Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Sijakulazimisha uache kujichekesha una uhuru wako na mie nina uhuru wangu pia wa kutoa maoni na sijavunja sheria za Jf pia.
alaaaa kumbe walijua hilo",- na wajua kuwa hatushabihiani kihisia" .. vizuri sana" waweza kuendelea na mambo yako" then u Kaniachia uhuru ",wakufurahia uwepo wa hisia zangu" hahaaaa ".. unataka kila mtu awe kama wewe ili iweje sasa"..??
 
Mkuu hilo ni kweli kabisa, BWANA MUNGU ndiye MUNGU WA KWELI na Allah ni uongo tu. Soma mafundisho ya Quaran na BIBLIA utaona tofauti kati ya BWANA MUNGU na Allah; na hapo utajua nani MKWELI na nani MUONGO.
Dah nawaonea sana huruma wakristo wa hivi nawaitaga walishwa sumu...kama ungekuwa una elimu kidogo ya Lugha ya kiarabu na Aramec lugha alikuwa anazungumza Yesu usiongea huo upupu..!..yesu alihubiria watu na kila alipotamka jina Mungu kwa kiebrania alisema Ellah ambayo kiarabu ni Allah, na msalaban maandiko ya yalioandikwa kwa lugha aliyokuwa anaizunguza Yesu alisisema Elloi Elloi maana yake Mungu wangu na kiarabu inatamkws Allahu Allahu maana yake Mungu wangu...

Wakristo somen sana nyie ndio mnasombua huki ndani sababu hamna elimu ya din yenu na pili mmefundishwa uislam ambao lengo la waliowafundisha muuchukie kwanza so wamewawekea makando mengi sababu wanajua nyie huwa mnaamin blindy hata kuhoji hamuhoji.. Yesu kasema ukiutafuta ukweli na ukweli utakutafuta Muhammad angekuwa amekuja na din au kumpinga Yesu asingemtukuza kwenye Quran yeye au mama yake ila wale wanaiwalisha sumu wameshawambia aliezungumzwa kwenye Qran na Yesu ni watu wawili tofauti na na wakati ukichunguza mandiko hata Yesu anaefundishwa makanisan sio aliezungumziwa kwenye buble tafuten elimu kuliko kutaka kubishana hakna kombe la ubishi juu ya Mungu tunaish mara tunapokuja kwenda ni hukumu so nafasi unayoipata hii unatakiwa kuhoji kliko kendelea kujiingizia ujinga kwa kuendekea kusambwza vitu ambavyo unadhan una elimu navyo iumbw ulidanganywa...wote hapa hatuwepo kipindi hicho vitabu ndio ushahid uliobakia..penden kuhoji kuliko kutafuta usahihi haswa ukizangatia din zenyewe tumerith kwa wazazi hukupewa nafas ya kuchagua umekuja kupata akli tayari umeshalishwa sumu...ikishakukuta hivyo na ushakuwa mtu mzima ni jukumu laoo kutafuta ili uchague unabaki kwenye iman yako au unatq ukweli kuliko kutaka kujisafisha kuwa upo right kwa kusambaza vitu unavyodhan ni mapungufu ya din nyingine ambavyo navyo hujajifunza mwenyewe umepewa mafundisho kanisan au na wenzio wenye mtazamo mmoja na wew unakuja kukashufu watu humu
 
Tukisoma kitabu cha enoch ( book of enoch) anajaribu kusema
.

X.
Here they showed Enoch the terrible place and various tortures.

AND those two men led me upon to the Northern side, and showed me there a very terrible place, and there were all manner of tortures in that place: cruel darkness and unillumined gloom, and there is no light there, but murky fire constantly flameth aloft, and there is a fiery river coming forth, and that whole place is everywhere fire, and everywhere there is frost and ice, thirst and shivering, while the bonds are very cruel, and the angels fearful and merciless, bearing angry weapons, merciless torture, and I said:

2 'Woe, woe, how very terrible is this place.'

