Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Ndivyo ALIVYO wadanganya muhammad [emoji15] HABARI NI HII [emoji117] View attachment 901626View attachment 901627 kwa uzuri hata baba yake fatuma hakuwaficha kawapa kelbu mchana kweupe [emoji117] View attachment 901629View attachment 901630 wee kama una uchu wa kukata mauno mbele ya allah huku unapiga [emoji102] baba fatuma anavyo mpiga mjengo Mke wa firauni imekula kwako ulie tu [emoji24] [emoji24] ni Heri ukidhi uchu wako rozana, jolly club, Ohio, qbar au dangulo LA binti juma mwananyamala...najua hutanielewa unaona allah anafanya maskhara [emoji15] [emoji12] allah hana maskhara na mtoto WA mtu [emoji53] uchu WA ngonoka umekuponza dogo [emoji12]
Ungekuwa timamu hilo andiko mwinyo lina sema " amri za Mungu" , na imani ya Yesu ahahahahaahah ungeacha kabisa UPUMBAVU wako wa kumuita Yesu ni Mungu kwa andiko hilo tu , lakini umekalia ubishi wacha uangamie, hizo aya mbona ziko wazi kabisa QURAN imeeleza Formula ya kwenda peponi hata ukijiita Muislamu kama ufanyi haya wewe utapata tabu sana
QURAN 22:56-57
56",Ufalme wote siku hiyo utakuwa kwa Mwenyezi Mungu .Atahukumu baina yao.Basi WALIOAMINI na WAKATENDA mema watakuwa katika BUSTANI zenye NEEMA"
57"Na WALIOKUFURU na KUZIKANUSHA ishara zetu, basi hao watapata ADHABU ya kufedhehesha"

ahahahahahhahahaha QURAN aina longo longo kama nyaraka zenu za wagalatia ahahahahaaha mjomba tukifika huko kama kawaida maana tutaenda na wanawake, nyie endeleeni kukausha MAKOO na bendi zenu za twanga pepeta ya mbinguni
 
Askofu akisikia harufu ya kinyesi huchanganyikiwa na ndio huwarukia vikondoo vidogo wakavirarua
Wajinga ndio waliwao wacha wawanyooshe ahahhahhaahj sasa kama mtu anaamini kwamba baada ya kujitesa kote ujira wake ni kuimba wewe unamuona timamu huyo ahahahhaajhahahah
 
Hata Joshua alisimamisha jua.
Haina uhusiano.
From the vantage point, ni Joshua ndiye aliyeomba Jua lisimame. Lugha yake haifai kulinganishaa na mtazamo wa leo kuhusu Dunia kuzunguka jua. Lugha yake inaendana na zama zake kuona Jua ndio linalotembea. Mtu yeyote angeweza kuona jua likitembea.

Joshua alimtumaini Mungu wake kiasi kwamba alichojua ni Mungu wake kua anakwenda kuwapa ushindi (Joshua10:8).

Na kwamba kama wasinge wavamia kabla jua kuzama. Maadui zake wangekusanyana na wangewavamia waIsraeli na kuwaangamiza kabisa.

Haitoshi kusema Joshua alikua mtaalamu wa Sayansi ya anga(Scientifically Sophisticated). Kwahiyo ni bora kuamini kua Mungu alimbariki Joshua kuliko kusema joshua alikua na some scientific insight ambazo hazikua zinajulikana na watu wa zama zake.

Swala lisilo na shaka ni kua Joshua alikua anahitaji Muda zaidi na sio Jua lisimame.
Mungu alimuelewa akafanya Yake.
Nifupishe kwa kusema..

Tofauti kubwa ya Quran inayodaiwa kushushwa kutoka juu.
Inaonyesha ina makosa ya sayansi kulinganisha na wanadamu wasomi hajui baiolojia, fizikia, historia, jiografia na uandishi mbovu, uelewa mbovu wa imani ya Ukristo mfano utatu mtakatifu, makosa ya kupangilia kurasa na chapta. nk.
 
Swali la msingi hapo Je ni kweli inaingia akilini kuwa joshua alisimamisha jua? usijitetee vitu ambavyo biblia katu haijaandika
 
Hata andiko hili umeshindwa kulielewa sasa utaelewa kipi mdogo wangu haya labda hii inaweza kukutibu ugonjwa
QURAN 42:11
" Hapana KITU kama mfano wake , Naye ni Mwenye kusikia Mwenye kuona";

ahahhaahhaahahahah Mungu haoni tabu kutoa mfano wa kitu chochote hata hili ulijui , lakini hafanani na chochote yaani hata lugha hii ndogo uelewi

OOH HANA MFANO [emoji15] [emoji12] MFANO WAKE HUU [emoji117]
IMG_20181018_204334_117.jpg
[emoji38] [emoji38] [emoji38]

ISAYA 54:5
";Kwa sababu Muumba wako ni Mume wako";

Ahahhahahaahaaahah ebu tuambie lini alikutolea mahari akakuoa huyu Muumba wako?

