Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
wee ungekuwa na maarifa ungekuwa mkamuliwa ngama mtarajiwa [emoji15] [emoji12] jidunge ndoba usepe [emoji12]
Pokea MAARIFA
YOHANA 17:3
" Na uzima wa milele ndio huu wakujue wewe , Mungu wa Pekee na wa kweli, na Yesu kristo ULIEMTUMA";

ahahhahahahahhahhaajjjaj acha kufananisha boss na mtumwa wewe ahahhahahahahhaahahah mwenye macho na aone
 
sasa mkome kutuambia koloani ni maneno ya allah tu [emoji53] Na hii [emoji117] View attachment 893978 nani anae apia hapo [emoji4]
Ahahaahjahajajhahahajajajajjjajajjaj Mungu anaapa kwa chochote kijana, ila binadamu wanaapa kwa Mungu tu sasa hapo uelewe kitu gani ahahahahahhahaahajahahahahaaa anaapa kwa pua yako au hata meno yako vyote ni mali yake
 
muone mtoto wa mshahara atakuvarisha hariri tena [emoji4]

HAKUNA AKUTAKAE JF NENDA KANISANI KAMA ULIVYOSEMA UMEBAKI KWENDA KWA AJILI YA SOCIAL MEETINGS

LABDA UTAFANIKIWA KUPATA ILE YA PUNDA NA FARASI KAMA ULIVYOAMBIWA NA HUYO UNAYEMUABUDU SHOGA

CESARE BORGIA

Watu wangu wanaangamia kwa kukosa MAARIFA, nilichofanya ni kukupa MAARIFA Mungu haitaji kufanywa toyo ili ukombolewe huo ni ujinga wa kiwango cha lami, Mungu muumba wa nchi atundikwe kama ndafu eti wewe mgeni na wenzio mkombolewe huo ni uvivu wa kufikiri na kupenda mteremko, njia ni moja KILA MTU ATALIPWA KWA ATENDALO, hakuna kubebeana mizigo hapa

Najua hutashangaa ukisikia kwa mujibu wa Torati ya Musa, Wana Wa Israeli walikua wakifunika dhambi zao kupitia Sadaka ya Mwanakondoo maarufu kama scapegoat (Leviticus 16:10). Hii ndio inaashiria kile kinachokwenda kufanyika na Yesu katika Agano Jipya.

Yesu Kristo amekuja kama Mwanakondoo, anaye ondoa Dhambi Badala ya damu za Wanyama. This is the essense.

Nabii Mkuu wa agano la Kale, Yohane Mbatizaji alipomwona Yesu anakuja alisema;
".. Tazama, Mwana-kondoo wa Mungu, aichukuaye dhambi ya ulimwengu!(John 1:29)"

Kupitia AGANO JIPYA akivunja lile agano la zamani, Yesu alisema;..Akatwaa mkate, akashukuru, akaumega, akawapa, akisema, [Huu ndio mwili wangu unaotolewa kwa ajili yenu; fanyeni hivi kwa ukumbusho wangu.Kikombe nacho vivyo hivyo baada ya kula; akisema, Kikombe hiki ni agano jipya katika damu yangu, inayomwagika kwa ajili yenu(LuKe 22:19-20).

Zingatia;
Kulipwa Kile tunachotenda ni Sahihi. Lakini HAKUNA mwanadamu CHINI YA MBINGU anayeweza kujikomboa kwa nguvu zake mwenyewe. WEKA AKILINI HIYO. JITIHADA ZAKO NI Bure.

Yesu akamwambia, Mimi ndimi NJIA, na KWELI, na UZIMA; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya MIMI(John 14:6).

Yesu alipaswa Afe. Ili mbegu iote ardhini inapaswa Ife kwanza na izikwe; Hii imeshaelezwa na Yesu mwenyewe ya kua Kifo kimempasa.
 
Haya maelezo yako hayapingi kuwa Mungu wako hapo zamani alikuwa KATILI vilevile aliwaambia watu wafanye UKATILI sawa, kuhusu kufa kwa Yesu nimatukio ya kuunga unga ndio maana mpaka leo umeshindwa kuthibitisha ni mda gani huyo Yesu alisulubiwa? unaingia huku unatokea kule , vilevile Kuhusu Yesu kuwa njia mbona ni jambo la kawaida kwasababu anawafunza watu kumjua Mungu, suala kulipwa MATENDO wala halina mjadala Mungu ameweka wazi kila mtu atapata matunda kwa kiasi cha matendo, hicho unachotaka kukilazimisha hakipo
YEREMIA 17:10
" Mimi, Bwana nauchunguza moyo, navijaribu viuno, hata kumpa mtu kiasi cha NJIA ZAKE, kiasi cha MATUNDA ya MATENDO yake";

ahahahhahahahhahahhahajajajjaja utavuna ulichopanda tu hakuna mteremko jamaaa
 
hujui lugha imani ya Wafuasi wa Yesu [emoji12] funga bakuli lako [emoji53]
 
hujui lugha imani ya Wafuasi wa Yesu [emoji12] funga bakuli lako [emoji53]

