Ata Ibrahim alipoenda kaanan alikwenda kama mgeni , alikuta wenyeji pale tena mpaka maeneo ya kuzikia walikuwa wananunua vip useme nchi yao? ndio maana hata ilipofika njaa waliondoka kwenda misri kwa sababu sio nchi yao hawana uchungu ,lakini wenye nchi yao walibaki pale kwa sababu ndio kwao hata kama njaa itawaua wote.
sasa Misri maisha yamekuwa magumu wanakuja kwenye nchi ya watu KUDHULUMU kwa AMRI hii kutoka kwa MUNGU wenu kukatilia mbali wenyeji
KUTOKA 23:23
";Kwa kuwa malaika wangu atatangulia mbele yako, na kukufikisha kwenye Mwamori, na Mhiti, na Mperizi, na mkaanani, na mhivi, na Myebusi; nami nitawakatilia mbali";.
Ahahahahaahahaahaha unatuletea habari za msamaria huko mbeleni kabisa washaua sana wenyeji Ahahahhahahahaahjhhahaja hili ndio shina la Israel kuua wenyeji Ahahahhahahahaahjhhahaja

Hii Imekua ni One sided story in most cases. Kulikua na miungu mingi ikiwemo miungu ya Mabaali, Maashtorethi, miungu ya Shamu, na miungu ya Sidoni, na miungu ya Moabu, na miungu ya wana wa Amoni, na miungu ya Wafilisti; (Judges 10:6).
Utaona mfano pia Zama za akina Samsoni ambapo wafilisti walipofanikiwa kumtoboa macho walimleta mbele ya jukwa ili kuitolea sadaka miungu yao. Kwa kuweza kumtia adui yao mikononi. Wao waliona ni ushindi wa Miungu yao.
Pia wakati wa Nebuchadnezar wakina Meshak, Shadrak na Abednego walilazimishwa kusujudia miungu ya wakaldayo. Nabii Daniel alijikuta yumo ndani ya zizi la Simba.
Mifano ipo Mingi pia, hata wakati wa Goliath na Daudi. Goliath alikua akiwatukana na kumtukania Mungu wa Israeli.
Na pia Miungu hii iliaminika kusaidia mambo mengi kwenye hizi jamii, ikiwemo Vita dhidi ya Maadui nk
Na hawa pia kwa wakati fulani waliweza kuwadhulumu na kuwaangamiza wana wa Israeli.
Kwa muktadha huo, kulikua na Vacuum imeacha wazi kuhusu Mungu yupi ni sahihi kuabudiwa kwa ukuu na Nguvu.
Kati ya Mungu Baali, Mungu wa Fedha, Mungu wa Abrahamu Isaka na Jacobo, nk..
Kutokana na haya unaweza kuona mwenyewe Waisraeli sio kwamba wamedhulumu bali mataifa yalikua napigana kama hii leo.
Hatahivyo Miungu hii ya wapagani ilikua na Roho za kishetani ndani yake, ili kuzuia Kusudi la Mungu kwa wanadamu.
Hao wakina Moses na successors wake walishakua enlighted, hivyo walitumia vipawa vyao kumdhihiriaha Mungu kwa wana wa Israeli( Luka 20:37) japo haikua Jambo rahisi.
Moses mwana wa Mwanamke mwebrania aliyekulia kwenye ukoo wa kifalme wa kiutawala wa Egypt, alikua pia Mwana siasa na kiongozi wa kidini. Alikua amebeba kusudi la Mungu, Alivaa kofia zote mbili wakati wote wa maisha yake.
Na kupitia hii Cognitive dissonance mwishowe. Mataifa yote yanakuja Kujibarikia, kupitia ujio wa Yesu Kristo.
Mtume Paulo ni mfano rahisi kupitia imani yake ya kiyahudi. Akawa anawasaka wakristo na kuwaua popote anapowaona. Ndiyo Image alikua amejijengea kuhusu Mungu.
Lakini sasa tunatambua, Mungu anawapenda wanadamu. Ameweka Moto wa Jehanum kwa Shetani na Malaika zake na majini yote. Wako watu wanatenda maovu wakiamini wanamtukuza Mungu.
Yesu Kristo, Nabii Yohane Mbatizaji, na manabii wengine wengi. Hawa waliuwawa kwa nia njema kabisa. Lakini haikua Kusudi la Mungu.