3 And those men said to me: This place, O Enoch, is prepared for those who dishonour God, who on earth practise sin against nature, which is child-corruption after the sodomitic fashion, magic-making, enchantments and devilish witchcrafts, and who boast of their wicked deeds, stealing, lies, calumnies, envy, rancour, fornication, murder, and who, accursed, steal the souls of men, who, seeing the poor take away their goods and themselves wax rich, injuring them for other men's goods; who being able to satisfy the empty, made the hungering to die; being able to clothe, stripped the naked; and who knew not their creator, and bowed down to soulless (sc. lifeless) Gods, who cannot see nor hear, vain gods, who also built hewn images and bow down to unclean handiwork, for all these is prepared this place amongst these, for eternal inheritance.

XI.
Here they took Enoch up on to the fourth heaven where is the course of sun and moon.

THOSE men took me, and led me up on to the fourth heaven, and showed me all the successive goings, and all the rays of the light of sun and moon.

2 And I measured their goings and compared their light, and saw that the sun's light is greater than the moon's.

3 Its circle and the wheels on which it goes always, like a wind going past with very marvellous

p. 85

speed, and day and night it has no rest. 1

4 Its passage and return are accompanied by four great stars, and each star has under it a thousand stars, to the right of the sun's wheel, and by four to the left, each having under it a thousand stars, altogether eight thousand, issuing with the sun continually.

5 And by day fifteen myriads of angels attend it, and by night a thousand.

6 And six-winged ones issue with the angels before the sun's wheel into the fiery flames, and a hundred angels kindle the sun and set it alight.

Footnotes
85:1 Cf. "Rapid Transit."

XII.
Of the very marvellous elements of the sun.

AND I looked and saw other flying elements of the sun, whose names are Phoenixes and Chalkydri, marvellous and wonderful, with feet and tails in the form of a lion, and a crocodile's head, their appearance is empurpled, like the rainbow; their size is nine hundred measures, their wings are like those of angels, each has twelve, and they attend and accompany the sun, bearing heat and dew, as it is ordered them from God.

2 Thus the sun revolves and goes, and rises under the heaven, and its course goes under the earth with the light of its rays incessantly.

XIII.
The angels took Enoch and placed him in the east at the sun's gates.

THOSE men bore me away to the east, and placed me at the sun's gates, where the sun goes forth according to the regulation of the seasons and the circuit of the months of the whole year, and the number of the hours day and night,

2 And I saw six gates open, each gate having sixty-one stadia and a quarter of one stadium, and I measured them truly, and understood their size to be so much, through which the sun goes forth, and goes to the west, and is made even, and rises throughout all the months, and turns back again from the six gates according to the succession of the seasons; thus the period of the whole year is finished after the returns of the four seasons,

XIV.
They took Enoch to the West.

A ND again those men led me away to the western parts, and showed me six great gates open corresponding to the Eastern gates, opposite to where the sun sets, according to the number of the days three hundred and sixty-five and a quarter.

2 Thus again it goes down to the western gates, and draws away its light, the greatness of its brightness, under the earth; for since the crown of its shining is in heaven with the Lord, and guarded [by four hundred angels, while the sun goes round on wheel under the earth, and stands seven great hours in night, and spends half its course under the earth, when it comes to the eastern approach in the eighth hour of the night, it brings its lights, and the crown of shining, and the sun flames forth more than fire.

XV.
The elements of the sun, the Phoenixes and Chalkydri broke into song.

THEN the elements of the sun, called Phoenixes and Chalkydri break into song, there

p. 86

fore every bird flutters with its wings, rejoicing at the giver of light, and they broke into song at the command of the Lord.

2 The giver of light comes to give brightness to the whole world, and the morning guard takes shape, which is the rays of the sun, and the sun of the earth goes out, and receives its brightness to light up the whole face of the earth, and they showed me this calculation of the sun's going.

3 And the gates which it enters, these are the great gates of the computation of the hours of the year; for this reason the sun is a great creation, whose circuit lasts twenty-eight years, and begins again from the beginning.

XVI.
They took Enoch and again placed him in the east at the course of the moon.

THOSE men showed me the other course, that of the moon, twelve great gates, crowned from west to east, by which the moon goes in and out of the customary times.

2 It goes in at the first gate to the western places of the sun, by the first gates with thirty-one days exactly, by the second gates with thirty-one days exactly, by the third with thirty days exactly, by the fourth with thirty days exactly, by the fifth with thirty-one days exactly, by the sixth with thirty-one days exactly, by the seventh with thirty days exactly, by the eighth with thirty-one days perfectly, by the ninth with thirty-one days exactly, by the tenth with thirty days perfectly, by the eleventh with thirty-one days exactly, by the twelfth with twenty-eight days exactly.

