Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
WHO IS THE HOLY SPIRIT IN ISLAM? WHO SPOKE TO MARY?
Quran 6:101.
Kama tulivyoona Allah hawezi kua na Mtoto unless ana Mke.
Ameumba kilakitu na mjuzi wa vyote.
Quran nayo inatueleza kuhusu Bikira Maria. Maria alikua mjamzito akiwa bikira.
(or 'Isa, as He is called in the Qur’an).
Qur'an 3:47 tells us:
She (Mary) said, “My God, how I am going to have a son when no man had intercourse with me.” He said, “This is how Allah creates. He says 'be' and it would be!”
[emoji115] [emoji115] Regarding this verse, Waislamu watakuambia huyu ni Malaika Gabriel, or Jibreel, aliyekua akizungumza na Bikira Maria.
NB:Usichanganye na Stori ya Kwenye Bibilia.
Waislamu pia watakuambua alikua akizungumza na Roho Mtakatifu aliyemtokea kwa umbile la Malaika Jibreel.
Let’s review the verse 47 carefully:
[emoji116] [emoji116]
She (Mary) said, “MY GOD, how I am going to have a son when no man had intercourse with me.” He said, “THIS IS HOW ALLAH CREATES. HE SAYS 'BE' AND IT WOULD BE"
Huu ni Ushahidi mwingine tunawekewa kuonyesha kua Quran ni man-made.
Notice the following:
Mary alimwita Roho Mtakatifu aliyemtokea kwa umbile la Mtu.-"MY GOD."
( Qur’an 19:17) “My God” (RABY), but he told her that he is only a messenger, not God
( Qur’an 19:19).
As long as Mary called the Holy Spirit “My God,” in Qur’an 3:47 and assuming that he was Allah, why was he talking about himself in the third person—that is, why did he say, “This is how Allah creates,” instead of, “This is how I create”?
Je Mary alifanya Kosa kumwita Roho Mtakatifu "My God" .
Au je alikua Ni Allah?.
Hakuna mahali kwenye Quran panaposema aliyezungumza na Mary ni Malaika Jibree(Gabriel).
Na hakuna Popote kwenye Quran panaposema Malaika Jibreel ndiye Roho Mtakatifu.
In Qur’an 3:45 we read:
And recall when the angels said: “O Mary! Lo! Allah gives thee joyful tidings of a word from him. Whose name is the Christ Jesus, son of Mary, glorious in the world and the Hereafter, and nearer unto Allah;”
[emoji115] [emoji115]
Hapa Inasema Ni Malaika.
Lakini Quran 19:16 tunasoma kua one spirit became a perfect man!
[emoji116] [emoji116]
Makosa ya wazi kua malaika ni mmoja na ndiye Roho Mtakatifu na ndoye aliyeleta habari, anayezungumza kama.mtu mmoja.
Lakini Je malaika wote wanazungumza na wote ni Roho Mtakatifu?.
Qur’an 3:45
This would mean that the Holy Spirit is holy spirits.
Hatahivyo inapingana na story nyingine tunaipata ndani ya Quran 19:16-21.
Qur’an 19:17:
So she (Mary) screened herself from them. So we send to her our spirit, who appeared to her as a normal man.
Roho moja ikawa Mwanadamu.
Waislamu wanasema Roho Mtakatifu ni Mmoja na ndiye Malaika Jibreel.
Waislamu wengu hutafsiri Roho kwenda Malaika. Tafsiri ambayo ni ya Uongo na yenye Makosa.
Roho Mtakatifu ametajwa kua Mungu na Mary.
Lakini wakati huohuo anajieleza kua ni Mesenja wa Mungu.
Qur’an 19:19:
I am only a messenger from your Lord, to announce to thee the gift of a holy son.
Kwanini Roho Mtakatifu awe Malaika Jibreel?.
Qur’an 16:2:
He dispatches down the angels with the Ruh (Spirit) of His Command to whom of His slaves He wills, saying, “none has the right to be worshiped but I, so protect yourself from me.”
Allah anamtuma Malaika mwenye Roho.
Hii inamaanisha Malaika sio Roho.
Waislamu wanajaribu kutafsiri neno Ruh, حورل, kama “revelation”,
Nakudhihirisha Uongo na aibu nyingine.
Qur’an 16:2,
He sendeth down the angels with the Spirit of His command unto whom He will of His bondmen, (saying), “Warn mankind that there is no Allah save Me, so keep your duty unto Me.”
Kuna Ushahidi mwingine wa Quran.
Quran 26:192-193: 192
Verily these are scriptures from the Lord of the two Worlds (world of mankind, and Jinn). 193 With it, came down with it, the Faithful spirit.
[emoji115] [emoji115]
Allah hasemi itashuka pamoja na Jibreel?.is.is just a word?.
Kwanini Allah hakuweka wazi kama.huyo ni Malaika?
Qur'an 70:4
The angels AND the spirit, rise up unto him (Allah), in a Day which is identical to fifty thousand years of your years.
[emoji115] [emoji115]
Kama Malaika ndiye Roho?.
Kwanini allah anawataja separately?.
Qur'an 78:38 says:
1. In that day (Judgment day) the Spirit and the angels will line up in ranks, and not one of them shall talk except by Allah's order Most Gracious, and He speaks correct.
2. Again, Allah is saying they will stand next to each other, in ranks, Spirit and the angels.
[emoji115] [emoji115]
Huu ni ushahidi kua Waislamu wanajichanganya kati ya Malaika na Roho.
Kama.Mtume wao ndiye wa mwisho kwanini hakutoa Majibu?.
Kwanini allah hakusema wazi kua mesenja aliyemtuma kwa mary ni Malaika Jibreel badala yake akaweka confusion?.
Kwa mfano Ukisoma bibilia
Luke 1:19.
And the angel answering said unto him, I am Gabriel, that stand in the presence of God; and am sent to speak unto thee, and to shew thee these glad tidings.
Lakini zipo aya nyingi kwenye Quran, like Qur'an 7:52, zinazoeleza wazi kua it is a very clear book.
For We had definitely sent unto them a Book, based on wisdom which We explained it to them in clear details, as a guide and a mercy to people who believe.
Wakati huo huo
Qur’an 3:7 clearly states that
the Qur’an has two parts. The first part is clear, and the other one is not only vague but it also indicates that no one except Allah knows its meaning; “but no one knows the Qur’an’s real meaning except Allah.”
Kuna anayejua sehemu ya allah aliyojiwekea aisome?
Yaweza kuwa ni kweli kuwa mwenyewe Paulo akiamini kuwa hila hizo zote azitendazo ni kwa ajili apate "kuwaokoa watu."
Wengi miongoni mwa wataalamu wa Biblia wanakubaliana na Dr. Craveri na Dr. Schonfield kuwa makusudio ya Paulo ni kuwa apate yeye binafsi wafuasi wengi zaidi ili apate kuwashinda wale wanafunzi wa Yesu mwenyewe.
Kwa hivyo ndio akawa hasikii haoni.
Kwa lengo hilo yu tayari kufanya lo lote, hata akakhiari kugeuza mafunzo ya Kristo ili apate wafuasi yeye "kwa jina la Kristo."
Kwa hakika wale wafuasi wake kutokana na mataifa walibakia kuwa vile vile makafiri ila waligeuzwa jina tu, wakaitwa Wakristo.
Ndio hivyo alivyowaandikia Warumi:
Lile neno li karibu nawe, katika kinywa chako, na katika moyo wako: yaani, ni lile neno la imani tulihubirilo. Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka.
Warumi 10.8-9
Ndio hivyo Ukristo umerahisishwa na Paulo ili isiwe taabu kwa makafiri waweze kuitwa Wakristo bila ya kuufuata Ukristo wa Yesu.
Katika mtindo huu Paulo alipata upinzani kutokana na wengi, kama tunavyoona katika waraka wa Yakobo, nduguye Yesu, unavyofunza imani ya matendo, si imani tupu.
Natusome:
Ndugu zangu, yafaa nini, mtu akisema ya kwamba anayo imani, lakini hana matendo? Je! ile imani yaweza kumwokoa? Ikiwa ndugu mwanamume au ndugu mwanamke yu uchi na kupungukiwa na riziki, na mtu wa kwenu akawaambia, enendeni zenu kwa amani, mkaote moto na kushiba, lakini asiwape mahitaji ya mwili, yafaa nini? Vivyo hivyo na imani, isipokuwa ina matendo, imekufa nafsini mwake. Lakini mtu atasema, Wewe unayo imani, nami ninayo matendo. Nionyeshe imani yako pasipo matendo, nami nitakuonyesha imani yangu kwa njia ya matendo yangu. Wewe waamini ya kuwa Mungu ni mmoja; watenda vema. Mashetani nao waamini na kutetemeka. Lakini wataka kujua, wewe mwanadamu usiye kitu, kwamba imani pasipo matendo haizai? Je! baba yetu Ibrahimu hakuhesabiwa kuwa ana haki kwa matendo, hapo alipomtoa Isaka mwanawe juu ya madhabahu? Waona kwamba imani ilitenda kazi pamoja na matendo yake, na ya kwamba imani ile ilikamilishwa kwa njia ya matendo yale. Maandiko yale yakatimizwa yaliyonena, Ibrahimu alimwamini Mungu, ikahesabiwa kwake kuwa ni haki; naye aliitwa rafiki ya Mungu. Mwaona kwamba mwanadamu huhesabiwa kuwa ana haki kwa matendo yake; si kwa imani peke yake. Vivyo hivyo na Rahabu, yule kahaba naye, je! Hakuhesabiwa kuwa ana haki kwa matendo, hapo alipowakaribisha wajumbe, akawatoa nje kwa njia nyingine? Maana kama vile mwili pasipo roho umekufa, vivyo hivyo na imani pasipo matendo imekufa.
Yakobo 2.14-26
Mafunzo haya yanapingana moja kwa moja na yale ya Paulo, na yanakubaliana moja kwa moja na yale ya Yesu, mwenyewe.
Si ajabu basi kumsikia Paulo anakakamia kwa hasira isiyofichikana akisema:
Lakini nifanyalo nitalifanya, ili niwapinge hao watafutao nafasi wasipate nafasi; ili kwamba katika neno hilo wajisifialo waonekane kuwa kama sisi. Maana watu kama hao ni mitume wa uwongo, watendao kazi kwa hila, wanaojigeuza wawe mfano wa mitume wa Kristo. Wala si ajabu. Maana Shetani mwenyewe hujigeuza awe mfano wa malaika wa nuru. Basi si neno kubwa watumishi wake hao wakajigeuza wawe mfano wa watumishi wa haki, ambao mwisho wao utakuwa sawasawa na kazi zao.
2 Wakorintho 11.12-15
Ni dhaahiri kuwa Paulo anakusudia kwa matusi yake haya kuwatukana wale wanafunzi wa Yesu, ambao Yesu mwenyewe aliwateua, ambao wakiongozwa katika kutimiliza ujumbe wa Yesu na watu kama Yakobo, ambaye anaambiwa kuwa ni nduguye Yesu.
Je, sisi tutendeje tunapokabiliwa na maoni mbali mbali yanayogongana miongoni mwa watu ambao wote wanadai kuwa ni wanafunzi wa Yesu, ijapokuwa huyu mmoja Paulo, hata hakumwona Yesu, na huo ushahidi wa kuwa kamwona katika njozi ni wake yeye tu, tena unagongana na kupingana wenyewe kwa wenyewe?
Tutendeje?
Liliopo ni tuyaendee mafunzo yake mwenyewe Yesu, ambayo ijapokuwa yametatanishwa na maongezo na mapunguzo, lakini hayaachi kuwepo ya kutosha kwa jumla kutufahamisha nini khasa mafunzo yake.
Ikiwa kweli tunatafuta hakika ya mambo na ukweli wake basi tutayachukua yale yalio wazi, dhaahiri, katika maneno yake mwenyewe Yesu, na tusiyabali yale ambayo ni maneno ya wasimulizi.
Kadhaalika yasitushughulishe yale ya mafumbo yanayotatanisha tukajaribu kuleta tafsiri na maelezo tuyapendayo nafsi zetu. Ikiwa ni kufasiri basi tufasiri fumbo kwa kauli ya Yesu ilio wazi.
Wapotoshaji hufanya kinyume cha hayo.
Mafundisho yaliyotulia kabisa ya Yesu ni yale aliyohubiri juu ya Mlima wa Zaituni.
Na maoni yake yaliyo wazi na kauli ya kukata juu ya sharia na matendo, ni yaliyomo katika sura 5 ya Mathayo.
Akizungumzia juu ya wale wanaodai kuwa wao ni wafuasi wake, na kuwa ati wanafunza mafunzo yake, na huku kumbe wanayapotoa yale aliyoyafunza, Yesu anaambiwa kasema:
Si kila mtu aniambaye, Bwana, Bwana, atakayeingia katika ufalme wa mbinguni; bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni. Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi? Ndipo nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi kamwe ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu. Basi kila asikiaye hayo maneno yangu, na kuyafanya, atafananishwa na mtu mwenye akili, aliyejenga nyumba yake juu ya mwamba; mvua ikanyesha, mafuriko yakaja, pepo zikavuma, zikaipiga nyumba ile isianguke; kwa maana misingi yake imewekwa juu ya mwamba. Na kila asikiaye hayo maneno yangu asiyafanye, atafananishwa na mtu mpumbavu, aliyejenga nyumba yake juu ya mchanga; mvua ikanyesha, mafuriko yakaja, pepo zikavuma, zikaipiga nyumba ile, ikaanguka; nalo anguko lake likawa kubwa.
Mathayo 7.21-27
Hayo ni maneno aliyokhitimishia Yesu mawaidha yake juu ya Mlima wa Zaituni. Ni maneno yaliyokaa sawa, yawazi, hayana ubabaishi.
Ni nani hao "watendao maovu", hao wapumbavu, wasiofuata mafunzo ya Yesu wakayatenda, mafunzo ambayo msingi wake ni kutimiliza sharia na manabii, na kutenda mapenzi ya Mungu?
Ni nani hao wanaodai kufanya miujiza na kuponyesha watu kwa jina la Yesu, na kudai kuwa ni mitume wa Kristo, na huku wanapinga mafunzo yake, na kuwaambia watu kuwa wataokoka kwa imani tu kwamba Yesu kafa msalabini kwa ajili yao, bila ya haja ya vitendo?
Ni nani hao wanaolitumia jina la Yesu naye mwenyewe atawakataa?
Kama tuna akili basi yafaa tuitumie.
Tusiwe kama mtu mpumbavu ajengaye nyumba yake juu ya fungu la mchanga.
Tutaanguka, na anguko letu litakuwa kubwa.