Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
nanukuu " ARDHI IMELAANIWA KWA AJILI YAKO" hivi hili neno ni gumu kueleweka? kilicholaaniwa ni ARDHI , sio binadamu ahahahahahahahahaha kuzaa kwa uchungu au kula kwa jasho ni kwasababu ya LAANA ya ARDHI sio kwasababu ya LAANA ya BINADAMU unaleta maandiko yanakugeuka kwa sababu umekosa tafakuri, Adamu alitubu dhambi ya ASILI ni UZUSHI kwasababu binadamu HAKULAANIWA kilicholaaniwa ni ARDHI ahahahaha bure kabisaa wewe
Sikuiz wanawake nao kula kwa jasho na wanazaa kwa uchungu vile vile[emoji1]
 
Sishangai mende kusifiana ktk shughuli yao ya kushinda chooni na kulabua makimba ya n [emoji38] [emoji38]

Kumbe ndio maana Mapadri na maaskofu huchanganyikiwa kanisani wakati watoto wakijamba , hubakia kuvirarua vitoto Tu. Harufu ya mavi inawatia kichaa😂😂
 
Na hapa [emoji117] Mungu alikoseaView attachment 885025 wee unajiokotea mahindi, kokoto, fenesi, maharage kisha unapika unaita kande [emoji12] hujui hili Andiko linahusu Umma upi ili muradi umeandika na kutuma [emoji57]

AGANO LAKO JIPYA UNALOLIZUNGUMZIA WEWE NDIO HILI ?????

Ezekieli 23:20

Aliwatamani sana wanaume wenye uume kama wa punda na manii kama farasi dume.”

emoji12.png
 
Hujui KUSOMA gavana [emoji117] View attachment 885377 pia baba yako hakukuonya [emoji] View attachment 885380 ndio sababu ni muongo na kudhani dhania kila siku [emoji117] View attachment 885384

NAFSI MBALI MBALI ZENYE SIFA TOFAUTI KABISA

Kama Mungu Baba, Yesu na Roho Mtakatifu ni nafsi tatu zenye sifa mbali mbali kabisa ambazo katika hizo hazishirikiani zote tatu, hapo hizo tatu haziwezi kuhesabiwa kuwa 'Tatu katika moja' na 'Moja katika tatu'.

Utatu unaweza kuunganika ukawa umoja hasa hapo tu ambapo nafsi zote tatu zinakuwa na mienendo ile ile na sifa zile zile na kazi zile zile na nguvu zile zile za aina moja wala hamna hata sifa moja maalum inayoitenga moja na nafsi nyingine mbili.

Hiyo inaweza kufananishwa kiasi fulani na watoto watatu waliozaliwa kutokana na mimba moja ambao wanafanana sana sana kabisa, hata fikra zao, maono yao na kazi za viungo vyao vinaafikiana mno hata kwamba majaribu ya kila mmoja wao ni majaribu ya wote hao kikamilifu bila tofauti yoyote.

Kama ndivyo ilivyo, hapo Utatu wa Mungu, Mwana na Roho Mtakatifu utaweza kueleweka zaidi. Lakini bado tatizo litabaki kuhusu miili mitatu yenye nafsi hizo tatu zinazofanana kwa kila jiha kikamilifu.

Lakini hiyo haiafikiani na wazo la Kikristo juu ya Utatu.

Mtu akiangalia mara ya pili analazimika kuwaza picha ya mwili mmoja wenye nafsi tatu mle ndani. Lakini umoja huo wa watatu unaweza kuzingatiwa hapo tu ambapo mwili mmoja ukiweza kuwa na nafsi tatu ndani yake, jambo ambalo linazua matatizo mengi.

Naam, kwa kuwa Mungu hana mwili, kwahiyo mithali ya mwili wa kibinadamu ilivyoshauriwa nyuma haifai. Twajua sana ya
kwamba Mungu hana mwili, lakini bado tatizo litabakia kuhusu dhati tatu za kiroho zilizo kama wale watatu waliozaliwa kutokana
na mimba moja wanaofanana, wanaokuwepo mbalimbali lakini wanaungana katika mambo mengine yote.

Tatizo jingine litakalowakabili hao watatu wa kukisiwa ni namna wanavyohusiana wao kwa wao katika habari ya ibada. Je, nafsi
zote tatu za 'Tatu katika Moja' zinaabudiana zenyewe kwa zenyewe? Je, zote hizo zinapokea ibada za viumbe vyao, lakini
haziabudiani zenyewe kwa zenyewe?

Ingawaje Yesu Kristo anatajwa mara kwa mara katika Agano Jipya akimwabudu Mungu Baba na anawasihi wengine pia kumwabudu Yeye.

Lakini haikuelezwa kuhusu Roho Mtakatifu akimwabudu Mungu Baba. Tena hamna kabisa habari ya Yesu kujaribu kuwaelekeza wengine kumwabudu yeye wala kumwabudu Roho Mtakatifu sawa na taarifa ya Agano Jipya.

Mtu anakanganywa na kutokutajwa kuabudiwa kwa Yesu na Roho Mtakatifu katika Agano Jipya, lakini habari ya Mungu Baba
kuabudiwa imetajwa mara kwa mara.

Ijapokuwa ni desturi ya kawaida ya Wakristo kumwabudu Yesu kuwa 'Mwana wa Mungu' pamoja na kumwabudu Mungu Baba, hata hivyo hamna taarifa yoyote iliyohifadhiwa katika maandiko ya kwamba mwanafunzi yeyote wa Yesu Kristo aliwahi kumwabudu yeye, ama Yesu akawaelekeza kufanya hivyo katika muda wote aliokaa ardhini.

Hata kama yeye angelifanya hivyo, maswali mengi yasiyoweza kujibika yangezuka. Ndivyo ilivyo hali ya Roho Mtakatifu, yeye naye hakumtaka yeyote kumwabudu yeye.

Kwa nini? Ile hali imekwisha chunguzwa tayari kiasi fulani ambako hao walikuwa 'Tatu katika Moja' katika maana hii ya kwamba
utambuzi wao wa kuwapo kwao ulikuwa mmoja juu ya kugawanyika katika hali ama jiha tatu. Dhati ya aina hiyo haiwezi kiakili kuhesabiwa kuwa 'watu watatu katika mmoja'. Aidha, hali ama jiha haziabudiwi, wala hazijiabudu.

Kwa kuwatambua kuwa watu watatu tofauti, wanalazimika kujijua wanakuwapo kwa kujitegemea. La sivyo, suala la kujitaja ama kuwataja wengine kwa kusema 'Mimi', 'Wewe' na 'Yeye' halizuki asilani.

Utatu ukitumika kwa dhati moja humaanisha sifa tu basi. Na sifa kwa kweli hazina kikomo, haziwezi kuwa tatu tu. Tujue tusijue,
Mungu anazo sifa nyingi teletele.

Kwa kumalizia mazungumzo haya, nasisitiza mara nyingine ya kwamba suala la wao kuabudu wao kwa wao linaweza kuzuka
hapo tu ambapo hao wangekuwa watu watatu wenye madaraka mbalimbali na sifa tofauti.

Katika shauri hiyo, mmoja tu ataabudiwa na wengine wawili wakiwa wenye daraja dogo watatazamiwa kumwabudu yeye.

Hilo lakubaliwa, lakini ule 'Umoja katika utatu' utatoweka.

Hamna njia yoyote ya kuwa na 'Tatu katika Moja' na 'Moja katika Tatu', zote mbili hizo, wakati huohuo mmoja.
 
Kipi kigeni anacho andika gavana zaidi ya kadi za kliñiki [emoji15] [emoji12]

ANACHOKIANDIKA GAVANA HICHI HAPA ; JIBU HOJA KAMA UNAYO

Nimewauliza mara nyingi wataalamu wa Kikristo wenye ujuzi mwingi ya kwamba kwa nini Yesu alimwabudu Mungu Baba ikiwa yeye mwenyewe alikuwa sehemu ya Mungu isiyoweza kutenguka na alikuwa ameunganika naye kabisa kikamilifu kwa kuleta maana ya umoja japo nafsi tatu zilikuwepo?

Je siku yoyote aliwahi kumwabudu Roho Mtakatifu pia aliye nafsi ya tatu katika Utatu? Je, alijiabudu wakati wowote?

Je, Roho Mtakatifu alimwabudu Yesu siku yoyote? Na je, Baba aliwahi siku yoyote kumwabudu yeyote miongoni mwa wawili wengine wa Utatu?

Kama hapana kwa nini?

Pengine majibu ya suala hilo yatawalazimisha Wakristo kukiri ya kwamba Baba anacho cheo kikubwa zaidi kuliko nafsi mbili nyingine za Utatu.

Inathibitika kutokana na hiyo ya kwamba sehemu tatu za Utatu haziko sawa katika daraja. Hivyo, hao ndio 'Watatu katika Watatu' kama kwa vyovyote wako watatu, lakini siyo kabisa 'Watatu katika Mmoja'.

Wakati mwingine wataalamu wa Kikristo wanapokabiliwa na swali la Yesu, wanayemwamini kuwa Mwana wa Mungu, kumwabudu Mungu Baba, husema Yesu-mtu ndiye aliyemwabudu Mungu Baba, siye Yesu Mwana aliyemwabudu Yeye.

Hiyo inatupeleka nyuma tena kwenye mazungumzo niliyokwisha fafanua tayari.

Je, mwili huohuo mmoja wa Yesu ulikaliwa na nafsi mbili, moja yenye dhamira ya binadamu na nyingine ya Mwana wa Mungu?

Aidha, kwa nini mtu ndani ya Yesu aliepa na kumpuzilia mbali kabisa Mwana wa Mungu aliyekuwemo ndani yake asimwabudu
Kristo hata mara moja?

Huyo huyo Yesu-mtu alitakiwa kumwabudu Roho Mtakatifu pia aliye nafsi ya tatu katika Utatu, lakini mbona hakufanya hivyo katu!

Ibada ni tendo la moyo na roho ambalo pengine huoneshwa kwa alama za kimwili, lakini lina mizizi yake katika fahamu na maono
ya dhamiri ya mtu. Hivyo inapaswa kungunduliwa nani aliabudu pindi Yesu Kristo alipomwabudu Mungu.

Nimekwishaeleza jambo hilo hapo kabla pamoja na matatizo yake ya kwamba Kristo, Mwana wa Mungu, ndiye aliyemwabudu Mungu.

Kinyume chake, kama alikuwa ni mtu aliyemwabudu Mungu Baba, na huyo mtu hakumwabudu Kristo, kwa nini basi Wakristo wanaukaidi mfano huo bora wa Yesu mwenyewe?

Kwa nini wanaanza kumwabudu Kristo pamoja na Mungu, ilhali Yesu-mtu hakumwabudu mwenzake Kristo japo alikaa karibu yake mno.???
 
Kumbe ndio maana Mapadri na maaskofu huchanganyikiwa kanisani wakati watoto wakijamba , hubakia kuvirarua vitoto Tu. Harufu ya mavi inawatia kichaa[emoji23][emoji23]

Ushuzi umemponza binti asidi
IMG_20180912_111003_386.jpg
yaallah [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
ANACHOKIANDIKA GAVANA HICHI HAPA ; JIBU HOJA KAMA UNAYO

Nimewauliza mara nyingi wataalamu wa Kikristo wenye ujuzi mwingi ya kwamba kwa nini Yesu alimwabudu Mungu Baba ikiwa yeye mwenyewe alikuwa sehemu ya Mungu isiyoweza kutenguka na alikuwa ameunganika naye kabisa kikamilifu kwa kuleta maana ya umoja japo nafsi tatu zilikuwepo?

Je siku yoyote aliwahi kumwabudu Roho Mtakatifu pia aliye nafsi ya tatu katika Utatu? Je, alijiabudu wakati wowote?

Je, Roho Mtakatifu alimwabudu Yesu siku yoyote? Na je, Baba aliwahi siku yoyote kumwabudu yeyote miongoni mwa wawili wengine wa Utatu?

Kama hapana kwa nini?

Pengine majibu ya suala hilo yatawalazimisha Wakristo kukiri ya kwamba Baba anacho cheo kikubwa zaidi kuliko nafsi mbili nyingine za Utatu.

Inathibitika kutokana na hiyo ya kwamba sehemu tatu za Utatu haziko sawa katika daraja. Hivyo, hao ndio 'Watatu katika Watatu' kama kwa vyovyote wako watatu, lakini siyo kabisa 'Watatu katika Mmoja'.

Wakati mwingine wataalamu wa Kikristo wanapokabiliwa na swali la Yesu, wanayemwamini kuwa Mwana wa Mungu, kumwabudu Mungu Baba, husema Yesu-mtu ndiye aliyemwabudu Mungu Baba, siye Yesu Mwana aliyemwabudu Yeye.

Hiyo inatupeleka nyuma tena kwenye mazungumzo niliyokwisha fafanua tayari.

Je, mwili huohuo mmoja wa Yesu ulikaliwa na nafsi mbili, moja yenye dhamira ya binadamu na nyingine ya Mwana wa Mungu?

Aidha, kwa nini mtu ndani ya Yesu aliepa na kumpuzilia mbali kabisa Mwana wa Mungu aliyekuwemo ndani yake asimwabudu
Kristo hata mara moja?

Huyo huyo Yesu-mtu alitakiwa kumwabudu Roho Mtakatifu pia aliye nafsi ya tatu katika Utatu, lakini mbona hakufanya hivyo katu!

Ibada ni tendo la moyo na roho ambalo pengine huoneshwa kwa alama za kimwili, lakini lina mizizi yake katika fahamu na maono
ya dhamiri ya mtu. Hivyo inapaswa kungunduliwa nani aliabudu pindi Yesu Kristo alipomwabudu Mungu.

Nimekwishaeleza jambo hilo hapo kabla pamoja na matatizo yake ya kwamba Kristo, Mwana wa Mungu, ndiye aliyemwabudu Mungu.

Kinyume chake, kama alikuwa ni mtu aliyemwabudu Mungu Baba, na huyo mtu hakumwabudu Kristo, kwa nini basi Wakristo wanaukaidi mfano huo bora wa Yesu mwenyewe?

Kwa nini wanaanza kumwabudu Kristo pamoja na Mungu, ilhali Yesu-mtu hakumwabudu mwenzake Kristo japo alikaa karibu yake mno.???
Kwa unavyo furahia kula usaha sina hoja kula kwa Raha zako [emoji15] [emoji53]
 
Kwa unavyo furahia kula usaha sina hoja kula kwa Raha zako [emoji15] [emoji53]
Jibu hoja wacha kujamba kama shoga Yayo Agassi alipokuwa akipewa darasa na popo Francis
 
ANACHOKIANDIKA GAVANA HICHI HAPA ; JIBU HOJA KAMA UNAYO

Nimewauliza mara nyingi wataalamu wa Kikristo wenye ujuzi mwingi ya kwamba kwa nini Yesu alimwabudu Mungu Baba ikiwa yeye mwenyewe alikuwa sehemu ya Mungu isiyoweza kutenguka na alikuwa ameunganika naye kabisa kikamilifu kwa kuleta maana ya umoja japo nafsi tatu zilikuwepo?

Je siku yoyote aliwahi kumwabudu Roho Mtakatifu pia aliye nafsi ya tatu katika Utatu? Je, alijiabudu wakati wowote?

Je, Roho Mtakatifu alimwabudu Yesu siku yoyote? Na je, Baba aliwahi siku yoyote kumwabudu yeyote miongoni mwa wawili wengine wa Utatu?

Kama hapana kwa nini?

Pengine majibu ya suala hilo yatawalazimisha Wakristo kukiri ya kwamba Baba anacho cheo kikubwa zaidi kuliko nafsi mbili nyingine za Utatu.

Inathibitika kutokana na hiyo ya kwamba sehemu tatu za Utatu haziko sawa katika daraja. Hivyo, hao ndio 'Watatu katika Watatu' kama kwa vyovyote wako watatu, lakini siyo kabisa 'Watatu katika Mmoja'.

Wakati mwingine wataalamu wa Kikristo wanapokabiliwa na swali la Yesu, wanayemwamini kuwa Mwana wa Mungu, kumwabudu Mungu Baba, husema Yesu-mtu ndiye aliyemwabudu Mungu Baba, siye Yesu Mwana aliyemwabudu Yeye.

Hiyo inatupeleka nyuma tena kwenye mazungumzo niliyokwisha fafanua tayari.

Je, mwili huohuo mmoja wa Yesu ulikaliwa na nafsi mbili, moja yenye dhamira ya binadamu na nyingine ya Mwana wa Mungu?

Aidha, kwa nini mtu ndani ya Yesu aliepa na kumpuzilia mbali kabisa Mwana wa Mungu aliyekuwemo ndani yake asimwabudu
Kristo hata mara moja?

Huyo huyo Yesu-mtu alitakiwa kumwabudu Roho Mtakatifu pia aliye nafsi ya tatu katika Utatu, lakini mbona hakufanya hivyo katu!

Ibada ni tendo la moyo na roho ambalo pengine huoneshwa kwa alama za kimwili, lakini lina mizizi yake katika fahamu na maono
ya dhamiri ya mtu. Hivyo inapaswa kungunduliwa nani aliabudu pindi Yesu Kristo alipomwabudu Mungu.

Nimekwishaeleza jambo hilo hapo kabla pamoja na matatizo yake ya kwamba Kristo, Mwana wa Mungu, ndiye aliyemwabudu Mungu.

Kinyume chake, kama alikuwa ni mtu aliyemwabudu Mungu Baba, na huyo mtu hakumwabudu Kristo, kwa nini basi Wakristo wanaukaidi mfano huo bora wa Yesu mwenyewe?

Kwa nini wanaanza kumwabudu Kristo pamoja na Mungu, ilhali Yesu-mtu hakumwabudu mwenzake Kristo japo alikaa karibu yake mno.???
[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Sishangai mende kusifiana ktk shughuli yao ya kushinda chooni na kulabua makimba ya n [emoji38] [emoji38]
Ahahahahahhahahahahahhahaahaha usitulaumu sisi Mungu wako kumbe akikasirika anapaka watu mavi usoni!! Ahahahahahaahhahahahahahaahhahah pole sana usije nawewe ukapakwa mavi
 
kama ndivyo kuna Hekima gani ukijamba wakati Wa kuswali unatoka mbio kwenda kunawa ile reha ya ushuzi unaacha ndani msikiti [emoji350] [emoji350] ni ubani ul
Ahahahaahahaaahahahahahahahaha hili swali linaonyesha akili yako imekwenda likizo, ushuzi ni hewa tu inapita ahahahahhahahaaahaha, kwani wewe ukinya mavi anaechamba ni mwanao?
 
Na hapa [emoji117] Mungu alikoseaView attachment 885025 wee unajiokotea mahindi, kokoto, fenesi, maharage kisha unapika unaita kande [emoji12] hujui hili Andiko linahusu Umma upi ili muradi umeandika na kutuma [emoji57]
Ahahahahahahahahahahhahahaah uma utajua wewe, swali langu ni moja tu hiyo amri Musa aliopewa na Mungu KULIPIZA KISASI , Bwana Mungu alipatia au alikosea kumwambia Musa alipize kisasi? ahahahahaahhahahahahhahahahah kama alipatia sema au kama alikosea sema au kama Musa alizusha Uongo sema, sio kuruka ruka kama maharage
 
Uachege uongo bana aliye takiwa kukuaminisha kajifia [emoji4] ona [emoji117] View attachment 884838 [emoji15] [emoji38] [emoji38]
Ahahahahahahaahhaaha they had copied from where?ahahhahahahahahahahah bureeeeee kabisaa from original QURAN ahahahahahahha mjomba utapata tabu sana au unafikir biblia hii unayotumia hapo kariakoo ni original ahahahaha hiyo ni copy ya hiyo original yao bureee kabisaa wewe
 
Vijiwe ni miratul rasul [emoji4] eti koloani imekamilika Yaani huwa nawashanga mnaposemaga koloani imekamilika [emoji15] hivi kwa akili ya kisilamu huku [emoji117] View attachment 884942View attachment 884947View attachment 884951 ndio kukamika [emoji350] [emoji350] unaongea bila hata hofu wala soni kabsaáâ [emoji53] ndio sababu baba fatûú kawaambia kazi yenu kubwa ni uongo na kudhania tu [emoji117] View attachment 884960 kafir kubwa [emoji53]
Ahahahahaahhahahahahahahahahaa Unachoandika ni kilio au malalamiko kwahiyo mbuzi akila kipande cha aya ndio maandiko yanakuwa ayakamiliki ahahaha QURAN imehifadhiwa kwenye vifua ata sasa choma QURAN yote lakini watu wataandika upya kwasababu huo ndio utaratibu wetu kuhifadhi kwenye kifua badae ndio vikaratasi vyenu
87:6 " Tutakufundisha(tutakusomea) wala HAUTOSAHAU "
ahahahahahaahhahaah mtume asahau mafundisho anayofundishwa katu ndio maana aliposema kakamilisha dini anamaanisha kakamilisha , wewe ukamuulize Yohana aliacha kuandika mafundisho ya Yesu kwanini
 
Umeupa darja ushuzi! Hadi nikakusifu una ujuzi kuliko baba fatûû kwa kumpinga ban muumini kuswali [emoji4] umesha geuka tena unauponda ushuzi [emoji38] [emoji38] kumbe bado wewe ni mjuzi kwa kujua ktk kuswali hata ukijamba sio issue sababu Mungu anaangalia Roho iliyo pondeka kwake na sio ushuzi [emoji53] chukua [emoji736] mtu wangu ungekuwa zama hizo za baba kasim kati ya makureshi ungekuwa mtume hau [emoji106]
Ukijamba kachambe acha uchafu ahahahhahahahahahaahahahaa
 
Pana mgen hapo?? toka lini Mimi najisafisha kwenye bustani?? umeishiwa umebakia na uongo na kudhani View attachment 884975
Ahahaahhahahahahahaha unataka utajwe jina lako "WATAKOMA PAMOJA" maana yake ni yeyote mla nguruwe , panya n.k sasa wewe endelea kubia nguruwe unataka Mungu akuandike jina lako mbona alishakataza kitambo
WALAWI 11:8
" Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao, hao ni najisi kwenu";

Ahahahahaahahahah subir kutajwa jina , kila mtu angetajwa jina nabii wa kazi gani sasa ahahahahahahahaha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom