Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Kwani wewe baada ya kukataa vilivyoandikwa kwenye Bible au Qu'ran unaishije?
Hoja kuu ni kwamba kuna vitabu umetoa kama reference watu wasome na kwa yakini yako kuwa yaliyoandikwa humo ni ya kweli. Then at your own pace yathibitishe. Usipinge uongo wa watu kwa kutumia uongo wa watu wengine.
 
sasa " ndio umeongea " nini " hivyo visa vya kina nuhu ambavyo unasema muhhamad alihadithiwa na mungu " mbona RC walikuwa wanavijua kabla hata ya muhhamad hajazaliwa", na wao wala hawakusubiri kuambiwa na mungu " iliwaamini uwepo wa hizo Story "" Yaaani unasubir kuambiwa na mungu mambo ambayo ", yanafahamika ktika jamii " like seriously " JIBU HOJA KAMA QURAN ILITOKA KWA MUNGU KWANINI ISHUSHWE NUSU NUSU TENABAADHI YA AYA ZILISHUSHWA ",BAADA "YA KUSUBIRI ",TUKIO "FULANI LITOKEE" .. huyo mungu. muweza wa yote mjuzi wa yote ",Alishindwa kujua kwel matukio yatakayokujA kutokeA hapo baadae " kisha akaiteremsha "to hiyo Quran ikiwa complicate " yenye aya ambazo " zinatoa mchanganuo ",wakukeamea/kufundisha" matukio ambayo yalikuwa yanakuja katika ujao " kwanini mungu muweza wa yote mjuzi wa yote "asubiri mpka matukio yatokee ndio ateremshe baadhi ya hizo Aya " alikuw wapi mpka ashindwe -
kuutumia huo ujuzi wake wa yote katika kuikAmilisha tu"??? maana sifa moja wapo us ujuzi wa yote nikujua mpaka yale yajayo
 
Kwahiyo ndiyo maana Mud nae akaja na yake?
 
Ukisoma Qur'an kwa jazba huwezi ambulia kitu matokeo yake ndio kama haya unakuja kujidhalilisha.... hiyo aya wala haimaanishi ulivyomaanisha wewe, ungeomba upewe maana ya aya hiyo lakini wewe umekuja na shutuma na hitimisho.... umejidhalilisha kaka mkubwa, kasome tena.
 
Kwanza sio "haya" ni "aya". Naona umeanza kuelewa taratibu.
ndio matokeo ya kuvuta bangi haya "" mpak unashindwa kutambua " kuwa ktik uandishi " huwezi kukosa " kitu kinachoitwa ". makosa ya uandishi
 
Upo sahihi kabisa hujakosea hata nukta.... hiyo surat Kahf imejaa code sana ni hadithi ya matukio matatu tofauti... mwenzetu badala ya kuuliza maana anakuja na shutma.... inashangaza sana.
 
Kwahiyo ndiyo maana Mud nae akaja na yake?
sawa sawa ushangae kwa nini yesu kazaliwa bila baba na ilihali adam hakua na baba wala mama,ni ujinga kama ukishangaa hili la yesu kuzaliwa bila baba,hiyo ni miujiza ya mungu tu kwa manabii na mitume wake

hata suleiman alikua anaongea na kiumbe chochote duniani na hata kuamrisha upepo na vitu vingine,kila nabii kafanya miujiza yake na inaweza kufanana vile vile kwa jinsi mungu alivyotaka
 
Ambacho nimeshindwa kuvumilia nimeshakisema ni kuhusu hiyo tabia ya kujichekesha.
huwezi kunipangia cha kupost wakati ",sijafunja sheria za Jf..bundle langu simu yangu" so ukiona "comments zangu Kama zinakukera "",go to hell " .. ha haa kwani umelazimishwa " kuni quote jombaaa" Mbona wataka shari kinguvu"",
 
Bwana mungu wa wakristo anaesema "ukweli"ndo huyu aliyewaambia muongozwe na mapadri na wachungaji mashoga au yupi....je ndo uyo uyo ambaye ndoa ya kuolewa elton john na mwanaume mwenzake ilifungwa kwa jina lake au yupi!?
Niwekee hapa maandiko yanayoonesha mahali BWANA MUNGU amesema tuongozwe na hao Mapadri na Wachungaji mashoga. Onesha ushahidi wa maandiko kutoka kwenye Biblia kuwa BWANA MUNGU alisema hayo maneno.

Fahamu kwamba katika UKRISTO, wapo wakristo feki na WAKRISTO WA KWELI, hata BWANA YESU alisema hivi; "siyo kila mtu atakayeniita BWANA, BWANA, ataingia kwenye Ufalme wa MUNGU, bali ni wale tu watakaofanya kama MUNGU BABA alivyoagiza". Tena akasema pia; "watakaoingia kwenye Ufalme wa MUNGU watakuwa wachache sana, ni kundi dogo sana".

Kuhusu ndoa za mashoga UKRISTO umezipinga sana, Biblia inasema hivi; "wafiraji na wafirwaji hawataingia kamwe katika Ufalme wa MUNGU". 1 WAKORINTHO 6:9-10, WALAWI 20:13,
 
ndio matokeo ya kuvuta bangi haya "" mpak unashindwa kutambua " kuwa ktik uandishi " huwezi kukosa " kitu kinachoitwa ". makosa ya uandishi

Sasa si ndio maana nakurebesha mzee. Hupendi kukosolewa nini ?

Sasa bangi na kukosolewa pale ulipokosewa kuna uhusiano gani ?

Ulitaka nikaushe sio ?
 
Mkuu hilo nilimjibu huyo bwana aliyesema bwana mungu wa wakristo ndiye mkweli tofaut na wa waislam
 
Sasa si ndio maana nakurebesha mzee. Hupendi kukosolewa nini ?

Sasa bangi na kukosolewa pale ulipokosewa kuna uhusiano gani ?

Ulitaka nikaushe sio ?
hahaaa zurri hatugombani "" hebu rudia vyema kuisoma ile essay " kuna maneno uliyamalizia kwa chini
 
Mkuu yapo mengi, lamsingi ni vipi Muhamad hakuchanganywa kwenye mtiririko wa kwenye biblia? Kama kweli wote ni wa Mungu, je Mungu kuna mambo mengine alisahau hadi tena amtume mtu mwingine?
 
huwezi kunipangia cha kupost wakati ",sijafunja sheria za Jf..bundle langu simu yangu" so ukiona "comments zangu Kama zinakukera "",go to hell " .. ha haa kwani umelazimishwa " kuni quote jombaaa" Mbona wataka shari kinguvu"",
Sijakulazimisha uache kujichekesha una uhuru wako na mie nina uhuru wangu pia wa kutoa maoni na sijavunja sheria za Jf pia.
 
Mkuu hilo nilimjibu huyo bwana aliyesema bwana mungu wa wakristo ndiye mkweli tofaut na wa waislam
Mkuu hilo ni kweli kabisa, BWANA MUNGU ndiye MUNGU WA KWELI na Allah ni uongo tu. Soma mafundisho ya Quaran na BIBLIA utaona tofauti kati ya BWANA MUNGU na Allah; na hapo utajua nani MKWELI na nani MUONGO.
 
In Islam, we are taught that God has given us a mind and the faculty of reason to look at things objectively and systematically for ourselves. To reflect, then to question, to reach the truth. Religion should not be accepted blindly, as some religions seem to do. In those religions, you are regarded blasphemous to question your own religion. Islam invites you to do that.

It is not right for anybody to force anyone to accept Islam, for Islam teaches that man is given the freedom to choose whatever path he wishes to follow.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…