Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.

wewe masudi huo msafara umo [emoji350] [emoji344] manake kila siku unakufuru na kejeli kwa wingi kwamba MUNGU HAWEZI ATAKALO NA KUJIAJIRI KAMA MSEMAJI WAKE [emoji15] [emoji53]
 
wewe masudi huo msafara umo [emoji350] [emoji344] manake kila siku unakufuru na kejeli kwa wingi kwamba MUNGU HAWEZI ATAKALO NA KUJIAJIRI KAMA MSEMAJI WAKE [emoji15] [emoji53]
Ahahahahaahahaahaha tulia mdogo wangu hakuna kufuru kubwa kama kumfanya mtu anaekunya kama wewe kuwa ni Mungu. jambo hili nikilifikiria nakuonea huruma sana tatizo nini mdogo wangu !! mpka inafikia mahala ushabiki umekujaa unasema Mungu katemewa mate na kupigwa MAKONDE Ahahahahhhahjajahajajajjajja badilika kabla mda ujaisha
 
Ahahahahaahahaahaha hata misingi huijui ahahahahahhahahaha " Unajua kazi ya mtume ni nini" . hiyo sio kauli ya mtume , wala hajamnukuu mtume sasa inakuwaje na madhara ndani ya Quran tukufu ?
 
Mkuu usipende kulia lia tuambie wapi jina " WAKRISTO" limeanza kutumika basi ahhahahahhahahh ahahahhaahahajaajajjaa
 
Jibu swali. Mnatoa wapi nguvu ya kumpiga mawe mwanamke, na kwenye kitabu chenu haimo??

nikuulize hili ili twende sawa.
Quran iliyokamilika ya Uthmani au ya Hafsi?
Tulia ujibiwe , hapa kwa mwanazuoni mbobezi hakuna swali linalokosa jibu , KUHUSU HABARI YA WAZINZI
QURAN 24:2
" The woman or man found guilty of sexual intercourse- lash each one of them with a hundred lashes , and do not be taken by pity for them in the religion of Allah , if you should believe in Allah and the last Day . And let a group of the believers witness their Punishment";

Andiko limetaja MWANAUME au MWANAMKE, hakuna maelezo mengine Kuhusu hawa watu . Kazi ya MTUME ni kufafanua QURAN ili watu waelewe na wafahamu ukweli ulivyo
JE NANI ALIMPA MTUME KAZI YA KUWAFAFANULIA WATU QURAN ?
QURAN 16:44
"We had sent them with miracles and Books ; and we have sent to YOU this Reminder so that you MAY EXPLAIN TO MEN WHAT WAS SENT DOWN TO THEM; they may haply reflect ;";

Kazi ya ufafanuzi wa maandiko ni ya Mtume , Je UFAFANUZI wa SURA 24:2 huko wapi ? Haya Pokea hiyo mdogo wangu

NARRATED Jabir : A man from the tribe of Bani Aslam came to the Prophet while he was in the mosque and said ," I have committed illegal sexual intercourse " .The Prophet. turned his face to the other side. The man turned towards the side towards which the Prophet had turned his face , and gave four witnesses against himself. On that the Prophet called him and said " Are you insane ?( he added ) ," Are you married ?"The man said , " Yes" . On that the Prophet ordered him to be STONED to the death in the Musalla (a praying place). When the stones hit him with their sharp edges and he fled , but he was caught at Al - Harra and then killed.
BUKHARI 7:63:196
huyo ndio mtume ametoa ufafanuzi mzuri kabisa , kumbe viboko 100 ni kwa AJILI ya wale wasio na NDOA, lakini yeyote alie na NDOA adhabu yake JIWE.
SUMMARY
QURAN 24:2 haijafafanua kuhusu wenye NDOA na wasio na NDOA. lakini mtume kwa mamlaka aliyopewa ya kufafanua Quran (16:44) amefafanua kwa wazi kuwa kumbe wenye NDOA ni mawe mpaka wafe na wasio na NDOA hawa ndio bakora 100.
Ahahahahaahahaahaha ukija hapa ujipange kisawasawa nipo hapa kutoa matongo tongo yako yote ahahahhahaahaaa
 
Ahahahahaahahaahaha PUNGUZA JAZBA
WHAT KIND OF GOD ?
JIBU MAHUSUSI
MSUMALI NO 1
1.SAMWEL 15:2-3
2";Bwana wa majeshi asema hivi , nimeyatia moyoni mwangu mambo haya Amaleki waliyowatenda Israel, jinsi walivyowapinga njiani , hapo walipopanda kutoka Misri .

3"; Basi sasa enda UKAWAPIGE Amaleki, na kuviharibu kabisa vitu vyote walivyo navyo, wala msiwaachilie ; bali WAUENI , mwanamume na mwanamke , MTOTO NAYE ANYONYAYE, ng'ombe na kondoo, NGAMIA na Punda .";

Ahahahahaahahaahaha Mungu gani huyo ugomvi wake na Amaleki anauhamishia adi kwa WANYAMA , sasa mtoto anae nyonya kamkosea nini mpaka anatoa amri wauliwe ? Ahahahahhaah ahahaahahhahah
MSUMALI NO 2
KUMB LA TORATI 20:16-17
16";Lakini katika miji ya mataifa haya akupayo. Bwana, Mungu wako, kuwa urithi USIHIFADHI kuwa HAI kitu chochote KIPUMZIKACHO ";

17"; lakini UWAANGAMIZE kabisa , Mhiti , Mwamori, na Mkaanani , na Mperizi , na Mhivi , na Myebusi , kama alivyokuamuru Bwana Mungu wako;";

Ahahahahaahahaahaha Mungu gani huyu anaamuru wavamizi kuua wenye nchi zao? hii si dhuluma hii !! Ahahhahahahahah zipo nyingi sana hizi zinatosha kukushughulikia kwa amani kabisaaaaaaa
 

Kwa taarifa yako barua za Paulo zimeandikwa mwanzoi kabla gospels, sasa tumia akili kama unayo
 

Atakuja na I'd nyengine aanze kukuliza kuhusu kuzama jua😀😀
 

Sina sababu ya kutoka povu kwa mtu ambaye ni kafir asie jua kwamba hajui [emoji15] [emoji12] nakutumia kama ubao wa kufundishia na shukraani kwa kunipa jukwaa [emoji106]
 
Kuuwawa kwa wahiti ilikuwa ni kulazimishwa kuingia dini gani? au walikataa kujiunga na uyahudi?
 
Sina sababu ya kutoka povu kwa mtu ambaye ni kafir asie jua kwamba hajui [emoji15] [emoji12] nakutumia kama ubao wa kufundishia na shukraani kwa kunipa jukwaa [emoji106]
Ahahahahaahahaahaha kweli una ubongo wa kuku , muda sio mrefu ulijiita kafiri na aya ukatoa ili kukimbia mishale ahahahaah
 

Endelea kukufuru yaani ujasiri wa Kushadia kwamba [emoji117] AKITAKA MWENYEZI HAWEZI NA ANA MSHAURI Hata ibilisi kufuru hiyo hawezi ushetani wako umemzini ibilisi [emoji15] [emoji12] hata muham mad amewajua [emoji117] allah kama kweli wewe NDIE MUNGU anayepaswa kuabudiwa kwa HAQI mtie adabu masudi ANAYE kukudhalilisha kila iitwapo Leo [emoji53]
 
wee unatumia kiungo gani kusoma [emoji350] [emoji344] [emoji12]
Ahahahahaahahaahaha kiungo hiki
MARKO 10:18
" Yesu akamwambia , kwanini kuniita mwema ? hakuna aliye mwema ila mmoja , ndiye Mungu ";

Ahahahahaahahaahaha umeelewa kiungo cha kawaida kabisa
 
Mbona hujibu [emoji350] [emoji344] [emoji344] jee masudi SAFARI YA kuelekea MOTONI umo [emoji350] [emoji344] sina HAJA na tantalila zako [emoji15] [emoji12]
 
Ahahahahaahahaahaha hakika Mwenyezi Mungu amepiga mihuri si hawa hapa
QURAN 5:72
";Hakika WAMEKUFURU walio sema : Mwenyezi Mungu ni Masihi mwana wa Maryamu";

Ahahahahaahahaahaha kazi kweli kafiri nae anaita watu makafiri, hivyo vichekesho bila shaka Voda wanavyo Ahahahhahahahaahjhhahaja
 
Ahahahahaahahaahaha kiungo hiki
MARKO 10:18
" Yesu akamwambia , kwanini kuniita mwema ? hakuna aliye mwema ila mmoja , ndiye Mungu ";

Ahahahahaahahaahaha umeelewa kiungo cha kawaida kabisa
Ukitaka YESU aongeeje ktk Hali yake ya Ubinadanu KAMILI [emoji350] [emoji344]
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…