoni mbali mbali yanayogongana miongoni mwa watu ambao wote wanadai kuwa ni wanafunzi wa Yesu, ijapokuwa huyu mmoja Paulo, hata hakumwona Yesu, na huo ushahidi wa kuwa kamwona katika njozi ni wake yeye tu, tena unagongana na kupingana wenyewe kwa wenyewe?

Tutendeje?

Liliopo ni tuyaendee mafunzo yake mwenyewe Yesu, ambayo ijapokuwa yametatanishwa na maongezo na mapunguzo, lakini hayaachi kuwepo ya kutosha kwa jumla kutufahamisha nini khasa mafunzo yake.

Ikiwa kweli tunatafuta hakika ya mambo na ukweli wake basi tutayachukua yale yalio wazi, dhaahiri, katika maneno yake mwenyewe Yesu, na tusiyabali yale ambayo ni maneno ya wasimulizi.

Kadhaalika yasitushughulishe yale ya mafumbo yanayotatanisha tukajaribu kuleta tafsiri na maelezo tuyapendayo nafsi zetu.

Ikiwa ni kufasiri basi tufasiri fumbo kwa kauli ya Yesu ilio wazi. Wapotoshaji hufanya kinyume cha hayo.

Mafundisho yaliyotulia kabisa ya Yesu ni yale aliyohubiri juu ya Mlima wa Zaituni. Na maoni yake yaliyo wazi na kauli ya kukata juu ya sharia na matendo, ni yaliyomo katika sura 5 ya Mathayo.

Akizungumzia juu ya wale wanaodai kuwa wao ni wafuasi wake, na kuwa ati wanafunza mafunzo yake, na huku kumbe wanayapotoa yale aliyoyafunza, Yesu anaambiwa kasema:

Si kila mtu aniambaye, Bwana, Bwana, atakayeingia katika ufalme wa mbinguni; bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni. Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi? Ndipo nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi kamwe ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu. Basi kila asikiaye hayo maneno yangu, na kuyafanya, atafananishwa na mtu mwenye akili, aliyejenga nyumba yake juu ya mwamba; mvua ikanyesha, mafuriko yakaja, pepo zikavuma, zikaipiga nyumba ile isianguke; kwa maana misingi yake imewekwa juu ya mwamba. Na kila asikiaye hayo maneno yangu asiyafanye, atafananishwa na mtu mpumbavu, aliyejenga nyumba yake juu ya mchanga; mvua ikanyesha, mafuriko yakaja, pepo zikavuma, zikaipiga nyumba ile, ikaanguka; nalo anguko lake likawa kubwa.
Mathayo 7.21-27

Hayo ni maneno aliyokhitimishia Yesu mawaidha yake juu ya Mlima wa Zaituni.
 
Ni mtu gani huyo ambaye alikuja ulimwenguni baada ya kuondoka Yesu, akauhakikisha ulimwengu kwa khabari ya dhambi na hukumu, akauongoza ulimwengu na kuutia kwenye kweli yote, akawa haneni kwa shauri lake wala mapenzi yake bali husema kwa aambiwayo na Mwenyezi Mungu, akatoa khabari ya dhambi na mambo yajayo, akatwachia mafunzo katika Kitabu kisichobadilika milele na mafunzo yake yakakaa nasi milele mpaka mwisho wa dunia, akamtukuza Yesu Kristo?

Katika historia yote hakutokea mtu mwenye kukusanya sifa zote hizo ila Nabii Muhammad tu.

Mtume Muhammad s.a.w. ndiye aliyekuja baada ya Nabii Isa a.s.

Yeye peke yake katika Manabii na Mitume wote ndiye aliyesema maneno ya kutimiza ujumbe wote wa Mwenyezi Mungu, ndiye aliyeleta kweli yote.

Kila Nabii aliyetangulia alibashiri kuja mwinginewe baadae. Musa alisema hayo, na Yesu kasema hayo, na wenginewe wote wamesema. Ila Nabii Muhammad ndiye aliyesema: "Hapana Nabii baada yangu." Na Mwenyezi Mungu alimwambia karibu ya kufa kwake:

Leo waliokufuru wamekata tamaa katika Dini yenu, basi msiwaogope, bali niogopeni Mimi. Leo nimekukamilishieni Dini yenu, na nimekutimizieni neema yangu, na nimekupendeleeni Uislamu uwe ndiyo Dini.
Qur’an Al Maida 5:3

Mwenye kukamilishiwa Dini na kutimiliziwa Neema, amekamilishiwa na kutimiliziwa kila kitu: ndiyo kweli yote, na hukumu na khabari ya dhambi.

