Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.

DHAMBI YA KURITHIWA:


Hebu tufikirie kwa shabaha ya kuhojiana ya kwamba Adamu na Hawa walifanya dhambi hasa jinsi ilivyoelezwa katika Agano la
Kale.

Adhabu yake, inavyoelezwa katika kisa, haikutolewa kwao pekee bali hata kwa wazao wao wote. Kama adhabu hiyo ilikwisha
amuliwa na kutolewa tayari, ilikuwa haja gani tena ya adhabu nyingine yoyote?

Kama adhabu imekwisha tolewa kwa dhambi moja, basi habari ikaisha. Hukumu ikiisha tolewa tayari, mtu yeyote hana haki ya kuendelea kuongeza daima adhabu nyinginezo.

Katika kesi ya Adamu na Hawa siyo kwamba walilaumiwa tu vikali sana kana kwamba walitenda jambo lililozidi kuliko dhambi inayotolewa adhabu, bali hata aina ya adhabu waliyotolewa ambayo iliendelea kwa wazao wao pia siyo
barabara kabisa.

Kuhusu hiyo tumekwisha eleza vya kutosha.

Tunalojaribu kulidokeza ni uvunjaji wa uadilifu halisi unaochukiza sana sana. Kuadhibiwa kwa kudumu kwa dhambi
walizotenda babu zetu ni jambo tofauti lakini ni chukizo moja kwa moja kulazimishwa kuendelea kufanya dhambi kwa sababu tu babu wa mtu aliwahi kufanya kosa fulani.

Hebu tufikirie hakika tupu ya majaribio ya mtu na kujaribu kuelewa falsafa ya Kikristo ya dhambi na adhabu kwa kulingana
na yale tunayoshuhudia kila siku.

Tufikirie hukumu aliyotolewa mvunja sheria ambayo hukumu hiyo ni kali zaidi sana kulingana na dhambi iliyotendwa. Kila mtu mwenye akili atailaumu vikali sana hiyo hukumu isiyolingana kabisa na kosa lililotendwa.

Kwa hiyo, twaona ni vigumu kuamini ya kwamba adhabu aliyopewa Adamu kwa dhambi yake ilitolewa na Mungu mwadilifu.

Hiyo siyo tu habari ya adhabu kutokulingana na dhambi. Hiyo ndiyo adhabu ambayo sawa na ufahamu wa Kikristo wa mwenendo wa Mungu ikaendelea hata baada ya Adamu na Hawa kufariki na kudumu kupatikana kwa wazao wao kizazi baada ya kizazi.

Wazao kupata adhabu ya wazazi wao kwa hakika ni kuuvunjilia mbali uadilifu kupita mipaka.

Lakini hatuzungumzii hiyo pia. Kama kwa bahati mbaya tukishuhudia jaji mmoja wa zama hizi katoa hukumu iliyowalazimisha watoto wajukuu na vilembwe na kadhalika wa mvunja sheria fulani na kuwashurutisha kisheria kuendelea na dhambi hiyo na kuhalifu na kuadhibiwa kadhalika daima dawamu, itafanyaje jamii ya kisasa ambayo imekwisha tambua maana hasa ya uadilifu kwa sababu ya utamaduni kupata maendeleo?

Msomaji anapaswa kukumbushwa hapa ya kwamba nadharia hiyo ya dhambi ya kurithiwa imeletwa na Bwana Paulo aliyeeleza vibaya sehemu fulani ya maandiko. Hiyo haiwezi kunasibishwa kwa mafundisho ya Agano la Kale.

Upo ushuhuda wa kuelemea katika vitabu vingi vya Agano la Kale ulio kinyume chake kabisa.

Mnamo karne ya tano, Augustine, Askofu wa Hippo, aliingia katika mapambano na mwendeleo wa (Pelagian Movement)
kuhusu majadiliano juu ya hakika ya Adamu na Hawa kuanguka kwa kufanya dhambi.

Bwana Askofu alitangaza ya kwamba wafuasi wa mwendeleo wa Pelagius ndio wazushi kwa sababu wanafundisha ya kwamba dhambi ya Adamu ilimwathiri Adamu tu pekee siyo kizazi kizima cha Adamu kwa ujumla, na kwamba kila mmoja anazaliwa akiwa hana dhambi na anao uwezo wa kuishi maisha yasiyo na dhambi na kwamba walikuwepo watu
waliofaulu kuishi pasipo dhambi.

Waliokuwa sawa wakabandikwa jina 'wazushi' .

