mosabiy
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 2,521
- 1,927
Kwani wewe baada ya kukataa vilivyoandikwa kwenye Bible au Qu'ran unaishije?Vitu kuandikwa au kutoandikwa na wengine si hoja.
Hija ni mantiki, logical consistency, verification etc.
Hata wewe umeandika kwa alphabet iliyoandikwa na wengine.
Kama hutaki vilivyoandikea na wengine tunga alphabet yako, tengenrza intwrnet yako, tengenrza conputers na simu zako etc.
Tuone mtu asiyekubali vilivyoandikwa na wengine anaishije
Hoja kuu ni kwamba kuna vitabu umetoa kama reference watu wasome na kwa yakini yako kuwa yaliyoandikwa humo ni ya kweli. Then at your own pace yathibitishe. Usipinge uongo wa watu kwa kutumia uongo wa watu wengine.