Ni Muhammad ndiye ambaye alikuwa akijuulikana hata na maadui wake kuwa ni msema kweli, wa kuaminiwa, Assaadiq, Al Amin, "Mkweli Muaminifu" na kweli ndiye Roho wa kweli.

Huyo ajaye, Yesu anatwambia, hatanena kwa shauri lake.

Ni Mtume Muhammad, peke yake, ndiye ambaye historia inatwambia kuwa mafunzo yake ni maneno ya Mwenyezi Mungu.

Qur’an Tukufu yote ni maneno ya Mungu, moja kwa moja.

Qur’an haikutungwa na Muhammad wala na ye yote katika wanaadamu.

Sio kama vitabu vya Biblia, ambavyo vinajuulikana vimeandikwa na watu fulani kama vile Injili ya Mathayo, ya Marko n.k. na Torati ya Musa.

Hii ni Qur’an ya Mwenyezi Mungu, si ya Muhammad.

Kama isemavyo hiyo Qur’an:

Arrahman (Mwingi wa Rehema) amefundisha Qur’an.
Qur'an Arrahman 55.1-2

Na ilivyobainishwa katika Sura An Najm:

Wala (Muhammad) hasemi kwa matamanio. Hayakuwa haya ila ni ufunuo uliofunuliwa; amemfundisha Mwenye nguvu kweli.
Qur’an Annajm 53.3-5

Na ilivyosemwa katika Sura An Nisaa
:

Hawaizangatii Qur’an? Na lau kama imetoka kwa asiyekuwa Mwenyezi Mungu bila ya shaka wangelikuta ndani yake khitilafu nyingi.
Qur’an An Nisaa 4.82

Mkristo wa Kiingereza, Dr. John B. Taylor, Mwalimu wa Masomo ya Kiislamu katika Chuo cha Birmingham, ameandika katika kitabu chake: Thinking About Islam (Kuufikiria Uislamu):

"Tumethibitisha ya kuwa Waislamu hawasemi kuwa Muhammad ndiye aliyeandika Qur’an, lakini kuwa yeye ameipokea na akaisoma. Kama alivyokuwa Muhammad mwenyewe akishughulika mno kuyaweka safi maandiko (matini) ya Qur’an, basi hali kadhaalika wale Waislamu waliokuja baada yake walifanya juhudi kuhifadhi bila ya kukosea ko kote vipande mbali mbali vya Qur’an. Miaka miwili tu baada ya kufa Muhammad, kwa kuwa walikufa vitani baadhi ya wale waliokuwa wameihifadhi kwa moyo, sehemu mbali mbali za Qur’an zilikusanywa...

"Baada ya miaka michache, katika enzi ya Uthman, Khalifa wa tatu kuwatawala Waislamu baada ya Muhammad, ilipitiwa mara ya mwisho kusahihishwa matini ya Qur’an. Twaweza kutambua vipi walivyokuwa na hadhari kubwa wale Waislamu wa mwanzo kwa vile hata kukhitalifiana matamshi baina ya sehemu moja ya nchi za Kiislamu na nyengine, hakukuruhusiwa. Kwa hivyo yale maandishi ya rasmi yakathibitishwa kufuata lafdhi ya Makka, na zile ziliobaki zikateketezwa kwa amri ya Khalifa. Kwa hivyo tunaweza kuwa na yakini kuwa hii Qur’an tulio nayo hii leo, kama iwezekanavyo kibinaadamu, ndio ile ile iliyothibitishwa miaka michache tu baada ya kufa Mtume."

Hayo ni maneno ya Mkristo ambaye kazi yake ni kuutafutia ila na nuksani Uislamu.

Qur’an ni neno la Mwenyezi Mungu lisio na upungufu wo wote kwa sababu ni maneno yake mwenyewe.

Hayo ndiyo makusudio ya Yesu aliposema kuwa huyo Msaidizi ajaye, "hatanena kwa shauri lake mwenyewe."

Kwa akili ya kisilamu hapo eti ni baba ni baba kassimu [emoji12] kuuliza sio ujinga Hivi wenzetu kujua kwamba huyu ni Mtume katumwa na Mungu unatumia VIGEZO GANI [emoji47] Sisi Wakristo Yesu Katupa Tbs hii [emoji117]
IMG_20180917_200120_305.jpg
hebu gavana, daudi and the like muache mahaba na ushabiki Tufundisheni [emoji120]
 
TAFAKARI WEWE

Yesu ametwambia kuwa huyo ajaye hatanena kwa shauri lake mwenyewe.
Je, Roho Mtakatifu, ambaye ni Mungu, hunena kwa shauri ya nani

Mungu hunena anayoyasikia au hunena yake mwenyewe? Ikiwa hunena anayoyasikia, basi anayasikia kwa nani?

Hapa ni kwamba anajaribu kuwaeleza kitu kipya kwao. Ndio maana kinahitaji ufafanuzi.

Hapo ndio ulipaswa ukubaliane na Holy Trinity.
Unfortunately..There is no Arabic word for “three-in-one” or “threefold,” so it may be understandable that a language difficulty creates some misunderstanding of the Trinity. According to some scholars.

TAFAKARI WEWE

Kwa Mungu Baba, au kwa Mungu Mwana, na hali tunaambiwa katika Utatu, nafsi zote tatu ni sawa.

Sawa kivipi?.

TAFAKARI WEWE

Ikiwa yeye ni Roho Mtakatifu, ambaye ni Mungu, pana lipi la ajabu hata ihitajie Yesu kusema kuwa atatoa habari ya mambo yajayo?

Hapana ajabu Mungu KUAGUA yajayo, na hali ni Yeye aliyeyaumba.

Huyo ajaye, Yesu anasema, atamtukuza Yesu. Kwani Mungu Mwana ana haja gani ya kutukuzwa na Mungu Roho?

Hayo yote tukiyazingatia kwa nia safi tutaona kuwa hayamuelekei Roho Mtakatifu, ambaye ni Mungu kama lisemavyo Kanisa, hata chembe.

Je, kama bishara hii haimuelekei Roho Mtakatifu, inamuelekea nani?

Kuagua yajayo ndio kufanyaje?

1 John 4:3
Na kila roho isiyomkiri Yesu haitokani na Mungu. Na hii ndiyo roho ya mpinga Kristo ambayo mmesikia kwamba yaja; na sasa imekwisha kuwako duniani.

1. Kanisa Lipo sahihi.
Hatukupewa Jina jingine lipasalo kuokolewa wanadamu. Isipokua Jina la Yesu Kristo. Jesus Christ is the reason for the season.
Kumuamini na Kumtumaini Kristo. Inahitaji uwe na Roho wa Wa Mungu.

2. Kutoa mambo yajayo, ina maanisha Kutoa Unabii.

3. Kanisa la Mungu halitakiwi kuendeshwa kwa kuchanganya Mashetani, Ramli, Elimu falaki, Mapanga, chuki, ubakaji, Taqiyyah, Kitman, wala Tawriya.
Na kila Roho isiyomkiri Kristo ni ya Mpinga Kristo.
Kumkiri huko kunahusisha Matendo.

NB: KWA UJUMLA HAYA MAMBO UNAYOBISHA HUKU KUHUSU 'ROHO WA KWELI' na ' WOKOVU KWA NJIA YA IMANI' YANASABABISHWA NA UELEWA MDOGO ULIONAO. KWASABABU HUA YANAHUBIRIWA MAKANISANI ALMOST EVERY SUNDAY.
 
What Your wrote in the above is in according to Islamic perseption. Not according to True Almighty Living God.

Besides none of you, have good deeds when it comes to faith. You only remained with bad deeds.
-It is acceptable to hate non-believers
-To kill Non-believers.
-To discriminate non-believers
- Bigotry: To call them Bad names like Kafir, Kuffar,Najis.
-to rape.
-To beat wives
-To enslave blacks
Etc.

[emoji115] These acts signify of devil presence.

No Human can serve fellow Human. Only God that can serve human. And that is Through Jesus Christ. 'the 'Word' .

Dhambi iliingia duniani kupitia Mti. Na imetoka kupitia Mti wa Msalaba.
Dhambi ilianzia Bustanini. Na Bustanini ndipo Ukombozi ulipoanzia.
Uumbaji ulianzia kwenye Maji. Na Uumbaji wa mara ya Pili unafanyika kwa Maji kupitia Ubatizo. We see science through all of it.
Kwa maana imeandikwa,

1 Corinthians 1:18
Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuzi, bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu.
"What your wrote in the above is in according to Islamic perseption"

Kwani si bora ungetumia tu Kiswahili Ndugu...
Lugha za wenyewe hizi hahahaaaaa
 
TAFAKARI WEWE

Yesu ametwambia kuwa huyo ajaye hatanena kwa shauri lake mwenyewe.

Je, Roho Mtakatifu, ambaye ni Mungu, hunena kwa shauri ya nani?

Mungu hunena anayoyasikia au hunena yake mwenyewe? Ikiwa hunena anayoyasikia, basi anayasikia kwa nani?

Kwa Mungu Baba, au kwa Mungu Mwana, na hali tunaambiwa katika Utatu, nafsi zote tatu ni sawa.

Ikiwa yeye ni Roho Mtakatifu, ambaye ni Mungu, pana lipi la ajabu hata ihitajie Yesu kusema kuwa atatoa habari ya mambo yajayo?

Hapana ajabu Mungu kuagua yajayo, na hali ni Yeye aliyeyaumba.

Huyo ajaye, Yesu anasema, atamtukuza Yesu. Kwani Mungu Mwana ana haja gani ya kutukuzwa na Mungu Roho?

Hayo yote tukiyazingatia kwa nia safi tutaona kuwa hayamuelekei Roho Mtakatifu, ambaye ni Mungu kama lisemavyo Kanisa, hata chembe.

Je, kama bishara hii haimuelekei Roho Mtakatifu, inamuelekea nani?

Hapa [emoji117]
IMG_20180917_205850_684.jpg
IMG_20180917_213225_224.jpg
kanena kwa shauri lake mnyewe [emoji12] Hatukatai kwamba baba kasim ni mtume [emoji4] Tunacho kataa ni kwamba, baba kasimu HAKUTUMWA NA MWENYEZI[emoji53]
 
Si ajabu basi kumsikia Paulo anakakamia kwa hasira isiyofichikana akisema:

Lakini nifanyalo nitalifanya, ili niwapinge hao watafutao nafasi wasipate nafasi; ili kwamba katika neno hilo wajisifialo waonekane kuwa kama sisi. Maana watu kama hao ni mitume wa uwongo, watendao kazi kwa hila, wanaojigeuza wawe mfano wa mitume wa Kristo. Wala si ajabu. Maana Shetani mwenyewe hujigeuza awe mfano wa malaika wa nuru. Basi si neno kubwa watumishi wake hao wakajigeuza wawe mfano wa watumishi wa haki, ambao mwisho wao utakuwa sawasawa na kazi zao.
2 Wakorintho 11.12-15

Ni dhaahiri kuwa Paulo anakusudia kwa matusi yake haya kuwatukana wale wanafunzi wa Yesu, ambao Yesu mwenyewe aliwateua, ambao wakiongozwa katika kutimiliza ujumbe wa Yesu na watu kama Yakobo, ambaye anaambiwa kuwa ni nduguye Yesu.

Je, sisi tutendeje tunapokabiliwa na maoni mbali mbali yanayogongana miongoni mwa watu ambao wote wanadai kuwa ni wanafunzi wa Yesu, ijapokuwa huyu mmoja Paulo, hata hakumwona Yesu, na huo ushahidi wa kuwa kamwona katika njozi ni wake yeye tu, tena unagongana na kupingana wenyewe kwa wenyewe?

Tutendeje?

Liliopo ni tuyaendee mafunzo yake mwenyewe Yesu, ambayo ijapokuwa yametatanishwa na maongezo na mapunguzo, lakini hayaachi kuwepo ya kutosha kwa jumla kutufahamisha nini khasa mafunzo yake.

Ikiwa kweli tunatafuta hakika ya mambo na ukweli wake basi tutayachukua yale yalio wazi, dhaahiri, katika maneno yake mwenyewe Yesu, na tusiyabali yale ambayo ni maneno ya wasimulizi.

Kadhaalika yasitushughulishe yale ya mafumbo yanayotatanisha tukajaribu kuleta tafsiri na maelezo tuyapendayo nafsi zetu.

Ikiwa ni kufasiri basi tufasiri fumbo kwa kauli ya Yesu ilio wazi. Wapotoshaji hufanya kinyume cha hayo.