KUMBE UNAELEWA [emoji122] [emoji122] MARIA MAMA WA MUNGU [emoji106] [emoji4]
maana inaonekana lugha za picha amzijui ahahahhahaahaaa

wee masudi Hujui wala hukumbuki [emoji117]
IMG_20181019_062242_411.jpg
 
Ndio matatizo ya kujua maneno machache ya kiswahili ahahahhahaahahh nimekwambia DHARIRI wewe unasema DHAHIRI , narudia tena Mungu wetu awezi kupigwa MAKONDE kwa sababu sio DHARIRI ahahahahaahah buree kabisa mimi mwanazuoni sibahatishi
QURAN 59:7
",Hakika Mwenyezi Mungu ni mkali wa kuadhibu";

Ahahahahaahahaahaha unaanzaje kumpiga makofi ahhahahahahaaaajhaha
Nimekwambia DHAHIRI wewe unasemaje dhariri [emoji12]
 
Ahahahhahahahahahajaja Mungu anaangalia moyo tu nenda kanisani bila kuchamba ahahahaaaaaha uone kama mchungaji atakuvumilia ataanza kukemea kinyesi chako ahahahaahahahaha
Nimekushukuru ushauri mkamuane hizi kg.3 za mavi kabla hamjenda hamjenda msikitini [emoji4] allah Ana-Mind mavi [emoji15]
 
Ahahahahhhaaha huyo kisoda ni kama wewe wote ni weupe kabisaa wala hamnisumbui sasa kama mtu amjui hata Omar ni nani huyo anakusumbuaje !! Ahahhahahahahah nitaendelea kumitoa kwenye UJUHA huo wa kuamini eti Mungu kapigwa MAKONDE na viumbe wake ili awaokoe hao hao VIUMBE wake kutoka kwa kiumbe wake mwingine shetani , hii ni akili ya Kipuuzi kabisa , Mungu wetu ni mkali hakuna mpuuzi atakae thubutu kumpiga kofi ahahahahahahahaj Mungu kapigwa makofi hizi si bangi hizi jamani

Mungu ni [emoji117]
IMG_20181018_084423_509.jpg
mbishie baba kasimu kwamba sio mjuzi WA Yote [emoji15] [emoji12]
 
Ahahahahhhaaha huyo kisoda ni kama wewe wote ni weupe kabisaa wala hamnisumbui sasa kama mtu amjui hata Omar ni nani huyo anakusumbuaje !! Ahahhahahahahah nitaendelea kumitoa kwenye UJUHA huo wa kuamini eti Mungu kapigwa MAKONDE na viumbe wake ili awaokoe hao hao VIUMBE wake kutoka kwa kiumbe wake mwingine shetani , hii ni akili ya Kipuuzi kabisa , Mungu wetu ni mkali hakuna mpuuzi atakae thubutu kumpiga kofi ahahahahahahahaj Mungu kapigwa makofi hizi si bangi hizi jamani
Labua mavi kwa raha zako tu [emoji15] ruksa [emoji24]
 
BASI MWANGALIE ASKOFU WAKO HUYU ALIYEJIVISHA KILEMBA NA KUWEKA MSALABA KWENYE KILEMBA ; NAMNA GANI ANAVYOWAHARIBU WATOTO MADHEHEBUNI

MZEE MZIMA WA KANISA KAVAA KILEMBA NA MSALABA WAKE KAUBANDIKA KWENYE KILEMBA YUKO ANAONGOZWA NA ROHO MTAKATIFU WAKE 😛😛😛😛😛😛

1539701488407-png.900054
Sasa wewe kweli Kimburu. Huo msalaba?
inaonyesha umempenda sana huyu child molester wako.
Kwanini hukuzijibu hadithi nilizokupa zikionyesha kilichojiri baina ya bwanako Qathem na mama wa umma.
umebaki na kilemba ooh mzee wa kanisa. Kanisa na vilemba wapi na wapi?
 
Uhakika wa muislamu kuingia peponi i ni kutenda mema na kuacha mabaya , kwasababu Mungu hawezi mdhulumu mtu ,hivyo basi kila mtu atapewa stahiki ya MATENDO yake ili mbona liko wazi kabisaa, labda nikuulize swali dogo Mungu wako anajua yatakayo tokea kesho?

hapo kwenye bold ushakufuru tayari .NA YEYE JUU YA KILA KITU NI MUWEZA
 
Huna majibu na huji kitu.

Jibambe na hii, ili mkaulizane vizuri msikitini leo.

ukimaliza hiyo jibambe na hii .

Lile kojo la punda wa Ezekiel 23 :20 umelinywa jingi??

Pata dawa hii

Sasa wewe kweli Kimburu. Huo msalaba?
inaonyesha umempenda sana huyu child molester wako.
Kwanini hukuzijibu hadithi nilizokupa zikionyesha kilichojiri baina ya bwanako Qathem na mama wa umma.
umebaki na kilemba ooh mzee wa kanisa. Kanisa na vilemba wapi na wapi?

Utajijibu mwenyewe uliyekuwa picha ya askofu wako aliyejiwekea msalaba. Umebaki mara umeedit, sasa umekuja na wakristo eti hawavai vilemba . Hata unachoandika hukijui, Nina wasiwasi umechanganya kojo la punda na farasi wa Ezekiel 23: 20
 
Huna hoja mpagani wewe, unalazimisha wote wawe wapagani kama mudy!!
 
Wanajukwaa:

Dunia yetu inaendelea kushika kasi katika suala la Sayansi na Tekinolojia.Kwa siku za hivi karibuni,wanasayansi wamegundua kuweza kutengeneza Moyo kwa kutumia stem cells,ikiwa ni hatua katika kuelekea kutengeneza moyo wa binadamu,hali ambayo itasaidia katika kukabiliana na matatizo ya Moyo yanayowakabili wanadamu,kwa kiasi kikubwa, yale ambayo uhusisha mwanadamu kupoteza maisha, kwa sababu tu Moyo wa mgonjwa husika hauna repair au hauwezi kubadilishwa.Miaka kama kumi hivi iliyopita,wanasayansi walikuwa wamefanikiwa kutengeneza Moyo wa panya kwa kutumia hizo stem cells.

Kumbe,kwa tafiti mbalimbali zinazoendelea kufanyika sehemu mbalimbali duniani,ama ardhini au angani,zote zinalenga katika kuboresha maisha ya mwanadamu na hata kuongeza siku za kuishi kwake.Historia inao watu wengi sana ambao wamejihusisha na Sayansi kwa nyakati tofuati tofauti.

Leo,ninataka tumuangalie Mtume Muhammad kwa namna alivyoweza kujihusisha na suala la Sayansi kwa kile kinachosemwa ni kwa msaada wa Mungu.Kurani neno la Mungu;maneno ambayo Mungu akiisha kuyaandika huko Mbinguni, alikuwa anampatia Malaika Gabriel na malaika Gabriel akampatia Mtume Muhammad katika Nyakati tofauti tofauti na Muhammad kuyaweka katika maandishi,lakini kwa namna ya pekee,kwa mara ya kwanza kabisa ikiwa ni katika Pango lililoko katika Mlima Hira, Jabal an-Nour,huko Makka,ambako inadaiwa Mtume Muhammad alipokea ufunuo huo, kwa matatizo sana kwa sababu ya kutojua kwake kusoma na kuandika,Malaika Gabrieli alijikuta anamkaba.

Kwa njia ya ufunuo wa Kurani,tunafunuliwa mambo mengi ya Kisayansi ambamo Muhammad anatujuza jinsi mambo yalivyo.Kwa leo, ninawaletea jambo moja tu.Nalo ni juu ya namna Jua linavyokuchwa na kadri Mungu atakavyotujalia tutayaangazia na mambo mengine.

Kurani kupitia Sura al-Kahf (18: 83-86), inaeleza kwamba Jua huchwea katika chemchemu ya matope meusi mazito(dark Muddy spring):

“83-Na wanakuuliza khabari za Dhul- Qarnaini. Waambie: Nitakusimulieni baadhi ya hadithi yake.84 -Sisi tulimtilia nguvu katika ardhi na tukampa njia za kila kitu.85 - Basi akaifuata njia. 86 - Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika chemchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema.”

Wakati Muhammad akiwa ametupasha ukweli huo ambao aliandikiwa na Mungu, Ukweli wa kisayansi umebainisha kwamba Jua ni kubwa zaidi na lenye joto kali kuliko dunia.Na ikitokea kwamba Dunia inakaribiana na Jua,basi dunia itayeyuka kutokana na joto kubwa la Jua.

