Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Hili jambo tumeshalijibu sana mnatuchosha vichwa maji nyie, Mungu ajasema jua linazama kwenye matope ,ila anahadithia kile ambacho Dhul Qarnaini alikiona kwa upeo wa macho yake mbona hii mada ni nyepesi sana , ndio maana mnaambiwa nyoka anakula vumbi maana ni wazito sana kuelewa
MWANZO 3:14
"; Bwana Mungu akamwambia nyoka, kwasababu umeyafanya hayo , umelaaniwa wewe kuliko hayawani wote walioko mwituni; kwa tumbo utakwenda , na MAVUMBI UTAKULA siku zote za maisha yako";

ahahahhaahahjaaja haya tuambie ELIMU gani umesoma kuwa nyoka ANAKULA vumbi Ahahaahaahaahjjajaj
Hakuna cha kujitetea hapo.. Ndio akili yake ilimtuma hivyo.. Hakuna cha ziada.. amefeli hapo
 
Kwanini Mungu wako mwanzo atoe Amri ya KUUA watu? tuanzie hapo naona unazunguka tu nimekutolea maandiko Mungu ANAUA na Mungu anatoa Amri kwa Musa aue sasa huku kuzunguka kwako hakufuti haya maandiko , nawala haibadili maana kuwa Mungu wako aliua uzaow wa kwanza wa wamisri na wanyama wao pia , tena wala haibadili maana kuwa Mungu wako alichukua nchi ya ahadi kwa kuwadhulumu na kuwaua wenyeji wa nchi ile ahahahahahhahahhahhahhhahaha

SECTION A:

1.Ufalme wa Israeli ulikua Duniani hivyo ni wa Wanadamu. Na hatima yake ni hii.

"Tena itakuwa atakapokwisha BWANA, Mungu wako, kukuleta katika nchi aliyowaapia babu zako, Abrahamu na Isaka na Yakobo, ya kuwa atakupa; miji mikubwa mizuri USIYOIJENGA WEWE,(Deuteronomy 6:10)"

2. Lakini Bwana Mungu akijua kua Wana wa Israeli sio kwamba ni wanyoofu wa Moyo;
"Basi jua ya kuwa BWANA, Mungu wako, hakupi nchi hii nzuri uimiliki kwa ajili ya haki yako, kwa maana U TAIFA LENYE SHINGO NGUMU.(Deuteronomy 9:6)"

3. Rehema za Baba zao; Abrahamu, Isaka na Yakobo, zinawapata Kibali Wanasraeli mbele za Mungu (Zingatia Ishmael si Miongoni mwao);

"Mungu akasikia kuugua kwao, Mungu akakumbuka AGANO LAKE alilolifanya na Ibrahimu na Isaka na Yakobo(Exodus 2:24)
Hii inatupa Mwanga kua Ukiwa mtu mwema duniani, na Kizazi chako kinakwenda kubarikiwa hata ukiwa haupo tena duniani."
(Swali fikirishi Kizazi cha Mohammad kipo wapi?)

SECTION B
Nyakati Hizi za Agano Jipya la Ukombozi kupitia Damu ya Yesu Msalabani. UFALME WA MUNGU umekuja Duniani kupitiaYESU KRISTO.

1. Manabii wote wa Agano la kale walizaliwa na mbegu za wanadamu isipokua Yesu Kristo pekee; "Maana Mungu hakumtuma Mwana ulimwenguni ili auhukumu ulimwengu, bali ulimwengu uokolewe katika yeye(John 3:17)"

Wala hakuna mtu aliyepaa mbinguni, ila yeye aliyeshuka kutoka mbinguni, yaani, Mwana wa Adamu (John 3:13).

Yesu anaonya;-
Na mtu akiyasikia maneno yangu, asiyashike, mimi simhukumu; maana sikuja ili niuhukumu ulimwengu, ila niuokoe ulimwengu. Yeye anikataaye mimi, ASIYEYAKUBALI MANENO YANGU, anaye amhukumuye; NENO hilo nililolinena ndilo litakalomhukumu SIKU ya mwisho (John12:47-48).

2. Sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi, WAPATE KUTUBU (Luke 5:32).

3. Adui pekee wa Kupingwa ni Shetani.Kwasababu hana Urithi katika Ule Mti wa Uzima. Amewekewa Jehanam ya Moto.

Pitia mfano huu:
Watumwa wa mwenye nyumba wakaenda wakamwambia, Bwana, hukupanda mbegu njema katika konde lako? Limepata wapi basi magugu?. Akawaambia, ADUI NDIYE ALIYETENDA HIVI. Watumwa wakamwambia, Basi, wataka twende tukayakusanye? Akasema, La; msije mkakusanya magugu, na kuzing’oa ngano pamoja nayo.Viacheni vyote vikue hata wakati wa mavuno; na wakati wa mavuno nitawaambia wavunao, Yakusanyeni kwanza magugu, myafunge matita matita mkayachome; bali ngano ikusanyeni ghalani mwangu(Matthew 13:27-30).

YESU ANAELEZA KUPITIA MFANO HUU KWAMBA;
"..., Azipandaye zile mbegu njema ni Mwana wa Adamu; lile konde ni ulimwengu; zile mbegu njema ni wana wa ufalme; na yale magugu ni wana wa yule mwovu; YULE ADUI aliyeyapanda ni Ibilisi; mavuno ni mwisho wa dunia; na wale wavunao ni malaika (Matthew 13:37-38)."

Mfano huu unatoa picha kua:Yesu ndio Alfa na Omega. Atakaye kuja baada yake na kuhubiri kinyume ni Mwana wa Adamu. Si Mwingine ni Adui yule Muuaji.

4. Kazi kuu ya Yesu duniani haikua kumwokoa Shetani. Bali kuubomoa Utawala wake;
"Atendaye dhambi ni wa Ibilisi; kwa kuwa Ibilisi hutenda dhambi tangu mwanzo. Kwa kusudi hili Mwana wa Mungu alidhihirishwa, ili AZIVUNJE KAZI ZA IBILISI.(1 John 3:8)."

Tazama, nimewapa amri ya kukanyaga nyoka na nge, na NGUVU ZOTE ZA YULE ADUI, wala hakuna kitu kitakachowadhuru (Luke 10:18-19).

YESU ANASEMA;
Mtu ambaye si pamoja nami yu kinyume changu; NA MTU ASIYEKUSANYA PAMOJA NAMI HUTAWANYA(Luke 11:23).
SWALI

SECTION C

Q.IKIWA Mohammad hakumkubali Yesu, JE ALIKUA ANAFANYA KAZI YA NANI?
 
Waulize hao walokufanya umuabudu mtoto wa Popo Alexander shoga Cesare Borgia
huna tofauti na huyu Abdul. Hamjui hata vitabu vyenu vimeandika nini mnakimbilia Biblia na kujiona mnaijua.
Swali dogo tu unakuja na pumba.
haya kaa chini sikiliza hii angalau upate mwanga ukusaidie utoke huko shimoni.

Hulaumiki kisoda kwani KAZI umeipenda na bado unaona fahari

Endelea kuabudu Shoga Cesare Borgia na endelea kuongozwa na visoda wenzako

MAKARDINALI NA MAASKOFU WAKO WAMEOLEWA HUMU NA WANAWASAMEHE DHAMBI

Mungu wako atakalo huwa , ndio ukakubali kumwabudu Shoga Cesare Borgia unamuona ndiye kawa mungu ??

Ok
Ndiyo mafundisho ya kisoda mwenzako Cesare Borgia uliyekubali kumwabudu kama mungu wako??
Akili za visoda mwisho hujitangaza kuwa wao ni visoda yaani huona fahari kupigwa bakora na wakiambiwa Huyo unayemuabudu ni kisoda Cesare Borgia ndiyo hushangiria

wee kibuzi marka usijikombe kwangu na mambo yako ya mivutu unayo yafanyia promo [emoji12] nimesha kupotezea[emoji53]
 
wee kibuzi marka usijikombe kwangu na mambo yako ya mivutu unayo yafanyia promo [emoji12] nimesha kupotezea[emoji53]

Umejiita mwenyewe kisoda , kuna kujikomba wapi , unafikiri humu JF umefuatilia hii ulioambiwa na Shoga Cesare Borgia

Humu hatuna haja na ibada yenu hiyo

1539272195378.png
 
Allah's Gavana this post shows how low and ignorant you are.
please listen to the clip i posted here asking why the second coming Jesus.
and add by reading the whole Hadithi here below and come with concrete.

19
The Book of Miscellaneous ahadith of Significant Values

An-Nawwas bin Sam`an (May Allah be pleased with him) reported:
One morning the Messenger of Allah (ﷺ) made a mention of Dajjal, and he described him to be insignificant and at the same time described him so significant that we thought he was on the date-palm trees (i.e., nearby). When we went to him (the Prophet (ﷺ)) in the evening, he perceived the sign of fear on our faces. He said, "What is the matter with you?'' We said: "O Messenger of Allah, you talked about Dajjal this morning raising your voice and lowering it until we thought he was hiding in the palm-trees grove: He said: "Something other than Dajjal make worry about you. If he appears while I am with you, I will defend you against him. But if he appears after I die, then everyone of you is his own defender. Allah is the One Who remains after me to guide every Muslim. Dajjal will be a young man with very curly hair with one eye protruding (with which he cannot see). I compare (his appearance) to that of Al-`Uzza bin Qatan. He who amongst you survives to see him, should recite over him the opening Ayat of Surat Al-Kahf (i.e., Surat 18: Verses 1-8). He will appear on the way between Syria and Iraq and will spread mischief right and left. O slaves of Allah! Remain adhered to the truth.'' We asked: "O Messenger of Allah! How long will he stay on the earth?'' He said, "For forty days. One day will be like a year, one day like a month, one day like a week and the rest of the days will be like your days.'' We said: "O Messenger of Allah! Will one day's Salat (prayer) suffice for the Salat of that day which will be equal to one year?'' Thereupon he said, "No, but you must make an estimate of time and then offer Salat.'' We said: "O Messenger of Allah! How quickly will he walk upon the earth?'' Thereupon he said, "Like cloud driven by the wind (i.e., very quickly). He will come to the people and call them to his obedience and they will affirm their faith in him and respond to him. He will then give command to the sky and it will send its rain upon the earth and he will then send his command to the earth and it will grow vegetation. Then in the evening their pasturing animals will come to them with their humps very high and their udders full of milk and their flanks stretched. He will then come to another people and invite them, but they will reject him and he will leave them, in barren lands and without any goods and chattels! He would then walk through the waste land and say to it: `Bring forth your treasures', and the treasures will come out and follow him like swarms of bees. He will then call a person brimming with youth and strike him with the sword and cut him into two pieces and make these pieces lie at a distance, which is generally between the archer and his target. He will then call that young man and he will come forward, laughing, with his face gleaming out of joy; and it will be at this very time that Allah will send `Isa (Jesus), son of Maryam (Mary) who will descend at the white minaret in the eastern side of Damascus, wearing two garments lightly dyed and placing his hands on the wings of two angels. When he will lower his head, there would fall drops of water from his head, and when he will raise it up, drops like pearls would scatter from it. Every disbeliever who will find his (i.e., `Isa's) smell will die and his smell will reach as far as he will be able to see. He will then search for Dajjal until he will catch hold of him at the gate of Ludd (village near Jerusalem), and will kill him. Then the people, whom Allah will have protected, will come to `Isa son of Maryam, and he will wipe their faces and will inform them of their ranks in Jannah, and it will be under such conditions that Allah will reveal to `Isa these words: `I have brought forth from amongst my slaves such people against whom none will be able to fight, so take these people safely to the mountain.' And then Allah will send Ya'juj and Ma'juj (Gog and Magog people) and they will sworn down from every slope. The first of them will pass the Lake Tabariyah (near the Dead Sea in Palestine) and drink all its water. And when the last of them will pass, he will say: `There was once water there.' Prophet `Isa (ﷺ) and his companions will then be so much hard-pressed that the head of an ox will be dearer to them than one hundred dinar, and `Isa along with his companions, will make supplication to Allah, Who will send insects which will attack their (Ya'juj and Ma'juj people) neck until they all will perish like a single person. Prophet, `¦sa and his companions will then come down and they will not find in the earth as much space as a single span which would not be filled with their corpses and their stench. Prophet `Isa and his companions will then again beseech Allah, Who will send birds whose necks will be like those of Bactrian camels, and they will carry them and throw them where Allah will desire. Then Allah will send down rain which will spare no house in the city or in the countryside. It would wash away the earth until it appears like a mirror. Then the earth will be told to bring forth its fruit and restore its blessings; and as a result of this, there will grow such a big pomegranate that a group of people will eat from it and seek shelter under its skin. Milk will be so blessed that the milk of one she-camel will suffice for a large company and the cow will give so much milk, that it will suffice for a whole tribe. The sheep will give so much milk that the whole family will be able to drink out of that, and at that time Allah will send a pleasant wind which will soothe people even under their armpits, and will take the life of every Muslim and true believer, and only the wicked will survive. They will commit adultery in public like asses and the Resurrection Day will be held.''

[Muslim].

عن النواس بن سمعان رضي الله عنه قال‏:‏ ذكر رسول الله صلى الله عليه وسلم الدجال ذات غداة، فخفض فيه، ورفع حتى ظنناه في طائفة النخل‏.‏ فلما رحنا إليه، عرف ذلك فينا، فقال‏:‏ ‏"‏ما شأنكم‏؟‏” قلنا‏:‏ يا رسول الله ذكرت الدجال الغداة، فخفضت فيه حتى ظنناه في طائفة النخل فقال‏:‏ ‏"‏غير الدجال أخوفنى عليكم؛ إن يخرج وأنا فيكم، فأنا حجيجه دونكم؛ وإن يخرج ولست فيكم، فامرؤ حجيج نفسه، والله خليفتي على كل مسلم، إنه شاب قطط، عينه طافية، كأني أشبهه بعبد العزى بن قطن، فمن أدركه منكم فليقرأ عليه فواتح سورة الكهف، إنه خارج خلة بين الشام والعراق، فعاث يمينا وعاث شمالاً، يا عباد الله فاثبتوا” قلنا‏:‏ يا رسول الله وما لبثه في الأرض‏؟‏ قال‏:‏ ‏"‏أربعون يوماً‏:‏ يوم كسنة، ويوم كشهر، ويوم كجمعة، وسائر أيامه كأيامكم‏"‏ قلنا ‏:‏ يا رسول الله ، فذلك اليوم الذي كسنة أتكفينا فيه صلاة يوم‏؟‏ قال‏:‏ لا، اقدروا له قدره” فقلنا‏:‏ يا رسول الله وما إسراعه في الأرض‏؟‏ قال‏:‏ ‏"‏كالغيث استدبرته الريح، فيأتي على القوم، فيدعوهم، فيؤمنون به، ويستجيبون له فيأمر السماء فتمطر، والأرض فتنبت، فتروح عليهم سارحتهم، أطول ما كانت ذرى، وأسبغه ضروعاً، وأمده خواصر، ثم يأتي القوم فيدعوهم، فيردون عليه قوله، فيصرف عنهم، فيصبحون ممحلين ليس بأيديهم شيء من أموالهم، ويمر بالخربة فيقول لها‏:‏ أخرجي كنوزك، فتتبعه كنوزها كيعاسيب النحل، ثم يدعو رجلاً ممتلئاً شبابا فيضربه بالسيف، فيقطعه جزلتين رمية الغرض، ثم يدعوه، فيقبل، ويتهلل وجهه يضحك، فبينما هو كذلك إذ بعث الله تعالى المسيح ابن مريم،صلى الله عليه وسلم ، فينزل عند المنارة البيضاء شرقي دمشق بين مهرودتين، واضعاً كفيه على أجنحة ملكين، إذا طأطأ رأسه، قطر، وإذا رفعه تحدر منه جمان كاللؤلؤ، فلا يحل لكافر يجد نفسه إلا مات، ونفسه ينتهي إلى حيث ينتهي طرفه، فيطلبه حتى يدركه بباب لد فيقتله، ثم يأتي عيسى ، صلى الله عليه وسلم ، قوم قد عصمهم الله منه، فيمسح عن وجوههم، ويحدثهم بدرجاتهم في الجنة، فبينما هو كذلك إذ أوحى الله تعالى إلى عيسى صلى الله عليه وسلم إني قد أخرجت عباداً لي لا يدان لأحد بقتالهم، فحرز عبادي إلى الطور، ويبعث الله يأجوج ومأجوج وهم من كل حدب ينسلون، فيمر أوائلهم على بحيرة طبرية فيشربون ما فيها، ويمر آخرهم فيقول‏:‏ لقد كان بهذه مرة ماء، ويحصر نبي الله عيسى، صلى الله عليه وسلم ، وأصحابه حتى يكون رأس الثور لأحدهم خيراً من مائة دينار لأحدكم اليوم، فيرغب نبي الله عيسى، صلى الله عليه وسلم وأصحابه، رضي الله عنهم، إلى الله تعالى، فيرسل الله تعالى عليهم النغف في رقابهم، فيصبحون فرسى كموت نفس واحدة ثم يهبط نبي الله عيسى، صلى الله عليه وسلم ، وأصحابه رضي الله عنهم، إلى الله تعالى، فيرسل الله تعالى عليهم النغف في رقابهم فيصبحون فرسى كموت نفس واحدة ثم يهبط نبي الله عيسى، صلى الله عليه وسلم ، وأصحابه رضي الله عنهم، إلى الأرض، فلا يجدون في الأرض موضع شبر إلا ملأه زهمهم ونتنهم، فيرغب، نبي الله عيسىصلى الله عليه وسلم ، وأصحابه رضي الله عنهم إلى الله تعالى، فيرسل الله تعالى طيراً كأعناق البخت، فتحملهم، فتطرحهم حيث شاء الله، ثم يرسل الله عز وجل مطراً لا يكن منه بيت مدر ولا وبر، فيغسل الأرض حتى يتركها كالزلقة، ثم يقال للأرض‏:‏ أنبتي ثمرتك، وردي بركتك، فيومئذ تأكل العصابة من الرمانة، ويستظلون بقحفها، ويبارك في الرسل حتى إن اللقحة من الإبل لتكفي الفئام من الناس، واللقحة من البقر لتكفي القبيلة من الناس، واللقحة من الغنم لتكفي الفخذ من الناس، فبينما هم كذلك إذ بعث الله تعالى ريحاً طيبة، فتأخذهم تحت آباطهم، فتقبض روح كل مؤمن وكل مسلم؛ ويبقى شرار الناس يتهارجون فيها تهارج الحمر فعليهم تقوم الساعة‏"‏ ‏(‏‏(‏رواه مسلم‏)‏‏)‏‏.‏
Sunnah.com reference : Book 19, Hadith 1Arabic/English book reference : Book 19, Hadith 1808

1539273956626.png
 
Huyu mtumwa, hana jibu anakimbilia kwenye majina.
Gavana hebu twambie hawa mabwana zako hapa, kwa akili zako kisilam silam nani shoga kati yao. na kwanini wapakizane kwenye huyo punda mida ya jioni?

32 Dialects and Readings of the Qur'an (Kitab Al-Huruf Wa Al-Qira'at)
(1)
Chapter:
(1)
باب

Narrated Abu Dharr:
I was sitting behind the Messenger of Allah (ﷺ) who was riding a donkey while the sun was setting. He asked: Do you know where this sets ? I replied: Allah and his Apostle know best. He said: It sets in a spring of warm water (Hamiyah).

حَدَّثَنَا عُثْمَانُ بْنُ أَبِي شَيْبَةَ، وَعُبَيْدُ اللَّهِ بْنُ عُمَرَ بْنِ مَيْسَرَةَ، - الْمَعْنَى - قَالاَ حَدَّثَنَا يَزِيدُ بْنُ هَارُونَ، عَنْ سُفْيَانَ بْنِ حُسَيْنٍ، عَنِ الْحَكَمِ بْنِ عُتَيْبَةَ، عَنْ إِبْرَاهِيمَ التَّيْمِيِّ، عَنْ أَبِيهِ، عَنْ أَبِي ذَرٍّ، قَالَ كُنْتُ رَدِيفَ رَسُولِ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم وَهُوَ عَلَى حِمَارٍ وَالشَّمْسُ عِنْدَ غُرُوبِهَا فَقَالَ ‏"‏ هَلْ تَدْرِي أَيْنَ تَغْرُبُ هَذِهِ ‏"‏ ‏.‏ قُلْتُ اللَّهُ وَرَسُولُهُ أَعْلَمُ ‏.‏ قَالَ ‏"‏ فَإِنَّهَا تَغْرُبُ فِي عَيْنِ حَامِيَةٍ ‏"‏ ‏.‏
Grade: Sahih in chain (Al-Albani) صحيح الإسناد (الألباني)حكم :
Reference : Sunan Abi Dawud 4002In-book reference : Book 32, Hadith 34English translation : Book 31, Hadith 3991

View attachment 894796View attachment 894798
IMG_20180926_211117_264.jpg
Screenshot_20180912-125626.jpg
....[emoji15] [emoji53]
 
SECTION A:

1.Ufalme wa Israeli ulikua Duniani hivyo ni wa Wanadamu. Na hatima yake ni hii.

"Tena itakuwa atakapokwisha BWANA, Mungu wako, kukuleta katika nchi aliyowaapia babu zako, Abrahamu na Isaka na Yakobo, ya kuwa atakupa; miji mikubwa mizuri USIYOIJENGA WEWE,(Deuteronomy 6:10)"

2. Lakini Bwana Mungu akijua kua Wana wa Israeli sio kwamba ni wanyoofu wa Moyo;
"Basi jua ya kuwa BWANA, Mungu wako, hakupi nchi hii nzuri uimiliki kwa ajili ya haki yako, kwa maana U TAIFA LENYE SHINGO NGUMU.(Deuteronomy 9:6)"

3. Rehema za Baba zao; Abrahamu, Isaka na Yakobo, zinawapata Kibali Wanasraeli mbele za Mungu (Zingatia Ishmael si Miongoni mwao);

"Mungu akasikia kuugua kwao, Mungu akakumbuka AGANO LAKE alilolifanya na Ibrahimu na Isaka na Yakobo(Exodus 2:24)
Hii inatupa Mwanga kua Ukiwa mtu mwema duniani, na Kizazi chako kinakwenda kubarikiwa hata ukiwa haupo tena duniani."
(Swali fikirishi Kizazi cha Mohammad kipo wapi?)

SECTION B
Nyakati Hizi za Agano Jipya la Ukombozi kupitia Damu ya Yesu Msalabani. UFALME WA MUNGU umekuja Duniani kupitiaYESU KRISTO.

1. Manabii wote wa Agano la kale walizaliwa na mbegu za wanadamu isipokua Yesu Kristo pekee; "Maana Mungu hakumtuma Mwana ulimwenguni ili auhukumu ulimwengu, bali ulimwengu uokolewe katika yeye(John 3:17)"

Wala hakuna mtu aliyepaa mbinguni, ila yeye aliyeshuka kutoka mbinguni, yaani, Mwana wa Adamu (John 3:13).

Yesu anaonya;-
Na mtu akiyasikia maneno yangu, asiyashike, mimi simhukumu; maana sikuja ili niuhukumu ulimwengu, ila niuokoe ulimwengu. Yeye anikataaye mimi, ASIYEYAKUBALI MANENO YANGU, anaye amhukumuye; NENO hilo nililolinena ndilo litakalomhukumu SIKU ya mwisho (John12:47-48).

2. Sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi, WAPATE KUTUBU (Luke 5:32).

3. Adui pekee wa Kupingwa ni Shetani.Kwasababu hana Urithi katika Ule Mti wa Uzima. Amewekewa Jehanam ya Moto.

Pitia mfano huu:
Watumwa wa mwenye nyumba wakaenda wakamwambia, Bwana, hukupanda mbegu njema katika konde lako? Limepata wapi basi magugu?. Akawaambia, ADUI NDIYE ALIYETENDA HIVI. Watumwa wakamwambia, Basi, wataka twende tukayakusanye? Akasema, La; msije mkakusanya magugu, na kuzing’oa ngano pamoja nayo.Viacheni vyote vikue hata wakati wa mavuno; na wakati wa mavuno nitawaambia wavunao, Yakusanyeni kwanza magugu, myafunge matita matita mkayachome; bali ngano ikusanyeni ghalani mwangu(Matthew 13:27-30).

YESU ANAELEZA KUPITIA MFANO HUU KWAMBA;
"..., Azipandaye zile mbegu njema ni Mwana wa Adamu; lile konde ni ulimwengu; zile mbegu njema ni wana wa ufalme; na yale magugu ni wana wa yule mwovu; YULE ADUI aliyeyapanda ni Ibilisi; mavuno ni mwisho wa dunia; na wale wavunao ni malaika (Matthew 13:37-38)."

Mfano huu unatoa picha kua:Yesu ndio Alfa na Omega. Atakaye kuja baada yake na kuhubiri kinyume ni Mwana wa Adamu. Si Mwingine ni Adui yule Muuaji.

4. Kazi kuu ya Yesu duniani haikua kumwokoa Shetani. Bali kuubomoa Utawala wake;
"Atendaye dhambi ni wa Ibilisi; kwa kuwa Ibilisi hutenda dhambi tangu mwanzo. Kwa kusudi hili Mwana wa Mungu alidhihirishwa, ili AZIVUNJE KAZI ZA IBILISI.(1 John 3:8)."

Tazama, nimewapa amri ya kukanyaga nyoka na nge, na NGUVU ZOTE ZA YULE ADUI, wala hakuna kitu kitakachowadhuru (Luke 10:18-19).

YESU ANASEMA;
Mtu ambaye si pamoja nami yu kinyume changu; NA MTU ASIYEKUSANYA PAMOJA NAMI HUTAWANYA(Luke 11:23).
SWALI

SECTION C

Q.IKIWA Mohammad hakumkubali Yesu, JE ALIKUA ANAFANYA KAZI YA NANI?
Wewe jamaa hivi unasomaga ninachoandika kweli? iwe ufalme wa binadamu au wa Mungu , hoja ya msingi hapa ni hii MUNGU wako ALIUA na alimpa amri Musa KUUA , huko unakoangaika wala hakuwezi kukimbia ukweli huu, sasa basi bila wakina Musa na Joshua kupambana na kumwaga damu , Mungu wako akuwa na alternative ya kupata nchi ya ahadi huo ndio ukweli
 
Hakuna cha kujitetea hapo.. Ndio akili yake ilimtuma hivyo.. Hakuna cha ziada.. amefeli hapo
Mimi nijetetee kwanan ?ahahaahahahahahahajajjajj rejea maandiko humu usije kichwa kichwa kama mtoa mada utaumia ahahahaaaahahahajaaha
 
Ona ujinga unao post Unajipa HAQI mbele ya MWENYEZI ukidhania ni allah [emoji12] wee akili yako ni dhaifu mno [emoji117] View attachment 894084 hadi KUJIPA HAQI [emoji12] hii [emoji117] View attachment 894099Nina hakika kungwi yako hajakufundisha nashika nafasi yake kukuonyesha ni wakati gani unataka kufunga kinywa chako [emoji53]
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa MAARIFA, nilichofanya ni kukupa MAARIFA Mungu haitaji kufanywa toyo ili ukombolewe huo ni ujinga wa kiwango cha lami, Mungu muumba wa nchi atundikwe kama ndafu eti wewe mgeni na wenzio mkombolewe huo ni uvivu wa kufikiri na kupenda mteremko, njia ni moja KILA MTU ATALIPWA KWA ATENDALO, hakuna kubebeana mizigo hapa
 
Ona ulicho andika ni dalili za upumbavu wako hadi Unaamini kwamba MWENYEZI hana UWEZO WA kujidhihirisha ktk UMBILE BORA LA KIBINADAMU [emoji12] nimeandika allah na baba kasimu wamekufa ww unaleta mambo ya Prof Paulo [emoji15] kawashika pabaya Prof Paulo [emoji109] [emoji109] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Ahahahaahahahahah Prof Paulo ahhaahahahhhaahahahahahhaha
MATENDO YA MITUME 26:11
"; Na mara nyingi katika masinagogi yote naliwaadhibu, nikawashurutisha KUKUFURU;nikawaonea hasira kama mwenye wazimu , nikawaudhi hata katika miji ya ugenini",

ahahahahahaahahahjajajajajajaja hakika huyu ni Prof wa KUFURU
Hivi wewe mpaka leo bado unaamini Mungu alitundikwa msalabani kama nyama ? ahahahahahahhahaha duniani humu kuna watu ni mapoyoyo
 
Biblia Haikuandikwa kama anavyo Taka mtoto Wa mushahara dogo! Bila kutahiriwa govi lako [emoji117] View attachment 894056 unafanya shingo ngumu [emoji15] [emoji12] ona sasa unaandika kiibilisi ibilisi [emoji12]
Hii haifuti hili andiko kuwa nguruwe ni haramu
MAMBO YA WALAWI 11:8
"; Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao, hao ni najisi kwenu";

ahahahahahahahhahaaahhah wapi umeambiwa ule nguruwe mbona ya katazo ipo ebu okoteza huku ulete ulioruhusiwa ahahahaahahahhahajhahahaaha
 
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa MAARIFA, nilichofanya ni kukupa MAARIFA Mungu haitaji kufanywa toyo ili ukombolewe huo ni ujinga wa kiwango cha lami, Mungu muumba wa nchi atundikwe kama ndafu eti wewe mgeni na wenzio mkombolewe huo ni uvivu wa kufikiri na kupenda mteremko, njia ni moja KILA MTU ATALIPWA KWA ATENDALO, hakuna kubebeana mizigo hapa
wee ungekuwa na maarifa ungekuwa mkamuliwa ngama mtarajiwa [emoji15] [emoji12] jidunge ndoba usepe [emoji12]
 
Na hapa [emoji117] View attachment 893999 nimesha kujibu kwamba Mungu wangu ATAKALO HUWA, ATAKALO HUWA...[emoji123] [emoji123] sasa usimlinganishe Mungu wako ambaye kihivyo HAWEZI aslaani na Mungu wangu MUWEZA! Kuwa sijui mwanamke....Sina MAMLAKA ya kujibu hilo na sababu Mungu wangu Amesha nielimisha [emoji117] View attachment 894044 ukome kumlinganisha Mungu wako allah na Mungu wangu MUWEZA [emoji53]
Mungu ni mtu wa vita tafsiri yake ni kuwa ANAANGAMIZA sio tafsiri unayoleta wewe Ahahaahaahaahjjajaj
HESABU 23:19
" Mungu si mtu, aseme uongo, wala si mwanadamu , ajute ; iwapo amesema , hatalitenda? iwapo amenena , hatalifikiliza? ";

ahahhhhaahahhahahaha Mungu awezi kuwa mtu ahahahahhahahaah msikilize mtu huyu hapa sasa
YOHANA 8:40
" Lakini sasa mnatafuta kuniua mimi, MTU ambaye nimewaambia iliyo kweli , niliyoisikia kwa Mungu , Ibrahim hakufanya hivyo"

ahahahhahahhahaahahahah acha bange kufananisha Mungu na viumbe wake ahahahhaahhahaahahahhah
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom