Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Hoja yako hapo iko wapi ?
Mtume anayofundisha yanatoka kwa Mungu wala sio kwa iblisi
QURAN 69:43
" Ni uteremsho utokao kwa mola mlezi wa walimwengu wote";
Kama hiyo aikutoshi pokea na hii
QURAN 2:2
" Hiki ni kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake ;ni uwongozi kwa wamchao Mwenyezi Mungu ";

kama hiyo haitoshi pokea hii
QURAN 53:3-5
3";wala hasemi kwa matamanio (ya nafsi yake)
4"Hayakuwa haya ila ni wahyi(ufunuo) uliofunuliwa (kwake)
5"Amemfundisha malaika mwenye nguvu sana"

Kuhusu kutomtambua shetani hii nayo unaleta humu kama hoja ebu ijenge hoja uilete tena , kumtambua unaona jambo kubwa mbona hao ndugu zako wengine hawakumtambua shetani mpaka madhabahuni kaingia ,mbona uji kutangaza na hili
AYUBU 2:1
"Tena kulikuwa na siku hao wana wa Mungu walipokwenda kujihudhurisha mbele za Bwana , shetani naye alienda kati yao, ili kujihudhurisha mbele za Bwana"

ahahhahahhhahahajajjjajaj mbona hapo kajichanganya safi na hamna aliemjua , sasa hoja nyepesi hizi unaleta humu na kelele nyingi
 
Yesu ni mtu tu ata hili sijasema mimi wala awajasema waislamu , mbona amesema mwenyewe kwa kina kipana kabisaa
YOHANA 8:40
";lakini sasa munatafuta kuniua mimi, mtu ambaye nimewaambia iliyo kweli, niliyoisikia kwa Mungu, Ibrahim hakufanya hivyo",

ahahahaahhhahahhahahaah ndivyo alivyofundisha Yesu wewe unawatolea macho waislamu tena , wakati mwalimu wako ndio kafundisha hivyo
 
Hunifurahisha tu kwa ubishi wake dhidi ya mambo mbalimbali.Hata hivyo namkubali hisimamia hoja zake kwa nguvu na uhakika.ni mwenyewe nondo za kushiba anaposhusha hoja.
Hebu nitajie nondo yake moja.
 

Upo sahihi. Lakini sijui kama umeelewa kile weqe mwenyewe ulichokielezea hapa.

John 14:6
Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Matthew 11:27
Akasema, Nimekabidhiwa vyote na baba yangu; wala hakuna amjuaye Mwana, ila Baba; wala hakuna amjuaye Baba, ila Mwana, na ye yote ambaye Mwana apenda kumfunulia.
 
Aisee salimia familia yako.
Halafu huyo jamaa wako yeye ana ugomvi na Mungu na uchawi tu ila mambo mengine humkuti akipinga na kudai uthibitisho,mfano kuna watu wanasema kuna viumbe vinaitwa Aliens na wengine wanasema hao viumbe ndio wametuumba sie binaadamu,ila sioni Kiranga kutia neno na kutaka athibitishiwe.
 

kazi ya watu wa muhammad ni kupiga kelele na ugomvi tu [emoji117] wee abudu kinyago chako ya kwetu hayakuhusu, kwanza nafasi imejaa [emoji53][emoji12] baba kasimu alipiga mikele na ugomvi hadi kafa analia lia [emoji117] mnatia hadi huruma [emoji53]
 
Huitaji kutoa ushahidi kijana unatakiwa UTII tu ahahhahaahaahhhahhhhahahajjaajjaja
Mambo ya walawi 11:8
"Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu";

ahahhahahhhahahajajjjajaj hapo hakuna longo longo tekeleza amri wacha uroho

Nimesha Maliza [emoji4] kama wee umeamua kufuga ndevu badala ya kufuga nguruwe kwa manufaa ya Afya yako na Uchumi fuga mindefu dogo [emoji12] mtu gani huna hata shukrani kwa muumba wako kwa neema aliyo kukupa riziki hizi zote[emoji344] hata allah anakufahamisha [emoji117] ujasiri huo hata ibilisi hana [emoji53]
 

Attachments

  • IMG_20181013_123848_572.jpg
    19 KB · Views: 16
Yesu kazaliwa Israeli nchi ambayo hapo mwanzo Mungu wako aliwaua wenyeji wa maeneo hayo ili adhulumu nchi yao ahahahaahahhhahaaahahahahahahahaha hapo vip au Yule Mungu wa Musa haumtaki
kwa akili za kisukule kisla kisla umepatia chukua [emoji736] [emoji38] [emoji38]
 
Labda nae ni alien anaogopa kutoa siri.joke
 



Job is not the author, but the principal character. Sometmes i wonder if Job ever exists. Some say it is Moses who wrote this tale.

Essentially theme of story entails the human inability to comprehend a deity who functions outside the realm of world. As the book teaches that God’s purposes and ways are mysterious and unfathomable, hidden from his creatures. .

However, Jesus has already made a statement by saying..

"Henceforth I call you NOT SERVANTS ; for the servant KNOWETH NOT what his LORD doeth: but I have called you friends; for all things that I have heard of my Father I have made KNOWN unto you (John 15:15)".

The past is gone, we have Eyes to see. We follow the light, and it shine bright.


Concerning Satan summomed God in heaven together with the sons of God. This is also a thing of past. Jesus sayth;
"18. And he said unto them, I beheld Satan as lightning FALL FROM HEAVEN
19.Behold, I give unto you POWER to tread on serpents and scorpions, and over all the power of the enemy: and nothing shall by any means hurt you. ( Luke 10:18-19)."

This alone makes us have dominance over Devil.
 
Unasoma kila thread ya Kiranga?

Kuna mtu alileta hizo habari kama factual, nikamwambia athibitishe.

Kuna mtu kaleta habari za Anunaki, nimemwambia athibitishe.

Kuna mtu kaleta habari za mtoto wa Mwakasege amefufuka (up to now I am wondering whether that was a rather cruel satire), nikamwambia athibitishe.

Kuna mtu jana kasema anajua mtu aliyesema hajui kama wanataka kunywa kahawa au hawataki, alikuwa anataka, nikamwambia athibitishe.

Kama wewe kipofu, hujui kusoma, hujaona nilipoandika, hilo si tatizo langu, ni lako.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…