Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Ungekuwa timamu hilo andiko mwinyo lina sema " amri za Mungu" , na imani ya Yesu ahahahahaahah ungeacha kabisa UPUMBAVU wako wa kumuita Yesu ni Mungu kwa andiko hilo tu , lakini umekalia ubishi wacha uangamie, hizo aya mbona ziko wazi kabisa QURAN imeeleza Formula ya kwenda peponi hata ukijiita Muislamu kama ufanyi haya wewe utapata tabu sana
QURAN 22:56-57
56",Ufalme wote siku hiyo utakuwa kwa Mwenyezi Mungu .Atahukumu baina yao.Basi WALIOAMINI na WAKATENDA mema watakuwa katika BUSTANI zenye NEEMA"
57"Na WALIOKUFURU na KUZIKANUSHA ishara zetu, basi hao watapata ADHABU ya kufedhehesha"

ahahahahahhahahaha QURAN aina longo longo kama nyaraka zenu za wagalatia ahahahahaaha mjomba tukifika huko kama kawaida maana tutaenda na wanawake, nyie endeleeni kukausha MAKOO na bendi zenu za twanga pepeta ya mbinguni
 
Askofu akisikia harufu ya kinyesi huchanganyikiwa na ndio huwarukia vikondoo vidogo wakavirarua
Wajinga ndio waliwao wacha wawanyooshe ahahhahhaahj sasa kama mtu anaamini kwamba baada ya kujitesa kote ujira wake ni kuimba wewe unamuona timamu huyo ahahahhaajhahahah
 
Hata Joshua alisimamisha jua.
Haina uhusiano.
From the vantage point, ni Joshua ndiye aliyeomba Jua lisimame. Lugha yake haifai kulinganishaa na mtazamo wa leo kuhusu Dunia kuzunguka jua. Lugha yake inaendana na zama zake kuona Jua ndio linalotembea. Mtu yeyote angeweza kuona jua likitembea.

Joshua alimtumaini Mungu wake kiasi kwamba alichojua ni Mungu wake kua anakwenda kuwapa ushindi (Joshua10:8).

Na kwamba kama wasinge wavamia kabla jua kuzama. Maadui zake wangekusanyana na wangewavamia waIsraeli na kuwaangamiza kabisa.


Haitoshi kusema Joshua alikua mtaalamu wa Sayansi ya anga(Scientifically Sophisticated). Kwahiyo ni bora kuamini kua Mungu alimbariki Joshua kuliko kusema joshua alikua na some scientific insight ambazo hazikua zinajulikana na watu wa zama zake.

Swala lisilo na shaka ni kua Joshua alikua anahitaji Muda zaidi na sio Jua lisimame.
Mungu alimuelewa akafanya Yake.
Nifupishe kwa kusema..

Tofauti kubwa ya Quran inayodaiwa kushushwa kutoka juu.
Inaonyesha ina makosa ya sayansi kulinganisha na wanadamu wasomi hajui baiolojia, fizikia, historia, jiografia na uandishi mbovu, uelewa mbovu wa imani ya Ukristo mfano utatu mtakatifu, makosa ya kupangilia kurasa na chapta. nk.
 
Swali la msingi hapo Je ni kweli inaingia akilini kuwa joshua alisimamisha jua? usijitetee vitu ambavyo biblia katu haijaandika
 

wee masudi Hujui wala hukumbuki [emoji117]
 
Nimekwambia DHAHIRI wewe unasemaje dhariri [emoji12]
 
Ahahahhahahahahahajaja Mungu anaangalia moyo tu nenda kanisani bila kuchamba ahahahaaaaaha uone kama mchungaji atakuvumilia ataanza kukemea kinyesi chako ahahahaahahahaha
Nimekushukuru ushauri mkamuane hizi kg.3 za mavi kabla hamjenda hamjenda msikitini [emoji4] allah Ana-Mind mavi [emoji15]
 

Mungu ni [emoji117] mbishie baba kasimu kwamba sio mjuzi WA Yote [emoji15] [emoji12]
 
Labua mavi kwa raha zako tu [emoji15] ruksa [emoji24]
 
Sasa wewe kweli Kimburu. Huo msalaba?
inaonyesha umempenda sana huyu child molester wako.
Kwanini hukuzijibu hadithi nilizokupa zikionyesha kilichojiri baina ya bwanako Qathem na mama wa umma.
umebaki na kilemba ooh mzee wa kanisa. Kanisa na vilemba wapi na wapi?
 

hapo kwenye bold ushakufuru tayari .NA YEYE JUU YA KILA KITU NI MUWEZA
 
Huna majibu na huji kitu.

Jibambe na hii, ili mkaulizane vizuri msikitini leo.


ukimaliza hiyo jibambe na hii .


Lile kojo la punda wa Ezekiel 23 :20 umelinywa jingi??


Pata dawa hii

 

Utajijibu mwenyewe uliyekuwa picha ya askofu wako aliyejiwekea msalaba. Umebaki mara umeedit, sasa umekuja na wakristo eti hawavai vilemba . Hata unachoandika hukijui, Nina wasiwasi umechanganya kojo la punda na farasi wa Ezekiel 23: 20
 
Utajijibu mwenyewe uliyekuwa picha ya askofu wako aliyejiwekea msalaba. Umebaki mara umeedit, sasa umekuja na wakristo eti hawavai vilemba . Hata unachoandika hukijui, Nina wasiwasi umechanganya kojo la punda na farasi wa Ezekiel 23: 20
Huna hoja mpagani wewe, unalazimisha wote wawe wapagani kama mudy!!
 

Habari mkuu, Qur an ni maneno ya Allah (mungu) na wala haijawahi kudanganya, labda tatizo liwe kwenye uelewa wako. Na mada uliyoileta sio mpya ilishawahi kuulizwa na kupatiwa majibu siku nyingi sana labda kwa kukusaidia tembelea youtube ukutane na Dr Zakir Naik akijibu swali kama hili :
YOUTUBE: Pia kama haujatosheka waweza tembelea tovuti hii ya Quora upate maelezo ya kina kuhusu hilo:

TOVUTI: https://www.quora.com/Why-is-it-end...an-that-the-sun-sets-in-a-muddy-pool-of-water

LAKINI UKWELI AMBAO QURAN UNAELEZEA KUHUSU JUA NA AMBAO HAUNA WASIAWASI KISAYANSI UNAWEZA KUUPATA HAPA:

TOVUTI: https://www.harun-yahya.net/en/Articles/159413/miracles-of-the-quran-about

Habari mkuu, Qur an ni maneno ya Allah (mungu) na wala haijawahi kudanganya, labda tatizo liwe kwenye uelewa wako. Na mada uliyoileta sio mpya ilishawahi kuulizwa na kupatiwa majibu siku nyingi sana labda kwa kukusaidia tembelea youtube ukutane na Dr Zakir Naik akijibu swali kama hili :

YOUTUBE:
Pia kama haujatosheka waweza tembelea tovuti hii ya Quora upate maelezo ya kina kuhusu hilo:

TOVUTI: https://www.quora.com/Why-is-it-end...an-that-the-sun-sets-in-a-muddy-pool-of-water

LAKINI UKWELI AMBAO QURAN UNAELEZEA KUHUSU JUA NA AMBAO HAUNA WASIAWASI KISAYANSI UNAWEZA KUUPATA HAPA:

TOVUTI: https://www.harun-yahya.net/en/Articles/159413/miracles-of-the-quran-about

NB: Mimi sikuwa member wa jamii forum hivyo siwezi kureply kwenye forum, nimejiunga iliniweze kukupatia majibu haya ambayo mimi binafsi naamini yatasaidia wewe na wengine kuujua ukweli ni upi. Nakuomba ukishafatilia majibu haya na ukayaelewa kwa kina naomba upost kwenye forum ukweli ni upi au ikiwezekana ufute ulichoposti na kuweka ukweli sahihi. kwakuwa naamini lengo lako ni kuelewa na sio kutukana au kumkashifu mtu, dini au kikundi cha watu. Allah akubariki.
 
Here is what John 1:1 says:

In the beginning was the Word, and the Word was with God, and the Word was God

Assuming the translation is correct (which its not, the capital G should be small g, it should read the word was a god, satan is also called god in the Bible yet they give him a small g, but for Jesus a capital!) then what we have here is Jesus who is the word is called God, wow I guess Jesus is God then right?! No.

You see, my first question to the Christian is this, is this Jesus speaking?

The answer is no, this is NOT Jesus speaking!

This is supposedly the disciple John writing this here not Jesus! So what we have is an interpretation of what one man thought!

Why cant Christians get us Jesus saying in the beginning the word was with God and the word was God, why didn’t Jesus ever say this?! So Christians now want us to believe Jesus is God because of what a man said?

A man’s interpretation!

The Bible itself testifies that the disciples often miss-understood Jesus and didn’t understand him!

So John 1:1 does not prove anything, it is not Jesus speaking, and the Gospel of John itself shows Jesus is not God from the very words of Jesus himself!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…