Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Hujanijibu Swali langu.
maelezo meengi yote pumba!
Kwanini Muhammad analibusu jiwe? tena mmeli modernize na kulijengea shepu mfano wa tupu ya kike?
Kwanini mpaka leo mnakwenda na kulizunguka na kulibusu pamoja na YEMEN CORNER( mawe yaliyotoka Yemen)
what is so special with this STONE if it is not your GOD?

View attachment 942670
Baada ya hili jibu nafikiri ujinga wako utakutoka na maswali ya kibange bange utaacha ahahahhahahaah

It was narrated that Ibn' Abbaas said : The messenger of Allaah (PBUH) said CONCERNING the stone ." By Allaah will bring it forth on the day of Resurrection , and it will have two eyes with which it will see and a tongue with which it will speak , and it will TESTIFY in favour of those who touched it sincerity";

Narrated by al-Tirmidhi , 961: ibn Maajah, 2944

hapo kuna mahali jiwe linaabudiwa kilaza wewe, jiwe litakuwa kama shahidi juu ya wale walioshiriki Hija mpuuzi wewe wakupuuzwa ahahahhahaahaaa
 
Vipi unaweza kutwambia kwanini MUNGU aliruhusu waende kufanya hiyo kadhia?
Ahahahahaahahaahaha usiwe na hofu mualimu mbombezi nipo kutatua maswali kama haya ya chekechea , nakukaanga kwa mafuta yako ahahahahaahahahha sababu mbona Mungu wako wa biblia kaiweka peupe wewe tu uvivu wako

KUMB LA TORATI 20:18
";Wasije WAKAWAFUNZA kufanya mfano wa MACHUKIZO yao, yote ; waliyoifanyia miungu yao; hivyo itakuwa ni MAKOSA juu ya Bwana ,Mungu wenu ";

Ahahahahaahahaahaha hapa ndio mambo usiyoyajua utapata majibu yake ahahahhha
 
Hamjui vitabu vyenu vinasema nini mnajifanya kujua Bible na kuilingana na Yellow Pages ya Allah.
Kamata hii utwambie mnaposoma huwa mkiifikia Aya hii huwa mnapofuka macho aua UNAFIKI tu.
We need HALAL food/ na mabango kibao tunataka kila mnyama achinjwe na Abdul ndo awe HALAL.

Al Maida (The food) - المائدة
Quran 5.5

Arabicٱلْيَوْمَ أُحِلَّ لَكُمُ ٱلطَّيِّبَٰتُ ۖ وَطَعَامُ ٱلَّذِينَ أُوتُوا۟ ٱلْكِتَٰبَ حِلٌّ لَّكُمْ وَطَعَامُكُمْ حِلٌّ لَّهُمْ ۖ وَٱلْمُحْصَنَٰتُ مِنَ ٱلْمُؤْمِنَٰتِ وَٱلْمُحْصَنَٰتُ مِنَ ٱلَّذِينَ أُوتُوا۟ ٱلْكِتَٰبَ مِن قَبْلِكُمْ إِذَآ ءَاتَيْتُمُوهُنَّ أُجُورَهُنَّ مُحْصِنِينَ غَيْرَ مُسَٰفِحِينَ وَلَا مُتَّخِذِىٓ أَخْدَانٍ ۗ وَمَن يَكْفُرْ بِٱلْإِيمَٰنِ فَقَدْ حَبِطَ عَمَلُهُۥ وَهُوَ فِى ٱلْءَاخِرَةِ مِنَ ٱلْخَٰسِرِينَ

Pickthall - This day are (all) good things made lawful for you. The food of those who have received the Scripture is lawful for you, and your food is lawful for them. And so are the virtuous women of the believers and the virtuous women of those who received the Scripture before you (lawful for you) when ye give them their marriage portions and live with them in honour, not in fornication, nor taking them as secret concubines. Whoso denieth the faith, his work is vain and he will be among the losers in the Hereafter.
Sahih Intl - This day [all] good foods have been made lawful, and the food of those who were given the Scripture is lawful for you and your food is lawful for them. And [lawful in marriage are] chaste women from among the believers and chaste women from among those who were given the Scripture before you, when you have given them their due compensation, desiring chastity, not unlawful sexual intercourse or taking [secret] lovers. And whoever denies the faith - his work has become worthless, and he, in the Hereafter, will be among the losers.
Yusuf Ali - This day are (all) things good and pure made lawful unto you. The food of the People of the Book is lawful unto you and yours is lawful unto them. (Lawful unto you in marriage) are (not only) chaste women who are believers, but chaste women among the People of the Book, revealed before your time,- when ye give them their due dowers, and desire chastity, not lewdness, nor secret intrigues if any one rejects faith, fruitless is his work, and in the Hereafter he will be in the ranks of those who have lost (all spiritual good).

Sasa Mnapingana vipi na Allah mnapokuja au mmekuja na DINI yenu mpya na siyo ya Muhammad?
Ahahahahaahahaahaha pole sana mdogo wangu 5:5 iko wazi chakula (kizuri au kisafi) , sasa wapi Qurani imesema kila aina ya chakula ni kizuri?
Utaumia Quran inafahamu kuna vyakula vizuri hivyo ruksa kula, lakini vyakula vichafu marufuku Kula

QURAN 6:145
"Sema: sioni katika yale niliyo funuliwa mimi kitu kilicho haramishwa kwa mlaji kukila isipo kuwa kiwe ni nyamafu, au damu inayomwagika , au NYAMA ya Nguruwe, kwani hiyo ni UCHAFU;

Tumeambiwa tule vizuri tu , vichafu kula wewe fisi ahahahahahhahahaha bureee kabisa
 
Wewe unaona wivu sisi kumpiga shetani ahahahahaha , hili ni tukio adhwim kabisa ambalo tutaliadhimisha siku zote kumuenzi mzee Ibrahim , mimi nafikiri wewe na genge lako endeleeni KUPULIZA UVUMBA

2 NYAKATI 29:11
";Basi wanangu msijipurukushe sasa, kwa kuwa Bwana amewachagua ninyi msimame mbele yake, kumhudumia , nanyi mpate kuwa watumishi wake , MKAFUKIZE UVUMBA";

Ahahahahaahahaahaha mambo ya kumpiga mawe shetani huyawezi, wewe endelea kufukiza UVUMBA ahahahhaahahajaajajjaa hapa tunaita tiba mbadala Ahahahahahahaa
Sheitwan ni roho na anaexist ktk spirit,kumpiga kwa mawe hiyo ni physical war na haijawahi kuwasaidia hao wanaokwenda Mecca.Inatakiwa wajiulize kwa nn waende Mecca tu ndio wampige mawe?Ina maana akipigwa mawe Namtumbo au Mawengi hawezi kufa?Nachojua sheitwan ana exist everywhere,why Mecca?Ka nini asipigiwe mawe Lupembe au Gambosh?Vita dhidi ya sheitwan everywhere ni vita ya kiroho na si ya nyama.Sheitwan anapiganwa kwa neno na si kwa mawe!ndiyo maana masheikh na wachungaji wanamuondoa jin au sheitwan kwa vitabu na si kwa mawe!Kuna watu wanahitaji kupata ilim katika hili
 
Kwa idhini?? Kwanini Muhammada hakupewa hiyo?

Anayeongea hapa nani?
QURAN 7:54
",Surely your Lord is Allah who created the heavens and the earth in six spans of time, then assumed all power.
Kwanini aseme Your LORD is Allah ikiwa yeye ni Mungu? Then WHo is ALLAH?

Au hakujitambua kama ushahidi huu hapa?

Sahih al-Bukhari » Funerals (Al-Janaa'iz)

Narrated `Aisha:
During his sickness, Allah's Apostle was asking repeatedly, "Where am I today? Where will I be tomorrow?" And I was waiting for the day of my turn (impatiently). Then, when my turn came, Allah took his soul away (in my lap) between my chest and arms and he was buried in my house.

حَدَّثَنَا إِسْمَاعِيلُ، حَدَّثَنِي سُلَيْمَانُ، عَنْ هِشَامٍ، وَحَدَّثَنِي مُحَمَّدُ بْنُ حَرْبٍ، حَدَّثَنَا أَبُو مَرْوَانَ، يَحْيَى بْنُ أَبِي زَكَرِيَّاءَ عَنْ هِشَامٍ، عَنْ عُرْوَةَ، عَنْ عَائِشَةَ، قَالَتْ إِنْ كَانَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم لَيَتَعَذَّرُ فِي مَرَضِهِ ‏ "‏ أَيْنَ أَنَا الْيَوْمَ أَيْنَ أَنَا غَدًا ‏"‏ اسْتِبْطَاءً لِيَوْمِ عَائِشَةَ، فَلَمَّا كَانَ يَوْمِي قَبَضَهُ اللَّهُ بَيْنَ سَحْرِي وَنَحْرِي، وَدُفِنَ فِي بَيْتِي‏.‏

Mtume anaumwa kweli??? Hajitambui yuko wapi?? Au ndio wakti alikuwa amerogwaa aka kapigwa JUJU?

Sasa Kichekesho ni hii hapa chini.

Sahih al-Bukhari » Prophetic Commentary on the Qur'an (Tafseer of the Prophet (pbuh))

Narrated `Aisha:
I heard Allah's Apostle saying, "No prophet gets sick but he is given the choice to select either this world or the Hereafter." `Aisha added: During his fatal illness, his voice became very husky and I heard him saying: "In the company of those whom is the Grace of Allah, of the prophets, the Siddiqin (those followers of the prophets who were first and foremost to believe in them), the martyrs and the pious.' (4.69) And from this I came to know that he has been given the option.

حَدَّثَنَا مُحَمَّدُ بْنُ عَبْدِ اللَّهِ بْنِ حَوْشَبٍ، حَدَّثَنَا إِبْرَاهِيمُ بْنُ سَعْدٍ، عَنْ أَبِيهِ، عَنْ عُرْوَةَ، عَنْ عَائِشَةَ ـ رضى الله عنها ـ قَالَتْ سَمِعْتُ رَسُولَ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم يَقُولُ ‏"‏ مَا مِنْ نَبِيٍّ يَمْرَضُ إِلاَّ خُيِّرَ بَيْنَ الدُّنْيَا وَالآخِرَةِ ‏"‏‏.‏ وَكَانَ فِي شَكْوَاهُ الَّذِي قُبِضَ فِيهِ أَخَذَتْهُ بُحَّةٌ شَدِيدَةٌ فَسَمِعْتُهُ يَقُولُ ‏{‏مَعَ الَّذِينَ أَنْعَمَ اللَّهُ عَلَيْهِمْ مِنَ النَّبِيِّينَ وَالصِّدِّيقِينَ وَالشُّهَدَاءِ وَالصَّالِحِينَ‏}‏ فَعَلِمْتُ أَنَّهُ خُيِّرَ‏.‏

Sasa ikiwa Hakuna Nabii anayeweza umwa!! Sasa hapo yeye alikuwa anafanya maigizo?

Be serious Muslim. Read your books and see how stupid they are before jumping to our LOVELY Bible and start shooting your silly arguments on it.
HOJA LAINI
1. Kwanini Muhammad hakupewa?
JIBU: maswali ya kipuuzi kwanini wewe kisoda ujazaliwa mzungu ? Mungu ndio anaamua sio binadamu pimbi wewe

2. QURAN 7:54, hiyo ni taarifa anapewa mtume na Jibril , kuhusu uumbaji wa Allah wewe ulitaka Jibril asemeje?
Ngoja nikufunze jambo maana wewe ni mweupe sana

Haya niambie huyu anaezungumza hapa ni nani? na huyo Yesu alietumwa ni yupi?
YOHANA 17:3
";Na uzima wa milele ndio huu, wakujue wewe , Mungu wa pekee wa kweli , na Yesu kristo ULIEMTUMA";

Kama anazungumza hapo ni Yesu kwanini isiwe ULIENITUMA na iwe ULIEMTUMA , au kuna Mayesu wangap? Kilaza wewe kasome lugha halafu kacheze unapochezaga Ahahahhahahahaahjhhahaja
 
Huyu kweli kilaza sasa hapo kuna mfanano wa Allah na kitu chochote?
haya maneno yamekupa tabu sana "INDICATIONS OF ALLAH"; kama ulikua ujui bwege wewe hizi ni alama(ishara) ambazo ukiziona basi unajua kuwa Allah yupo, haya mambo Quran imeandika kwa uwazi soma wewe acha kutoka mishipa ya shingo ahahhahaha