3 And it goes through the western gates in the order and number of the eastern, and accomplishes the three hundred and sixty-five and a quarter days of the solar year, while the lunar year has three hundred and fifty-four, and there are wanting to it twelve days of the solar circle, which are the lunar epacts of the whole year.

4 [Thus, too, the great circle contains five hundred and thirty-two years.]

5 The quarter of a day is omitted for three years, the fourth fulfils it exactly.

6 Therefore they are taken outside of heaven for three years and are not added to the number of days, because they change the time of the years to two new months towards completion, to two others towards diminution.

7 And when the western gates are finished, it returns and goes to the eastern to the lights, and goes thus day and night about the heavenly circles, lower than all circles, swifter than the heavenly winds, and spirits and elements and angels flying; each angel has six wings.

Nadhani maelezo hayo yanajitosheleza sana. Kuhusu maswali yako na ukweli unaotaka kujua ukiachana na uyo mtume mohammad..

Na ikumbukwe kuwa The word of the blessing of Enoch, how he blessed the elect and the righteous, who were to exist in the time of trouble; rejecting all the wicked and ungodly. Enoch, a righteous man, who was (1) with God, answered and spoke, while his eyes were open, and while he saw a holy vision in the heavens.
 
alaaaa kumbe walijua hilo",- na wajua kuwa hatushabihiani kihisia" .. vizuri sana" waweza kuendelea na mambo yako" then u Kaniachia uhuru ",wakufurahia uwepo wa hisia zangu" hahaaaa ".. unataka kila mtu awe kama wewe ili iweje sasa"..??
Hapana siwezi kutaka kila mtu awe kama mie watu lazima tutofautiane,watu wote wakiwa wanaume kama mie itakuwa tabu hivyo lazima wawepo na wanawake.

Sawa mchana mwema..kwaheri
 
Mara nyingi napata tabu kusikia humu ni nyumba ya great thinker kwa kuwa tabia za watu wengi humu si wazuri kufikiri, kujenga hoja na wengi ni wadandia hoja.

Kwenye bandiko langu nilijaribu kuweka maelezo kuhusu Quran lakini pia nilisema moja ya mafundisho ya Mtume Muhammad kwa waumini wa kiislam ni kuweza ku challenge maneno katika Quran.

Pia nilisema kuwa mtoa mada kitu alicho kileta kipo sahihi kujadiliwa kwa kuwa uislam una kubali challenge kama hizo ili kujenga imani ya kweli kwa ambaye anaifata.

Sasa nimeona kumekuwa na majadiliano ambayo yapo nje ya Mada, nimeona kumekuwa na mvutano wa imani moja na nyingine, kumekuwa na kutoleana maneno ya kebehi na dharau ndio maana sisi watu weusi kuja kugundua jambo litachukua muda sana kwa kuwa hatupendi kuheshimu mawazo ya watu wengine.

Lakini kujadili kitu chochote kina hitaji ubobezi, ufahamu, utambuzi na uwezo wa kusoma kutoa majibu ya maswala ya utata off head si jambo zuri

Katika Quran na mafundisho ya Mtume kuna sehemu mbalimbali zinazo eleza umuhimu wa kutoa majibu ya kitu ambacho una uhakika nacho tofauti na hapo utakuwa ni kupotosha na ni kosa.

Hivyo napenda kuwatoa wasi wasi wale wanao sema Quran imesema kinacho semwa ndani yake kisipingwe la hasha huo ni uwongo na uzushi na kipindi chote cha uhai wa Mtume hakuwahi kusema jambo lolote linalo kataza ku challenge mambo ya Mungu au maandiko sasa wadau tujikite kwenye mada tuache mambo ya kushutumiana
 
Mkuu yapo mengi, lamsingi ni vipi Muhamad hakuchanganywa kwenye mtiririko wa kwenye biblia? Kama kweli wote ni wa Mungu, je Mungu kuna mambo mengine alisahau hadi tena amtume mtu mwingine?
kwani kwa mujibu wa biblia yesu alikuja kwa ajili ya akina nani?maana kila nabii na mtume alikuja kwa umma wake na zama zake

ni maamuzi yake tu mungu kuwaleta hao mitume,unafikiri ni kwa nini hakuisha tu kwa ibrahim labda kwa nini alifika mpaka mussa hadi yesu hadi muhammad?

ni mipango yake aliamua adam awe wa kwanza na wengine wafuate,kwenye mipango yake hana kwa kumuhoji hilo lazima tulikubali na kama una amini mungu yupo lazima ukabaliane na hili mkuu

sijui biblia ilivyotunza ila kiuhalisia imebadilishwa sana,quran imebaki kama ilivyo for years na hii ni living miracle aliyoiacha Muhammad, ukipata wasaa nenda kajisomee mwenyewe mathematical miracle of the quran ni impossible kwa binadamu kwa kawaida kutunga mwenyewe yale mashairi kwa mpangilio ule na kuyawekea code namna ile kiasi kwamba hata mtoto mdogo aliyesoma quran vizuri ukitoa tu hata herufi moja una haribu mpangilio wote na itajulikana tu na ndio maana quran haipotei wala kubadilishwa sababu utajulikana huwezi kubadilisha herufi wala synonym mule na isijulikane

kuna verse zimetoa onyo mule kwamba hata wakikusanyika majini na watu wote duniani na kusaidiana wao kwa wao hawawezi kutunga quran kama ile na hii kitu mpaka leo haija wahi fanikishwa(quran 16:88)

mathematical miracle ya quran ni beyond human capabilities,kama unataka kupata maarifa nenda kwenye mitandao utayakuta hata humu jf kwenye jukwaa la dini nimewahi kuiweka
 
Kwani wewe baada ya kukataa vilivyoandikwa kwenye Bible au Qu'ran unaishije?
Hoja kuu ni kwamba kuna vitabu umetoa kama reference watu wasome na kwa yakini yako kuwa yaliyoandikwa humo ni ya kweli. Then at your own pace yathibitishe. Usipinge uongo wa watu kwa kutumia uongo wa watu wengine.
Nimekwambia andika kwa alphabet yako.

Sasa mbona bado unatumia alphabet ua wengine?
 
Hapana siwezi kutaka kila mtu awe kama mie watu lazima tutofautiane,watu wote wakiwa wanaume kama mie itakuwa tabu hivyo lazima wawepo na wanawake.

Sawa mchana mwema..kwaheri
sawaaaa madame " wasalimie mashoga zako
 
Ina lillah wa Ina lillah rajuun
Mtume Mohammad s.a.w anasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
Ndugu- Kiranga ukihoji sana utakufuru na kuingia kwenye dhambi ambayo iwezo unao wa kuikwepa
There is no need of apply "Complex parception" towards God..

Mungu ibarik TANZANIA...
Hujathibitisha Mungu yupo.

Unahubiri tu.

Thibitisha Mungu yupo.
 
Mkuu njoo vizuri!

Unaifahamu vizuri historia ya Alexander the Great (Dhul-Qarnaini)? Nani kakuambia Alexander alikuwa ni Nabii? Na kama alikuwa Nabii, unamaanisha nini hasa? Nabii wa shetani au wa Mungu? Kama ni Nabii wa Mungu,Mungu anaweza kuleta Nabii ambaye yuko anashikilia Juja na Majuja ambayo baadaye yatamtoroka ili yaje yawaangamize waislamu? Ina maana mpaka Juja na Majuja wataweza kumtoroka huyo nabii ina maana atakuwa ameishiwa uwezo wa kinabii? Na kama ndivyo, huyo nabii wa Mungu wa namna gani hata Juja na Majuja wamtoroke?
Hebu nipe ushahidi unaoonesha Dhul Qanain ndiyo Alexander The Great?

Anzia hapo kwanza, nahitaji uthibitisho wa kimaandiko. Dhul Qanain alikuwa ni nabii ila si Mtume
 
kwani kwa mujibu wa biblia yesu alikuja kwa ajili ya akina nani?maana kila nabii na mtume alikuja kwa umma wake na zama zake

ni maamuzi yake tu mungu kuwaleta hao mitume,unafikiri ni kwa nini hakuisha tu kwa ibrahim labda kwa nini alifika mpaka mussa hadi yesu hadi muhammad?

ni mipango yake aliamua adam awe wa kwanza na wengine wafuate,kwenye mipango yake hana kwa kumuhoji hilo lazima tulikubali na kama una amini mungu yupo lazima ukabaliane na hili mkuu

sijui biblia ilivyotunza ila kiuhalisia imebadilishwa sana,quran imebaki kama ilivyo for years na hii ni living miracle aliyoiacha Muhammad, ukipata wasaa nenda kajisomee mwenyewe mathematical miracle of the quran ni impossible kwa binadamu kwa kawaida kutunga mwenyewe yale mashairi kwa mpangilio ule na kuyawekea code namna ile kiasi kwamba hata mtoto mdogo aliyesoma quran vizuri ukitoa tu hata herufi moja una haribu mpangilio wote na itajulikana tu na ndio maana quran haipotei wala kubadilishwa sababu utajulikana huwezi kubadilisha herufi wala synonym mule na isijulikane

kuna verse zimetoa onyo mule kwamba hata wakikusanyika majini na watu wote duniani na kusaidiana wao kwa wao hawawezi kutunga quran kama ile na hii kitu mpaka leo haija wahi fanikishwa(quran 16:88)

mathematical miracle ya quran ni beyond human capabilities,kama unataka kupata maarifa nenda kwenye mitandao utayakuta hata humu jf kwenye jukwaa la dini nimewahi kuiweka
Kwamujibu wa biblia Yesu kaja kwa watu wote coz yeye mwenywe anasema “yeye ni njia ya kweli na uzima hakuna awezae kwenda kwa Mungu bila kupita njia yake”. Mkuu unasema biblia imebadilishwa umejuaje? Au unayo ile ambayo hajabadilishwa?
 
kwani kwa mujibu wa biblia yesu alikuja kwa ajili ya akina nani?maana kila nabii na mtume alikuja kwa umma wake na zama zake

ni maamuzi yake tu mungu kuwaleta hao mitume,unafikiri ni kwa nini hakuisha tu kwa ibrahim labda kwa nini alifika mpaka mussa hadi yesu hadi muhammad?

ni mipango yake aliamua adam awe wa kwanza na wengine wafuate,kwenye mipango yake hana kwa kumuhoji hilo lazima tulikubali na kama una amini mungu yupo lazima ukabaliane na hili mkuu

sijui biblia ilivyotunza ila kiuhalisia imebadilishwa sana,quran imebaki kama ilivyo for years na hii ni living miracle aliyoiacha Muhammad, ukipata wasaa nenda kajisomee mwenyewe mathematical miracle of the quran ni impossible kwa binadamu kwa kawaida kutunga mwenyewe yale mashairi kwa mpangilio ule na kuyawekea code namna ile kiasi kwamba hata mtoto mdogo aliyesoma quran vizuri ukitoa tu hata herufi moja una haribu mpangilio wote na itajulikana tu na ndio maana quran haipotei wala kubadilishwa sababu utajulikana huwezi kubadilisha herufi wala synonym mule na isijulikane

kuna verse zimetoa onyo mule kwamba hata wakikusanyika majini na watu wote duniani na kusaidiana wao kwa wao hawawezi kutunga quran kama ile na hii kitu mpaka leo haija wahi fanikishwa(quran 16:88)

mathematical miracle ya quran ni beyond human capabilities,kama unataka kupata maarifa nenda kwenye mitandao utayakuta hata humu jf kwenye jukwaa la dini nimewahi kuiweka
Adam ndie nabii wa Kwanza?
Alipewa kitabu gani?
 
Kuna tofauti gani ya kitabu na Scrolls?
scrolls ni kurasa chache tu mfano labda zile amri kumi za mungu kama mussa angepewa zile tu tungesema pale kapewa kitabu?ila pale ingekua kapewa scrolls
 
Nimekwambia andika kwa alphabet yako.

Sasa mbona bado unatumia alphabet ua wengine?
Usibadilishe mada mkuu. Ishu ni kwamba unapopinga uongo pinga kwa facts zako mwenyewe ambazo umeprove mwenyewe haijalishi nani kagundua ishu ni uwezo wako mwenyewe wa kudhibitisha hicho alichokigudua ili ukubaliane nacho sio kukubali tu kwa title ya kuwa wanasayansi wamegudua.Unangangania watu wa prove uwepo wa mungu wakati wewe mwenyewe huwezi kudhibitisha uwepo wa vitu unavyoamini kuwa vipo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom