HUJAMJUA TU MZUSHI NI NANI ; USIWE MJINGA KIASI HIKI
Laana ya Sheria
Paulo alikuwa na sababu nyingine kuhusiana na msimamo wake juu ya sheria ya Mwenyezi Mungu. Katika kumbukumbu la Torati 21:23, Mungu anamwambia Musa kwamba mtu "aliyetundikwa katika mti"--- kwa maneno mengine aliyesulubiwa "amelaaniwa na Mungu".
Ili kulinda hoja yake kuwa Yesu alisulubiwa kwa ajili ya dhambi zetu, na kwa sababu sheria inasema aliyesulubiwa amelaaniwa, Paulo aliamua kuiponda sheria kwa kusema:
"Lakini wote wanaotegemea tu kutimiza yanayotakiwa na sheria, wako chini ya laana. --- Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajiliyetu; maana maandiko yasema "Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa". (Wagalatia 3:10:13)
Kwa sababu Paulo aliiona sheria ya Mungu kuwa ni laana, hivyo maneno ya Mungu katika kumbukumbu la Torati 21:23 hayakuwa na maana yoyote.
Alipotosha maneno ya aya hii kwa kusema kuwa kwa sababu Yesu alipatwa na laana kwa kuwa aliuliwa kwa kusulubiwa msalabani, na kwa vile yeye hakuwa na hatia, aliibeba laana hii kwa sababu ya dhambi za wengine.
Na kwa sababu hii (Yesu) hakuwa na chembe chembe zozote za aibu au udhahili unaotokana na laana.
Alilofanya Paulo hasa ni kulipa utukufu jambo ambalo awali lilikuwa linaonekana ni la aibu sana (kutundikwa msalabani) ili aweze (Paulo) kutetea imani aliyoanzisha kwamba uokovu umepatikana kwa sababu ya kusulubiwa na kufa kwa Yesu kwa kudai kuwa kutundikwa kwake msalabani (Yesu) hakukumletea aibu yoyote japo sheria haikubaliani na wazo hili.
Anis Shorrosh anasema:
"Msalaba, alama ya aibu, kupitia kwa Yesu ulibadilika na kuwa changamoto. Msalaba, uliokuwa alama ya kifo, kupitia kwa Yesu, ulibadilika na kuwa alama ya uhai".
Kwa sababu ya upinzani mkali kutoka kwa wanafunzi wa Yesu, Paulo alilazimika kwenda pole pole katika utekelezaji wa jambo hili.
Alianza na kitu kimoja ambacho watu wa mataifa walikipinga sana, yaani kutahiri (tohara). Kwa mujibu wa Paulo, Ibrahimu alikuwa mwongofu hata kabla ya kutahiriwa, sasa kwa nini watu waendelee kusumbuliwa kwa kuwataka watahiriwe?
Paulo aliuupuza ukweli kwamba Mungu alikuwa ameweka agano hili mamia ya miaka kabla ya kuja Ibrahim.
Kwa upande wake Nabii Ibrahim alipewa amri hii kutoka kwa Mungu juu ya kuwatahiri watoto wa kiume wote kuanzia wa zama zile na wote ambao watafuatia baadaye katika kitabu cha Mwanzo 17:14, Mungu aliliweka wazi jambo hili:
"Na mwanamume mwenye govi asiyetahiriwa nyama ya govi lake, mtu yule atatengwa na watu wake; amelivunja agano langu".
Mtu anaweza kushangaa vipi Paulo aamue kuyafuta maneno haya ya Mungu bila uoga wowote. Ubatizo ulichukua nafasi ya tohara (kutahiri), kumwagiwa maji sasa kumefanywa kuwa ndio alama ya agano baina ya Mungu na Mkristo. Watu wa mataifa walifurahia sana mabadiliko haya yaliyofanywa na Paulo.
Baada ya hili alianza kufanya mabadiliko katika uhalali na uharamu wa vyakula, na masuala mengine yalifuatia moja baada ya jingine.
Ndani ya muda mfupi, sheria ya Mwenyezi Mungu haikuonekana tena kuwa ni mwongozo, unaostahiki kufuatwa katika maisha ya kila siku bali lililokuwa muhimu ni tu kuwa na imani kuwa Yesu aliteswa na hatimaye kufa msalabani kwa ajili ya dhambi za wanadamu. Hii ilikuwa inatosha kabisa kwa uokovu na sio kufuata sheria ya Mungu.
Kwa mujibu wa Paulo, suala la kufanya matendo mazuri kwa Mkristo linaweza tu "kuja lenyewe".
Na muhimu zaidi kwa mkristo ni kuelewa kwamba vitendo vizuri peke yake haviwezi kumfanya mtu aokoke hata kidogo.
Jambo pekee linaloweza kumfanya mtu aokoke ni imani juu ya uwezo wa Yesu wa kuokoa na kwamba alikufa kwa ajili ya dhambi zetu ili tupate kuokoka - imani hii peke yake inatosha kumfanya mtu aokoke na adhabu ya moto wa jahanamu.
WHO IS THE HOLY SPIRIT IN ISLAM? WHO SPOKE TO MARY?
Quran 6:101.
Kama tulivyoona Allah hawezi kua na Mtoto unless ana Mke.
Ameumba kilakitu na mjuzi wa vyote.
Quran nayo inatueleza kuhusu Bikira Maria. Maria alikua mjamzito akiwa bikira.
(or 'Isa, as He is called in the Qur’an).
Qur'an 3:47 tells us:
She (Mary) said, “My God, how I am going to have a son when no man had intercourse with me.” He said, “This is how Allah creates. He says 'be' and it would be!”
[emoji115] [emoji115] Regarding this verse, Waislamu watakuambia huyu ni Malaika Gabriel, or Jibreel, aliyekua akizungumza na Bikira Maria.
