Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Matope yako nchi gani sasa?
 
Halafu miujiza hii ya Muhammad inakosa ushahidi.These were the things ascribed to him by his followers kumfanha awe authentic.Angewezaje kuwa nabii bila kuwa kwenye lineage ya wana wa Yuda?
 
Ndio tunakubali musa aliona moto hakumuona Mungu ilo mbona liko wazi, mjomba Mungu awezi kuwa mtu huko ni kujidanganya
 
Halafu miujiza hii ya Muhammad inakosa ushahidi.These were the things ascribed to him by his followers kumfanha awe authentic.Angewezaje kuwa nabii bila kuwa kwenye lineage ya wana wa Yuda?
Kwani Ibrahim alikuwa myahudi? Mungu yule yule aliemuongoza Ibrahim anaweza muongoza yeyote na kuwa nabii
 
Leo na wewe umekubali Yesu baba yake Mungu [emoji15] [emoji38] [emoji38] Kwa njia hii Utaelewa LAZIMA [emoji53]
Ndio nakubali Yesu baba yake Mungu, hata mimi na Yesu baba yetu ni Mungu , na Mungu wa Yesu ndio Mungu wako wewe na WAKRISTO wenzio pia ahahahhhaaahahaahaahaahahajajaaaaaj siku nyingine uje useme tena Yesu ni Mungu mara sijui mtoto wa pekee wa Mungu, wakati ata ww ni mtoto wa Mungu kama alivyo Yesu, tena muache kufuru zenu kumuita bikira maria eti mama wa Mungu ahaahhaahaahahaaahaahhahhahhaha
 
Kwani Ibrahim alikuwa myahudi? Mungu yule yule aliemuongoza Ibrahim anaweza muongoza yeyote na kuwa nabii
Ibrahim alikuwa mhebrania, Isaac,ishmael,Jacob na wengineo ni wahebrania,Manabii walitoka kwenye uzao wa Yuda na Muhammad alikuwa mkureshi kutoka Yemen kabla ya Ibn Ishaak kumpachika kwenye lineage ya Ishmael aonekane naye anatokana na uzao wa Ibrahim.Historia iko wazi kabisa.Hakuna mzao wa Ibrahim au Ibrahim mwenyewe waliishi Makka
 
sio kila swali unaita unategwa tu [emoji12] wengine lengo Letu ni kujua na si mashindano kama leage! asante kwa jibu Masudi [emoji736] nakuomba umalizie bustani ni nyingi! Hiyo bustani ya wapi?!
Hapo hakuna mtego Mungu amesema aliwaweka bustanini wewe unasema ya wapi, kwani kuna ya wapi na ya wapi? Ahahahahaaahahahahahhhahhhh
 
Ishmael alikuwa kabila gani?
 
Nidadavulie tafadhali,Logic inakataa kabisa na historia inakataa pia.Kama aliishi karne mingi kabla ya Muhammad aliujulia wapi uislam?Au naye amepachikwa uislam kama kina Ibrahim na Yesu.
Sio kupachikwa QURAN inasema hivyo , wewe ukikataa Ibrahim hakuwa muislamu utuambie alikuwa nani myahudi au mkristo?
 
Nidadavulie tafadhali,Logic inakataa kabisa na historia inakataa pia.Kama aliishi karne mingi kabla ya Muhammad aliujulia wapi uislam?Au naye amepachikwa uislam kama kina Ibrahim na Yesu.
Unataka logic gani wakati ata maandiko aliotoa mtoa mada yanasema alikuwa muumin(maana yake muislamu kweli kweli)
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…