Mafundisho yaliyotulia kabisa ya Yesu ni yale aliyohubiri juu ya Mlima wa Zaituni. Na maoni yake yaliyo wazi na kauli ya kukata juu ya sharia na matendo, ni yaliyomo katika sura 5 ya Mathayo.

Akizungumzia juu ya wale wanaodai kuwa wao ni wafuasi wake, na kuwa ati wanafunza mafunzo yake, na huku kumbe wanayapotoa yale aliyoyafunza, Yesu anaambiwa kasema:

Si kila mtu aniambaye, Bwana, Bwana, atakayeingia katika ufalme wa mbinguni; bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni. Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi? Ndipo nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi kamwe ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu. Basi kila asikiaye hayo maneno yangu, na kuyafanya, atafananishwa na mtu mwenye akili, aliyejenga nyumba yake juu ya mwamba; mvua ikanyesha, mafuriko yakaja, pepo zikavuma, zikaipiga nyumba ile isianguke; kwa maana misingi yake imewekwa juu ya mwamba. Na kila asikiaye hayo maneno yangu asiyafanye, atafananishwa na mtu mpumbavu, aliyejenga nyumba yake juu ya mchanga; mvua ikanyesha, mafuriko yakaja, pepo zikavuma, zikaipiga nyumba ile, ikaanguka; nalo anguko lake likawa kubwa.
Mathayo 7.21-27

Hayo ni maneno aliyokhitimishia Yesu mawaidha yake juu ya Mlima wa Zaituni.

Hujui kusoma utamuelewaje Prof Paulo [emoji47] [emoji47]
IMG_20180916_124053_871.jpg
 
Kama yesu mli mlaani kwa madhambi yenu, hiyo ahadi ni batili kwasababu ata asiekuwa na laana mnaweza kumlaani ahahahahhahahahahahahhahahaha badili kiapo
[emoji15] [emoji53] [emoji57] [emoji33] [emoji33]
 
Ahahahahahaahahahahahhahahahahaj babu ,roho mtakatifu ana makengeza ajui kutofautisha dhambarau na nyekundu? hilo ni tukio la kitapeli

Ilimu ya Roho huna [emoji12] halafu [emoji117]
IMG_20180917_215231_879.jpg
na Ilimu ya Roho hamkupewa [emoji53] Mnajuaje huyu tunaye muabudu ni Mwenyezi?¿
 
Ahahahaahahhahahahahahahahhaha Adamu amekuja duniani kutawala wala hakuwa na dhambi ( kwa maana alisamehewa) sasa Gavana dhambi hatoe wapi labda atafute mwenyewe ahahahhaaahhahajaja mjomba huku haturisishani dhambi ni mambo ambayo hata Mungu anashangaa eti dhambi ya asili!!!
Sema anae shangaa popobawa [emoji11] [emoji15] burdan ninapo chat na daudi kama vile nakula kitimoto [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji106]
 
Mtumishi hawa makafir [emoji117] View attachment 868295 wamesha ivaa laana [emoji117] View attachment 868299 wanacho kifanya ni wazimu wa maswali[emoji117] View attachment 868303 na sababu kubwa hawana Elimu ya Roho [emoji117] View attachment 868304 na Hawajui kusoma [emoji117] View attachment 868307 na mwalimu wao kafa anasikitika [emoji117] View attachment 868308 ndio sababu wanaokota okota okota mizizi pori wakiona dawa kumbe sumu [emoji12]
Wewe ndo kabisaa hueleweki yani bora wenzako... hiyo ya kutuwekea vipandevipande hivyo maana yake nini sasa! Tena kama hivyo vya Qur'an ndo kabisa umejichanganya
 
John 10:11
Mimi ndimi mchungaji mwema. Mchungaji mwema huutoa UHAI WAKE kwa ajili ya kondoo.

HILI NDILO AGANO LA MILELE
John 6:51
Mimi ndimi chakula chenye uzima kilichoshuka kutoka mbinguni; mtu akila chakula hiki, ataishi milele. Na chakula nitakachotoa mimi ni mwili wangu, kwa ajili ya uzima wa ulimwengu.

John 6:54
Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu anao uzima wa milele; nami nitamfufua siku ya mwisho.
Hebu mda mwingine bila kuapply akili kubwakubwa tujiulize tu kwa akili ya kawaida, hivi mchungaji mwema akiutoa uhai wake kwajili ya kondoo je hao kondoo watabaki (watachungwa) na nani?

Kuweni serious mda mwingine bana!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom