Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.


Was there an earthquake when Jesus died or not, and did many of the dead resurrect or not?


Matthew 27:51-53

51 At that moment the curtain of the temple was torn in two from top to bottom. The earth shook and the rocks split.
52 The tombs broke open and the bodies of many holy people who had died were raised to life.
53 They came out of the tombs, and after Jesus' resurrection they went into the holy city and appeared to many people.


You would expect that such monumental event be recorded not only all over the New Testament, but also in 100s of books throughout history, since it would've been witnessed by thousands and told by thousands. Yet, not only the gospels of Mark, Luke and John are virtually silent about (no earthquakes and no resurrections of dead bodies), but so are the history books! No testimonies and no recordings of anything of this sort. Obviously, the writer of the gospel of Matthew got too carried away with his hoax.


Why is this relevant? Because this serves to prove that the gospels were indeed:


  1. Written by unknown people.
  2. Written by an unknown number of people.
  3. Written in unknown places.
  4. Written in unknown dates.
  5. Full of "fables", "fairy tales", and "fictions" as the Bible's own theologians admit.
What does this mean?

It means that the person or persons who wrote the false gospel of Matthew, wrote it during a time and place when the other gospels weren't around at least to the local community of where the false gospel was written. The place was also most likely very far away from Palestine, where the people would not have had the ability to double check this monumental claim. That is why such a lie was easily fabricated and recorded.


It is also worth mentioning that the people in rural and underdeveloped areas usually tend to gossip and exaggerate too much. And this is true in any country's and society's rural areas. Gossipers tend to blow things way out of proportion. They exaggerate too much and they lie too much, even if their intention is not to lie. That's just their human nature, because:


1- They are not educated.


2- They don't have a wide perspective of life. They're very isolated in their limited life (farming, milking, etc...).


3- They have too much time on their hands, and they interact with each others too much, which results in a culture of gossipers and "white liars".


But here is the big big problem!! We're not talking about the gossipers! We're talking about the Holy and Divine Words of GOD Almighty! So if the mentioned monumental events never took place, then they should not have gossiped their way through the Gospels, because this will then turn the Gospels themselves into Gossips, which in reality they are without a doubt, and this will further prove that the Bible contains many many man-made lies, which it does. That is why the gospels of Mark, Luke and John and the history books are virtually silent about these monumental events. Because it's a lie!
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji106] [emoji38]


Here is an email that I received from a Christian regarding Mark 16:17-18:

From: R. Mercer
To: Gavana
Subject: I Totally Agree
13:41:57 -0700

"What credibility does Christianity have when it scriptures are littered
with such dangerous and obvious forgeries?"


That is my question entirely. Just what are we to believe? If forgeries have been proven to
exist in the Bible, then how many more must there be? What about the
chapters and verses we all guide our whole life/styles by?
Are they
forgeries, too?

This verse in Mark 16:17-18, has always bothered me. I have, and
still do believe the rest of that passage (laying on of hands, healing
the sick,...), so how can that part of the passage be true when the
serpent part is forged?

I know the part on drinking any poison says "IF", but the part on
taking up serpents says "SHALL", which has always been a problem for me
to believe. Imagine us all being forced to take up serpents in order to
serve God.


On the other hand, if this was forged, then that creates an even
bigger concern for me. Not knowing what text in our Bible is authentic
and what is not.

Thanks for letting me take up so much of your time. Like I said
before, this passage always bothered me, probably more so than any other.

Thanks, once again. Good Day.
 

Aliye ku-email ni huyu [emoji117] ? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 






Luke 24:27 says that Moses spoke about Jesus.

Where are those verses in Moses' books?

This verse is an obvious forgery!

wee baba yako hajakutia Adabu eeh umeghafilika [emoji12]
 
mkuu naomba nikuongezee knowledge kidogo tunaishi kwenye planet earth, planet earth ni moja ya planet zinazolizunguka jua. jua ni nyota mbayo inapatikana kwenye ukanda wa milkway galaxy, kwenye milk way galaxy kuna mamilion ya nyota yanayozidi jua letu kwa ukubwa mara dufu, kuna galaxy zaidi ya bilioni zinazoizidi ukubwa hiyo milkway galaxy yetu. hizo galaxy zote zaidi ya bilion zinapatikana kwenye visible spaces, kuna billions of space available in the universe that form hyperspace, kuna billions of hyperspace that are found in the universe. and the universe is endless. so you nerver know huo mstari wa mtume muhammad ulikuwa deep kiasi gani inawezekana uko deep kiasi kwamba hatuwez kuutafsiri kwa knowldge tuliyonayo
wallah aalamu malaa taalamuuna
 
Facts za kisayansi unazozieleza,Mimi sina shaka Nazo kabisa. Hoja ni kwamba hilo dimbwi lenye matope kunakozama Jua liko wapi?
 
Facts za kisayansi unazozieleza,Mimi sina shaka Nazo kabisa. Hoja ni kwamba hilo dimbwi lenye matope kunakozama Jua liko wapi?
Nimekujibu zaidi ya mara2 na link nikakuwekea au nikujibu tena au Nia yako ni kuendeleza ubishi usiokwisha ??
 
Nimekujibu zaidi ya mara2 na link nikakuwekea au nikujibu tena au Nia yako ni kuendeleza ubishi usiokwisha ??

Majibu nje ya Kurani yanakubalika vipi? Kwani nani alipokea Wahyi kule pangoni au ulikuwepo pamoja na Muhammad?
 
Alikuambia ni yeye ?? Mbona naona ni wewe umejibandika hilo jina??
Mhadithia mvua imemnyeshea [emoji38] [emoji38] unachamba mwisho utoke na urojo wa ngisîí [emoji12] [emoji4]
 
Mhadithia mvua imemnyeshea [emoji38] [emoji38] unachamba mwisho utoke na urojo wa ngisîí [emoji12] [emoji4]



MVUA MPYA HII INAKUNYEA


UTATU

Mpaka sasa tumechunguza mambo yaliyolazimisha kuzua imani isiyo ya kweli ya kumfanya Yesu kuwa mungu na kazi yake
inavyosemekana katika Utatu akiwa Mwana wa Mungu.

Lakini nafsi ya tatu katika itikadi ya Kikristo ya Utatu, yaani Roho Mtakatifu, ni vigumu kufahamika. Kwa nini 'Mbili katika Moja'
isitoshe, na iko haja gani ya kuongeza nafsi hiyo ya tatu katika itikadi ya kimsingi?

Kiakili nafsi ya tatu kupewa nafasi katika imani ya Kikristo ya kuwa mungu haiko sawa.

Harnack, aliyefafanua suala hilo, anafikiri kwamba mwanzoni Ukristo ulifahamika kuwa Umoja wa nafsi mbili za Mungu na Yesu.

Baadaye kanisa likaongezwa humo likiitwa 'Roho' ili kulitilia maana ya uungu ambao pasipo huo nyongeza hiyo ya tatu
ingeonekana tupu isiyovutia.

Hiyo pia ikatenda kazi ya zana dhidi ya dini ya kiyahudi. ( Harnack, 'Constitution and Law of the church', E.T.uk 264)

Kuhusu habari hiyo, Rev K.E. Kirk anasema katika makala yake juu ya The Evolution of the Doctrine of Trinity kama ifuatavyo :

Kwa kawaida twawageukia waandishi wa zama hizo ili kujua wanayo misingi ipi ya itikadi yao. Twashangaa ya kwamba tunalazimika kukiri kuwa hawana msingi wowote. Suala walilolikabili halikuwa ni kwa nini ziwepo nafsi tatu, bali lilikuwa kwa nini zisiwepo?

Yeye anaendelea kuainisha theolojia ya Kikristo kushindwa kabisa kuleta hoja ya kiakili kuthibitisha itikadi ya Utatu, na kwamba utatu wa Kikristo unaweza kuelezwa kuwa hasa itikadi katika uwili ambamo kiliongezwa kitu cha tatu kilicho tofauti kabisa ili kuchora picha kamilifu zaidi. Essays on the Trinity and the Incarnation', mkusanyaji A.E. J. Rawlinson, Longmans, London ( 1928

Sisi tunaamini ya kwamba nafsi hiyo (Roho Mtakatifu) ilipata kukua hatua kwa hatua kwa kuathirika na falsafa na hadithi za
kipagani zisizo na msingi ambazo zilijaa tele tele katika ufalme wa Kirumi.

Kubadilishana mawazo na hao watu bila shaka kuliwahimiza kumwamulia Roho Mtakatifu kiwango chake. Kwa kuwa upo ushuhuda wa kutosha sana kwamba zipo imani na madhehebu zilizomfahamu Mungu kuwa ameungwa na dhati tatu, kwahiyo ni vugumu kutafuta chanzo hasa cha itikadi ya Kikristo katika Utatu.

Kwani kama kwa vyovyote mbili zaweza kuwa moja, na moja kuwa mbili kwa nini tatu zisiweze kuwa moja pia? Ni juu ya wataalamu wa uchunguzi kugundua barabara kwamba lini na namna gani nafsi ya tatu ya mungu wa Kikristo ilipata
kuimarika katika mitholojia ya Kikristo.

Lakini habari hiyo hivi sasa haihusikani na mazungumzo yetu. Hapa twanuia kuchunguza upuuzi wa madai kama hayo ambayo yanakataliwa na fahamu ya binadamu moja kwa moja.

Tabia ya asili ya mtu inakataa katakata fikara zinazojipinga na zenye hitilafu.
 
Alikuambia ni yeye ?? Mbona naona ni wewe umejibandika hilo jina??
wee baba yako hajakutia Adabu eeh View attachment 877471 umeghafilika [emoji12]
UMEGHAFILIKA...[emoji38] [emoji38] [emoji38]
 


Ni sehem ndogo mno ambayo umeshindwa kuitafakari na kupata jibu... Hapo Quran inamuelezea Dhulqarnain ambaye ni mwanadam km mm na ww,na Quran imeelezea jinsi vile Dhulqarnain alivyoona yani ni km imeelezea kile kilichomo ndani ya kichwa cha Dhulqarnain, ni kwamba,yy kwa macho ya kawaida ameona jua Likizam ktk mawingu meusi mazito mfano wa tope,na yy hakuwa mwanasayansi wala hakuelewa kuwa dunia ndio inayozunguka.. Hivyo Quran imeeleza mawazo ya Dhulqarnain Na si kwamba jambo la kuzama kwa kujua ktk matope limeongelewa ktk Qur'an kana kwamba hivyo ndivyo ilivyo, yan kwamba Qur'an inaamini kwamba jua linazama ktk tope laa hasha.kwa kuthibitisha hilo Quran imeelezea mizunguko ya dunia na mwez mpk kupatwa kwa jua na mwez ktk mizunguko hiyo, Quran imeeleza jinsi mtoto anavyokuwa ndan ya tumbo la mama hatua kwa hatua, Quran imeeleza jinsi bahari mbili zinapokutana lkn hazichanganyiki na kuharibiana tabia na hayo yalisemwa ndan ya Quran kabla ya ugunduz wa teknolojia na mtume hakuwa mvuvi wa samak tuseme labda aliijua bahar,bali alikuwa ni mtu wa jangwani. So ni vizur kujua wkt gani Quran inaeleza mawazo yake yenyewe Na wkt gan inaelezea mawazo ya mtu kwa kutupa historia ya jambo fulan lilivyokuwa.
Biblia ndo kitab ambacho kimeenda hovyo kabsa kuhus sayans,kuna mahala Kinasem Mungu aliumba mimea alaf akaumba mwanga, sasa hiyo mimea ilIkuwaje bila ya mwanga??? Na kuna madudu mengi tu kias kwamba binafs cjui kati ya biblia ya vitab 72 na ile ya vitab 66 ipi iko sahihi mana yesu alikuja na injili moja tu. Baadh ya wasomi wanasema hii ya vitab 66 ina uafadhali kdgo lkn kuna wasomi wa juu wa ukristo maarufu km 32 scholars of the highest eminance wanasema ht hiyo ya vitab 66 ina mapungufu makubwa mnooo.
 

Kwa nini una mdhalilisha mtume Muhammad saw [emoji15] [emoji47] [emoji12] yeye Amewaagiza waumini [emoji117] Amewaagiza Muamini madudu kama ulivyo Andika??? Kama wewe ni mjuzi zaidi ya allah na Muhammad Tangaza tu [emoji4] Tutakuamini wewe uliye mjuzi zaidi yao...[emoji53] umeeleza KUWA mtoa uzi hajatafakari [emoji15] [emoji4] Quran imeshushwa mazima ni kukariri tu [emoji53] haina kutafakari wala ku-edit! zaidi ujue imeshuka wapi, sababu ya kushuka, na mtume kaifundishaje [emoji53]
 

1. Ni lini umepokea Wahyi maana Muhammad aliyepewa Wahyi na Allaha hajawahi kusema Biblia ni madudu?

2. Unasema Kurani katika suala la kuzama kwa Jua katika matope inaeleza kile Dhulqurnaini alichokuwa anakiona tu. Je,ni nani aliyemuona Dhulqurnain akiliona Jua kana kwamba linazama katika matope? Je, ni Allah na ndio kisha kumueleza Muhammad?

3, Suala la Kurani kueleza jinsi mtoto anavyopitia hatua mbalimbali hakuwezi kuifanya iwe document ya pekee! Kwani kabla ya Kurani kuandikwa hakuna watu waliokuwa wanafahamu jinsi watoto tumboni wanavyokua?

4. Sawia na suala la bahari mbili kukutana. Ina maana kabla ya Kurani hakukuwa na watu waliokuwa wanafahamu jinsi bahari hizo zinavyokutana? Unasema Muhammad alikuwa anaishi Jangwani,je wale walioshi kwenye maeneo ya bahari hizo nao hawakuwahi kufahamu kama bahari zinakutana hadi Muhammad alipowa Wahyi juu ya jambo hilo?
 


UHUSIANO WA NAFSI TATU ZENYEWE KWA ZENYEWE:

Mtu anapotaka kutambua namna zinavyohusiana nafsi hizo tatu zenyewe kwa zenyewe ndizo hizi zifuatazo:

a. Hizo ndizo jiha mbalimbali za dhati moja.

b. Hizo ni dhati tatu mbalimbali zinazoshirikiana kwa usawa daima milele.

c. Hizo ni dhati tatu ambazo kila moja katika hizo ina baadhi ya sifa za pekee ambamo nyingine hazishirikiani nazo kikamilifu.

d. Hizo ni dhati tatu katika moja, na kila moja inazo sifa zilezile na nguvu zilezile, na zote hizo zimeunganika pamoja, na kazi zao pia ni zilezile pasipo tofauti yoyote ile iwayo.

______________________
 
Makosa ya kiuchapaji hayaondoi mantiki ya swali langu. Nimerekebisha makosa. Sasa naomba ujibu swali la msingi.


HALI AU JIHA MBALI MBALI ZA NAFSI MOJA:


Kuhusu jambo la kwanza linalowezekana miongoni mwa hayo manne hapo juu hakuna haja ya kulijadili zaidi, kwani hamna siku hizi Mkristo yeyote ambaye angemwamini Yesu kuwa hali ama jiha moja ya Mungu kuliko kuwa nafsi moja maalum.

Wanaouamini utatu wanasisitiza kuwepo kwa nafsi tatu tofauti zilizounganika na zikawa moja.

Pindi mtu anapokubali habari hiyo ya nafsi moja yenye hali mbali mbali zikidhihirika wakati mmoja, papo hapo itikadi ya Utatu, yaani miungu watatu katika mmoja, inatokomea, pasipo kubakia utatu wowote kabisa.

Basi atakayebakia ni Mungu Baba ambaye kwa kuona huruma atakufa kwa ajili ya madhambi ya watu.

Na hiyo itakuwa ni hali ya kupita ya nafsi hiyohiyo. Hali mbalimbali siyo nafsi, wala jiha mbalimbali hazimaanishi dhati tofauti. Mtu
yeyote anaweza kupitia hali mbalimbali bila ya kugawanyika katika wawili, watatu ama watu wengi.

Hivyo, kama Mungu akiamua kufa kwa ajili ya watu wenye dhambi, basi ni Mungu mwenyewe atakayekufa siyo hali zake fulani tu zitakazokufa.

Basi kuhusu habari tunayozungumzia, ile hali ya Mungu ambayo ilifanya kazi kubwa sana ya kutoa dhabihu yake kwa ajili ya watu
wenye dhambi inaweza kufahamika kuwa kazi ya sifa moja tu yake. Hivyo, kama huruma ya Mungu peke yake ikihesabiwa kuwa 'nafsi' na nafsi hiyo ikapewa jina Yesu Kristo, hapo kile kilichokufa ni 'huruma' ya Mungu.

Upingamizi mkubwa ulioje huu ya kwamba huruma ya Mungu ikiwahurumia watu wenye dhambi inajiua. Hiyo inamaanisha ya kwamba Mungu hakubakiwa na huruma kwa siku tatu mchana na usiku.


Kumbukeni kwamba hapo Yesu hakuhesabiwa nafsi tofauti ya kujitegemea, bali ni sifa ama hali ya huruma ya Mungu ambayo
huruma hiyo ikadhihirika kwa sura ya mtu. Na mtu huyo kwa vyovyote ndiye Mungu mmoja asiyeweza kugawanyika. Basi
kama chochote kilikufa katika kisa hicho, hicho ni Mungu Mwenyewe ama ni sifa yake ya Huruma iliyofanya kazi kubwa
sana katika tukio hilo.

Basi hatuna hiari yoyote isipokuwa kuamini kwamba Huruma ya Mungu ilikufa ama Mungu Mwenye Huruma Mwenyewe Alikufa.

Matatizo mengi yatazuka kutokana na madai ya kwamba hali au sifa fulani inaweza kufutika kwa muda ama kwa kudumu. Habari
hiyo inaweza kueleweka vizuri ikilinganishwa na majaribu ya binadamu. Mtu anaweza kupoteza nguvu yake ya kuona au kusikia
kwa muda au daima, lakini mtu huyo bado atabaki kuwa yule yule mtu aliye hai.

Kifo cha nguvu moja ya mtu kwa hakika ni nusu kifo cha mtu huyo.

Hatimaye mwenye kupata hasara ama kusumbuka anakuwa mtu yuleyule.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…