Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.

Sikushangai kwani unamwabudu kisoda mwenzako Cesare Borgia eti ndiye Yesu ,

 

Hii ya kumuabudu kisoda mwenzako Cesare Borgia si muddy ndogo

Umeshikwa pabaya njoo na I'd yako ya asili usione aibu
 
Nimekuuliza umeisahau I'd ya bandiwe au wewe siye kisoda bin mgen

Utapiga ramli hadi lini wewe [emoji350] [emoji344] [emoji53] allah amesha kwambia ni muongo unashughulika na kudhania tu [emoji117] hata hujui maana ya same SPIRIT [emoji12] Leo nikitaja NIMJUE tabia ya Muhammad zama hizo sihangaiki namuona Muhammad ndani yako [emoji53]
 
Mnakubali kuingizwa chaka na Mudy muzungu? Kuhusu jua kuzama kwenye matope? na kwenda kumsujudia Allah kisha linaomba ruhusa kuchomoza tena?
au ndio mmekuja na Dunia inabebwa na Nyangumi mgongoni

Haya tunaita maneno ya vijiweni. hakuna chaka wala pori maandiko yanasema "Aliliona" sio " Nimeliona" jifunze kutofautisha maneno hayo mada hii ilishakwisha ndio maana umebaki kulia lia nakupa elimu ya bure ukisikia neno " aliliona " maana yake sio mzungumzaji alieliona bali kuna mtu mwengine alieliona na ukisikia neno " Nimeliona" maana yake ni mzungumzaji ndio kaliona sasa hata kwa hili tupoteze muda kwa uzembe wako wa. Kutokujua lugha ahahahaaahahahahaahahhhhaha
 
Mbona unalia lia sio mimi niliesema ni haramu huyu ni Mungu ndio ameharamisha , tafsiri ya ukiwa na njaa maana yake kama umekosa chakula kiasi kwamba huwezi kuishi na chakula hapo kilichopo ni nguruwe tu hapo unaweza kula Mwenyezi Mungu ANAKUSAMEHE kwasababu ni kosa ulilolifanya kuokoa UHAI wako , yaani kula NGURUWE itabaki kuwa kosa na itabaki kuwa haramu
QURAN 6:145
";Sema; Sioni katika yale niliyofunuliwa mimi kitu kilicho haramishwa kwa mlaji kukila isipo kuwa ni nyamafu, au damu inayomwagika, au nyama ya nguruwe , kwani hiyo ni uchafu"

ahhhhhhhhhhhh uharamu wa nguruwe upo pale pale
 
Kumbe koloani ni maneno ya dhul qarnaini [emoji122] [emoji122] [emoji106]
Ahahahahahaahahahahajaahhahaha bureeee kabisa QURAN inanukuu nyingi adi za mdudu chungu kaa chini usome, ahahahhahahhahahaahhahhaha kwani wewe ujaona kwenye biblia kuna nukuu za FARAO wa misri mpaka nukuu za Punda ahahahhahahahahahahahahaahhaha bureee kabisaa mpaka yule KAHABA aliewaokoa wana wa Israeli biblia imemnukuu
 
Sikushangai kwani unamwabudu kisoda mwenzako Cesare Borgia eti ndiye Yesu ,


Kwa hiyo huyu aliesema [emoji117] ni zwazwa wewe ni mjuzi zaidi yake eeh [emoji15] [emoji12] ndio sababu warabu Wenye deen yao wanawazogodoa [emoji117] usivyo na haya unaendelea kujipendekeza kwao [emoji12]
 
Hii ya kumuabudu kisoda mwenzako Cesare Borgia si muddy ndogo

Umeshikwa pabaya njoo na I'd yako ya asili usione aibu
eti umeshikwa pabaya [emoji15] [emoji12] kwa kipi hasa [emoji53] akili za kisilamu [emoji15] [emoji12]
 
Si jilipue au tukukute chooni umejinyonga team mkamua ngama apate tenda na uwahi jehannam kuliko kuturushia mate humu [emoji15] [emoji38]
Na sio nipigwe kipigo cha mbwa koko kama Mungu mtu wako , aliechezea KELBU Ahahahaahahhaahaaahahahajahaajaajaajajajajjjajajaj
 
Muulize Mungu [emoji12] sisi Tunayahubiri kwa nguvu [emoji123] [emoji123] [emoji109] [emoji106] Yale Aliyo Tufunulia na yaliyo sirini bado YAPO sirini kwake
Ahahahhahahahahahahahhahahahahahhahahahhaah Mungu ameshasema sio mtu wewe unalazimisha anaweza kuwa mtu,swali liko kwako wewe unaemsemea Mungu mambo ya kipuuzi , kwa akili zako Mungu wako anaweza kuwa Mwanamke?ahahahahhahahahhahahajajajajajajjja
 
Hiii haikupi wewe uhalali wa kula nguruwe , kwani Yesu amjui nguruwe mpaka wewe ulazimisha kuwa hapo kakupa ruhusa ya kula nguruwe? angetaka wewe ule nguruwe angemtaja hapo kuwa kuleni nguruwe , lakini kwavile hakutaja nguruwe na amesema kabisa SIKUJA KUIVUNJA TORATI amri inabaki moja ya torati. basiiiii
MAMBO YA WALAWI 11:8
" Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu";

ahahahhahahhahah wapi Yesu kataja nguruwe ule ili utengue andiko hili?
 
Hao unao Amini sio dhaifu woote wamekufa View attachment 892120View attachment 892129 [emoji53] [emoji12]
WAKORINTHO wa kwanza 1:25
",kwasababu UPUMBAVU wa Mungu, una hekima zaidi ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu";

Ahahahahhhahjajahajajajjajja wayahudi waliona Mungu wa Paulo ni mpumbavu na DHAIFU ndio maana walimchapa MAKONDE na kumtemea mate kama kinyesi kisa kumtundika kama nyama buchani si ndio mnavyosemaga ahahahhhahahahaajhauaua
 
Kwanini Mungu wako mwanzo atoe Amri ya KUUA watu? tuanzie hapo naona unazunguka tu nimekutolea maandiko Mungu ANAUA na Mungu anatoa Amri kwa Musa aue sasa huku kuzunguka kwako hakufuti haya maandiko , nawala haibadili maana kuwa Mungu wako aliua uzaow wa kwanza wa wamisri na wanyama wao pia , tena wala haibadili maana kuwa Mungu wako alichukua nchi ya ahadi kwa kuwadhulumu na kuwaua wenyeji wa nchi ile ahahahahahhahahhahhahhhahaha
 
Na sio nipigwe kipigo cha mbwa koko kama Mungu mtu wako , aliechezea KELBU Ahahahaahahhaahaaahahahajahaajaajaajajajajjjajajaj
wee mtoto Wa mushahara kama hujui hicho unacho post ni Dalili kwamba kungwi yako ni zwazwa na wewe mwenyewe msukule [emoji15] [emoji12]
 
wee mtoto Wa mushahara kama hujui hicho unacho post ni Dalili kwamba kungwi yako ni zwazwa na wewe mwenyewe msukule [emoji15] [emoji12]
Ninachozungumza kiko sawa kabisa huko aliko Mungu ananipongeza kwa kumitoa ujinga ,yaani mtu na akili zake kabisa timamu amekaa anaamini ili aokolewe mpaka Mungu aje atundikwe msalabani ahahahhahahahahahahahaahahjahahhaaaajaa ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…