Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Hujamuuliza huyo Kafiri Paulo??
Hatuwashangai maana mnabishana na maandiko yenu, mmeandika wenyewe kutaka kutuaminisha kwamba mpo vizuri kumbe ZERO kabisa.
Msikilize Abdul mwenzako anavyobishana na andiko lake mwenyewe

Hatuwashangai maana mnabishana na maandiko yenu, mmeandika wenyewe kutaka kutuaminisha kwamba mpo vizuri kumbe ZERO kabisa.
Msikilize Abdul mwenzako anavyobishana na andiko lake mwenyewe

Huyo jamaa yako kajifungia ndani kama mwari halafu anajifanya eti ni debate ,

Ni MKE WA WATU ???
 
Katika Injili za Mathayo, Marko na Luka, Yesu ameitwa mara 22 kwa jina la "Mwana wa Mungu", lakini hata mara moja yeye mwenyewe hakujiita kwa jina hilo.

Katika Mathayo 27.43 yanatajwa maneno ya wakuu wa makuhani wa Kiyahudi pamoja na waandishi na wazee waliokuwa wakimdhihaki, si maneno yake yeye Yesu.

Hao walikuwa wakimzulia kuwa anadai uwana wa Mungu, na anadai kuwa ni Mfalme wa Israeli.

waliokuwa wakimwita Yesu Mwana wa Mungu walikuwa ama wendawazimu, wenye pepo wachafu, au askari wa Kirumi ambao tokea hapo wao ni washirikina, mapagani.

Ama mwenyewe Yesu alikuwa daima akipendelea kujiita mwana wa Adamu kwa Kiebrani, lugha yake, Bin Adam, yaani ni binaadamu, mtu tu.

Katika Injili jina hili la Yesu kuitwa mwana wa Adamu limetajwa yapata mara 80.

Maadui zake wa Kiyahudi walimzulia kuwa alidai kuwa ni Mfalme wa Mayahudi ili kumchongea kwa watawala wa Kirumi, na kuwa alidai kuwa ni Mwana wa Mungu ili apate kuchusha kwa Mayahudi.
 
A serious forgery in Luke 24:44-48 about Jesus' "resurrection on the third day" claiming that it was foretold in the OT when it wasn't!

Let us look at Luke 24:44-48 from the NIV Bible:

Luke 24

44 He said to them, "This is what I told you while I was still with you: Everything must be fulfilled that is written about me in the Law of Moses, the Prophets and the Psalms."

45 Then he opened their minds so they could understand the Scriptures.

46 He told them, "This is what is written: The Christ will suffer and rise from the dead on the third day,

47 and repentance and forgiveness of sins will be preached in his name to all nations, beginning at Jerusalem.

48 You are witnesses of these things.

Where in the Old Testament do you have that?!

Show me one Old Testament verse that prophesized about Jesus' third day resurrection?
 
Ahahahahaahahaahaha huyu kumbe hamnazo iwe imeshuka maka au imeshuka madina dai lenu la kuwa mtume ni kichaa ni uwongo , ukisema mtume ni kichaa unapaswa uje aya ya kutengua andiko hili

QURAN 81:22
"Wala huyu mwenzenu hana wazimu";

Ahahahahaahahaahaha andiko la Quran alitenguliwi na porojo Ahahahhahahahahahaha aya kwa aya, sasa leta andiko wapi Quran inakubali Mohamadi ni kichaa, Ahahahaahaha unaangaika na sababu nuzuri wakati andiko linakataa Mohamadi sio kichaa sasa basi tuletee aya katika QURAN kufuta hili andiko ahaahhhhhahaha nakunywa kahawa nasubir aya ahahahaaaahahahajaaha
 
Kwanini unapata tabu sana wakati Yesu mwenyewe alikuwa na mdomo na alieleweka tu
YOHANA 20:17
"; Yesu akamwambia, usinishike ; kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba, lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie, ninapaa kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu";

wewe mbona unaangaika mbona utaki kukiri hadharani kuwa wewe na Yesu na wengineo wote nyie Baba yenu mmoja na Mungu wenu mmoja hili jambo Yesu amefundisha hadharani wapi unakwama wewe , umekazania mtoto wa pekee wewe nani wakumbishia Yesu !! anaposema baba yake na baba yako ni mmoja , na Mungu wake na Mungu wako ni mmoja , lazima upate tabu kukataa ukweli huu ahahahhahaahaaa
 
Nimekuelezea vizuri tu. Lakini hautaki kusadiki.
Hiyo habari aliwaambia wanafunzi wale wanaoliamini jina lake. Ni kwakua sisi tunakua wana wa Mungu kupitia Yesu Kristo peke yake.

Kwa maana Yesu Kristo ndiye aliyebeba katika mabega yake Jukumu la kumkomboa Mwanadamu.(John 10:17).
Yesu Kristo ni jina la baba yake.

Tatizo lenu mnadhani Yesu Kristo alikuja kuuza sura kama manabii wengine waliopita. Na hapo ndipo mnapo miss the further step...
 
eti aya kwa aya [emoji12] mbona hakuna aya kwenye koloani inayo bainisha muhammad katahiriwa nyama ya govi na wewe unaamini katahiriwa [emoji344] [emoji344] amini leo baba fatuma alikuwa na wazimu sababu hiyo aya iliyo shuka makka sijui na copta gani [emoji350] [emoji344] haitengui kisa hiki kilicho tokea madina [emoji117] toka ndani ya box [emoji12]
 
1.what kind of prophet ?
JIBU ; ni kama Musa alipopewa amri na Mungu wake kuua watu wasio na imani
KUMB LA TORATI 20:17-18
17"; lakini UWAANGAMIZE kabisa, Mhiti, na Mwamori, na mkaanani,na Mperizi, na mhivi,na Myebusi, kama alivyokuamuru Bwana, Mungu wako;

18"; Wasije WAKAWAFUNZA kufanya mfano wa MACHUKIZO yao, yote; waliyoifanyia miungu yao; hivyo itakuwa ni makosa juu ya Bwana, Mungu wenu;"

2. Great one of all times?
Ahahahahaahahaahaha njaa tu imemshinda na kuanza kukausha miti, huyu katu hawezi stahimili ata kukaa na mke siku moja

MATAYO 21:18-19
18"; Hata asubui alipokuwa akienda mjini aliona njaa
19"; Akaona mtini mmoja kando ya njia akauendea , asione kitu juu yake ila majani tu; akauambia yasipatikane matunda kwako tangu leo hata milele. Mtini ukanyauka mara

Ahahahahaahahaahaha njaa mbaya sana ,mpaka ameshindwa kujua msimu wa matunda , sasa kama hili dogo limemshinda ataweza kubwa , ndio maana amri ngumu kama za VITA walipewa watu wenye uwezo na majemedari kama Musa ahaahhhhhahaha

3 VITABU vyenu vinamuita Yesu ni Mungu ?
JiBU; ngoja kwanza ni cheke ahahahaah , utapata tabu sana kwanini umsemee Yesu sikiliza andiko murua kabisa wewe na genge. lako

QURAN 5:72
";Hakika WAMEKUFURU waliosema Mwenyezi Mungu ni Masihi Mwana wa Maryamu! Na hali Masihi mwenyewe ALISEMA; "Enyi wana wa israili ! muabuduni Mwenyezi Mungu, Mola wangu Mlezi na Mola wenu Mlezi";

Ahahahahaahahaahaha utetezi kwenye QURAN ni kupoteza muda tu ahahahahhqhhahah
 
Mimi nilijua utaleta aya kufuta aya kumbe unaleta vilio tena, kwani wewe unayo aya Adam alitahiriwa ? asili ya binadamu wote ni adam ambaye hakuna sehemu yeyote alionyeshwa kakatwa govi , tabu iko pale pale leta aya kufuta aya hii
QURAN 81:22
"; wala huyu mwenzenu hana wazimu";

Ahahahahaahahaahaha kama hauna funga mdomo wako ahahahahaaaahaaaaaaha
 
Katika Quran. Katika Hadith Sahih Muslim.

[4418] -15 (1691 )Abdullah bin Abas anaripoti
Umar bin Al Khatab ambaye ni mtu wa Karibu sana na Mohammad ambaye alimuozesha binti yake ana ripoti kuwepo kwa verse ndani ya Quran inayoruhusu kuwaua wazinzi(Stoning for a married person for zina) na verses walikua wanai - recite, Memorize and understood it.
LAKINI ukipitia THE ENTIRE QUR'AN that we have today.
Haionyeshi ni wapi ilitoa muongozo huo.

Hii inatuonyesha jinsi gani Qur'an imebadilishwa. Au haikua perfectly preserved
 
Unaniambia mimi tena Mimi anatakiwa aniambie Yesu , kama alivyosema kuwa Baba yake ndio Mungu wake , hapa tena anaendelea kumsifia Mungu wake ;
MARKO 10:8
";Yesu akamwambia , kwa nini kuniita mwema? Hakuna aliye mwema ila mmoja ,ndiye Mungu";

Ahahahahaahahaahaha endelea kuamini kisicho kuwepo ahahahahahhahahaha
 
Ahahahahaahahaahaha wewe acha bange QURAN na kauli za mtume ndio muislamu anaweza kusikiliza tu kama Muongozo, wewe unatuletea habari za Omar sijui ibn abas ahahahahahahahaj nakuuliza swali " hiyo kauli ni ya mtume"; kama sio ya mtume haya peleka huko , mambo aliyofanya Yesu tu amjayaandika leo unatuletea maneno ya Omari yaijaji Quran ahahahha

YOHANA 20:30
";Basi kuna ishara nyingine nyingi alizozifanya Yesu mbele ya wanafunzi wake ZISIZOANDIKWA katika kitabu hiki";

Ahahahahaahahaahaha hata vilivyoandikwa vingine Martin Luther king kavifyekelea mbali
 
Hatuwashangai maana mnabishana na maandiko yenu, mmeandika wenyewe kutaka kutuaminisha kwamba mpo vizuri kumbe ZERO kabisa.
Msikilize Abdul mwenzako anavyobishana na andiko lake mwenyewe

Ahahahahaahahaahaha bureee kabisa , debate ya chumbani kwake , Ahahahaahaha huyu jamaa ni mwehu kabisa ahahaahaaahahh
 
Hapo Imeandikwa ishara. Haijasema mafundisho.

Anyway.. Tofauti yetu na ninyi ni kua ninyi Hamkuwahi kua na deadline ya Quran. Sisi, Yesu alijali muda. Miaka 3 tu. Kisha akasepa
 
wapi Adam kaagizwa na Mungu Atahiri [emoji15] [emoji12] hebu mtakase baba yake fatuma na wazimu [emoji23] [emoji15] [emoji53]
 
Hapo Imeandikwa ishara. Haijasema mafundisho.

Anyway.. Tofauti yetu na ninyi ni kua ninyi Hamkuwahi kua na deadline ya Quran. Sisi, Yesu alijali muda. Miaka 3 tu. Kisha akasepa
Ahahahahaahahaahaha wewe jamaa una matatizo ya kutojua lugha , "; kama alifanya ishara mbele ya wanafunzi"; maana yake ni mafunzo hayo wewe jamaa unatatizo gani? Ahahahahhaah Quran ni miaka 23 tu (40-63) mtume akawa kamaliza
 
wapi Adam kaagizwa na Mungu Atahiri [emoji15] [emoji12] hebu mtakase baba yake fatuma na wazimu [emoji23] View attachment 938986View attachment 938987 [emoji15] [emoji53]
Ahahahahaahahaahaha si ndio tunakubaliana Adamu ajatahiriwa? kama katahiriwa thibitisha hapa Ahahahaahhahhahhhaah hayo mapicha hayakusaidii kitu kabisa, tabu iko pale pale TENGUA aya kwa aya

QURAN 81:22
";Wala huyu mwenzenu hana wazimu";
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…