Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
The fact that people who try to attack Islam
have to false arguments
is demonstration that Islam is the truth!

Can people really reject Islam on the basis that Islam allegedly teaches that the sun sets in muddy water?

That entire claim is based on mistranslation.

When you study the original Arabic- it appeared that the water was setting in the water. It is not that the sun was actually setting in muddy water. If I see the sun setting and seeming to set beneath some hills- it can appear that way but the sun is not actually setting into the hills. This false claim has been debunked (Zakir Naik explains in more detail in the video) and so now people should accept Islam and testify that there is no God but Allah and Prophet Muhammad (PBUH) is His Messenger.



May Allah guide people to the truth.

Hebu tulinganishe haya mambo hapa
 
Nimekushauri hii [emoji117] View attachment 891821 sababu ni mtu MWENYE govi la Rohoni tu ndie Anaye weza kuandika unacho kiandinga [emoji12]
Ahahahahahaahahhahahahahaahhhahqhahaha ushauri mwengine huu kutoka kwenye kitabu kingine alichoandika muandishi huyo huyo wa taurati
MAMBO YA WALAWI 11:7-8
7" Na nguruwe , kwasababu yeye anazo kwato , ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui , yeye ni najisi kwenu"
8",Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao, hao ni najisi kwenu";

ahaahhahhaajhhajaajajajajaj USHAURI tu ukikufaa chukua , usipokufaa acha ahahahahahahahahahahahahqhhaqjqjajaj
 
Wanajukwaa:

Dunia yetu inaendelea kushika kasi katika suala la Sayansi na Tekinolojia.Kwa siku za hivi karibuni,wanasayansi wamegundua kuweza kutengeneza Moyo kwa kutumia stem cells,ikiwa ni hatua katika kuelekea kutengeneza moyo wa binadamu,hali ambayo itasaidia katika kukabiliana na matatizo ya Moyo yanayowakabili wanadamu,kwa kiasi kikubwa, yale ambayo uhusisha mwanadamu kupoteza maisha, kwa sababu tu Moyo wa mgonjwa husika hauna repair au hauwezi kubadilishwa.Miaka kama kumi hivi iliyopita,wanasayansi walikuwa wamefanikiwa kutengeneza Moyo wa panya kwa kutumia hizo stem cells.

Kumbe,kwa tafiti mbalimbali zinazoendelea kufanyika sehemu mbalimbali duniani,ama ardhini au angani,zote zinalenga katika kuboresha maisha ya mwanadamu na hata kuongeza siku za kuishi kwake.Historia inao watu wengi sana ambao wamejihusisha na Sayansi kwa nyakati tofuati tofauti.

Leo,ninataka tumuangalie Mtume Muhammad kwa namna alivyoweza kujihusisha na suala la Sayansi kwa kile kinachosemwa ni kwa msaada wa Mungu.Kurani neno la Mungu;maneno ambayo Mungu akiisha kuyaandika huko Mbinguni, alikuwa anampatia Malaika Gabriel na malaika Gabriel akampatia Mtume Muhammad katika Nyakati tofauti tofauti na Muhammad kuyaweka katika maandishi,lakini kwa namna ya pekee,kwa mara ya kwanza kabisa ikiwa ni katika Pango lililoko katika Mlima Hira, Jabal an-Nour,huko Makka,ambako inadaiwa Mtume Muhammad alipokea ufunuo huo, kwa matatizo sana kwa sababu ya kutojua kwake kusoma na kuandika,Malaika Gabrieli alijikuta anamkaba.

Kwa njia ya ufunuo wa Kurani,tunafunuliwa mambo mengi ya Kisayansi ambamo Muhammad anatujuza jinsi mambo yalivyo.Kwa leo, ninawaletea jambo moja tu.Nalo ni juu ya namna Jua linavyokuchwa na kadri Mungu atakavyotujalia tutayaangazia na mambo mengine.


Kurani kupitia Sura al-Kahf (18: 83-86), inaeleza kwamba Jua huchwea katika chemchemu ya matope meusi mazito(dark Muddy spring):

“83-Na wanakuuliza khabari za Dhul- Qarnaini. Waambie: Nitakusimulieni baadhi ya hadithi yake.84 -Sisi tulimtilia nguvu katika ardhi na tukampa njia za kila kitu.85 - Basi akaifuata njia. 86 - Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika chemchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema.”

Wakati Muhammad akiwa ametupasha ukweli huo ambao aliandikiwa na Mungu, Ukweli wa kisayansi umebainisha kwamba Jua ni kubwa zaidi na lenye joto kali kuliko dunia.Na ikitokea kwamba Dunia inakaribiana na Jua,basi dunia itayeyuka kutokana na joto kubwa la Jua.

Ukweli mwingine,ambao pia Sayansi imetupatia ni kwamba Jua halitembei bali sayari mbalimbali ndio hulizunguka,ikiwemo Sayari yetu ya Dunia. Historia inaonyesha kwamba mtu wa kwanza kugusagusa habari za kuwa Jua lilikuwa halizunguki alikuwa ni Aristarchus (310-230KK).

Aristarchus alikuwa ni mwana-Astronomia wa Kigriki. Yeye aliamini dunia ilikuwa katikati ya Mfumo wa Jua(Solar system) na sayari zingine (ikijumuishwa na nyota ambazo zilikuwa zimefungwa katika nafasi fulani) ndio zilizokuwa zikilizunguka Jua.

Hata hivyo, baadaye mwanasayansi,Aristarchus, alikuja kugundua kuwa sio dunia iliyokuwa katikati ya Mfumo wa Jua, bali ni Jua na hivi kwamba ni Dunia na sayari zingine ndizo zilikuwa zikilizunguka Jua.Ugunduzi wa namna hii ulipatikana miaka mingi sana (takribani karne tatu hivi) kabla hata ya Yesu Kristu kuzaliwa na karne tisa kabla ya Muhammad kuzaliwa.

Mwanasayansi mwingine pia aliyekuja na mtizamo tofuati na wa Muhammad (kwa kadri ya ufunuo kutoka kwa Mungu) ni Jean Buridan (1300-1359/61). Huyu) anafahamika kama Mwanafalsafa Mashuhuri sana katika Ufaransa.Buridan alikuwa Mwalimu katika Kitivo cha Sanaa cha Chuo Kikuu cha Paris kwa kupindi chote cha maisha yake ya kitaaluma akimakinika hasa hasa katika masuala ya Logiki (Logic) na kazi za mwanafalsafa Aristotle.

Ni Bridan aliyeanzisha wazo juu ya kiitwacho Copernican Revolution katika Ulaya.Hili ni fundisho lililoleta mwangaza kutoka kuamini kwamba dunia ilikuwa imesimama sehemu moja katika ulimwengu na kwamba Jua ndio lilikuwa linaizunguka dunia (Geocentrism) hadi kueleweka kwamba kumbe Jua ndilo limesimama wakati dunia na sayari zingine zikilizunguka (Heliocentrism).

Kumbe, sasa kwa uchache,kwa mawazo ya hao wanasayansi wawili,tunapata picha kwamba Muenendo wa Jua kuchomoza na kutua sio jambo lililoanza wakati wa Muhammad.Na kama suala la Sayansi ya Mfumo wa Jua lilianza mapema kabla ya Yesu na Muhammad kuzaliwa, yeye Muhammad alipopewa ufunuo na Mungu, hakuweza kujiuliza iwapo ufunuo huo wa Mungu inakuwaje unapingana na ukweli wa mambo?Katika kutafakari ufunuo huu wa Mungu kwa Muhammad, nimejikuta nina maswali yafuatayo,ambayo naomba yatuongoze katika kujadili suala hili.Ni muhimu kujadili kwa sababu pengine Dunia inatufundisha vitu ambavyo havipo.Hivi kweli Mungu anaweza kumueleza Muhammad mambo ya uongo?Maswali mengine ambayo bila shaka hata wewe unaweza kujiuliza ni haya:

1. Hiyo Chemchemi ya matope mazito na meusi iko hapa duniani?Na kama haipo hapa duniani iko angani? Na kama iko angani iko sehemu gani?


2. Huyo Dhul-Qarnaini alikuwa ni kiumbe wa namna gani huyo aliyepewa uwezo wa kuona Jua linavyotumbukia katika matope?


3. Pamoja na kwamba wakati wakati wa Muhammad, labda Sayansi ya kwamba Jua halizunguki, isipokuwa dunia ndio hulizunguka Jua, ilikuwa haijafika katika maeneo ya ardhi ya Arabia, bado hata vizazi vya zamani sana havikupata kuwa na uelewa kama huo wa Muhammad kuwa Jua lilikuwa linatua matope meusi! Je,ilikuwaje katika Vizazi vyote hivyo hapo katikati(ikiwemo na Yesu mwenyewe ambaye Muhammad anamuelezea kama aliyekuwa na uwezo wa kufinyanga wanasesere na kuwapulizia uhai na wakawa ndege kamili), kabla ya Muhammad, akakosekana mtu mwenye uelewa wa kuliona Jua likizama katika matope meusi tofauti? Hivi wewe kwa sayansi hii ya Muhamma juu ya Jua kuchwea katika matope meusi haikupelekei kujiuliza yafuatayo:

· Je, Muhammad kusema mambo ambayo hakuwa nayo uthibitisho ilikuwa ni kutafuta tu kuonekana kwamba Mungu amempa ufunuo wa kipekee juu ya ulimwengu?


· Je, vizazi ya Kiarabu na dunia kwa ujumla baada ya kugundua kwa tafiti za kisayansi, ambazo zimethibitisha kuwa Jua huzungukwa na sayari mbalimbali, ikiwemo Sayari yetu ya dunia, vimuoneje, Muhammad na Uislamu kwa ujumla?


· Je,wanadamu wa vizazi vyote vinavyofahamu kuwa Jua halijawahi kuzama katika matope ama meusi,bluu au meupe, visimuamini Muhammad katika mambo mengine aliyoyasema au vimuchukulie kama mtu aliyekuwa anajaribu kupiga ramli ya jinsi mambo yalivyo?

Lakini swali la mwisho kabisa ambalo nitaomba ujiulize ni hili:Je,Ni kwa nini hadi leo baada ya kugundulika kuwa Jua halizami na wala halizunguki,ni kwa nini hadi sasa aya hiyo iko imesalia katika Kurani?Je,ni nani anasema uongo kati ya Mungu na wanasayansi juu ya suala la Jua?

Karibu kwa mjadala ili tupate kujua ukweli kwa faida ya maendeleo ya Dunia yetu.
Jua likichwea upande huu, linakuchwa upande mwingine.... Alifikiri jua linazama baharini... hahahahahahha SWA aliwadanganya watu sana. Elimu Elimu Elimu...

. tatizo hakuwa na ELIMU ELIMU ELIMU
 
Waislam wa leo wanajua kuliko Muhammad and other Big Abduls used to walk around with him.
Na hawawezi kujadili mada moja ikaisha, utawaona wanarukia mada tofauti tofauti utadhani wehu!
 
Hayo ni mawazo yako na Mwenyezi Amesha Tuasa View attachment 891819 ANAWEZA HAWEZI [emoji350] [emoji344]
  • Ahahahahahahaahah bureee kwahiyo kwauelewa wako Mungu anaweza kuwa mwanamke au Mungu anaweza kuwa bwabwa? mpuuzi wewe Mungu kuna vitu awezi kufanya kwasababu Mungu awezi kuwa DHARIRI ahahahahahqhaqhahqahhh sasa Mungu anapigwa makofi na viumbe aliofinyanga mwenyewe udongo , hivi wewe uko timamu kweli? baadaye wahuni wanamtambia kwanza tulikupiga MAKOFI , unabahati tungekutoboa utumbo ahahaahaaj acha bange Mungu sio mzungu
 
Kwa hiyo allah anapo chukua udhu kumswalia baba yake fatûú ni ushirikina na kufuru [emoji344] [emoji15] [emoji117] View attachment 891812 [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji106] chukua tano [emoji736]
Ahahahahahahahahahahhahaha nenda kasome swala ya nabii kijana ahahahaaahaahahaaaj hakuna UDHU hapo ahahahahahahahaahajaajja
 
Kwani wanaosema nyama ya nguruwe nani [emoji350] [emoji351] leteni Ushahidi tuutupe chooni [emoji117] View attachment 891801 nenda mkabishane na aliesema leteni Mashahidi [emoji53]
Ushahidi mlete nyie sisi QURAN yetu imekamilika kwa ajili ya kuonya na kubashiri , hatuitaji shahidi TUNATII tu
QURAN 6:145
" Sema ; Sioni katika yale niliyofunuliwa mimi kitu kilicho haramishwa kwa mlaji kukila isipo kuwa kiwe ni nyamafu, au damu inayomwagika, au nyama ya nguruwe , kwani hiyo ni uchafu"

ahahahahhaahahahha QURAN imemaliza hatuitaji shahidi ni KUTII tu, kazi kwako mla nguruwe
MAMBO YA WALAWI 11:8
";"Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao, hao ni najisi kwenu "

ahahaahhahaaajjaajai uroho mbaya sana
 
MAUAJI YA KIMBARI unayo unajifanya uyaoni ahahhahahahahahahajajaja
KUMB LA TORATI 20:17
";lakini UWAANGAMIZE kabisa , Mhiti,na Mwamori,na mkaanani, na Mperizi, na mhivi, na Myebusi, kama ALIVYOKUAMURU Bwana Mungu wako";

ahahahahahaahahahaajjjjjajajhahahhaaha sisi tumeambiwa tupige ahahahhahaha nyie mmeambiwa MUANGAMIZE kisisalie kitu

weka Ushahidi Wa ayat Umma wa Yesu tumeagizwa Tuwaangamize Makafiri [emoji53] [emoji12] ndio Dalili hizo kama alivyo sema baba kasimu kwamba wewe masudi ni MUONGO unajishughulisha na dhana tu [emoji53] Hivi Bwana Yesu Angetuagiza Tuwaangamize makafir, NAAPA KUSINGE BAKIA MGUU WA KAFIR HATA MMOJA ANAE MNAJISI MWENYEZI JUU YA ARDHI! NA MASKANI YAKE ETI KUNA KUKATA VIUNO PEPONI MBELE YA MUNGU [emoji83] [emoji379] Yesu Angetuagiza [emoji117] baadhi Mafundisho ya Yesu haya [emoji117]
IMG_20181009_171725_670.jpg
[emoji117]
IMG_20181009_171827_422.jpg
Prof Paulo bakora ya magaidi Kakazia [emoji117]
IMG_20181009_172054_945.jpg
[emoji117]
IMG_20181009_172442_846.jpg
unaacha swali nililo kuuliza unaleta mbweraa [emoji12]
 
Mwambie arudi kwenye mjadala wa jua na Muddy Water. huko kwengine tutafika tu. msikilizishe hiyo clip hapo.
Huko HAWEZI kuogelea [emoji4] ilaha Mimi kila tawi atakalo rukia namfuata huko huko [emoji53]
 
Mh.. You're ying...
Akwambieni Nani..? Hakuna kitu kama hicho.
Hayo ni maagizo ya Wanadamu.

Mungu aliyeumbwa wanadamu wote kwa sura na mfano wake. Anawapenda sana (yohana 3:16)

Ametoa Amri moja kuu ya UPendo (Mathayo 22:37-39)

Yeye asiyependa, hakumjua Mungu, kwa maana Mungu ni upendo (1 John 4:8).
Ova.
Ahahaahhahahahaahhha Huyu alieua wazaliwa wa kwanza wa wamisri ni binadamu?
MUNGU WAKO NI KATILI SANA
KUTOKA 12:29
"; Hata ikawa usiku wa manane Bwana AKAWAPIGA wazaliwa wa kwanza WOTE katika nchi ya Misri, tangu mzaliwa wa kwanza wa FARAO aliyeketi katika kiti chake cha enzi; hata mzaliwa wa kwanza wa mtu ALIYEFUNGWA katika nyumba ya wafungwa; na wazaliwa wa kwanza wote wa WANYAMA";

ahahahahaahhahhaahhaha sasa mpaka wanyama ANAUA unakuja kuleta utoto hapa Mungu wangu ni mpole , ahahahah huo ndio ukatili wake

Baaada ya Kuua Bwana sasa akawaambia wakina Musa wafanye hivyo hivyo
KUMB LA TORATI 20:16-17
16"; lakini katika miji ya mataifa haya akupayo Bwana Mungu wako , kuwa urithi , USIHIFADHI kuwa hai kitu chochote kipumzikacho";
17" lakini UWAANGAMIZE kabisa , Mhiti, na Mwamori, na mkaanani, na Mperizi, na Mhivi,na Myebusi, kama ALIVYOKUAMURU BWANA Mungu wako";

ahahahahahjaajajaajajaahajja unafikir wangepata nchi hapo kwamaneno matupu , ahahahaaahaahahaahaaaa damu ndio zimewapa nchi hao
 
Huko HAWEZI kuogelea [emoji4] ilaha Mimi kila tawi atakalo rukia namfuata huko huko [emoji53]


Jibadilishe kila id lakini Freemasson wamewaweza , Hiyo ndio mafia ya Italia , wamewaaacha mnaabudu Shoga kutaka msitake na mnakuwa wakali mkiambiwa ukweli

 
Ahahahahahaahahhahahahahaahhhahqhahaha ushauri mwengine huu kutoka kwenye kitabu kingine alichoandika muandishi huyo huyo wa taurati
MAMBO YA WALAWI 11:7-8
7" Na nguruwe , kwasababu yeye anazo kwato , ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui , yeye ni najisi kwenu"
8",Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao, hao ni najisi kwenu";

ahaahhahhaajhhajaajajajajaj USHAURI tu ukikufaa chukua , usipokufaa acha ahahahahahahahahahahahahqhhaqjqjajaj

Unakuwa kama toto lililo bemendwa analilia pipi [emoji12] nimekwambia hilo agizo ni kwa wana Israeli [emoji117]
IMG_20181009_173743_321.jpg
na Muhammad karejea tena [emoji117]
IMG_20181009_174406_606.jpg
IMG_20181009_174608_747.jpg
wenzio wanafaidi [emoji117]
IMG_20181007_192613_373.jpg
IMG_20181009_174818_201.jpg
IMG_20181007_192725_181.jpg
[emoji38] [emoji38]
 
weka Ushahidi Wa ayat Umma wa Yesu tumeagizwa Tuwaangamize Makafiri [emoji53] [emoji12] ndio Dalili hizo kama alivyo sema baba kasimu kwamba wewe masudi ni MUONGO unajishughulisha na dhana tu [emoji53] Hivi Bwana Yesu Angetuagiza Tuwaangamize makafir, NAAPA KUSINGE BAKIA MGUU WA KAFIR HATA MMOJA ANAE MNAJISI MWENYEZI JUU YA ARDHI! NA MASKANI YAKE ETI KUNA KUKATA VIUNO PEPONI MBELE YA MUNGU [emoji83] [emoji379] Yesu Angetuagiza [emoji117] baadhi Mafundisho ya Yesu haya [emoji117] View attachment 891993 [emoji117] View attachment 891994 Prof Paulo bakora ya magaidi Kakazia [emoji117] View attachment 891999[emoji117] View attachment 892000 unaacha swali nililo kuuliza unaleta mbweraa [emoji12]
Ahahahaahahahahaaa Waroma ndio kitabu gani kijana ahahahahahahahaaa au cha mwalimu wa kufuru ahahahahahah bado umekomaa nae soma injili achana na waraka ahhahahaahhaaha
WAKORINTHO wa kwanza 1:25
" kwa sababu UPUMBAVU wa Mungu, una hekima zaidi ya wanadamu , na UDHAIFU wa Mungu una Nguvu zaidi ya wanadamu"

ahhhahhaahaaahhha inawezekana Mungu wenu kweli DHAIFU ndio maana Wayahudi walimchapa MAKOFI ahaahahaaaaaaaahaahaha
 
  • Ahahahahahahaahah bureee kwahiyo kwauelewa wako Mungu anaweza kuwa mwanamke au Mungu anaweza kuwa bwabwa? mpuuzi wewe Mungu kuna vitu awezi kufanya kwasababu Mungu awezi kuwa DHARIRI ahahahahahqhaqhahqahhh sasa Mungu anapigwa makofi na viumbe aliofinyanga mwenyewe udongo , hivi wewe uko timamu kweli? baadaye wahuni wanamtambia kwanza tulikupiga MAKOFI , unabahati tungekutoboa utumbo ahahaahaaj acha bange Mungu sio mzungu

ATAKALO, ATAKALO, ATAKALO....ANAWEZA AU HAWEZI [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji344] [emoji344] TUNAJADILI MAANDIKO SIO UHARO WAKO [emoji117]
IMG_20181009_175731_242.jpg
[emoji123] [emoji109] [emoji106]
 
Unakuwa kama toto lililo bemendwa analilia pipi [emoji12] nimekwambia hilo agizo ni kwa wana Israeli [emoji117] View attachment 892011 na Muhammad karejea tena [emoji117] View attachment 892024View attachment 892029 wenzio wanafaidi [emoji117] View attachment 892033View attachment 892034View attachment 892036 [emoji38] [emoji38]
Ahahaahaahaahjjajaj mwalimu wako Yesu alikuwa muisrael , wewe nani kakwambia ule nguruwe ? mbona unatujazia mapicha badala ya kuleta andiko uliloruhusiwa kula nguruwe ahahahahahaajajaajajaajajajajajajaaja uroho wako aundoki kwa wewe kutuma mapicha , Yesu akuja kuvunja Taurati , thibitisha wapi kakwambia wewe na genge la waroho wenzako kula nguruwe ?
 
ninachojua. Jua halitembei na halisogei ila dunia ndiyo inajizungusha kwenye mhimili wake. Hivyo hayo matope Mimi bado siyaamini.
 
ATAKALO, ATAKALO, ATAKALO....ANAWEZA AU HAWEZI [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji344] [emoji344] TUNAJADILI MAANDIKO SIO UHARO WAKO [emoji117] View attachment 892039 [emoji123] [emoji109] [emoji106]
Ahahahahhhaahahaaha nimekuuliza swali Mungu anaweza kuwa MWANAMKE ? ahahhhahahaahahahahua mbona unashindwa kujibu ili tujue huyo Mungu wako anafanya kila kitu atakacho? ahahahahahajaahajajahajaaau mbona rahisi tu
 
weka Ushahidi Wa ayat Umma wa Yesu tumeagizwa Tuwaangamize Makafiri [emoji53] [emoji12] ndio Dalili hizo kama alivyo sema baba kasimu kwamba wewe masudi ni MUONGO unajishughulisha na dhana tu [emoji53] Hivi Bwana Yesu Angetuagiza Tuwaangamize makafir, NAAPA KUSINGE BAKIA MGUU WA KAFIR HATA MMOJA ANAE MNAJISI MWENYEZI JUU YA ARDHI! NA MASKANI YAKE ETI KUNA KUKATA VIUNO PEPONI MBELE YA MUNGU [emoji83] [emoji379] Yesu Angetuagiza [emoji117] baadhi Mafundisho ya Yesu haya [emoji117] View attachment 891993 [emoji117] View attachment 891994 Prof Paulo bakora ya magaidi Kakazia [emoji117] View attachment 891999[emoji117] View attachment 892000 unaacha swali nililo kuuliza unaleta mbweraa [emoji12]
Uma wa Yesu ahahahhaahhahaha kwahiyo unakubali hapo zamani Mungu wako aliwaambia watu WAWAANGAMIZE wengine?ahahaaahahhaahhahah alipotoa hiyo amri alikuwa timamu au alisahau
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom