Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Kama Musa kakufundisha hivyo gavana wanasubiri umpe wepesi [emoji4] Mimi Yesu Kaifundishaje [emoji117] View attachment 883410


YESU KAFUNDISHA HAYA????



YEHOVA ARUHUSU WATU KULA WATOTO WAO

Kumbukumbu la Torati 28:53

53 Nawe utakula uzao wa tumbo lako mwenyewe, nyama ya wana wako na binti zako aliokupa Bwana, Mungu wako; katika mazingirwa na katika mkazo utakaokazwa na adui zako.



YEHOVA KUWAPAKA MAVI MAKUHANI

Malaki 2:1-3

2 Kama hamtaki kusikia, na kama hamtaki kuitia moyoni, ili kulitukuza jina langu, asema Bwana wa majeshi, basi nitawapelekeeni laana, nami nitazilaani baraka zenu; naam, nimekwisha kuzilaani, kwa sababu hamyatii haya moyoni.

3 Angalieni, nitaikemea mbegu kwa ajili yenu, nami nitapaka nyuso zenu mavi, naam, mavi ya vyakula vyenu; nanyi mtaondolewa pamoja nayo



YESU AWAAMBIA WAFUASI WAKE WANUNUE MAPANGA

Luka 22:36

Akawaambia, Lakini sasa mwenye mfuko na auchukue, na mkoba vivyo hivyo; naye asiye na upanga, na auze joho yake akanunue.


YEHOVA HATAKI BINADAMU AJUE MEMA NA MABAYA

Mwanzo 3:22

Kisha Mwenyezi-Mungu akasema, “Sasa, binadamu amekuwa kama mmoja wetu, anajua mema na mabaya. Lazima kumzuia kula lile tunda la mti wa uhai, kwani akilila ataishi milele!”


YEHOVA AUA HALAIKI NA KUWAACHA BIKRA

HESABU 31:15-17

15 Kwa hiyo Musa akawaambia: “Je, mmemhifadhi hai kila mwanamke?+ 16 Tazama! Hao ndio, kupitia kwa neno la Balaamu, waliowashawishi wana wa Israeli kukosa uaminifu+ kwa Yehova juu ya lile jambo la Peori,+ hivi kwamba tauni ikaja juu ya kusanyiko la Yehova.+ 17 Na sasa ueni kila mtoto wa kiume, na kumuua kila mwanamke ambaye amefanya ngono na mtu kwa kulala na mwanamume


YEHOVA ATAKA WATU WATII SERIKALI HATA KAMA HAIKUCHAGULIWA NA WATU

Warumi 13

13 Kila mtu hana budi kutii serikali inayotawala. Kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na serikali zote zilizopo zimewekwa na Mungu. 2 Kwa hiyo anayepinga mamlaka inayotawala ana pinga chombo kilichowekwa na Mungu; na watu wanaoasi watajiletea hukumu.

YEHOVA MUASISI WA MFUMO-DUME

1 timotheo 2:11-12

11 Mwanamke na ajifunze akiwa kimya na kwa kujitiisha kikamili.+ 12 Simruhusu mwanamke kufundisha,+ wala kuwa na mamlaka juu ya mwanamume,+ bali kuwa kimya.


YEHOVA,MUASISI WA UTUMWA

Mwanzo 9:25-27

25 Basi akasema:“Alaaniwe Kanaani.

Na awe mtumwa wa hali ya chini kabisa kwa ndugu zake.”26 Naye akasema tena:“Abarikiwe Yehova, Mungu wa Shemu,Kanaani na awe mtumwa wake. 27 Mungu na ampe Yafethi nafasi ya kutosha,Akae katika mahema ya Shemu. Kanaani na awe mtumwa wake pia.”

PONOGRAFIA NDANI YA BIBLIA

Ezekieli 23:20

Aliwatamani sana wanaume wenye uume kama wa punda na manii kama farasi dume.”



YEHOVA BINGWA WA KUKOMOA NA KUTESA

Kumbukumbu la torati 28:28-35

28 Yehova atakupiga kwa wazimu+ na kupoteza uwezo wa kuona+ na kuchanganyikiwa kwa moyo.+ 29 Nawe kwa kweli utakuwa mtu anayepapasa-papasa katikati ya mchana, kama vile kipofu anavyopapasa-papasa gizani,+ nawe hutafanya njia zako zifanikiwe; nawe utakuwa mtu tu ambaye sikuzote hupunjwa na kunyang’anywa, pasipo mtu wa kukuokoa.+ 30 Utamchumbia mwanamke, lakini mwanamume mwingine atamlala kinguvu.+ Utajenga nyumba, lakini hutakaa ndani yake.+ Utapanda shamba la mizabibu, lakini hutaanza kutumia matunda yake. 31 Ng’ombe-dume wako atachinjwa hapo mbele ya macho yako—lakini hutakula sehemu yoyote yake. Utanyang’anywa punda wako mbele ya uso wako—lakini hatarudi kwako. Kondoo wako watapewa adui zako—lakini hutakuwa na mwokozi yeyote.+ 32 Wana wako na binti zako watapewa watu wengine+ na macho yako yakitazama na kuwatamani sikuzote—lakini mikono yako itakuwa haina nguvu.+ 33 Mazao ya udongo wako na mazao yako yote yataliwa na watu ambao hukuwajua;+ nawe utakuwa mtu aliyepunjwa na kupondwa sikuzote.+ 34 Nawe utatiwa wazimu kwa kuona kwa macho yako mambo ambayo utaona.+ 35 “Yehova atakupiga kwa jipu hatari kwenye magoti yote mawili na miguu yote miwili, ambalo hutaweza kupona, kutoka wayo wa mguu wako mpaka utosi wa kichwa chako













YEHOVA AHAMASISHA WATU WAPIGANE

Kumbukumbu la torati 25:11

11 “Ikiwa wanaume wawili watapambana pamoja, na mke wa mmoja awe amekuja karibu ili kumkomboa mume wake kutoka mkononi mwa yule anayempiga, naye ameunyoosha mkono wake na kumkamata sehemu zake za siri,+ 12 basi ukate mkono wa mwanamke huyo.



YEHOVA APANDISHA JAZBA,AUA WATOTO 42 PAPO HAPO

2 wafalme 2:23-25

3 Naye akapanda kutoka hapo mpaka Betheli.+ Alipokuwa akipanda njiani, tazama, palikuwa na wavulana+ wadogo waliotoka katika jiji, nao wakaanza kumdhihaki,+ wakazidi kumwambia: “Nenda juu, wewe kipara!+ Nenda juu, wewe kipara!” 24 Mwishowe akageuka nyuma, akawaona, naye akawalaani+ katika jina la Yehova. Ndipo dubu-jike+ wawili wakatoka katika vichaka, wakaanza kuwararua vipande-vipande watoto 42 kati yao.+ 25 Naye akaendelea kutoka hapo mpaka Mlima Karmeli,+ na kutoka hapo akarudi Samaria.



YEHOVA APITISHA ADHABU YA KIFO KWA MLEVI

Kumbukumbu la torati 21:18-21

“Ikiwa mtu atakuwa na mwana ambaye ni mkaidi na mwasi,+ awe hasikilizi sauti ya baba yake au sauti ya mama yake,+ nao wamemrekebisha bali yeye hawasikilizi,+ 19 baba yake na mama yake watamshika na kumtoa nje mpaka kwa wanaume wazee wa jiji lake na kwenye lango la mahali pake,+ 20 nao watawaambia wanaume wazee wa jiji lake, ‘Huyu mwana wetu ni mkaidi na mwasi; hasikilizi sauti yetu,+ ni mlafi+ na mlevi.’+ 21 Ndipo watu wote wa jiji watampiga kwa mawe, naye lazima afe.



YEHOVA ANYANYAPAA VILEMA,WENYE PUA PANA(KAMA zA WATU WEUSI)

Mambo ya walawi 21:17-23

17 “Sema na Haruni, na kumwambia, ‘Mtu yeyote wa uzao wako katika vizazi vyao vyote ambaye ana kasoro+ asije karibu ili kuutoa mkate wa Mungu wake.

18 Ikiwa kuna mtu yeyote mwenye kasoro, asikaribie: mtu aliye kipofu au kilema au mwenye pua pana au mwenye kiungo kimoja kilicho kirefu mno,
19 au mtu aliyevunjika mguu au aliyevunjika mkono,
20 au mwenye kijongo au aliyekonda au mwenye ugonjwa wa macho au mwenye vigaga au mwenye mba au aliyevunjwa mapumbu yake.
21 Mtu yeyote wa uzao wa Haruni kuhani ambaye ana kasoro hatakaribia ili kutoa matoleo ya Yehova kwa njia ya moto. Kuna kasoro ndani yake. Hatakaribia ili kuutoa mkate wa Mungu wake.
22 Anaweza kula mkate wa Mungu wake kutoka kati ya vitu vitakatifu zaidi+ na kutoka kati ya vitu vitakatifu.
23 Hata hivyo, hatakaribia pazia, wala hatakaribia madhabahu, kwa sababu kuna kasoro ndani yake; naye hatapatia unajisi patakatifu pangu, kwa kuwa mimi ni Yehova ninayewatakasa wao.



YEHOVA AFANYA MAUAJI YA HALAIKI,AUA WATOTO WACHANGA HADI WANYAMA

1 samweli 15:3

3 Sasa nenda, umpige Amaleki,+ umwangamize+ pamoja na vitu vyote alivyo navyo, usimhurumie, nawe uwaue,+ mwanamume na mwanamke, mtoto na mtoto anayenyonya,+ ng’ombe pamoja na kondoo, ngamia pamoja na punda.’



YEHOVA APATA KIU YA DAMU YA BINADAMU

Mwanzo 22:2

Mungu akamwambia, “Mchukue mwanao, Isaka, mwanao wa pekee umpendaye, uende mpaka nchi ya Moria, ukamtoe sadaka ya kuteketezwa juu ya mlima mmojawapo nitakaokuonesha.”



YESU AWATAKA WATUMWA KUTII MABWANA WAKATILI

1 Petro 2:18

18 Ninyi watumwa, watiini mabwana wenu kwa heshima yote, si wale mabwana walio wapole na wema peke yao, bali hata wale walio wakali.
 
baba fatûú hakujua ni maumbile hadi anampinga ban asiwsali [emoji351] na kupiga ban watu wasijambe kama maffler [emoji38] masudi una akili kuliko baba yake kasimu [emoji106]


WEWE KUHANI UMEAMBIWA HIVI


YEHOVA KUWAPAKA MAVI MAKUHANI

Malaki 2:1-3

2 Kama hamtaki kusikia, na kama hamtaki kuitia moyoni, ili kulitukuza jina langu, asema Bwana wa majeshi, basi nitawapelekeeni laana, nami nitazilaani baraka zenu; naam, nimekwisha kuzilaani, kwa sababu hamyatii haya moyoni.

3 Angalieni, nitaikemea mbegu kwa ajili yenu, nami nitapaka nyuso zenu mavi, naam, mavi ya vyakula vyenu; nanyi mtaondolewa pamoja nayo
 
Ahahahahaaahhahahhahahaha Mungu anapaka watu mavi ahahaahahahqhha ndio maana dogo yule anakukimbia
 
HADITH YAKO NDEFU JE ASUBUHI LINATAKATAJE ILI LITOE MWANGA TENA MI SIJAFOMA YOTE
 
Itakuwa wanasanyansi bado hawajapata jibu kama kwani mara kadhaa wamekuwa wakikosoana wao kwa wao.
 
Ahahahhaaahahahhahahahajaajaha umekosa vya kujadili sasa unajadili ushuzi ahahahahhahahaahhaahaha bureee kabisa wewe
Umeupa darja ushuzi! Hadi nikakusifu una ujuzi kuliko baba fatûû kwa kumpinga ban muumini kuswali [emoji4] umesha geuka tena unauponda ushuzi [emoji38] [emoji38] kumbe bado wewe ni mjuzi kwa kujua ktk kuswali hata ukijamba sio issue sababu Mungu anaangalia Roho iliyo pondeka kwake na sio ushuzi [emoji53] chukua [emoji736] mtu wangu ungekuwa zama hizo za baba kasim kati ya makureshi ungekuwa mtume hau [emoji106]
 
Abahahhahhahahaahahaahaaaha unaongeza maneno yako ahahahahahaahahahqhha usituletee maneno ya vijiweni hapa hiyo QURAN haiitaji nyongeza iko kamili toka karne ya 7 ukitaka rejea kasome QURAN 5:3



Abahahhahhahahaahahaahaaaha unaongeza maneno yako ahahahahahaahahahqhha usituletee maneno ya vijiweni hapa hiyo QURAN haiitaji nyongeza iko kamili toka karne ya 7 ukitaka rejea kasome QURAN 5:3

Uachege uongo bana aliye takiwa kukuaminisha kajifia [emoji4] ona [emoji117] [emoji15] [emoji38] [emoji38]
 
Abahahhahhahahaahahaahaaaha unaongeza maneno yako ahahahahahaahahahqhha usituletee maneno ya vijiweni hapa hiyo QURAN haiitaji nyongeza iko kamili toka karne ya 7 ukitaka rejea kasome QURAN 5:3

Vijiwe ni miratul rasul [emoji4] eti koloani imekamilika Yaani huwa nawashanga mnaposemaga koloani imekamilika [emoji15] hivi kwa akili ya kisilamu huku [emoji117] ndio kukamika [emoji350] [emoji350] unaongea bila hata hofu wala soni kabsaáâ [emoji53] ndio sababu baba fatûú kawaambia kazi yenu kubwa ni uongo na kudhania tu [emoji117] kafir kubwa [emoji53]
 

Attachments

  • IMG_20181002_191134_585.jpg
    14.1 KB · Views: 18

Pana mgen hapo?? toka lini Mimi najisafisha kwenye bustani?? umeishiwa umebakia na uongo na kudhani
 
Ahahaaahahaahahaahhaahha nimekuuliza hiyo amri Mungu alipompa Musa alikosea au alipatia?ahahahahahahahahahhah ukimbii hapa

Na hapa [emoji117] Mungu alikosea wee unajiokotea mahindi, kokoto, fenesi, maharage kisha unapika unaita kande [emoji12] hujui hili Andiko linahusu Umma upi ili muradi umeandika na kutuma [emoji57]
 
kama ndivyo kuna Hekima gani ukijamba wakati Wa kuswali unatoka mbio kwenda kunawa ile reha ya ushuzi unaacha ndani msikiti [emoji350] [emoji350] ni ubani ul
 
Mashambulizi yamekuwa makali unamkimbia Gavana ahahahahahhaahahhaha , kama ulikuwa ujuhi anaandaa nondo nyingine jiandae kulia kilio cha mbwa koko
Kipi kigeni anacho andika gavana zaidi ya kadi za kliñiki [emoji15] [emoji12]
 
kama ndivyo kuna Hekima gani ukijamba wakati Wa kuswali unatoka mbio kwenda kunawa ile reha ya ushuzi unaacha ndani msikiti [emoji350] [emoji350] ni ubani ul

Kumbe ndio maana Mapadri na maaskofu huchanganyikiwa kanisani wakati watoto wakijamba , hubakia kuvirarua vitoto Tu. Harufu ya mavi inawatia kichaa😂😂
 
Gavana said:










Hujui KUSOMA gavana [emoji117] pia baba yako hakukuonya [emoji] ndio sababu ni muongo na kudhani dhania kila siku [emoji117]
 

Attachments

  • IMG_20180923_174931_588.jpg
    40.9 KB · Views: 26
Huna ubavu Wa kumtetea dungà dungâ wewe [emoji53]
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…