NB:Usichanganye na Stori ya Kwenye Bibilia.
Waislamu pia watakuambua alikua akizungumza na Roho Mtakatifu aliyemtokea kwa umbile la Malaika Jibreel.
Let’s review the verse 47 carefully:
[emoji116] [emoji116]
She (Mary) said, “MY GOD, how I am going to have a son when no man had intercourse with me.” He said, “THIS IS HOW ALLAH CREATES. HE SAYS 'BE' AND IT WOULD BE"
Huu ni Ushahidi mwingine tunawekewa kuonyesha kua Quran ni man-made.
Notice the following:
Mary alimwita Roho Mtakatifu aliyemtokea kwa umbile la Mtu.-"MY GOD."
(
Qur’an 19:17) “My God” (RABY), but he told her that he is only a messenger, not God
( Qur’an 19:19).
As long as Mary called the Holy Spirit “My God,” in Qur’an 3:47 and assuming that he was Allah, why was he talking about himself in the third person—that is, why did he say, “This is how Allah creates,” instead of, “This is how I create”?
Je Mary alifanya Kosa kumwita Roho Mtakatifu "My God"
.
Au je alikua Ni Allah?.
Hakuna mahali kwenye Quran panaposema aliyezungumza na Mary ni Malaika Jibree(Gabriel).
Na hakuna Popote kwenye Quran panaposema Malaika Jibreel ndiye Roho Mtakatifu.
In Qur’an 3:45 we read:
And recall when the angels said: “O Mary! Lo! Allah gives thee joyful tidings of a word from him. Whose name is the Christ Jesus, son of Mary, glorious in the world and the Hereafter, and nearer unto Allah;”
[emoji115] [emoji115]
Hapa Inasema Ni Malaika.
Lakini Quran 19:16 tunasoma kua one spirit became a perfect man!
[emoji116] [emoji116]
Makosa ya wazi kua malaika ni mmoja na ndiye Roho Mtakatifu na ndoye aliyeleta habari, anayezungumza kama.mtu mmoja.
Lakini Je malaika wote wanazungumza na wote ni Roho Mtakatifu?.
Qur’an 3:45
This would mean that the Holy Spirit is holy spirits.
Hatahivyo inapingana na story nyingine tunaipata ndani ya Quran 19:16-21.
Qur’an 19:17:
So she (Mary) screened herself from them. So we send to her our spirit, who appeared to her as a normal man.
Roho moja ikawa Mwanadamu.
Waislamu wanasema Roho Mtakatifu ni Mmoja na ndiye Malaika Jibreel.
Waislamu wengu hutafsiri Roho kwenda Malaika. Tafsiri ambayo ni ya Uongo na yenye Makosa.
Roho Mtakatifu ametajwa kua Mungu na Mary.
Lakini wakati huohuo anajieleza kua ni Mesenja wa Mungu.
Qur’an 19:19:
I am only a messenger from your Lord, to announce to thee the gift of a holy son.
Kwanini Roho Mtakatifu awe Malaika Jibreel?.
Qur’an 16:2:
He dispatches down the angels with the Ruh (Spirit) of His Command to whom of His slaves He wills, saying, “none has the right to be worshiped but I, so protect yourself from me.”
Allah anamtuma Malaika mwenye Roho.
Hii inamaanisha Malaika sio Roho.
Waislamu wanajaribu kutafsiri neno Ruh, حورل, kama “revelation”,
Nakudhihirisha Uongo na aibu nyingine.
Qur’an 16:2,
He sendeth down the angels with the Spirit of His command unto whom He will of His bondmen, (saying), “Warn mankind that there is no Allah save Me, so keep your duty unto Me.”
Kuna Ushahidi mwingine wa Quran.
Quran 26:192-193:
192
Verily these are scriptures from the Lord of the two Worlds (world of mankind, and Jinn).
193 With it, came down with it, the Faithful spirit.
[emoji115] [emoji115]
Allah hasemi itashuka pamoja na Jibreel?.is.is just a word?.
Kwanini Allah hakuweka wazi kama.huyo ni Malaika?
Qur'an 70:4
The angels AND the spirit, rise up unto him (Allah), in a Day which is identical to fifty thousand years of your years.
[emoji115] [emoji115]
Kama Malaika ndiye Roho?.
Kwanini allah anawataja separately?.
Qur'an 78:38 says:
1. In that day (Judgment day) the Spirit and the angels will line up in ranks, and not one of them shall talk except by Allah's order Most Gracious, and He speaks correct.
2. Again, Allah is saying they will stand next to each other, in ranks, Spirit and the angels.
[emoji115] [emoji115]
Huu ni ushahidi kua Waislamu wanajichanganya kati ya Malaika na Roho.
Kama.Mtume wao ndiye wa mwisho kwanini hakutoa Majibu?.
Kwanini allah hakusema wazi kua mesenja aliyemtuma kwa mary ni Malaika Jibreel badala yake akaweka confusion?.
Kwa mfano Ukisoma bibilia
Luke 1:19.
And the angel answering said unto him, I am Gabriel, that stand in the presence of God; and am sent to speak unto thee, and to shew thee these glad tidings.
Lakini zipo aya nyingi kwenye Quran, like Qur'an 7:52, zinazoeleza wazi kua it is a very clear book.
For We had definitely sent unto them a Book, based on wisdom which We explained it to them in clear details, as a guide and a mercy to people who believe.
Wakati huo huo
Qur’an 3:7 clearly states that
the Qur’an has two parts. The first part is clear, and the other one is not only vague but it also indicates that no one except Allah knows its meaning; “but no one knows the Qur’an’s real meaning except Allah.”
Kuna anayejua sehemu ya allah aliyojiwekea aisome?