Mchana ukaitwa usiku na usiku ukaitwa mchana . Uzushi ukawa ukweli na ukweli ukawa uzushi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]



YESU HAWEZI KUWA KAFARA :

Jambo la mwisho lakini la maana ni kwamba Yesu angewezaje kuzaliwa akiwa hana dhambi ilhali alikuwa na mama wa
kibinadamu?

Kama dhambi ya Adamu na Hawa ilikwisha kichafua kizazi cha hao wawili wenye bahati mbaya, basi matokeo yake ni kwamba wazao wao wote wa kiume na wa kike walirithi maelekeo ya kufanya dhambi katika kuzaliwa kwao.

Labda wanawake wakarithi zaidi shauku ya kutenda dhambi kwa sababu Hawa ndiye aliyetumiwa na shetani ili kumbembeleza Adamu kutenda dhambi.

Kwahiyo, Hawa anahusika na dhambi moja kwa moja kuliko pengine Adamu.

Katika habari ya kuzaliwa Kristo, binti wa Hawa alihusikana zaidi. Swali linalozuka kwa nguvu sana ni kwamba je, Yesu alirithi kromosom zenye vijine, (genes) kutoka kwa mamake binadamu ama hapana?

Kama ndiyo, hapo haikuwezekana kwa Yesu kuepukana na dhambi ya lazima ya kurithiwa. Kama hakuirithi kromosom yoyote kutoka kwa mamake wala kwa Mungu Baba, hapo kuzaliwa kwake kutakuwa mwujiza maradufu. Mwujiza pekee yake unaweza kuzalisha mwana asiyehusikana na baba yake wala mamake.

Jambo lisiloeleweka ni kwamba kwa nini kromosom za Hawa hazikumtilia mwanaye Yesu maelekeo ya kiasili ya kutenda
dhambi. Tukidhani kwamba ilikuwa hivyo kwa vyovyote na Yesu alikuwa safi asiye na dhambi - jambo ambalo ni lazima ili
kujichukulia dhambi za wanadamu sharti wamwamini, hapo swali jingine litazuka: Walikuwaje, mtu aweza kuuliza, waliokufa
miongoni mwa wazao wa Adamu na Hawa kabla haujafika Ukristo?

Mabilioni mangapi ya watu hao waliwahi kutawanyika duniani kote katika mabara matano kizazi baada ya kizazi.

Lazima waliishi na wakafa pasipo kutumaini bali pasipo uwezekano wa kusikia habari ya Kristo, Mwokozi wao, ambaye alikuwa
hajazaliwa.

Kwa hakika wanadamu wote waliokuwapo baina ya Adamu na Kristo wanaonekana waliangamia kwa kudumu. Kwa nini hao hawakupewa nafasi walau hafifu sana ya kusamehewa?

Je, hao watasamehewa na Yesu Kristo kwa kutumia kanuni ya kafara kwa waliopita kabla ya kanuni hiyo kuundwa?

Kama ndiyo, kwa nini?

Katika sehemu nyingine za dunia zilizo kubwa zaidi kuliko Uyahudi ilivyo ndogo sana, haikupata kusikika habari za Ukristo hata katika zama za uhai wa Yesu Kristo; watu hao watakuwaje?

Maana hawakuamini 'Uana' wa Yesu Kristo wala hawangeweza.

Je, wataadhibiwa kwa madhambi yao ama hapana na kwa hoja gani? Walikuwa na nafasi gani kwa vyovyote? Walikuwa hoi
kabisa. Maana mbovu iliyoje hiyo ya Uadilifu!
 
kisla kisla huu [emoji117] View attachment 869951View attachment 869952 ndio MSAMAHA [emoji15] [emoji23] [emoji23] mkiambiwa hamjui kusoma ni ubishi kama kifuu cha moto [emoji53] umebakia Mungu kaleta Toba wakati hadi Leo mkeo anazaa kwa shida, shurba unayo pata kupata rizki....aliye fanya dhambi ni wewe na mkeo, au Adam na mkewe hadi mkeo nae azae kwa shida [emoji15] [emoji47] Maji hayaja chemka baba fatûû anasonga dona [emoji12] kuleni tu afu mpate tumbo la uharo mchafue Hali ya hewa duniani [emoji15]
nanukuu " ARDHI IMELAANIWA KWA AJILI YAKO" hivi hili neno ni gumu kueleweka? kilicholaaniwa ni ARDHI , sio binadamu ahahahahahahahahaha kuzaa kwa uchungu au kula kwa jasho ni kwasababu ya LAANA ya ARDHI sio kwasababu ya LAANA ya BINADAMU unaleta maandiko yanakugeuka kwa sababu umekosa tafakuri, Adamu alitubu dhambi ya ASILI ni UZUSHI kwasababu binadamu HAKULAANIWA kilicholaaniwa ni ARDHI ahahahaha bure kabisaa wewe
 
Alinena ya Mwenyezi au ya yake [emoji47] [emoji47] [emoji47] hata hiyo ya jiburilu kadanganya unasemaje [emoji53]
Ahahahaaaqhqqhhahqqhaahhqhq Jibril kadanganya tena ahahahahhahaqaqhqha unaleta maneno ya vijiweni hapa , huyo ndio mwalimu wa mtume , ndio kazi yake kumfundisha mtume hoja wewe umekosa
 
Tatizo ni HUJUI KUSOMA Ungekuwa unajua ungekuwa MAUDHUI PROF PAULO AMEONGEA NINI!
Ahahahaahaaaaahahahaha biblia ipo kiswahili fasaha ameongea "UPUMBAVU WA MUNGU" au wewe hujui maana ya UPUMBAVU Ahahahaahaaaaahahahaha kweli mahaba niue ndio maana kwa akili zenu mbovu 1+1+1=1 Ahahahahaha
 
Mnazidi kupunguza Imani [emoji38] [emoji38] ndio sababu warabu Wenye deen yao wanawazogodoa na kuwafananiaha na [emoji117] View attachment 870081 [emoji12]
ahahaaaaaaaaaa maneno ya vijiweni sio ushahidi kwenye uislamu , tunaongozwa kwa QURAN na SUNAH, sio maneno ya kwenye vijiwe vya soga, umeishiwa unaanza kuokoteza sasa ahahahahhahahaahahahahaa
 
Mnazidi kupunguza Imani [emoji38] [emoji38] ndio sababu warabu Wenye deen yao wanawazogodoa na kuwafananiaha na [emoji117] View attachment 870081 [emoji12]
ahahaaaaaaaaaa maneno ya vijiweni sio ushahidi kwenye uislamu , tunaongozwa kwa QURAN na SUNAH, sio maneno ya kwenye vijiwe vya soga, umeishiwa unaanza kuokoteza sasa ahahahahhahahaahahahahaa
 
wakati alisema uongo wake huo kabla hajamaliza kafa Atapata hukumu gani [emoji53]
Wewe umeona Jibril kafika kamuelekeza usahihi wa jambo , halafu unauliza atapata hukumu gani? wakati ameshaelezwa usahihi wa jambo, ahahahahahahaahahaaaaa na mtume ndio maana kabla ajafa alishakamilisha dini ikiwa sahihi kwasababu mwalimu alimuelekeza kwa usahihi wake kama kuna jambo ajaelewa alimrekebisha , ndio kazi yake Jibril
 
Hawa Wakristo ambao baba fatúú alio sema [emoji117] View attachment 870068 [emoji38] [emoji38]
Kabisa kwanini hawatakabari aya inayofuata imejibu vizuri
QURAN 5:83
",NA WANAPOSIKIA yaliyo teremshwa kwa MTUME utaona macho yao yanachururika machozi kwa sababu ya HAKI waliyo itambua.WANASEMA; Mola wetu Mlezi !TUMEAMINI , basi tuandike pamoja na wanao shuhudia"

Ahahahahhahahaaahahaahaha hao ndio wanazuoni wakikristo WANAAMINI kwamba maneno ya mtume yanatoka kwa Mungu wewe endelea na ukafiri wako
 
View attachment 870041 wee endelea ku-edit kauli ya allah [emoji15] [emoji53] aya iko wazi, kundi la kwanza ni WALIO "AMINI" (waislamu) inakuja Nyongeza "NA"... mkiambiwa hamjasoma mnawaka kama kifuu na mikwala mbuzi juu [emoji12]
Ahaahaahahaaaaaaaa mbona ni rahisi WAKRISTO nani kaanza kumiita jina hilo? ahahahahaahhahaha unajificha kwa Allah kama ameanza kumiita Allah sema na wenzio wajue, tunafahamu kuwa Neno WAKRISTO halijawai kutumika wakati wa Yesu, swali liko pale pale nani kaanza kumiita wewe na genge lako WAKRISTO?
 
Nishakujibu Yesu Mwalimu Wetu na Kigezo yuko Hai na Bado Yupo na sisi mpaka Mwisho Wa dahari [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji123] [emoji106] Msiba kwako yuko wapi baba fatúû [emoji38] okotezeni matango pori kivyewnu [emoji4]
Ni kweli Yesu yuko hai kwa idhini ya Mungu, kwa kazi maalum kuja kumalizia KIPORO chake cha kuvunja misalaba (tukio la uongo ), kuua nguruwe unatuma humu kila siku na kuondoa uzushi mnaomzulia eti kuwa ni Mungu Ahahahahaha acha uzushi kabla ajarudi
 
weka Ushahidi Mungu katengua Amri ya lat katiru! Hapo nitajua ya Musa ni Maelekezo ya Mwenyezi
Ahahahaaaahahaaahahhaahaha Muulize Mungu alikuwa amekosa alternative ya kuipata nchi ya AHADI mpaka awaue wenyeji? ukipata jibu njoo ahahahaaaaahahaaahahahahah
 
Kaomba wapi Toba [emoji53] [emoji47]
Hewaaaaaaa QURAN ndio jibu kijana wacha tukupe shule sasa ahahahahaahahahahahqh
QURAN 2:37
" Kisha Adam akapokea maneno kwa Mola wake Mlezi, na Mola wake Mlezi ALIMKUBALIA TOBA YAKE, hakika Yeye ndiye Mwingi wa kukubali TOBA na Mwenye kurehemu";

Ahahahahahaaaaahhahha Adam amekuja duniani akiwa hana DHAMBI ya ASILI wala ya HISTORIA kazi kwako kusuka au kunyoa , Mungu gani asie samehe huyo
 
And thus have We inspired in thee (Muhammad) a spirit of Our command. THOU KNOWEST NOT WHAT THE SCRIPTURES WAS, NOR WHAT THE FAITH. But We have made it a light whereby We guide whom We will of Our bondmen. And lo! Thou verily dost guide unto a right path. - (Quran 42:52)

Kulingana na hii Ayati hapa juu

Inakuaje waislamu waseme Kua Mohammad ni follower wa Dini ya Abrahamu, angali hajui lolote ikiwemo maandiko wala Imani iliotangulia kabla yake?

This shows us that Muhammad himself was a kafir (infidel). How can an infidel who did not know what faith meant and had never heard of the Scriptures, as revealed to us in the verse, suddenly chooses to be a prophet?.
Sio waislamu wanasema , Mungu ndio anasema kwanza IBRAHIM alikuwa nani ?
QURAN 3:67
"IBRAHIM hakuwa Yahudi wala mkristo, lakini alikuwa mwongofu MUISLAMU , wala hakuwa katika washirikina"
tumemaliza IBRAHIM alikuwa MUISLAM

JE MOHAMMAD kafata imani ya nani?
Jibu QURAN 42:13
";Amekuamrisheni Dini ile ile aliyo muusia Nuhu, na tuliyo kufunulia wewe,tuliyo wausia IBRAHIM na Musa na Isa, kwamba shikeni Dini wala msifarikiane kwayo";
Kwa hiyo tukisema Mohamadi anafata mila ya Ibrahim tunaamaanisha ni mafunzo yaleyale juu ya Mungu mmoja ( uislamu uliotukuka)
 
Ahaahaahahaaaaaaaa mbona ni rahisi WAKRISTO nani kaanza kumiita jina hilo? ahahahahaahhahaha unajificha kwa Allah kama ameanza kumiita Allah sema na wenzio wajue, tunafahamu kuwa Neno WAKRISTO halijawai kutumika wakati wa Yesu, swali liko pale pale nani kaanza kumiita wewe na genge lako WAKRISTO?

Nilikwambia Alianza kutuita WA-KRISTO ni Yesu Mwenyewe [emoji117]
IMG_20180919_061845_848.jpg
kwamba sisi ni WA-KRISTO hutaki..hutaki [emoji12] Mimi sijakulazimisha kukubali na UWEZO HUO sina, ila inabakia Habari NDIO HIYO [emoji106]
 
Ni kweli Yesu yuko hai kwa idhini ya Mungu, kwa kazi maalum kuja kumalizia KIPORO chake cha kuvunja misalaba (tukio la uongo ), kuua nguruwe unatuma humu kila siku na kuondoa uzushi mnaomzulia eti kuwa ni Mungu Ahahahahaha acha uzushi kabla ajarudi

MALIZIA KABISA YUPO HAI MPAKA [emoji117]
IMG_20180623_161759_022.jpg
umebakia idhini idhini [emoji12] Yesu aliongea Hivi [emoji117]
IMG_20180919_064442_349.jpg
hadi iliwakera waisilamu wenzio [emoji117]
IMG_20180919_065531_927.jpg
kama ungejua kusoma hapo ungeng'amua kwa nini Kauli hiyo ya Yesu imewakera lakini tatizo mkufunzi wa kakufundisha kusoma kafa anasikitika kwa kutotimiza lengo [emoji117]
IMG_20180911_192542_350.jpg
umebakia dhana na uongo [emoji12]
 

Attachments

  • IMG_20180919_064542_363.jpg
    IMG_20180919_064542_363.jpg
    35 KB · Views: 21
Ahahahaaaahahaaahahhaahaha Muulize Mungu alikuwa amekosa alternative ya kuipata nchi ya AHADI mpaka awaue wenyeji? ukipata jibu njoo ahahahaaaaahahaaahahahahah

Katengua lini Amri yake ya Lat-katiru...[emoji53] Sina cha kumuuliza Mungu maadam Amesha sema [emoji117]
IMG_20180919_075458_744.jpg
 
Hewaaaaaaa QURAN ndio jibu kijana wacha tukupe shule sasa ahahahahaahahahahahqh
QURAN 2:37
" Kisha Adam akapokea maneno kwa Mola wake Mlezi, na Mola wake Mlezi ALIMKUBALIA TOBA YAKE, hakika Yeye ndiye Mwingi wa kukubali TOBA na Mwenye kurehemu";

Ahahahahahaaaaahhahha Adam amekuja duniani akiwa hana DHAMBI ya ASILI wala ya HISTORIA kazi kwako kusuka au kunyoa , Mungu gani asie samehe huyo

tuwekee mashahidi. 3 kama alicho ongea baba kasimu ni kweli [emoji117]
IMG_20180919_080722_874.jpg
amezoea uongo ili kuridhia wakeze [emoji53] Ndipo nikajiuliza au kwa mujibu wa uisilamu Maneno haya ya MUNGU [emoji117]
IMG_20180918_145915_610.jpg
IMG_20180918_145842_999.jpg
ni Msamaha [emoji47] [emoji47] [emoji53]
 
Sio waislamu wanasema , Mungu ndio anasema kwanza IBRAHIM alikuwa nani ?
QURAN 3:67
"IBRAHIM hakuwa Yahudi wala mkristo, lakini alikuwa mwongofu MUISLAMU , wala hakuwa katika washirikina"
tumemaliza IBRAHIM alikuwa MUISLAM

JE MOHAMMAD kafata imani ya nani?
Jibu QURAN 42:13
";Amekuamrisheni Dini ile ile aliyo muusia Nuhu, na tuliyo kufunulia wewe,tuliyo wausia IBRAHIM na Musa na Isa, kwamba shikeni Dini wala msifarikiane kwayo";
Kwa hiyo tukisema Mohamadi anafata mila ya Ibrahim tunaamaanisha ni mafunzo yaleyale juu ya Mungu mmoja ( uislamu uliotukuka)
Nani ndiye Mwislamu wa Kwanza?.

Je Ni Khadija, Mohammad au nani?
. Here are the candidates:


1. Muhammad:
"And I am commanded to be the first of those who bow to Allah in Islam." (Qur'an 39:12)

2. Moses:
"Glory be to Thee! To Thee I turn in repentance, and I am the first to believe." (Qur'an 7:143)

3. Abraham:
“And this was the legacy that Abraham left to his sons, and so did Jacob; "Oh my sons! Allah hath chosen the Faith for you; then die not except in the Faith of Islam.
(Qur'an 2:132)

3. Adam:
Allah did choose Adam and Noah, the family of Abraham, and the family of 'Imran above all people (Qur'an 3:33).

4. Some Egyptian Magicians:
"Lo! We ardently hope that our Lord will forgive us our sins because we are the first of the believers." (Qur'an 26:51)

5. Jesus and his Disciples:
“When Jesus found Unbelief on their part He said: "Who will be My helpers to (the work of) Allah?" Said the disciples: "We are Allah's helpers: We believe in Allah, and do thou bear witness that we are Muslim.” (Qur'an 3:52)

So ikiwa hawa wote walitokea Dini ya Islam. Basi kuna tatizo hapa... I leave for you to ponder....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom