Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Ahahahahaahahaahaha kumbe alibabaishiwa mtu mwengine , kwa sababu ni upumbavu mtupu ndio maana akabambikiwa mtu mwengine ahahahhahaahaaa
Hii singo ulio post haikunusuru na unafikii+ukafiri [emoji12] [emoji15] unajipa wepesi zaidi ktk safari yako ya ....jehennam halidina fiha abadan [emoji106] tutubwi hutoki humo [emoji53]
 
Hii singo ulio post haikunusuru na unafikii+ukafiri [emoji12] [emoji15] unajipa wepesi zaidi ktk safari yako ya ....jehennam halidina fiha abadan [emoji106] tutubwi hutoki humo [emoji53]
Ahahahahaahahaahaha endelea kumfanya Mungu kikaragosi ahahahhahaahaaa kweli kabisa Mungu ni wakupigwa makofi na wapuuzi wa kiyahudi , hii inaitaji uvute bange ahahaahahhahah
 

Kadoro ninavyoongea ninajitahidi sana nisirudie rudie..

Shetani naye alimwambia Yesu Imeandikwa.
Cheki huu mfano hapa..
"akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu jitupe chini; kwa maana imeandikwa, Atakuagizia malaika zake; Na mikononi mwao watakuchukua; Usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe " (Mathayo 4:6).

Kwahiyo swala sio ilivyoandikwa.

Pamoja na Quran kudai kua Mungu kashusha Injeel, Taurat na zabur kwa wakristo. Lakini bado Bibilia sio Quran.
Mungu hajawadhulumu, Mungu aliwapa ardhi ile wana wa Israeli. Nilishakueleza Yesu ndiye anayemjua Mungu zaidi. Taurat iliandikwa lakini Yesu ndio Utimulifu wa hiyo unayoiita Taurati.
Yesu ameshaweka mstari unaotenganisha kati ya Mungu na Shetani. Kazi yako wewe kuangalia matunda yake kadiri Mungu alivyokujalia na dhamiri ikikushuhudia.maana ndiyo itakayokuhukumu.
Imani yenye Shetani anamswalia Mungu kamwe haitokani na Mungu. Hiyo ni occult worshiping.
 
Mzee kwani wewe dhuluma unaelewaje ? Huo mfano wa shetani hautengui hilo andiko kisichotakiwa ni kutomjaribu Bwana Mungu wako.

Ibrahim katoka alikozaliwa kaja nchi ya watu , kakuta watu wanamaisha yao , na bahati nzuri mpaka ibrahim anakufa na isaka anakufa hadi yakobo anakufa
HAKUNA aliewai kutamka kwa mtu yeyote. asiye ndugu yao kuwa Ile Nchi ni yao waachiwe, kwa sababu wanajua madhala ya KUDHULUMU , kitu kaanzisha mwenzako unasemaje ? Ahahahahhaah ndio maana Mungu akawaambia maneno haya kwa sababu anajua kwa njia ya amani hakuna ambaye anakubali kumpa STRANGER nchi yake
KUTOKA 23:23
";Kwa kuwa malaika wangu atatangulia , mbele yako,na kukufikisha kwenye Mwamori, na Mhiti, na Mperizi, na Mkaanani, na mhivi, na Myebusi, nami NITAWAKATILIA mbali";

Ahahahahaahahaahaha hata majina ya nchi hii yanakusuta bila aibu , kuwa ndio wenye nchi ahahahaah njia hapo ni kuwakatilia mbali huu tunaita UBABE wa kupora mali za watu Ahahahahaahahaahaha
 
Unajua kuwa mjinga ni afadhali kuwa mpumbavu!!
unaulizwa swali toa majibu siyo kuja na mbwembwe za kibwege bwege hapa. Hujui kitu kaa kimya wacha wajuzi waseme.
Kisa ungekijua usinge kopi hivyo vi mistari vyako viwili. Stupid idiot!
 
Unajua kuwa mjinga ni afadhali kuwa mpumbavu!!
unaulizwa swali toa majibu siyo kuja na mbwembwe za kibwege bwege hapa. Hujui kitu kaa kimya wacha wajuzi waseme.
Kisa ungekijua usinge kopi hivyo vi mistari vyako viwili. Stupid idiot!

Ndiyo mafundisho ya unayemwabudu hayo Shoga Cesare Borgia?? Nondo zimekuchoma ndipo , tulia uchomwe zaidi Kisoda wahed
 
Umewahi kujiuliza kwanini Yesu alipokuja pamoja na wanafunzi wake kumchombeza hakuanzisha harakati za kuikomboa Israeli chini ya greece na Roman empire?.
 
Ndiyo mafundisho ya unayemwabudu hayo Shoga Cesare Borgia?? Nondo zimekuchoma ndipo , tulia uchomwe zaidi Kisoda wahed
Mimi simuabudu Cesare. Namuabudu Mungu aliye hai, Jesus Christ! Kiboko yenu Abduls wote including your Allah!!
Ndugu zenu wa KIJINN wakilisikia jina tu chali.
Luka 4:31-40(Unaweza soma kuanzia 4:16 kuendelea)

31 Kisha akaenda Kapernaumu, mji ulioko wilaya ya Galilaya, na siku ya sabato akawafundisha watu katika sinagogi. 32 Walis taajabishwa na mafundisho yake, maana maneno yake yalikuwa na mamlaka.33 Alikuwepo mtu mmoja katika sinagogi aliyekuwa ame pagawa na pepo mchafu, naye alianza kupiga kelele kwa nguvu akisema, 34 “Unataka kutufanya nini, Wewe Yesu wa Nazareti? Ume kuja kutuangamiza? Nakufahamu wewe ni nani. Wewe ni Mtakatifu wa Mungu.” 35 Yesu akamwamuru yule pepo: “Nyamaza! Mtoke!” Yule pepo akamwangusha chini yule mtu mbele yao, akamtoka pasipo kumd huru. 36 Watu wote wakashangaa wakaambiana, “Mafundisho ya mtu huyu ni ya ajabu. Anawaamuru pepo wachafu kwa mamlaka na nguvu, nao wanatoka!37 Habari zake zikaenea pote katika mkoa ule.

Yesu Awaponya Wengi
38 Alipotoka katika sinagogi Yesu alikwenda nyumbani kwa Simoni na alipofika huko alimkuta mama mkwe wa Simoni ana homa kali. Wakamwomba sana amponye. 39 Basi Yesu akasimama kando ya kitanda chake akaiamuru ile homa imtoke. Homa ikamtoka yule mama. Akaamka mara moja akaanza kuwahudumia. 40 Jua lilipokuwa likichwa, wote waliokuwa na wagonjwa wenye maradhi mbalimbali waliwaleta kwa Yesu. Akamgusa kila mgonjwa, akawaponya wote.

sasa ulitaka nimuabudu huyu kibudu mwenzako mpenda ngono na mwenye kupagawa na pepo?
Alishindwa mtibu kipofu na mwisho alimfukuza kama takataka.
 
Unajua kuwa mjinga ni afadhali kuwa mpumbavu!!
unaulizwa swali toa majibu siyo kuja na mbwembwe za kibwege bwege hapa. Hujui kitu kaa kimya wacha wajuzi waseme.
Kisa ungekijua usinge kopi hivyo vi mistari vyako viwili. Stupid idiot!
Ahahahahaahahaahaha wewe bwege ahahahhahaahaaa Ibrahim anasema SARA ni dada yake binti wa baba yake wewe unakataa? Ahahahahhaah umekuwa kilaza mpaka unakera Ahahahhahahahaahjhhahaja
 
Umewahi kujiuliza kwanini Yesu alipokuja pamoja na wanafunzi wake kumchombeza hakuanzisha harakati za kuikomboa Israeli chini ya greece na Roman empire?.
Kwa sababu BOSS wake aliyemtuma hakutaka hivyo , mbona hili liko wazi hata Yesu alisema analolisema sio lake ila ni lake Baba aliyempeleka , Ahahahaahaha ndugu Dhuluma ya kuwafyeka Waamori na wakaanani hii itabaki daima na biblia imeandika hili kwa uwazi kabisa , kwa kweli hata hao unaowaambia sijui unawadanganyaje jambo la wazi hili ahahhahaha
 
Maelezo na Uchambuzi wako hauna tofauti na mleta UZI.
Swali hapa ni je Kweli JUA lina zama kwenye matope? Kama sivyo nani amekosea kwenye taarifa hiyo?
Kwanini hazifutwi hizi taarifa kwenye vitabu vya KISLAM takribani miaka 1400 imepita na bado taarifa hizi zipo?

Kwa ushahidi wa Hadith hizi ndipo tunazidi kuchangnyikiwa ni wapi hasa Jua lina zama.
na anayesimulia hapa ni mtu mkubwa sana ujue(kwa waislam siyo kwangu)

Sunan Abi Dawud » Dialects and Readings of the Qur'an (Kitab Al-Huruf Wa Al-Qira'at)

Narrated Abu Dharr:
I was sitting behind the Messenger of Allah (saws) who was riding a donkey while the sun was setting. He asked: Do you know where this sets ? I replied: Allah and hisApostle know best. He said: It sets in a spring of warm water (Hamiyah).

حَدَّثَنَا عُثْمَانُ بْنُ أَبِي شَيْبَةَ، وَعُبَيْدُ اللَّهِ بْنُ عُمَرَ بْنِ مَيْسَرَةَ، - الْمَعْنَى - قَالاَ حَدَّثَنَا يَزِيدُ بْنُ هَارُونَ، عَنْ سُفْيَانَ بْنِ حُسَيْنٍ، عَنِ الْحَكَمِ بْنِ عُتَيْبَةَ، عَنْ إِبْرَاهِيمَ التَّيْمِيِّ، عَنْ أَبِيهِ، عَنْ أَبِي ذَرٍّ، قَالَ كُنْتُ رَدِيفَ رَسُولِ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم وَهُوَ عَلَى حِمَارٍ وَالشَّمْسُ عِنْدَ غُرُوبِهَا فَقَالَ ‏"‏ هَلْ تَدْرِي أَيْنَ تَغْرُبُ هَذِهِ ‏"‏ ‏.‏ قُلْتُ اللَّهُ وَرَسُولُهُ أَعْلَمُ ‏.‏ قَالَ ‏"‏ فَإِنَّهَا تَغْرُبُ فِي عَيْنِ حَامِيَةٍ ‏"‏ ‏.‏

Sahih al-Bukhari » ONENESS, UNIQUENESS OF ALLAH (TAWHEED)

Narrated Abu Dharr:
I asked the Prophet regarding the Verse:--'And the sun runs on its fixed course for a term decreed for it.' (36.28) He said, "Its fixed course is underneath Allah's Throne."

حَدَّثَنَا عَيَّاشُ بْنُ الْوَلِيدِ، حَدَّثَنَا وَكِيعٌ، عَنِ الأَعْمَشِ، عَنْ إِبْرَاهِيمَ التَّيْمِيِّ، عَنْ أَبِيهِ، عَنْ أَبِي ذَرٍّ، قَالَ سَأَلْتُ النَّبِيَّ صلى الله عليه وسلم عَنْ قَوْلِهِ ‏{‏وَالشَّمْسُ تَجْرِي لِمُسْتَقَرٍّ لَهَا‏}‏ قَالَ ‏"‏ مُسْتَقَرُّهَا تَحْتَ الْعَرْشِ ‏"‏‏.‏



Jami` at-Tirmidhi » Chapters On Al-Fitan

Abu Dharr said:
"I entered the Masjid at sunset, and the Prophet(s.a.w) was sitting. He said: 'O Abu Dharr! Do you know where this(sun) goes?' I said:'Allah and His Messenger knowbetter.' He said: 'Indeed it goes to seek permission to prostrate, so it is permitted. And it is as if it has been said to it: "Rise from whence you came." So it shall rise from its setting place.' Then he recited: 'That is its fixed course."' He said: "That is the recitation of 'Abdulla bim Mas'ud."

حَدَّثَنَا هَنَّادٌ، حَدَّثَنَا أَبُو مُعَاوِيَةَ، عَنِ الأَعْمَشِ، عَنْ إِبْرَاهِيمَ التَّيْمِيِّ، عَنْ أَبِيهِ، عَنْ أَبِي ذَرٍّ، قَالَ دَخَلْتُ الْمَسْجِدَ حِينَ غَابَتِ الشَّمْسُ وَالنَّبِيُّ صلى الله عليه وسلم جَالِسٌ فَقَالَ ‏"‏ يَا أَبَا ذَرٍّ أَتَدْرِي أَيْنَ تَذْهَبُ هَذِهِ ‏"‏ ‏.‏ قَالَ قُلْتُ اللَّهُ وَرَسُولُهُ أَعْلَمُ ‏.‏ قَالَ ‏"‏ فَإِنَّهَا تَذْهَبُ تَسْتَأْذِنُ فِي السُّجُودِ فَيُؤْذَنُ لَهَا وَكَأَنَّهَا قَدْ قِيلَ لَهَا اطْلُعِي مِنْ حَيْثُ جِئْتِ فَتَطْلُعُ مِنْ مَغْرِبِهَا ‏"‏ ‏.‏ قَالَ ثُمَّ قَرَأَ ‏"‏ وَذَلِكَ مُسْتَقَرٌ لَهَا ‏"‏ ‏.‏ قَالَ وَذَلِكَ قِرَاءَةُ عَبْدِ اللَّهِ بْنِ مَسْعُودٍ ‏.‏ قَالَ أَبُو عِيسَى وَفِي الْبَابِ عَنْ صَفْوَانَ بْنِ عَسَّالٍ وَحُذَيْفَةَ بْنِ أَسِيدٍ وَأَنَسٍ وَأَبِي مُوسَى ‏.‏ وَهَذَا حَدِيثٌ حَسَنٌ صَحِيحٌ ‏.‏


Sahih al-Bukhari » Prophetic Commentary on the Qur'an (Tafseer of the Prophet (pbuh))

Narrated Abu Dharr:
Once I was with the Prophet in the mosque at the time of sunset. The Prophet said, "O Abu Dharr! Do you know where the sun sets?" I replied, "Allah and His Apostle know best." He said, "It goes and prostrates underneath (Allah's) Throne; and that is Allah's Statement:-- 'And the sun runs on its fixed course for a term (decreed). And that is the decree of All-Mighty, the All-Knowing....' (36.38)

حَدَّثَنَا أَبُو نُعَيْمٍ، حَدَّثَنَا الأَعْمَشُ، عَنْ إِبْرَاهِيمَ التَّيْمِيِّ، عَنْ أَبِيهِ، عَنْ أَبِي ذَرٍّ ـ رضى الله عنه ـ قَالَ كُنْتُ مَعَ النَّبِيِّ صلى الله عليه وسلم فِي الْمَسْجِدِ عِنْدَ غُرُوبِ الشَّمْسِ فَقَالَ ‏"‏ يَا أَبَا ذَرٍّ أَتَدْرِي أَيْنَ تَغْرُبُ الشَّمْسُ ‏"‏‏.‏ قُلْتُ اللَّهُ وَرَسُولُهُ أَعْلَمُ‏.‏ قَالَ ‏"‏ فَإِنَّهَا تَذْهَبُ حَتَّى تَسْجُدَ تَحْتَ الْعَرْشِ، فَذَلِكَ قَوْلُهُ تَعَالَى ‏{‏وَالشَّمْسُ تَجْرِي لِمُسْتَقَرٍّ لَهَا ذَلِكَ تَقْدِيرُ الْعَزِيزِ الْعَلِيمِ‏}‏‏"‏



Sahih al-Bukhari » Prophetic Commentary on the Qur'an (Tafseer of the Prophet (pbuh))

Narrated Abu Dharr:
I asked the Prophet about the Statement of Allah:-- 'And the sun runs on fixed course for a term (decreed), ' (36.38) He said, "Its course is underneath "Allah's Throne." (Prostration of Sun trees, stars. mentioned in Qur'an and Hadith does not mean like our prostration but it means that these objects are obedient to their Creator (Allah) and they obey for what they have been created for).

حَدَّثَنَا الْحُمَيْدِيُّ، حَدَّثَنَا وَكِيعٌ، حَدَّثَنَا الأَعْمَشُ، عَنْ إِبْرَاهِيمَ التَّيْمِيِّ، عَنْ أَبِيهِ، عَنْ أَبِي ذَرٍّ، قَالَ سَأَلْتُ النَّبِيَّ صلى الله عليه وسلم عَنْ قَوْلِهِ تَعَالَى ‏{‏وَالشَّمْسُ تَجْرِي لِمُسْتَقَرٍّ لَهَا‏}‏ قَالَ ‏"‏ مُسْتَقَرُّهَا تَحْتَ الْعَرْشِ ‏"‏‏.‏

So which is which according to the above compared to world science explanation about SUN SET?
 
Nadhani hujaelewa nilichoelezea mimi.
Naomba usome tena au kwa kukuelezea maana ya post yangu ni kua pale yule anaeongelewa alipogika(yani alifika wakati wa jua kuzama) ilikua ni mji ambao unamazingira ya matope/ziwa/chemchem na sio kkwamba jua liliingia ndani ya matope la!

Kinachomaanishwa ni kua mahali alipofika palikua na mazingira hayo na jua ndio lilkua linazama kwa wakati huo..

Na kisha baada ya kufanya aliyoyafanya sehemu ile akaendelea na safari yake mpaka wakati jua linachomoza alikua ameshafika katika mji mwingine ambao nao mazingira yake yameelezea.

Kisha hata hapo pia hakukaa sana akaendelea na safari yake hadi akafika katika mji mwingine ambao huo ulielezewa kwa kuzungukwa na milima(ulikua katikati ya milima miwili)

Kwa hio hapo hajaongelea sayansi au elimu ya jua bali kaelezea tu kua wakati anafika hapo ndio ulikua muda wa jua kuzama na mazingira ya eneo lile(view of the sunset and its sorroundings) ndio ilikua na hali ya matope/unyevu unyevu/mazingira ya ziwa.

Nadhani kwa hapa umenielewa.
 
Ahahahahaahahaahaha endelea kumfanya Mungu kikaragosi ahahahhahaahaaa kweli kabisa Mungu ni wakupigwa makofi na wapuuzi wa kiyahudi , hii inaitaji uvute bange ahahaahahhahah
Nakubaliana na wewe kwamba YESU ktk Hali yake ya UUNGU KAMILI Thubutu huwezi hata kumkaribia hata kumgusa [emoji106]
 
Nakubaliana na wewe kwamba YESU ktk Hali yake ya UUNGU KAMILI Thubutu huwezi hata kumkaribia hata kumgusa [emoji106]
Ahahahahaahahaahaha huyu kweli hamnazo kwahiyo unakubali kuwa Mungu wako alipigwa makofi? Ahahahahhaah ahahaahahhahah imani hizi mtihani kweli kweli
 
Kwanini zifutwe ? wakati elimu ya kujua hadithi ni sahihi au dhaifu ipo, tunachoangalia kwanza ni QURAN ndio maneno ya Mungu moja kwa moja, hadithi yeyote ambaye itapingana na Quran hiyo itakuwa ni DHAIFU hili nilishakwambia sana , nyie kama mmeifuta injili ya barnaba hayo ni matatizo yenu aahhhahhahhhhhha
 

Wacha umbea kusoma barua ya Theophilus. Wewe inakuhusu nini , kisoda wahed.
 
Nakubaliana na wewe kwamba YESU ktk Hali yake ya UUNGU KAMILI Thubutu huwezi hata kumkaribia hata kumgusa [emoji106]
Ndiyo mafundisho ya unayemwabudu Shoga Cesare Borgia ??
 

wewe ni yahudi wa iringa au singida ???

mbona unakimbia kufanya mkate mtakatifu ???

Wakristo mnadai kwamba Yesu alikuwa Mungu kama ulivyomnukuu katika Yohana 1:1 “Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu”.

Hayo ni maneno ya Yohana na si maneno ya Yesu,

vile vile, neno la kwanza la Kigiriki kwa ajili ya Mungu ni “HOTHEOS” ambalo linamaanisha “Mungu” likiwa na M kubwa, wakati neno la pili la Kigiriki kwa ajili ya Mungu ni “TONTHEOS” ambalo linamaanisha “mungu” likiwa na “m” ndogo.

Je, huko si kukosa uaminifu kwa wale waliotafsiri Biblia ya Kigiriki?

Je, nukuu hiyo ya Yohana 1:1 iliyotambuliwa na kila mwanazuoni wa Kikristo aliyeisoma Biblia kwamba imeandikwa na Myahudi aitwae Philo Alexandria kabla ya Yesu na Yohana?

Je, neno “god” au “TONTHEOS” pia halikutumika kuashiria wengine kama ilivyo katika Wakorinto 2 4:4 (Na Shetani ndie) mungu wa ulimwengu huu na katika Kutoka 7:1 “Angalia, nimekufanya wewe kuwa kama Mungu kwa Farao; ?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…