Ukweli mwingine,ambao pia Sayansi imetupatia ni kwamba Jua halitembei bali sayari mbalimbali ndio hulizunguka,ikiwemo Sayari yetu ya Dunia. Historia inaonyesha kwamba mtu wa kwanza kugusagusa habari za kuwa Jua lilikuwa halizunguki alikuwa ni Aristarchus (310-230KK).

Aristarchus alikuwa ni mwana-Astronomia wa Kigriki. Yeye aliamini dunia ilikuwa katikati ya Mfumo wa Jua(Solar system) na sayari zingine (ikijumuishwa na nyota ambazo zilikuwa zimefungwa katika nafasi fulani) ndio zilizokuwa zikilizunguka Jua.

Hata hivyo, baadaye mwanasayansi,Aristarchus, alikuja kugundua kuwa sio dunia iliyokuwa katikati ya Mfumo wa Jua, bali ni Jua na hivi kwamba ni Dunia na sayari zingine ndizo zilikuwa zikilizunguka Jua.Ugunduzi wa namna hii ulipatikana miaka mingi sana (takribani karne tatu hivi) kabla hata ya Yesu Kristu kuzaliwa na karne tisa kabla ya Muhammad kuzaliwa.

Mwanasayansi mwingine pia aliyekuja na mtizamo tofuati na wa Muhammad (kwa kadri ya ufunuo kutoka kwa Mungu) ni Jean Buridan (1300-1359/61). Huyu) anafahamika kama Mwanafalsafa Mashuhuri sana katika Ufaransa.Buridan alikuwa Mwalimu katika Kitivo cha Sanaa cha Chuo Kikuu cha Paris kwa kupindi chote cha maisha yake ya kitaaluma akimakinika hasa hasa katika masuala ya Logiki (Logic) na kazi za mwanafalsafa Aristotle.

Ni Bridan aliyeanzisha wazo juu ya kiitwacho Copernican Revolution katika Ulaya.Hili ni fundisho lililoleta mwangaza kutoka kuamini kwamba dunia ilikuwa imesimama sehemu moja katika ulimwengu na kwamba Jua ndio lilikuwa linaizunguka dunia (Geocentrism) hadi kueleweka kwamba kumbe Jua ndilo limesimama wakati dunia na sayari zingine zikilizunguka (Heliocentrism).

Kumbe, sasa kwa uchache,kwa mawazo ya hao wanasayansi wawili,tunapata picha kwamba Muenendo wa Jua kuchomoza na kutua sio jambo lililoanza wakati wa Muhammad.Na kama suala la Sayansi ya Mfumo wa Jua lilianza mapema kabla ya Yesu na Muhammad kuzaliwa, yeye Muhammad alipopewa ufunuo na Mungu, hakuweza kujiuliza iwapo ufunuo huo wa Mungu inakuwaje unapingana na ukweli wa mambo?Katika kutafakari ufunuo huu wa Mungu kwa Muhammad, nimejikuta nina maswali yafuatayo,ambayo naomba yatuongoze katika kujadili suala hili.Ni muhimu kujadili kwa sababu pengine Dunia inatufundisha vitu ambavyo havipo.Hivi kweli Mungu anaweza kumueleza Muhammad mambo ya uongo?Maswali mengine ambayo bila shaka hata wewe unaweza kujiuliza ni haya:

1. Hiyo Chemchemi ya matope mazito na meusi iko hapa duniani?Na kama haipo hapa duniani iko angani? Na kama iko angani iko sehemu gani?

2. Huyo Dhul-Qarnaini alikuwa ni kiumbe wa namna gani huyo aliyepewa uwezo wa kuona Jua linavyotumbukia katika matope?

3. Pamoja na kwamba wakati wakati wa Muhammad, labda Sayansi ya kwamba Jua halizunguki, isipokuwa dunia ndio hulizunguka Jua, ilikuwa haijafika katika maeneo ya ardhi ya Arabia, bado hata vizazi vya zamani sana havikupata kuwa na uelewa kama huo wa Muhammad kuwa Jua lilikuwa linatua matope meusi! Je,ilikuwaje katika Vizazi vyote hivyo hapo katikati(ikiwemo na Yesu mwenyewe ambaye Muhammad anamuelezea kama aliyekuwa na uwezo wa kufinyanga wanasesere na kuwapulizia uhai na wakawa ndege kamili), kabla ya Muhammad, akakosekana mtu mwenye uelewa wa kuliona Jua likizama katika matope meusi tofauti? Hivi wewe kwa sayansi hii ya Muhamma juu ya Jua kuchwea katika matope meusi haikupelekei kujiuliza yafuatayo:

· Je, Muhammad kusema mambo ambayo hakuwa nayo uthibitisho ilikuwa ni kutafuta tu kuonekana kwamba Mungu amempa ufunuo wa kipekee juu ya ulimwengu?

· Je, vizazi ya Kiarabu na dunia kwa ujumla baada ya kugundua kwa tafiti za kisayansi, ambazo zimethibitisha kuwa Jua huzungukwa na sayari mbalimbali, ikiwemo Sayari yetu ya dunia, vimuoneje, Muhammad na Uislamu kwa ujumla?

· Je,wanadamu wa vizazi vyote vinavyofahamu kuwa Jua halijawahi kuzama katika matope ama meusi,bluu au meupe, visimuamini Muhammad katika mambo mengine aliyoyasema au vimuchukulie kama mtu aliyekuwa anajaribu kupiga ramli ya jinsi mambo yalivyo?

Lakini swali la mwisho kabisa ambalo nitaomba ujiulize ni hili:Je,Ni kwa nini hadi leo baada ya kugundulika kuwa Jua halizami na wala halizunguki,ni kwa nini hadi sasa aya hiyo iko imesalia katika Kurani?Je,ni nani anasema uongo kati ya Mungu na wanasayansi juu ya suala la Jua?

Karibu kwa mjadala ili tupate kujua ukweli kwa faida ya maendeleo ya Dunia yetu.

Habari mkuu, Qur an ni maneno ya Allah (mungu) na wala haijawahi kudanganya, labda tatizo liwe kwenye uelewa wako. Na mada uliyoileta sio mpya ilishawahi kuulizwa na kupatiwa majibu siku nyingi sana labda kwa kukusaidia tembelea youtube ukutane na Dr Zakir Naik akijibu swali kama hili :
YOUTUBE: Pia kama haujatosheka waweza tembelea tovuti hii ya Quora upate maelezo ya kina kuhusu hilo:

TOVUTI: https://www.quora.com/Why-is-it-end...an-that-the-sun-sets-in-a-muddy-pool-of-water

LAKINI UKWELI AMBAO QURAN UNAELEZEA KUHUSU JUA NA AMBAO HAUNA WASIAWASI KISAYANSI UNAWEZA KUUPATA HAPA:

TOVUTI: https://www.harun-yahya.net/en/Articles/159413/miracles-of-the-quran-about

YOUTUBE:

Pia kama haujatosheka waweza tembelea tovuti hii ya Quora upate maelezo ya kina kuhusu hilo:

TOVUTI: https://www.quora.com/Why-is-it-end...an-that-the-sun-sets-in-a-muddy-pool-of-water

LAKINI UKWELI AMBAO QURAN UNAELEZEA KUHUSU JUA NA AMBAO HAUNA WASIAWASI KISAYANSI UNAWEZA KUUPATA HAPA:

TOVUTI: https://www.harun-yahya.net/en/Articles/159413/miracles-of-the-quran-about

NB: Mimi sikuwa member wa jamii forum hivyo siwezi kureply kwenye forum, nimejiunga iliniweze kukupatia majibu haya ambayo mimi binafsi naamini yatasaidia wewe na wengine kuujua ukweli ni upi. Nakuomba ukishafatilia majibu haya na ukayaelewa kwa kina naomba upost kwenye forum ukweli ni upi au ikiwezekana ufute ulichoposti na kuweka ukweli sahihi. kwakuwa naamini lengo lako ni kuelewa na sio kutukana au kumkashifu mtu, dini au kikundi cha watu. Allah akubariki.
 
Here is what John 1:1 says:

In the beginning was the Word, and the Word was with God, and the Word was God

Assuming the translation is correct (which its not, the capital G should be small g, it should read the word was a god, satan is also called god in the Bible yet they give him a small g, but for Jesus a capital!) then what we have here is Jesus who is the word is called God, wow I guess Jesus is God then right?! No.

You see, my first question to the Christian is this, is this Jesus speaking?

The answer is no, this is NOT Jesus speaking!

This is supposedly the disciple John writing this here not Jesus! So what we have is an interpretation of what one man thought!

Why cant Christians get us Jesus saying in the beginning the word was with God and the word was God, why didn’t Jesus ever say this?! So Christians now want us to believe Jesus is God because of what a man said?

A man’s interpretation!

The Bible itself testifies that the disciples often miss-understood Jesus and didn’t understand him!

So John 1:1 does not prove anything, it is not Jesus speaking, and the Gospel of John itself shows Jesus is not God from the very words of Jesus himself!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom