masoud mshahara
JF-Expert Member
- Mar 31, 2018
- 4,712
- 2,010
Ahahahahaahahaahaha mada ikiwa ya moto anaingia mitini AhahaahahaaaahaWacha kujikimbiza kwenye I'd nyengine unaposhindwa hoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahahahaahahaahaha mada ikiwa ya moto anaingia mitini AhahaahahaaaahaWacha kujikimbiza kwenye I'd nyengine unaposhindwa hoja
Pua yake itakuwa Nzuri zaidi ya kwangu [emoji106] ref allah ametangaza kwamba yeye ni mwanaume...Sasa nikitangaza allah amefanana na masudi wote wana dhakar [emoji106] hapo mfanano upo pale wote HAKIKA mna dhakar ilaha wewe ni masudi na yeye ni allah [emoji38]Mungu ni Roho , kijana awezi kuwa na jipua kama lako uelewe nini kilaza wewe, Mungu ni mtawala , hivyo akamuumba mtu nae atawale na huu ndio mfanano Ahahaahahaaaaha
Mambo ya Maana kama haya siyo??
Sunan Ibn Majah » The Chapters on Marriage
It was narrated that 'Aishah said:
“The Verse of stoning and of breastfeeding an adult ten times was revealed1, and the paper was with me under my pillow. When the Messenger of Allah died, we were preoccupied with his death, and a tame sheep came in and ate it.” 1: These verses were abrogated in recitation but not ruling. Other ahadith establish the number for fosterage to be 5.
حَدَّثَنَا أَبُو سَلَمَةَ، يَحْيَى بْنُ خَلَفٍ حَدَّثَنَا عَبْدُ الأَعْلَى، عَنْ مُحَمَّدِ بْنِ إِسْحَاقَ، عَنْ عَبْدِ اللَّهِ بْنِ أَبِي بَكْرٍ، عَنْ عَمْرَةَ، عَنْ عَائِشَةَ، . وَعَنْ عَبْدِ الرَّحْمَنِ بْنِ الْقَاسِمِ، عَنْ أَبِيهِ، عَنْ عَائِشَةَ، قَالَتْ لَقَدْ نَزَلَتْ آيَةُ الرَّجْمِ وَرَضَاعَةُ الْكَبِيرِ عَشْرًا وَلَقَدْ كَانَ فِي صَحِيفَةٍ تَحْتَ سَرِيرِي فَلَمَّا مَاتَ رَسُولُ اللَّهِ ـ صلى الله عليه وسلم ـ وَتَشَاغَلْنَا بِمَوْتِهِ دَخَلَ دَاجِنٌ فَأَكَلَهَا .
Where can we find these two verses?
Mkeo aweza kunipa nyonyo yake ninyonye ili niwe mwanao???
Ahahahahaahahaahaha sio kuniita tu hata jina kanipa mshahara na cheti cha kuzaliwa kanifatilia mshahara. Mbona unarukaruka kaka nani alianza kumiita wewe na genge lako WAKRISTO?.Ahahahahaahahaahaha
Hii kukujibu kisilamu silamu NDIO unaelewa kwa uzuri [emoji38] [emoji38] YESU sij kutuita tu kwamba tu wa-KRISTO View attachment 922230 pia Tumebatizwa kwa jina Lake [emoji122] [emoji106]
Hiyo inafanya kazi kwa makaidi , wewe ujafika level hizo bado wakusoma kabisa wewe ndio maana unakubali Mungu ndio boss na Yesu ndio mtumwa ahahahhaahahajaajajjaa kwa hili bado tunaimani na wewe
wee mbona mgumu kumuelewa baba kasimu [emoji350] [emoji344] wanao abudu asicho kiabudu allah wapo hadi leo au hawapo [emoji350] [emoji344]
Unaijua sababu nuzur ya kushuka hizo aya ? Ahahahahhaah isije nikawa naongea na chekechea , Aya za Quran nyingi ni majibu ya mijadala ya wasio waislamu na waislamu , ikiwa na Lengo la kuonya na kubashiri juu ya maisha yajayo, kwahiyo tutamilingania hata kama nyinyi mna dini yenu na sisi tunadini yetu, kwani WAKRISTO wangap wameacha ukafiri na kuifata Nuru ya uislamu? Changamka mda ni mchachewee mbona mgumu kumuelewa baba kasimu [emoji350] [emoji344] wanao abudu asicho kiabudu allah wapo hadi leo au hawapo [emoji350] [emoji344]
hivi mbona nyie wanafunzi mnamzidi mwalimu wenu (Yesu) ahahahaha Yesu anasema " watu wa Kristo" wewe na genge lako mnasema "WAKRISTO". hivi wewe unajua sana kuliko Yesu? Ahahahahhaah nani alianza kumiita wewe na genge lako WAKRISTO ? badala ya " watu wa kristo" AhahahahaahahaahahaHii kukujibu kisilamu silamu NDIO unaelewa kwa uzuri [emoji38] [emoji38] YESU sij kutuita tu kwamba tu wa-KRISTO View attachment 922230 pia Tumebatizwa kwa jina Lake [emoji122] [emoji106]
Atakuletea sahani ya ugali na kichwa cha nguruwe ndiyo majibu😛😛😛hivi mbona nyie wanafunzi mnamzidi mwalimu wenu (Yesu) ahahahaha Yesu anasema " watu wa Kristo" wewe na genge lako mnasema "WAKRISTO". hivi wewe unajua sana kuliko Yesu? Ahahahahhaah nani alianza kumiita wewe na genge lako WAKRISTO ? badala ya " watu wa kristo" Ahahahahaahahaahaha
Ahahahahaahahaahaha safari hii ataisoma nambaAtakuletea sahani ya ugali na kichwa cha nguruwe ndiyo majibu😛😛😛
Yuko kanisani Ulaya , kapewa kazi huyo na wazee wa Kanisa
Anaogopa kufukuzwa kazi 😀Ahahahahaahahaahaha safari hii ataisoma namba
We umesoma Injili ipi hapo?.Umetoa kutoka injili gani mpya??
PAUL, THE JEWISH LAW AND AUTHORITY OF THE DISCIPLES .😛😛😛😛
Mbona unaleta jumla jumla maandiko, tunataka tuone andiko lipi unaandika, usitupe kazi mara mbili mkuu tuna mambo mengi , yaani namna Paulo anavyotangaza kutokewa na Yesu ni mazingaombwe tupu, hili linatosha wewe kujiuliza mara mbili mbili ahahhaahhaahahahah Ahahhahahaahaaahah
Acha uongo wewe. Unaandika uongo mpaka unakua Kero. Paulo amebatizwa na watu wanaoheshimika kabisa na kanisa. Ameshirikiana na mitume akiwemo mtume Petro(Peter). Na James ndugu wa karibu wa Yeus. Wewe unaanzaje kusema hakutambuliwa kama mtume?.
Paul was never recognized as an apostle by the Disciples OR Jesus Paul was never trained by the disciples, the men who walked, talked, and broke bread with our Jesus. He received his knowledge from "revelations." Paul's account of his Damascus Road Experience changed every time he told it, thus the disciples knew he was lying. Paul declared he was teaching another Gospel of which he himself was the Father Paul declared he himself was the son of God Paul issued his own commandments and laws for people to adhere to Paul taught the exact Opposite of what Jesus and His real disciples did. Paul worked to destroy and undo everything Jesus and His disciples did and were doing. Paul was never repentant for being the greatest persecutor of Christians at that time! He boasted about it! Over and Over! Paul said God's law was a Curse. Jesus said it was a blessing. Who's lying? Paul condemned Jesus and His disciples for false teachings, he condemned Jesus Himself for having long hair in 1 Corinthians 11:14, something approved in Numbers 6:5and Judges 13:5. Jesus Said: Keep the Sabbath (Mark 2:27), circumcise male children (Luke 2:21), Paul Said: Circumcision is not necessary (Romans 2:26) that is going against what the Christ said in Luke 2:21. In 1 Corinthians 15:1 Paul says that he was not giving them anything but what “he preached.” He explained this even further in the second book (or letter) to the Corinthians (2 Corinthians 11:17). It reads - “That which I speak, I speak it not after the Lord, but as it were foolishly, in this confidence of boasting.” He's telling you plain and simple he was speaking of himself and not from or of the Lord!" Paul cursed Jesus and His disciples Paul claimed he himself was the son of God Paul Supported and demanded Adherence to Iniquity (Discrimination), Jesus said to not let it be found among us! Who's lying?
Jesus: When Yahshua confronts the Adversary, he defeats him by saying, "You shall live by every word that proceeds from the mouth of YHWH, and Him alone will you serve."
Paul: When Paul is mobbed by people who wish to stone him for preaching against the Law of YHWH, he relies on the worldly authorities as a Roman entitled to the protection of the government rulers who save him (Dt. 8:3, Mt.4:4, Acts 22:26, 23:27
Hii nayo hukusema ukweli kama kawaida yenu Matumizi ya Taqiyah na Kitman. Ulijitetea kua mtume kaacha kuran imekamilika. Aisha anaeleza kua kuna kurasa zilitafunwa na Mbuzi wakati wa mazishi ya Mohammad.QURAN iko wazi mdogo wangu , imekamilika chochote ambacho hakipo katika QURAN hicho ni batili sawasawa, kuhusu kunyonya hiyo ni hekima kwa WATOTO ambao mama zao wametangulia mbele ya haki , au mama zao wanauhaba wa maziwa ,wewe unaleta mchezo ahahhaahhaahahahah
Acha uongo wewe. Unaandika uongo mpaka unakua Kero. Paulo amebatizwa na watu wanaoheshimika kabisa na kanisa. Ameshirikiana na mitume akiwemo mtume Petro(Peter). Na James ndugu wa karibu wa Yeus. Wewe unaanzaje kusema hakutambuliwa kama mtume?.
Paulo alikua Myahudi aliyezaliwa Rumi. Siku nyingine soma historia yake. Sio unadandia vitabu vya konspirasi. Inaonyesha unasoma historia yako isiyojulikana ya akina Davinci na Moonalisa na padre aliyeasi Barnabasi kisha una legitimize kilakitu.
Mbona sisi tunasoma stori za mtume kutokewa na pepo pangoni. Akaja kuambiwa na khadija aseme katokewa na Malaika?. Yaani yeye Mohammadi aone pepo. Lakini aambiwe na asiyekuwepo eneo hilo kua huyo ni Malaika. Kisha nanyi umma mnaamini?????!.
Pamoja na mwanamke kufahamika kua anadharaulika katika Uislamu na kuhesabika kua dhaifu wa imani na mwili . lakini ndiye anatumika kumshawishi mume wake aseme ametokewa na malaika.
Lazima imani yako itakua hatarini. Mwanamke ndiye aliyemshawishi Adam akala tunda. Na leo mwanamke ndiye anayemshawishi mohammad aseme katokewa na Malaika.
Jiulize Mohammad alipewa utume na nani?. Najua huna la kujibu. We kaa kimya.
Hii nayo hukusema ukweli kama kawaida yenu Matumizi ya Taqiyah na Kitman. Ulijitetea kua mtume kaacha kuran imekamilika. Aisha anaeleza kua kuna kurasa zilitafunwa na Mbuzi wakati wa mazishi ya Mohammad.
Tunaona pia ujio wa Othman anavyotumia NGUVU hata kupuuza waandishi walioaminiwa sana na Mohammad.
Tunaona pia wandishi wa 4 wa Kurani walioaminika zaidi na Mohammad wakitofautiana kuhusu Kurani sahihi.
Leo kila mwanazuoni anaeleza jinsi mpangilio wa kitabu unavyoleta shida kwa usomaji
ukamilifu wa Quran unajieleza wenyewe wala hauitaji mimi kujieleza, kabla mtume ajafa Quran ilikuwa imekamilika , hicho alichotafuna mbuzi kama hakipo katika QURAN basi hakikupaswa kuwepo . Biblia inajieleza wazi kuwa haijakamilika haiitaji wewe uielezee , mbona hili liko waziHii nayo hukusema ukweli kama kawaida yenu Matumizi ya Taqiyah na Kitman. Ulijitetea kua mtume kaacha kuran imekamilika. Aisha anaeleza kua kuna kurasa zilitafunwa na Mbuzi wakati wa mazishi ya Mohammad.
Tunaona pia ujio wa Othman anavyotumia NGUVU hata kupuuza waandishi walioaminiwa sana na Mohammad.
Tunaona pia wandishi wa 4 wa Kurani walioaminika zaidi na Mohammad wakitofautiana kuhusu Kurani sahihi.
Leo kila mwanazuoni anaeleza jinsi mpangilio wa kitabu unavyoleta shida kwa usomaji