Wazolee
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 3,183
- 3,660
Mbona mapovu yanawatoka kama kuna mtu amewalazimisha muingie ktk uislamu
Qurani inakataza kumlazimisha kafiri aingie katika uisilamu anatakiwa aingie mwenyewe kwa hiari yake
Sasa nyinyi povu linawatoka kana kwamba kuna mtu amewalazimisha kuingia katika uislamu hadi mnafikia kumtukana mtume
Ila nyi nyi sio wa kwanza yani mnarudia tu na Yale yaliofanywa na makafiri wa zamani tena bado hamjawafikia hata kidogo jinsi wao walivyokuwa wanatukana
Sisi waislamu hatuwezi kumtukana Yesu wala Injili kwa sababu mungu alisha tuwambia ndani ya Quran kuwa Muhamadi ni mtume wa mwisho na Quran ni kitabu cha mwisho
Lakini imeshapita mitume mingi kabla yake akiwepo Yesu na Vitabu vitatu ikiwepo injili
Na mungu ametutaka tuyatambue hayo na tuamini kuwa yametoka kwake
Kwa hiyo vitabu vya katika bibilia tunavikubali kuwa ni vya mungu kasoro
Mtume wenu Paulo na vitabu vyake hayo hatuyatambui tuna kuachieni wenyewe muendele kupotezana ili mkachomwe moto na mungu
Maana sisi waislamu tunajua kabisa kama hamtakuwa Salama mbele ya mungu ila tu kwa kuwa tunaishi pamoja mda mwingine tunawangalia tu
Lakini ukweli ni kwamba hamuna dini wala hamujui mungu