QURAN 27:93
";Na sema: Alhamdu Lillah sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu. Yeye atakuonyesheni ishara zake , na mtazijua.

mkishazijua hizo ishara bila shaka utakubali Mungu yupo ndio tafsiri ya ";Indicator" bwege wewe ahahaahahahahahahajajjajj , sasa miongoni mwa ishara zake ni milima sasa unashangaa ni swafa na marwa , haya pokea

QURAN 50:7-8
7"; Na ardhi tumeitandaza na tukaiwekea MILIMA, na tukaotesha mimea mizuri ya kila namna

8"; Yawe haya ni KIFUMBUA MACHO na ukumbusho kwa kila mja mwenye kuelekea";

sasa kama pamoja na kuona ishara za kiuumbaji bado ujafumbuka macho pole sana ahaahhhhhahaha Ahahahhahahahaahjhhahaja
Kwa nini usi argue bila kutukana?
 
Sheitwan ni roho na anaexist ktk spirit,kumpiga kwa mawe hiyo ni physical war na haijawahi kuwasaidia hao wanaokwenda Mecca.Inatakiwa wajiulize kwa nn waende Mecca tu ndio wampige mawe?Ina maana akipigwa mawe Namtumbo au Mawengi hawezi kufa?Nachojua sheitwan ana exist everywhere,why Mecca?Ka nini asipigiwe mawe Lupembe au Gambosh?Vita dhidi ya sheitwan everywhere ni vita ya kiroho na si ya nyama.Sheitwan anapiganwa kwa neno na si kwa mawe!ndiyo maana masheikh na wachungaji wanamuondoa jin au sheitwan kwa vitabu na si kwa mawe!Kuna watu wanahitaji kupata ilim katika hili
unajua maana ya kuadhimisha ? au unaongea usiyo yajua ?
 
Baada ya hili jibu nafikiri ujinga wako utakutoka na maswali ya kibange bange utaacha ahahahhahahaah

It was narrated that Ibn' Abbaas said : The messenger of Allaah (PBUH) said CONCERNING the stone ." By Allaah will bring it forth on the day of Resurrection , and it will have two eyes with which it will see and a tongue with which it will speak , and it will TESTIFY in favour of those who touched it sincerity";

Narrated by al-Tirmidhi , 961: ibn Maajah, 2944

hapo kuna mahali jiwe linaabudiwa kilaza wewe, jiwe litakuwa kama shahidi juu ya wale walioshiriki Hija mpuuzi wewe wakupuuzwa ahahahhahaahaaa
Huu ni msiba?
 
unajua maana ya kuadhimisha ? au unaongea usiyo yajua ?
Kuadhimisha ni idolatry.Kwa nininjiwe.litoe ushuhuda na si nabii wa Allah.Unataka kutuaminisha nini,kwamba bila ya kubusu na kuliabudu jiwe hakuna uzima wa milele?
Muelimishe mwanadamu mwenzio asilimu na si kumtukana kwa majina ya bwege na kadhalika
Kwa nini Mungu asiwatume.malaika wake washuhudie bali jiwe?Kwa nini mawe yasitoe ushuhuda wa dhambi za wanadamu bali lile la Mecca.Nachojua ushuhuda au ushahidi unakuwepo pale tu panapokuwepo na mashtaka.Kwa nini Allah of all his creatures ategemee jiwe?
 
Huu ni msiba?
Ukishamaliza kuzika huko , uje uzike na huku ahahahhahaahaaa
ZAKARIA 3:9
";Maana , litazame jiwe hili nililoliweka mbele ya Yoshua ; katika jiwe moja yako MACHO SABA; tazama ,nitachora machoro yake , asema Bwana wa majeshi ; nami nitauondoa uovu wa nchi ile katika siku moja";

Ahahahahaahahaahaha ukishazika macho mawili , kuna haya mengine saba ahahahaah
 
1.unajua maana ya kuadhimisha?
2. Unashangaa jiwe kutoa ushuhuda ?

hapo kulialia akukusaidia kitu , umeshindwa kuonyesha tusi , hakuna cha kukusaidia ahahhahahahah Ahahahhahahahaahjhhahaja
 
Mimi siamini katika biblia,why unatumia bible kujenga hoja yako?Tumia kitabu kisicho na shaka nisilimu!Ina maana bila hiyo scripture ya bible hoja ya kuabudu jiwe haijitoshelezi?
 
1.unajua maana ya kuadhimisha?
2. Unashangaa jiwe kutoa ushuhuda ?

hapo kulialia akukusaidia kitu , umeshindwa kuonyesha tusi , hakuna cha kukusaidia ahahhahahahah Ahahahhahahahaahjhhahaja
Neno bwege ni tusi.Bado hujaonesha value ya jiwe intrisically
 
tatizo lako hujui kutenganisha Umma wa Musa, Umma wa Daudi, Umma wa Mwisho wa Yesu yeye ndio Omega...[emoji106] sasa kwa nini wee mtoto wa mushahara unabambikiza sheria na ibada za analogia na ku-mix kisha unaleta zama hizi za digitali [emoji351] [emoji346] [emoji348] [emoji351] hapa namuunga mkono baba kassim pale kiti alipo mtoka aliwapasha [emoji117] View attachment 942528View attachment 942530 ona utakavyo bishia [emoji15] [emoji12]
Suala sio utenganisho , suala hapo ni kuona kuwa Mungu hawezi Kutoa amri ya kuua wakati alishafanya sana, na hakuna sehemu amesema kuwa hawezi kurudia amri , akitaka anarudia na asipotaka arudii. Unashangaa nini Muhammad kufyekelea mbali washirikina , wakati hata wakina Musa walifanya hivyo, Ahahahahaaaahahhahhaaha
 
Mimi siamini katika biblia,why unatumia bible kujenga hoja yako?Tumia kitabu kisicho na shaka nisilimu!Ina maana bila hiyo scripture ya bible hoja ya kuabudu jiwe haijitoshelezi?
Wapi Jiwe limeabudiwa unaweza kuleta aya au hadithi kuthibitisha dai lako? Kuhusu wewe kutokuamini biblia hapa lazima uikatae kwa sababu ni pazito , hivi unafikir sijui nilikuona kwenye mjadala upi? wewe ni mkristo ahahahhha ahaahhhhhahaha Ahahahhahahahaahjhhahaja, ila kwa vile umeukana hadharani twende sasa thibitisha wapi muislamu anaabudu jiwe
 
allah amekuahidi mabikira wawe nguruwe, punda...hukumuuliza umri au aina eeh wee unapiga takbir unavaa mkanda View attachment 942568 fumu na dhakar imesha lipuka kugeuka vumbi [emoji38] [emoji38]
Hizi ahadi za kiume kijana, sasa mwanaume mzima unaahidiwa kwenda kubana sauti ahahaahaahhajajajaja , ndio maana mnaamini Mungu wenu kapigwa MAKONZI bureeee kabisaaaaaaa
 
hii khutba peleka msikitini kwenye watu kama wewe ukazawadiwe takbir [emoji53] [emoji15] [emoji12] Umebakia huu umma wa baba fatuma [emoji15] [emoji12] iweje wakati Yesu Yupo Hai [emoji351] [emoji346] [emoji346] [emoji117] View attachment 942823 kama una ubavu muue kwanza Yesu ili aje baba yake fatuma [emoji53] sasa tueleze humu leo Mungu Alisahau nini hadi amtume [emoji117] View attachment 942826 na mafundisho dhaifu [emoji15] [emoji12]
Mungu alimtuma kwa wayahudi tu , ndio maana wewe na genge lako mnaitwa mbwa wala makombo Ahaahhaaahhaajhaajaj
 
Wapi Jiwe limeabudiwa unaweza kuleta aya au hadithi kuthibitisha dai lako? Kuhusu wewe kutokuamini biblia hapa lazima uikatae kwa sababu ni pazito , hivi unafikir sijui nilikuona kwenye mjadala upi? wewe ni mkristo ahahahhha ahaahhhhhahaha Ahahahhahahahaahjhhahaja, ila kwa vile umeukana hadharani twende sasa thibitisha wapi muislamu anaabudu jiwe
Kwa nini unatumia the corrupted book kujenga hoja yako badala ya kitabu kisichokuwa na shaka?Ni kweli mimi ni mkristu ila nilikutega uikatae biblia kwa sbb madai yrnu alwayz mkibanwa husema kuwa biblia imevurugwa.Why use the bible?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom