Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Baada ya hili jibu nafikiri ujinga wako utakutoka na maswali ya kibange bange utaacha ahahahhahahaah

It was narrated that Ibn' Abbaas said : The messenger of Allaah (PBUH) said CONCERNING the stone ." By Allaah will bring it forth on the day of Resurrection , and it will have two eyes with which it will see and a tongue with which it will speak , and it will TESTIFY in favour of those who touched it sincerity";

Narrated by al-Tirmidhi , 961: ibn Maajah, 2944

hapo kuna mahali jiwe linaabudiwa kilaza wewe, jiwe litakuwa kama shahidi juu ya wale walioshiriki Hija mpuuzi wewe wakupuuzwa ahahahhahaahaaa
 
Vipi unaweza kutwambia kwanini MUNGU aliruhusu waende kufanya hiyo kadhia?
Ahahahahaahahaahaha usiwe na hofu mualimu mbombezi nipo kutatua maswali kama haya ya chekechea , nakukaanga kwa mafuta yako ahahahahaahahahha sababu mbona Mungu wako wa biblia kaiweka peupe wewe tu uvivu wako

KUMB LA TORATI 20:18
";Wasije WAKAWAFUNZA kufanya mfano wa MACHUKIZO yao, yote ; waliyoifanyia miungu yao; hivyo itakuwa ni MAKOSA juu ya Bwana ,Mungu wenu ";

Ahahahahaahahaahaha hapa ndio mambo usiyoyajua utapata majibu yake ahahahhha
 
Ahahahahaahahaahaha pole sana mdogo wangu 5:5 iko wazi chakula (kizuri au kisafi) , sasa wapi Qurani imesema kila aina ya chakula ni kizuri?
Utaumia Quran inafahamu kuna vyakula vizuri hivyo ruksa kula, lakini vyakula vichafu marufuku Kula

QURAN 6:145
"Sema: sioni katika yale niliyo funuliwa mimi kitu kilicho haramishwa kwa mlaji kukila isipo kuwa kiwe ni nyamafu, au damu inayomwagika , au NYAMA ya Nguruwe, kwani hiyo ni UCHAFU;

Tumeambiwa tule vizuri tu , vichafu kula wewe fisi ahahahahahhahahaha bureee kabisa
 
Sheitwan ni roho na anaexist ktk spirit,kumpiga kwa mawe hiyo ni physical war na haijawahi kuwasaidia hao wanaokwenda Mecca.Inatakiwa wajiulize kwa nn waende Mecca tu ndio wampige mawe?Ina maana akipigwa mawe Namtumbo au Mawengi hawezi kufa?Nachojua sheitwan ana exist everywhere,why Mecca?Ka nini asipigiwe mawe Lupembe au Gambosh?Vita dhidi ya sheitwan everywhere ni vita ya kiroho na si ya nyama.Sheitwan anapiganwa kwa neno na si kwa mawe!ndiyo maana masheikh na wachungaji wanamuondoa jin au sheitwan kwa vitabu na si kwa mawe!Kuna watu wanahitaji kupata ilim katika hili
 
HOJA LAINI
1. Kwanini Muhammad hakupewa?
JIBU: maswali ya kipuuzi kwanini wewe kisoda ujazaliwa mzungu ? Mungu ndio anaamua sio binadamu pimbi wewe

2. QURAN 7:54, hiyo ni taarifa anapewa mtume na Jibril , kuhusu uumbaji wa Allah wewe ulitaka Jibril asemeje?
Ngoja nikufunze jambo maana wewe ni mweupe sana

Haya niambie huyu anaezungumza hapa ni nani? na huyo Yesu alietumwa ni yupi?
YOHANA 17:3
";Na uzima wa milele ndio huu, wakujue wewe , Mungu wa pekee wa kweli , na Yesu kristo ULIEMTUMA";

Kama anazungumza hapo ni Yesu kwanini isiwe ULIENITUMA na iwe ULIEMTUMA , au kuna Mayesu wangap? Kilaza wewe kasome lugha halafu kacheze unapochezaga Ahahahhahahahaahjhhahaja
 
Kwa nini usi argue bila kutukana?
 
unajua maana ya kuadhimisha ? au unaongea usiyo yajua ?
 
Huu ni msiba?
 
unajua maana ya kuadhimisha ? au unaongea usiyo yajua ?
Kuadhimisha ni idolatry.Kwa nininjiwe.litoe ushuhuda na si nabii wa Allah.Unataka kutuaminisha nini,kwamba bila ya kubusu na kuliabudu jiwe hakuna uzima wa milele?
Muelimishe mwanadamu mwenzio asilimu na si kumtukana kwa majina ya bwege na kadhalika
Kwa nini Mungu asiwatume.malaika wake washuhudie bali jiwe?Kwa nini mawe yasitoe ushuhuda wa dhambi za wanadamu bali lile la Mecca.Nachojua ushuhuda au ushahidi unakuwepo pale tu panapokuwepo na mashtaka.Kwa nini Allah of all his creatures ategemee jiwe?
 
Huu ni msiba?
Ukishamaliza kuzika huko , uje uzike na huku ahahahhahaahaaa
ZAKARIA 3:9
";Maana , litazame jiwe hili nililoliweka mbele ya Yoshua ; katika jiwe moja yako MACHO SABA; tazama ,nitachora machoro yake , asema Bwana wa majeshi ; nami nitauondoa uovu wa nchi ile katika siku moja";

Ahahahahaahahaahaha ukishazika macho mawili , kuna haya mengine saba ahahahaah
 
1.unajua maana ya kuadhimisha?
2. Unashangaa jiwe kutoa ushuhuda ?

hapo kulialia akukusaidia kitu , umeshindwa kuonyesha tusi , hakuna cha kukusaidia ahahhahahahah Ahahahhahahahaahjhhahaja
 
Mimi siamini katika biblia,why unatumia bible kujenga hoja yako?Tumia kitabu kisicho na shaka nisilimu!Ina maana bila hiyo scripture ya bible hoja ya kuabudu jiwe haijitoshelezi?
 
1.unajua maana ya kuadhimisha?
2. Unashangaa jiwe kutoa ushuhuda ?

hapo kulialia akukusaidia kitu , umeshindwa kuonyesha tusi , hakuna cha kukusaidia ahahhahahahah Ahahahhahahahaahjhhahaja
Neno bwege ni tusi.Bado hujaonesha value ya jiwe intrisically
 
Suala sio utenganisho , suala hapo ni kuona kuwa Mungu hawezi Kutoa amri ya kuua wakati alishafanya sana, na hakuna sehemu amesema kuwa hawezi kurudia amri , akitaka anarudia na asipotaka arudii. Unashangaa nini Muhammad kufyekelea mbali washirikina , wakati hata wakina Musa walifanya hivyo, Ahahahahaaaahahhahhaaha
 
Mimi siamini katika biblia,why unatumia bible kujenga hoja yako?Tumia kitabu kisicho na shaka nisilimu!Ina maana bila hiyo scripture ya bible hoja ya kuabudu jiwe haijitoshelezi?
Wapi Jiwe limeabudiwa unaweza kuleta aya au hadithi kuthibitisha dai lako? Kuhusu wewe kutokuamini biblia hapa lazima uikatae kwa sababu ni pazito , hivi unafikir sijui nilikuona kwenye mjadala upi? wewe ni mkristo ahahahhha ahaahhhhhahaha Ahahahhahahahaahjhhahaja, ila kwa vile umeukana hadharani twende sasa thibitisha wapi muislamu anaabudu jiwe
 
allah amekuahidi mabikira wawe nguruwe, punda...hukumuuliza umri au aina eeh wee unapiga takbir unavaa mkanda View attachment 942568 fumu na dhakar imesha lipuka kugeuka vumbi [emoji38] [emoji38]
Hizi ahadi za kiume kijana, sasa mwanaume mzima unaahidiwa kwenda kubana sauti ahahaahaahhajajajaja , ndio maana mnaamini Mungu wenu kapigwa MAKONZI bureeee kabisaaaaaaa
 
Mungu alimtuma kwa wayahudi tu , ndio maana wewe na genge lako mnaitwa mbwa wala makombo Ahaahhaaahhaajhaajaj
 
Kwa nini unatumia the corrupted book kujenga hoja yako badala ya kitabu kisichokuwa na shaka?Ni kweli mimi ni mkristu ila nilikutega uikatae biblia kwa sbb madai yrnu alwayz mkibanwa husema kuwa biblia imevurugwa.Why use the bible?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…