Kwanini Mungu wako mwanzo atoe Amri ya KUUA watu? tuanzie hapo naona unazunguka tu nimekutolea maandiko Mungu ANAUA na Mungu anatoa Amri kwa Musa aue sasa huku kuzunguka kwako hakufuti haya maandiko , nawala haibadili maana kuwa Mungu wako aliua uzaow wa kwanza wa wamisri na wanyama wao pia , tena wala haibadili maana kuwa Mungu wako alichukua nchi ya ahadi kwa kuwadhulumu na kuwaua wenyeji wa nchi ile ahahahahahhahahhahhahhhahaha
SECTION A:
1.Ufalme wa Israeli ulikua Duniani hivyo ni wa Wanadamu. Na hatima yake ni hii.
"Tena itakuwa atakapokwisha BWANA, Mungu wako, kukuleta katika nchi aliyowaapia babu zako, Abrahamu na Isaka na Yakobo, ya kuwa atakupa; miji mikubwa mizuri USIYOIJENGA WEWE,(Deuteronomy 6:10)"
2. Lakini Bwana Mungu akijua kua Wana wa Israeli sio kwamba ni wanyoofu wa Moyo;
"Basi jua ya kuwa BWANA, Mungu wako, hakupi nchi hii nzuri uimiliki kwa ajili ya haki yako, kwa maana U TAIFA LENYE SHINGO NGUMU.(Deuteronomy 9:6)"
3. Rehema za Baba zao; Abrahamu, Isaka na Yakobo, zinawapata Kibali Wanasraeli mbele za Mungu (Zingatia Ishmael si Miongoni mwao);
"Mungu akasikia kuugua kwao, Mungu akakumbuka AGANO LAKE alilolifanya na Ibrahimu na Isaka na Yakobo(Exodus 2:24)
Hii inatupa Mwanga kua Ukiwa mtu mwema duniani, na Kizazi chako kinakwenda kubarikiwa hata ukiwa haupo tena duniani."
(Swali fikirishi Kizazi cha Mohammad kipo wapi?)
SECTION B
Nyakati Hizi za Agano Jipya la Ukombozi kupitia Damu ya Yesu Msalabani. UFALME WA MUNGU umekuja Duniani kupitiaYESU KRISTO.
1. Manabii wote wa Agano la kale walizaliwa na mbegu za wanadamu isipokua Yesu Kristo pekee; "Maana Mungu hakumtuma Mwana ulimwenguni ili auhukumu ulimwengu, bali ulimwengu uokolewe katika yeye(John 3:17)"
Wala hakuna mtu aliyepaa mbinguni, ila yeye aliyeshuka kutoka mbinguni, yaani, Mwana wa Adamu (John 3:13).
Yesu anaonya;-
Na mtu akiyasikia maneno yangu, asiyashike, mimi simhukumu; maana sikuja ili niuhukumu ulimwengu, ila niuokoe ulimwengu. Yeye anikataaye mimi, ASIYEYAKUBALI MANENO YANGU, anaye amhukumuye; NENO hilo nililolinena ndilo litakalomhukumu SIKU ya mwisho (John12:47-48).
2. Sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi, WAPATE KUTUBU (Luke 5:32).
3. Adui pekee wa Kupingwa ni Shetani.Kwasababu hana Urithi katika Ule Mti wa Uzima. Amewekewa Jehanam ya Moto.
Pitia mfano huu:
Watumwa wa mwenye nyumba wakaenda wakamwambia, Bwana, hukupanda mbegu njema katika konde lako? Limepata wapi basi magugu?. Akawaambia, ADUI NDIYE ALIYETENDA HIVI. Watumwa wakamwambia, Basi, wataka twende tukayakusanye? Akasema, La; msije mkakusanya magugu, na kuzing’oa ngano pamoja nayo.Viacheni vyote vikue hata wakati wa mavuno; na wakati wa mavuno nitawaambia wavunao, Yakusanyeni kwanza magugu, myafunge matita matita mkayachome; bali ngano ikusanyeni ghalani mwangu(Matthew 13:27-30).
YESU ANAELEZA KUPITIA MFANO HUU KWAMBA;
"..., Azipandaye zile mbegu njema ni Mwana wa Adamu; lile konde ni ulimwengu; zile mbegu njema ni wana wa ufalme; na yale magugu ni wana wa yule mwovu; YULE ADUI aliyeyapanda ni Ibilisi; mavuno ni mwisho wa dunia; na wale wavunao ni malaika (Matthew 13:37-38)."
Mfano huu unatoa picha kua:Yesu ndio Alfa na Omega. Atakaye kuja baada yake na kuhubiri kinyume ni Mwana wa Adamu. Si Mwingine ni Adui yule Muuaji.
4. Kazi kuu ya Yesu duniani haikua kumwokoa Shetani. Bali kuubomoa Utawala wake;
"Atendaye dhambi ni wa Ibilisi; kwa kuwa Ibilisi hutenda dhambi tangu mwanzo. Kwa kusudi hili Mwana wa Mungu alidhihirishwa, ili AZIVUNJE KAZI ZA IBILISI.(1 John 3:8)."
Tazama, nimewapa amri ya kukanyaga nyoka na nge, na NGUVU ZOTE ZA YULE ADUI, wala hakuna kitu kitakachowadhuru (Luke 10:18-19).
YESU ANASEMA;
Mtu ambaye si pamoja nami yu kinyume changu; NA MTU ASIYEKUSANYA PAMOJA NAMI HUTAWANYA(Luke 11:23).
SWALI
SECTION C
Q.IKIWA Mohammad hakumkubali Yesu, JE ALIKUA ANAFANYA KAZI YA NANI?