Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Unaongeza wewe. Mie Nimesoma neno "Ishara" hapo.

Kwenye dictionary. Wanaandika Signs.
Mafundisho wanaita "Teachings of doctrines".
Ishara ni Sign ndio wala hili halina tabu , ndio maana kwa habari za siku ya mwisho Yesu aliwapa wanafunzi wake SIGN(ishara) , haya ni mafundisho hata kwako kuwa ukiona hili ujue siku ya mwisho tayari ahahahahahhaah
 
Em niondokee.. Katukane huko. Usijibu post zangu.
Unatakiwa umjibu kila siku tunaona mpambano humu wasabato wanasema wanaisoma biblia kwa uwezo wa roho mtakatifu, lakini kuna waroma wanawapinga kuwa ni waongo ahahahaah
 
Unatakiwa umjibu kila siku tunaona mpambano humu wasabato wanasema wanaisoma biblia kwa uwezo wa roho mtakatifu, lakini kuna waroma wanawapinga kuwa ni waongo ahahahaah
Huyo Jamaa ana provoke, uzi unakua ni kutukanana tu muda wote. Hata kama hakuna ulazima. Hii haileti maana kabisa.

Tangu asili makanisa yalikua yana tofautiana mapokeo fulani. Cha msingi kanisa linatakiwa lisiende kinyume na ile misingi Muhimu.
Hata waislamu wanajitetea kua wana muabudu mungu yuleyule. Hii nayo ni tofauti na ndiyo tunayoijadili humu.

Pia kueleza kuhusu Usabato,
 
Sawa mkuu lakini mbona mgeni anatukana watu hapa sana tunampuuza tu neno kama " msengerema" sisi watoto wa mjin tunalielewa sana mkuu, ila yote kwa yote kwanini roho mtakatifu wa waroma awafundishe vitu tofauti na wasabato? kwani mna roho mtakatifu wa ngapi ? mfano suala la utatu mtakatifu wasabato wanadai ni upagani na uwongo mtupu hili ni wazo la roho mtakatifu au maneno yao tu ?
 
Huyo jamaa yako kajifungia ndani kama mwari halafu anajifanya eti ni debate ,

Ni MKE WA WATU ???
Maadiko yenu hamyataki? kujifungia chumbani ndio nini?
Thank you very much! umeanza kusikiliza.
do you dare to call him? anyway it is free on skype.Shida unatumia wifi ya jirani!!
 
Mwaswali mengine magumu kujibika unauliza muumbaji na muumbwaji nani mkweli. Huu ni udhaifu wa imani
 
Maadiko yenu hamyataki? kujifungia chumbani ndio nini?
Thank you very much! umeanza kusikiliza.
do you dare to call him? anyway it is free on skype.Shida unatumia wifi ya jirani!!
Umetoa andiko au clip ? Ahahahahhaah ahahaahahhahah bureeee kabisa wewe, ungetoa andiko jibu ungepata , kwa vile umetoa clip sasa basi hayo ndio majibu size yako ahahahhahahahhahaqaaa kuwa mpole
 

Mkuu bibilia Yesu mwenyewe anasema:

Matthew 7:21- Si kila mtu aniambiaye, Bwana, Bwana, atakayeingia katika ufalme wa mbinguni; bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.
 
Mkuu bibilia Yesu mwenyewe anasema:

Matthew 7:21- Si kila mtu aniambiaye, Bwana, Bwana, atakayeingia katika ufalme wa mbinguni; bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.
Nimekuelewa sasa tuambie ni roho gani amewashukia wasabato na ni roho gani amewashukia waroma , mpaka analeta tafsiri ambazo wasabato wanaishia kuwaona waroma ni wapagani ?
 
Maadiko yenu hamyataki? kujifungia chumbani ndio nini?
Thank you very much! umeanza kusikiliza.
do you dare to call him? anyway it is free on skype.Shida unatumia wifi ya jirani!!

Basha wake hamruhusu kutoka kuja kufanya debate uwanjani na watu wakaulliza maswali?
 
Nimekuelewa sasa tuambie ni roho gani amewashukia wasabato na ni roho gani amewashukia waroma , mpaka analeta tafsiri ambazo wasabato wanaishia kuwaona waroma ni wapagani ?
Ukristo zaidi ya Dini. Ni zaidi ya Usabato na Uroma..tunaamini kua Yesu ndiye Mwokozi na njia ya kwenda mbinguni.
Na Yesu anasema; Wenye nguvu ndio watakaouteka ufalme wa Mungu.
Hawa ni wanadamu wote wanaomtafuta Mungu kwa Nia ya dhati kabisa mioyoni mwao wakizifuata njia. Hata kama wako katika imani isiyo sahihi. Mfano Wanaweza kua waislamu, wabudha, wahindu wayahudi nk. Mungu huwatafuta hao na kuwabadili ili wamgeukie Mungu wa kweli katika Kristo Yesu bwana wetu. Lakini wale wote wenye kufuata Dini zao kwa unafiki, Mungu atawatapika. Kwahiyo Usilamu, ubudha nk sio kikwazo kwa Mungu kuwafikia watu hawa maalumu na kuwageuza kumgeukia Mungu.

Kwakua Tunaamini kwa Mwanadamu Kumjua Mungu wa Kweli, Sio kwa Uwezo wake peke yake. Inahitajikai Mungu aingilie kati na ajidhihirishe kwake.
Na haya yapo kimaandiko ndani ya Bibilia.

Mf.
Siwezi kukubadili Dini yako ya Allah, ila Mungu mwenyewe anaweza. Sihitaji nikushikie Panga, bastola mabomu, nikulazimishe au nikupige Taqiyah na kitman ili umuamini Kristo. Kwakua ile kusema uongo ni dhambi tosha. Nachoweza nikukuambia Ukweli. Nawe kamwombe Mungu unavyojua wewe kwa unyenyekevu wako ili aweze kukuongoza yeye mwenyewe kwenye Kweli. Kwakua MUNGU ANASIKIA.
 
Ahahahahaahahaahaha hizi hasira za nini ? Ahahahahhaah wapi Yesu kakufundisha yeye ni Mungu? Yesu alisema wazi mjifunze kwake hayo maandiko uliotoa ayaonyeshi popote Yesu ni Mungu zaidi ya kuchekesha watu Ahahahahaahahaahaha

utaonaje nawe hutaki kutahiriwa [emoji117] unakomaa na shingo ngumu [emoji12] [emoji4]
 
weka ushahidi Ayubu naye alilogwa hadi Kawa na wazimu kama alivyo logwa baba fatuma na Yahudi laabida [emoji53]
 
Ahahahahaahahaahaha si ndio tunakubaliana Adamu ajatahiriwa? kama katahiriwa thibitisha hapa Ahahahaahhahhahhhaah hayo mapicha hayakusaidii kitu kabisa, tabu iko pale pale TENGUA aya kwa aya

QURAN 81:22
";Wala huyu mwenzenu hana wazimu";

kafute hii [emoji117] ndipo nitatengua wazimu wa baba fatu [emoji15] [emoji12]
 
Haya maelezo yote hakuna jibu la swali langu , hoja sio kumtafuta Mungu , hapa hoja ni madai ya kuongozwa na roho mtakatifu wakati mnapingana sana , ndio uniambie ni roho mtakatifu gani aliwashukia wale wakristo wenzako (wa roma) au wale mashahidi wa yehova au wasabato, mpaka inafikia mahala msabato anajiona ndie mwenye roho mtakatifu sahihi lakini mroma ni mzushi aliejaa upagani mwingi ? au kama wewe pia huna jibu kwa sababu huyo roho mtakatifu wako kagoma kukupa jibu pia sema ahahahaahahahqh
 
utaonaje nawe hutaki kutahiriwa [emoji117] View attachment 939277 unakomaa na shingo ngumu [emoji12] [emoji4]
Mioyo Yetu tumetahiri vizuri ndio maana tunaamini Yesu ana Mungu wake , kama wewe ulivyo na Mungu, kwa sababu ametaka tujifunze kwake
MARKO 10:8
"; Yesu akamwambia , kwa nini kuniita mwema? hakuna aliye mwema ila mmoja , ndiye Mungu,

Ahahahahaahahaahaha kazi kwako kujifunza kwa Yesu au kujitia pamba masikioni
 
weka ushahidi Ayubu naye alilogwa hadi Kawa na wazimu kama alivyo logwa baba fatuma na Yahudi laabida [emoji53]
Ahahahahaahahaahaha unataka kila mtu arogwe sio Ahahahahaaaahqa kila mtu anajaribiwa kwa namna yake , AYUB alipigwa ukurutu na SHETANI wakati huo Mungu wako akiwa ana shuhudia , Yona alimezwa na samaki siku tatu Mungu wako akishuhudia , Yohana alikatwa kichwa Mungu wako akishuhudia , hayo ni majaribu tofauti kila mtu kwa wakati wake ahahahhaaahahhahahaha unataka kila mtu arogwe hizi kweli bangi , baada ya hapo zikashushwa sura muhimu uchawi ukaingia mitini na mtume akaushinda , Ahahahaahaha ahahaahahhahah
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…