Kisoda Ungalianza kulifunga hilo lako , unakuja humu kutafuta Ile unayoipenda ya punda na farasi uliyoambiwa na huyo unayemuabudu ,Shoga Cesare Borgia
Wenzako hapo chini washaolewa tafuta wako kanisani unakokwenda kuji socialize

Hii haifuti hili andiko kuwa nguruwe ni haramu
MAMBO YA WALAWI 11:8
"; Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao, hao ni najisi kwenu";

ahahahahahahahhahaaahhah wapi umeambiwa ule nguruwe mbona ya katazo ipo ebu okoteza huku ulete ulioruhusiwa ahahahaahahahhahajhahahaaha
hapa hatulazimishani kula au kotokula nyama ya nguruwe [emoji12] wewe unayeona mungu wako kakuzuiakula basi kivyako usile na Mimi nilie shindwa kutoa ushahidi kwamba Mungu kapiga ban nyama ya nguruwe zaidi ya Wayahu nakula kwa raha zangu [emoji39] lazima tukubaliane kutokubaliana [emoji106] sio kila leo unarudia hoja hiyo hiyo kama azana [emoji15] [emoji53][emoji12] kama huna hoja nyingine jidunge ndoba usepe dogo [emoji15] [emoji12]
 
Hahahaaa, ama kweli He left as Donkey he never comes as a Horse!.

Inawezekanaje Bibilia hii mbofu mbofu Bwanako Ahmed Dedat,Shabir Ally, Zakir Naik etc wanaitumia kuwaaminisha kuwa Muhammad ametajwa humo? na wakianza kuzitaja hizo verses mnashangilia utadhani mmetiwa ndimu!
Nimekuuliza maswali mepesi umekimbia kujibu unaleta article ya mwehu mwenzako ooh 50,000 errors.
leo nikulize tena swali hili.

Kati ya Muhammad(Allah himself) na Umar Ibn Khattabu nani mtume?
 
Kisoda Ungalianza kulifunga hilo lako , unakuja humu kutafuta Ile unayoipenda ya punda na farasi uliyoambiwa na huyo unayemuabudu ,Shoga Cesare Borgia
Wenzako hapo chini washaolewa tafuta wako kanisani unakokwenda kuji socialize

Umelipenda Jina la Kisoda mpaka unaweweseka!! Ukiliona tu kinakupwita pwita.
Jibu hoja.
 
Haya maelezo yako hayapingi kuwa Mungu wako hapo zamani alikuwa KATILI vilevile aliwaambia watu wafanye UKATILI sawa, kuhusu kufa kwa Yesu nimatukio ya kuunga unga ndio maana mpaka leo umeshindwa kuthibitisha ni mda gani huyo Yesu alisulubiwa? unaingia huku unatokea kule , vilevile Kuhusu Yesu kuwa njia mbona ni jambo la kawaida kwasababu anawafunza watu kumjua Mungu, suala kulipwa MATENDO wala halina mjadala Mungu ameweka wazi kila mtu atapata matunda kwa kiasi cha matendo, hicho unachotaka kukilazimisha hakipo
YEREMIA 17:10
" Mimi, Bwana nauchunguza moyo, navijaribu viuno, hata kumpa mtu kiasi cha NJIA ZAKE, kiasi cha MATUNDA ya MATENDO yake";

ahahahhahahahhahahhahajajajjaja utavuna ulichopanda tu hakuna mteremko jamaaa
.
Jeremiah 17:9-10
[9] MOYO huwa mdanganyifu kuliko vitu vyote, una ugonjwa wa kufisha; nani awezaye kuujua?
[10]. Mimi, BWANA, nauchunguza MOYO, navijaribu viuno, hata kumpa kila mtu kiasi cha njia zake, kiasi cha matunda ya matendo yake.

NAYE YESU ANASEMA;

John 15:4-5
[4]. Kaeni ndani yangu, nami ndani yenu. Kama vile tawi lisivyoweza kuzaa peke yake, lisipokaa ndani ya mzabibu; kadhalika nanyi, msipokaa NDANI YANGU.

[5]. Mimi ni mzabibu; ninyi ni matawi, akaaye ndani yangu nami ndani yake, huyo huzaa sana; maana PASIPO MIMI ninyi hamwezi kufanya neno lo lote.
 
SECTION A:

1.Ufalme wa Israeli ulikua Duniani hivyo ni wa Wanadamu. Na hatima yake ni hii.

"Tena itakuwa atakapokwisha BWANA, Mungu wako, kukuleta katika nchi aliyowaapia babu zako, Abrahamu na Isaka na Yakobo, ya kuwa atakupa; miji mikubwa mizuri USIYOIJENGA WEWE,(Deuteronomy 6:10)"

2. Lakini Bwana Mungu akijua kua Wana wa Israeli sio kwamba ni wanyoofu wa Moyo;
"Basi jua ya kuwa BWANA, Mungu wako, hakupi nchi hii nzuri uimiliki kwa ajili ya haki yako, kwa maana U TAIFA LENYE SHINGO NGUMU.(Deuteronomy 9:6)"

3. Rehema za Baba zao; Abrahamu, Isaka na Yakobo, zinawapata Kibali Wanasraeli mbele za Mungu (Zingatia Ishmael si Miongoni mwao);

"Mungu akasikia kuugua kwao, Mungu akakumbuka AGANO LAKE alilolifanya na Ibrahimu na Isaka na Yakobo(Exodus 2:24)
Hii inatupa Mwanga kua Ukiwa mtu mwema duniani, na Kizazi chako kinakwenda kubarikiwa hata ukiwa haupo tena duniani."
(Swali fikirishi Kizazi cha Mohammad kipo wapi?)

SECTION B
Nyakati Hizi za Agano Jipya la Ukombozi kupitia Damu ya Yesu Msalabani. UFALME WA MUNGU umekuja Duniani kupitiaYESU KRISTO.

1. Manabii wote wa Agano la kale walizaliwa na mbegu za wanadamu isipokua Yesu Kristo pekee; "Maana Mungu hakumtuma Mwana ulimwenguni ili auhukumu ulimwengu, bali ulimwengu uokolewe katika yeye(John 3:17)"

Wala hakuna mtu aliyepaa mbinguni, ila yeye aliyeshuka kutoka mbinguni, yaani, Mwana wa Adamu (John 3:13).

Yesu anaonya;-
Na mtu akiyasikia maneno yangu, asiyashike, mimi simhukumu; maana sikuja ili niuhukumu ulimwengu, ila niuokoe ulimwengu. Yeye anikataaye mimi, ASIYEYAKUBALI MANENO YANGU, anaye amhukumuye; NENO hilo nililolinena ndilo litakalomhukumu SIKU ya mwisho (John12:47-48).

2. Sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi, WAPATE KUTUBU (Luke 5:32).

3. Adui pekee wa Kupingwa ni Shetani.Kwasababu hana Urithi katika Ule Mti wa Uzima. Amewekewa Jehanam ya Moto.

Pitia mfano huu:
Watumwa wa mwenye nyumba wakaenda wakamwambia, Bwana, hukupanda mbegu njema katika konde lako? Limepata wapi basi magugu?. Akawaambia, ADUI NDIYE ALIYETENDA HIVI. Watumwa wakamwambia, Basi, wataka twende tukayakusanye? Akasema, La; msije mkakusanya magugu, na kuzing’oa ngano pamoja nayo.Viacheni vyote vikue hata wakati wa mavuno; na wakati wa mavuno nitawaambia wavunao, Yakusanyeni kwanza magugu, myafunge matita matita mkayachome; bali ngano ikusanyeni ghalani mwangu(Matthew 13:27-30).

YESU ANAELEZA KUPITIA MFANO HUU KWAMBA;
"..., Azipandaye zile mbegu njema ni Mwana wa Adamu; lile konde ni ulimwengu; zile mbegu njema ni wana wa ufalme; na yale magugu ni wana wa yule mwovu; YULE ADUI aliyeyapanda ni Ibilisi; mavuno ni mwisho wa dunia; na wale wavunao ni malaika (Matthew 13:37-38)."

Mfano huu unatoa picha kua:Yesu ndio Alfa na Omega. Atakaye kuja baada yake na kuhubiri kinyume ni Mwana wa Adamu. Si Mwingine ni Adui yule Muuaji.

4. Kazi kuu ya Yesu duniani haikua kumwokoa Shetani. Bali kuubomoa Utawala wake;
"Atendaye dhambi ni wa Ibilisi; kwa kuwa Ibilisi hutenda dhambi tangu mwanzo. Kwa kusudi hili Mwana wa Mungu alidhihirishwa, ili AZIVUNJE KAZI ZA IBILISI.(1 John 3:8)."

Tazama, nimewapa amri ya kukanyaga nyoka na nge, na NGUVU ZOTE ZA YULE ADUI, wala hakuna kitu kitakachowadhuru (Luke 10:18-19).

YESU ANASEMA;
Mtu ambaye si pamoja nami yu kinyume changu; NA MTU ASIYEKUSANYA PAMOJA NAMI HUTAWANYA(Luke 11:23).
SWALI

SECTION C

Q.IKIWA Mohammad hakumkubali Yesu, JE ALIKUA ANAFANYA KAZI YA NANI?
My Friend no one will answer this.
Hawa wapo kama kasuku tu. Mwanzo Ahmed Dedat aliwakaririsha kuwa Songs of Solomon(Wimbo ulio bora) ni matusi, uasherati na zinaa hivyo Bibilia haiwezi kuwa neno/Kitabu la Mungu. Sijui alikuja kula maharagwe ya wapi ghafla akaja na Muhammad mentioned by Name in the Bible! halafu ref. aliyotumia ni Wimbo uliobora.
Utawasikia Mahammadeeem, mahammadeeeeeem!
 
Ni kweli kabisa Mtumishi.
 
Mungu ni mtu wa vita tafsiri yake ni kuwa ANAANGAMIZA sio tafsiri unayoleta wewe Ahahaahaahaahjjajaj
HESABU 23:19
" Mungu si mtu, aseme uongo, wala si mwanadamu , ajute ; iwapo amesema , hatalitenda? iwapo amenena , hatalifikiliza? ";

ahahhhhaahahhahahaha Mungu awezi kuwa mtu ahahahahhahahaah msikilize mtu huyu hapa sasa
YOHANA 8:40
" Lakini sasa mnatafuta kuniua mimi, MTU ambaye nimewaambia iliyo kweli , niliyoisikia kwa Mungu , Ibrahim hakufanya hivyo"

ahahahhahahhahaahahahah acha bange kufananisha Mungu na viumbe wake ahahahhaahhahaahahahhah

Kwa Mujibu wa Imani Yangu Yesu ni Mungu kamili [emoji117]
IMG_20181012_123320_812.jpg
na ni Mwanadamu Kamili [emoji117]
IMG_20181012_123600_556.jpg
[emoji123] [emoji123] Uwezo wa Kuwa Kama Hivyo Anao [emoji109] [emoji109] Nashangaa sanàã mtu anabishia [emoji12] kwani huyo ni mungu wako [emoji350] [emoji344] kama mungu wako uwezo huo hana kivyako, usitupigie kelele na kuona kijiba cha roho kwa sababu mungu wako hawezi na Mungu wangu Anaweza [emoji4] na kwa Mujibu wa Imani yangu Asie Amini kwamba [emoji117] HAKUNA MUNGU APASWAYE KUABUDiWA KWA HAQI ILA YESU NA PROF PAULO NI MTUME WAKE ni KAFIR [emoji53] HAIJALISHI anajiita mtume, mungu, malaika, jeen, ima ni mwanadamu ni kafir tu, ni kafir kafiiii...[emoji117]
IMG_20181012_133150_639.jpg
makafir, makaafir [emoji53]
 
Attachments

  • IMG_20181012_123320_812.jpg
    IMG_20181012_123320_812.jpg
    14 KB · Views: 19
Kisoda Ungalianza kulifunga hilo lako , unakuja humu kutafuta Ile unayoipenda ya punda na farasi uliyoambiwa na huyo unayemuabudu ,Shoga Cesare Borgia
Wenzako hapo chini washaolewa tafuta wako kanisani unakokwenda kuji socialize

nimekuoťa dogoò hivyo dhulma sitaki tuwasiliane upate jelro lako ungepata buku jelro ilaha msumbufu mno nimekufukuza toka mbagala hadi lango la kuingilia sokoni shimoni kariakoo huku visingizio kibao mii nanyonyesha nanyonyesha...[emoji12] [emoji4]
 
Haya maelezo yako hayapingi kuwa Mungu wako hapo zamani alikuwa KATILI vilevile aliwaambia watu wafanye UKATILI sawa, kuhusu kufa kwa Yesu nimatukio ya kuunga unga ndio maana mpaka leo umeshindwa kuthibitisha ni mda gani huyo Yesu alisulubiwa? unaingia huku unatokea kule , vilevile Kuhusu Yesu kuwa njia mbona ni jambo la kawaida kwasababu anawafunza watu kumjua Mungu, suala kulipwa MATENDO wala halina mjadala Mungu ameweka wazi kila mtu atapata matunda kwa kiasi cha matendo, hicho unachotaka kukilazimisha hakipo
YEREMIA 17:10
" Mimi, Bwana nauchunguza moyo, navijaribu viuno, hata kumpa mtu kiasi cha NJIA ZAKE, kiasi cha MATUNDA ya MATENDO yake";

ahahahhahahahhahahhahajajajjaja utavuna ulichopanda tu hakuna mteremko jamaaa
Kwahiyo ndo maana Allah aka Muhammad akasema kuwa hata ufanye meema vipi maamuzi ya kuingia Mbinguni ni ya Allah?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom