Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
hahaaaa " kwahiyo " na masaa " nayo yakasimama" so mpangilio " wa " siku ulikuwaje", ?? na mpka jua " linasimama means",huwa " linatembea"" ??

ujinga mwingine bwana
Kwahiyo yesu alipotembea juu ya maji,gravitational force haikuwepo??Km ilikuepo aliwezaje kufanya hivyo?.,Na km haikuwepo kwann mwanafunzi aliyemfuatisha mwanzoni alitembea,kisha alipohamaki akazama??Science can only explain things that take place in a closed specified system,but even if it is a closed specified system you can not deny the fact that we're all influenced by the energy of the universe which is to say that,other things happen in a way that even science itself can not give the mechanism behind it
 
Ilimu ya Roho huna [emoji12] halafu [emoji117] View attachment 869299 na Ilimu ya Roho hamkupewa [emoji53] Mnajuaje huyu tunaye muabudu ni Mwenyezi?¿
Ahahaaaahahahhahhahahq ndio umeandika kitu gani!! Roho atawaongoza watu kwenye kweli haya tuambie UKWELI ni Yesu alivishwa vazi lipi na wale askari dhambarau au jekundu? ahahaahahahaahahhahaha mbona rahisi tu
 
Ilimu ya Roho huna [emoji12] halafu [emoji117] View attachment 869299 na Ilimu ya Roho hamkupewa [emoji53] Mnajuaje huyu tunaye muabudu ni Mwenyezi?¿
Ahahaaaahahahhahhahahq ndio umeandika kitu gani!! Roho atawaongoza watu kwenye kweli haya tuambie UKWELI Yesu alivishwa vazi lipi na wale askari dhambarau au jekundu? ahahaahahahaahahhahaha mbona rahisi tu
 
Quraan si sayansi,ieleweke hivyo,but it's a criteria to judge which is right from wrong,na pia aya za Quraan hutafsiriwa na Quraan wenyewe,Ama hadithi pia zaweza toa maelezo ya aya Fulani ktk kusherehesha aya husika,na pia kuna wafasiri wa aya(wanazuoni) ambao pia hufasiri aya hizo kulingana na vigezo kadha wa kadha,with that being said si kwamba tafsiri ya aya hii haipo ila pengine muwasilishaji kaitolea tafsiri nusu ambayo haijakidhi ukubwa wa aya yenyewe
 
Allah kulinda makanisa alijibu swali letu kuwa neno "WAKRISTO" umetoa wapi? WAOVU na WEMA wote ni wa watu waliombwa na Mungu ndio maana wanapata pumzi bila wasiwasi , tena wabaya wanadumu wema wanakufa, Swali liko pale pale neno "WAKRISTO" mpaka yesu anaondoka duniani akuwai kuwaita wafuasi wake hilo jina ww na wenzio mmeanza lini kujiita WAKRISTO? halafu kuhusu Al HAJJ :40 ni kweli mkitenda wema mtapata ujira na mkitenda ubaya pia mtapata ujira wenu a ahaahhahaaahahaaa hapo hakuna hoja mpya MUNGU amesema tumiulize je MMESILIMU ?
QURAN 3:20
" Na pindi WAKIKUHOJI basi sema; mimi NIMEUSALIMISHA uso wangu kumwelekea Mwenyezi Mungu, na kadhaalika walio nifuata, Na waambie WALIOPEWA kitabu na wasio na kisoma; JE MMESILIMU? wakisilimu basi WAMEONGOKA .Na wakikengeuka basi juu yako ni kufikisha ujumbe tu.Na Mwenyezi Mungu ni mwenye kuwaona waja wake";


ahahaahaaahahahqhaqqqhq wewe piga kelele hoja ziko mbili
1.Nani alianza kumiita nyie WAKRISTO
2.MMESILIMU?
 
Jitibu mnyewe ndio uone maradhi ya mwenzio [emoji12] nyumba yako ya vioo unafanya mchezo wa kurushiana mawe [emoji12] [emoji4]
Mnyewe ndio nini? Ahahahhahahaahaahahahahahaha mwaka huu utaandika kisambaa ni kichapo tu
 
Hapa [emoji117] View attachment 869254View attachment 869281 kanena kwa shauri lake mnyewe [emoji12] Hatukatai kwamba baba kasim ni mtume [emoji4] Tunacho kataa ni kwamba, baba kasimu HAKUTUMWA NA MWENYEZI[emoji53]
Sasa mpaka malaika Gabriel anaenda kumpa maelekezo mtume na unakubali sasa kipi unabisha tena ahahahhahahaahhhahahahahah, au ulifikir Gabriel anaweza shuka kwa makanjanja kama Wewe, kama ulikuwa ujuhi Gabriel ndio mwalimu wa mtume kwahiyo ana haki ya kumfundisha na kumwelekeza mtume kama Mungu anavyotaka
 
Hapa [emoji117] View attachment 869254View attachment 869281 kanena kwa shauri lake mnyewe [emoji12] Hatukatai kwamba baba kasim ni mtume [emoji4] Tunacho kataa ni kwamba, baba kasimu HAKUTUMWA NA MWENYEZI[emoji53]
Sasa mpaka malaika Gabriel anaenda kumpa maelekezo mtume na unakubali sasa kipi unabisha tena ahahahhahahaahhhahahahahah, au ulifikir Gabriel anaweza shuka kwa makanjanja kama Wewe, kama ulikuwa ujuhi Gabriel ndio mwalimu wa mtume kwahiyo ana haki ya kumfundisha na kumwelekeza mtume kama Mungu anavyotaka
 
Huyu ndio kajibu kitu gani? Ahahahaahahahhahahaahhahahahahhaha uwe unasomaga hata kilichoandikwa unajibu jibu tu kama umelewa gongo Ahahahahaahhahha Bwana Mungu wako alimwambia Musa apigane vita na aue wasio waisrael swali ni dogo Bwana Mungu alipotoa amri hii alikuwa sawa au alikosea?
 
Ahahahhahahahahaah ndio wakristo , wayahudi na wasabai WAKIAMINI sasa je wakiamini kitu gani Ahahahhaahhahahaha jibu ni rahisi tu
QURAN 7:158
",sema ; Enyi watu ! hakika mimi ni mtume kwenu nyinyi nyote, niliyetumwa na Mwenyezi Mungu Mwenye ufalme wa mbingu na ardhi ";

Mungu ametuonya kuna watu kama Wewe ambao mpaka leo amtaki kuamini kasema hivi kuhusu kundi la watu waliopewa kitabu kama wewe mliojaa ukafiri
QURAN 3:100
"Enyi mlioamini ! mkiwatii baadhi ya wale waliopewa kitabu watakurudisheni kuwa makafiri baada ya UISLAMU wenu",

tunakujua wewe ndio wale makafiri sio miongoni mwa wale walioamini ndio maana mpaka leo unasema Yesu ni Mungu
 
Hujui kusoma utamuelewaje Prof Paulo [emoji47] [emoji47] View attachment 869290
Ahahahahhahahahaahhahahahaha mtu anamuita Mungu mpumbavu halafu unamuita Profesa hizi bange hizi
WAKORINTHO wa kwanza 1:25
";Kwa sababu UPUMBAVU wa Mungu, una hekima zaidi ya wanadamu, na UDHAIFU wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu";

Yaani mtu anatangaza hadharani Mungu ana upumbavu na udhaifu uwe mzuri au mbaya lakini anao udhaifu na Upumbavu ,Ahahaahahaha halafu mtu anatetea upuuzi huo kweli mahaba niue eti Paulo profesa buree kabisa Wewe
 
Mbona unaangaika ndugu kwenye uislamu hakuna kitu kinachoitwa Original sin narudia tena ni kweli adamu alifanya kosa akala tunda lakini Mungu ameshasema alileta maneno ya toba Mungu akasemehe , sasa wewe hicho unachataka kukileta mbona unaonekana unachekesha kweli kweli ahahahaahaahahaahahah
 
Kama ambavyo petro na yohana( wanafunzi wa yesu) wasivyojua kusoma na wasivyo na ufahamu , lakini umewaelewa na kila siku unatumia nukuu zao humu ahahahaaahahhahhahahajjajajaqjqjqjj
Nishakujibu Yesu Mwalimu Wetu na Kigezo yuko Hai na Bado Yupo na sisi mpaka Mwisho Wa dahari [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji123] [emoji106] Msiba kwako yuko wapi baba fatúû [emoji38] okotezeni matango pori kivyewnu [emoji4]
 

kisla kisla huu [emoji117] ndio MSAMAHA [emoji15] [emoji23] [emoji23] mkiambiwa hamjui kusoma ni ubishi kama kifuu cha moto [emoji53] umebakia Mungu kaleta Toba wakati hadi Leo mkeo anazaa kwa shida, shurba unayo pata kupata rizki....aliye fanya dhambi ni wewe na mkeo, au Adam na mkewe hadi mkeo nae azae kwa shida [emoji15] [emoji47] Maji hayaja chemka baba fatûû anasonga dona [emoji12] kuleni tu afu mpate tumbo la uharo mchafue Hali ya hewa duniani [emoji15]
 
Alinena ya Mwenyezi au ya yake [emoji47] [emoji47] [emoji47] hata hiyo ya jiburilu kadanganya unasemaje [emoji53]
 
wakati alisema uongo wake huo kabla hajamaliza kafa Atapata hukumu gani [emoji53]
 
weka Ushahidi Mungu katengua Amri ya lat katiru! Hapo nitajua ya Musa ni Maelekezo ya Mwenyezi
 

wee endelea ku-edit kauli ya allah [emoji15] [emoji53] aya iko wazi, kundi la kwanza ni WALIO "AMINI" (waislamu) inakuja Nyongeza "NA"... mkiambiwa hamjasoma mnawaka kama kifuu na mikwala mbuzi juu [emoji12]
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…