Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Hebu tulinganishe haya mambo hapa
 
Nimekushauri hii [emoji117] View attachment 891821 sababu ni mtu MWENYE govi la Rohoni tu ndie Anaye weza kuandika unacho kiandinga [emoji12]
Ahahahahahaahahhahahahahaahhhahqhahaha ushauri mwengine huu kutoka kwenye kitabu kingine alichoandika muandishi huyo huyo wa taurati
MAMBO YA WALAWI 11:7-8
7" Na nguruwe , kwasababu yeye anazo kwato , ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui , yeye ni najisi kwenu"
8",Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao, hao ni najisi kwenu";

ahaahhahhaajhhajaajajajajaj USHAURI tu ukikufaa chukua , usipokufaa acha ahahahahahahahahahahahahqhhaqjqjajaj
 
Jua likichwea upande huu, linakuchwa upande mwingine.... Alifikiri jua linazama baharini... hahahahahahha SWA aliwadanganya watu sana. Elimu Elimu Elimu...

. tatizo hakuwa na ELIMU ELIMU ELIMU
 
Waislam wa leo wanajua kuliko Muhammad and other Big Abduls used to walk around with him.
Na hawawezi kujadili mada moja ikaisha, utawaona wanarukia mada tofauti tofauti utadhani wehu!
 
Hayo ni mawazo yako na Mwenyezi Amesha Tuasa View attachment 891819 ANAWEZA HAWEZI [emoji350] [emoji344]
  • Ahahahahahahaahah bureee kwahiyo kwauelewa wako Mungu anaweza kuwa mwanamke au Mungu anaweza kuwa bwabwa? mpuuzi wewe Mungu kuna vitu awezi kufanya kwasababu Mungu awezi kuwa DHARIRI ahahahahahqhaqhahqahhh sasa Mungu anapigwa makofi na viumbe aliofinyanga mwenyewe udongo , hivi wewe uko timamu kweli? baadaye wahuni wanamtambia kwanza tulikupiga MAKOFI , unabahati tungekutoboa utumbo ahahaahaaj acha bange Mungu sio mzungu
 
Kwa hiyo allah anapo chukua udhu kumswalia baba yake fatûú ni ushirikina na kufuru [emoji344] [emoji15] [emoji117] View attachment 891812 [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji106] chukua tano [emoji736]
Ahahahahahahahahahahhahaha nenda kasome swala ya nabii kijana ahahahaaahaahahaaaj hakuna UDHU hapo ahahahahahahahaahajaajja
 
Kwani wanaosema nyama ya nguruwe nani [emoji350] [emoji351] leteni Ushahidi tuutupe chooni [emoji117] View attachment 891801 nenda mkabishane na aliesema leteni Mashahidi [emoji53]
Ushahidi mlete nyie sisi QURAN yetu imekamilika kwa ajili ya kuonya na kubashiri , hatuitaji shahidi TUNATII tu
QURAN 6:145
" Sema ; Sioni katika yale niliyofunuliwa mimi kitu kilicho haramishwa kwa mlaji kukila isipo kuwa kiwe ni nyamafu, au damu inayomwagika, au nyama ya nguruwe , kwani hiyo ni uchafu"

ahahahahhaahahahha QURAN imemaliza hatuitaji shahidi ni KUTII tu, kazi kwako mla nguruwe
MAMBO YA WALAWI 11:8
";"Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao, hao ni najisi kwenu "

ahahaahhahaaajjaajai uroho mbaya sana
 

weka Ushahidi Wa ayat Umma wa Yesu tumeagizwa Tuwaangamize Makafiri [emoji53] [emoji12] ndio Dalili hizo kama alivyo sema baba kasimu kwamba wewe masudi ni MUONGO unajishughulisha na dhana tu [emoji53] Hivi Bwana Yesu Angetuagiza Tuwaangamize makafir, NAAPA KUSINGE BAKIA MGUU WA KAFIR HATA MMOJA ANAE MNAJISI MWENYEZI JUU YA ARDHI! NA MASKANI YAKE ETI KUNA KUKATA VIUNO PEPONI MBELE YA MUNGU [emoji83] [emoji379] Yesu Angetuagiza [emoji117] baadhi Mafundisho ya Yesu haya [emoji117] [emoji117] Prof Paulo bakora ya magaidi Kakazia [emoji117] [emoji117] unaacha swali nililo kuuliza unaleta mbweraa [emoji12]
 
Mwambie arudi kwenye mjadala wa jua na Muddy Water. huko kwengine tutafika tu. msikilizishe hiyo clip hapo.
Huko HAWEZI kuogelea [emoji4] ilaha Mimi kila tawi atakalo rukia namfuata huko huko [emoji53]
 
Ahahaahhahahahaahhha Huyu alieua wazaliwa wa kwanza wa wamisri ni binadamu?
MUNGU WAKO NI KATILI SANA
KUTOKA 12:29
"; Hata ikawa usiku wa manane Bwana AKAWAPIGA wazaliwa wa kwanza WOTE katika nchi ya Misri, tangu mzaliwa wa kwanza wa FARAO aliyeketi katika kiti chake cha enzi; hata mzaliwa wa kwanza wa mtu ALIYEFUNGWA katika nyumba ya wafungwa; na wazaliwa wa kwanza wote wa WANYAMA";

ahahahahaahhahhaahhaha sasa mpaka wanyama ANAUA unakuja kuleta utoto hapa Mungu wangu ni mpole , ahahahah huo ndio ukatili wake

Baaada ya Kuua Bwana sasa akawaambia wakina Musa wafanye hivyo hivyo
KUMB LA TORATI 20:16-17
16"; lakini katika miji ya mataifa haya akupayo Bwana Mungu wako , kuwa urithi , USIHIFADHI kuwa hai kitu chochote kipumzikacho";
17" lakini UWAANGAMIZE kabisa , Mhiti, na Mwamori, na mkaanani, na Mperizi, na Mhivi,na Myebusi, kama ALIVYOKUAMURU BWANA Mungu wako";

ahahahahahjaajajaajajaahajja unafikir wangepata nchi hapo kwamaneno matupu , ahahahaaahaahahaahaaaa damu ndio zimewapa nchi hao
 
Huko HAWEZI kuogelea [emoji4] ilaha Mimi kila tawi atakalo rukia namfuata huko huko [emoji53]


Jibadilishe kila id lakini Freemasson wamewaweza , Hiyo ndio mafia ya Italia , wamewaaacha mnaabudu Shoga kutaka msitake na mnakuwa wakali mkiambiwa ukweli

 

Unakuwa kama toto lililo bemendwa analilia pipi [emoji12] nimekwambia hilo agizo ni kwa wana Israeli [emoji117] na Muhammad karejea tena [emoji117] wenzio wanafaidi [emoji117] [emoji38] [emoji38]
 
Ahahahaahahahahaaa Waroma ndio kitabu gani kijana ahahahahahahahaaa au cha mwalimu wa kufuru ahahahahahah bado umekomaa nae soma injili achana na waraka ahhahahaahhaaha
WAKORINTHO wa kwanza 1:25
" kwa sababu UPUMBAVU wa Mungu, una hekima zaidi ya wanadamu , na UDHAIFU wa Mungu una Nguvu zaidi ya wanadamu"

ahhhahhaahaaahhha inawezekana Mungu wenu kweli DHAIFU ndio maana Wayahudi walimchapa MAKOFI ahaahahaaaaaaaahaahaha
 

ATAKALO, ATAKALO, ATAKALO....ANAWEZA AU HAWEZI [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji344] [emoji344] TUNAJADILI MAANDIKO SIO UHARO WAKO [emoji117] [emoji123] [emoji109] [emoji106]
 
Ahahaahaahaahjjajaj mwalimu wako Yesu alikuwa muisrael , wewe nani kakwambia ule nguruwe ? mbona unatujazia mapicha badala ya kuleta andiko uliloruhusiwa kula nguruwe ahahahahahaajajaajajaajajajajajajaaja uroho wako aundoki kwa wewe kutuma mapicha , Yesu akuja kuvunja Taurati , thibitisha wapi kakwambia wewe na genge la waroho wenzako kula nguruwe ?
 
ninachojua. Jua halitembei na halisogei ila dunia ndiyo inajizungusha kwenye mhimili wake. Hivyo hayo matope Mimi bado siyaamini.
 
ATAKALO, ATAKALO, ATAKALO....ANAWEZA AU HAWEZI [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji344] [emoji344] TUNAJADILI MAANDIKO SIO UHARO WAKO [emoji117] View attachment 892039 [emoji123] [emoji109] [emoji106]
Ahahahahhhaahahaaha nimekuuliza swali Mungu anaweza kuwa MWANAMKE ? ahahhhahahaahahahahua mbona unashindwa kujibu ili tujue huyo Mungu wako anafanya kila kitu atakacho? ahahahahahajaahajajahajaaau mbona rahisi tu
 
Uma wa Yesu ahahahhaahhahaha kwahiyo unakubali hapo zamani Mungu wako aliwaambia watu WAWAANGAMIZE wengine?ahahaaahahhaahhahah alipotoa hiyo amri alikuwa timamu au alisahau
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…