Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Ahahahahaaaahahhahhaaha ungeanza kumnusuru Mungu wako yule unaesema alichapwa makofi na wayahudi ahahaahahahahahahajajjajj
Yeye ndie ANAE Ninusuru Mimi Ubavu wa kukunusuru sina [emoji4] KILA SIKU NAMUOMBA ANISAMEHE UOVU WANGU WOTE [emoji120] LAKINI SITAMKANA [emoji117] "HAKUNA ALLAH APASWAYE KUABUDIWA KWA HAQI ILAHA YESU NA PROF PAULO MTUME WAKE [emoji123] [emoji106]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakweli umwonyesha maarifa ya Hali ya juu kutolea ufafanuzu hili swala la Dhu al-Qarnayn. Lakini na Mimi najambo nataka unifafanulie kidogo kuhusu huyu MTU. Wasomi wa kiarabu wa mwanzo waliokuwa wakihisi dhu al- qarnain ni Alexander the Great na wengine walimfananisha na mtawala wa kiarabu ya kusaini mfalme al-Ṣaʿb bin Dhī Marāthid na wasio amini dini ya kiislamu wanasema hii story ya dhul-qarnain iliibiwa kutoka katika vitabu vya zamani vya historia ya Alexander the Great. Na kwa kukuthibitishia hivo naomba urejee historia ya dhul-qarnain pale alivyojenga ukuta kuwazuia kuja WA maajuja kiislamu au gog and Magog kiikristo kuwazuia wasifanye uharibifu juu ya wale wakazi wa matopeni. Lakini kwenye historia iliyo hai inaonyesha mtawala mfalme aliyejenga ukuta kuwatenganisha gog and Magog na watu ni Alexander the Great pale alipojenga ukuta katika mlima Caucasus. Kama ikikupendeza Naomba uthibitisho zaidi kutoka kwako juu ya huyo MTU dhul-qarnain. Ila sio kwenye Aya za Qur'an Bali kwenye historia.
 
Huwa napata ukakasi ktk haya mambo ,ukija ktk biblia unaambiwa biblia haitafsiriwi kirahisi lzm uwe na roho mtakatifu ,ukija ktk Qur'an nayo ina namna yake ya kuitafsiri ,basi ili mradi tu kila MTU atete upande wake

Acha nimsikilize kuhani nyabhingi na kaka Kiranga ktk hii mijadala
Hivi kwani kuna kitabu kinachoelezea masuala ya Ulimwengu mzima bila ya kanuni!?.
 
Kwakweli umwonyesha maarifa ya Hali ya juu kutolea ufafanuzu hili swala la Dhu al-Qarnayn. Lakini na Mimi najambo nataka unifafanulie kidogo kuhusu huyu MTU. Wasomi wa kiarabu wa mwanzo waliokuwa wakihisi dhu al- qarnain ni Alexander the Great na wengine walimfananisha na mtawala wa kiarabu ya kusaini mfalme al-Ṣaʿb bin Dhī Marāthid na wasio amini dini ya kiislamu wanasema hii story ya dhul-qarnain iliibiwa kutoka katika vitabu vya zamani vya historia ya Alexander the Great. Na kwa kukuthibitishia hivo naomba urejee historia ya dhul-qarnain pale alivyojenga ukuta kuwazuia kuja WA maajuja kiislamu au gog and Magog kiikristo kuwazuia wasifanye uharibifu juu ya wale wakazi wa matopeni. Lakini kwenye historia iliyo hai inaonyesha mtawala mfalme aliyejenga ukuta kuwatenganisha gog and Magog na watu ni Alexander the Great pale alipojenga ukuta katika mlima Caucasus. Kama ikikupendeza Naomba uthibitisho zaidi kutoka kwako juu ya huyo MTU dhul-qarnain. Ila sio kwenye Aya za Qur'an Bali kwenye historia.
Sifa za jina “DHUL
QARNAIN” zinamuangukia
Mfalme KORESH au CYRUS
aliyekuwa mtawala wa UAJEMI
ambaye pia inaaminiwa kuwa
ndiye alikuwa muanzilishi wa
taifa hilo la AJEMI na kihistoria
yasemwa hivyo kuwa “CYRUS is
the founder of the MED PERSIA
EMPIRE” hii imo katika (Jewish
Encyclopaedia).

Mkuu!Sasa kumbe unaweza kutafuta historia ya CYRUS MFALME WA UAJEMI (IRANI YA SASA) na utapata kumjua.
 
HAKUNA UJINGA SIUPENDI KAMA KURANI...

HAKUNA kitu NACHUKIA kama Roman Empire kuanzisha Hii DINI.

JUA TANGU LINI LIKAZAME KWENYE MATOPE. HIZI NI HEKAYA ZA MWAMEDI.
 
Ule mjadala mpana wa kisayansi unaoendelea jf kuhusu aya ndani ya kitabu kitukufu cha Quran,aya inayotaja JUA KUZAMA KATIKA TOPE JEUSI...Maelezo ya kina na ya kueleweka yamefafanuliwa vizuri katika video hii na Sheikh Suleyman Abbas,Mungu ampe kila jema Sheikh huyu.
Sheikh ameelezea kwa mapana sana jinsi Quran inavyotumia baadhi ya maneno ili kumpa nafasi binadamu apate kufanya tafiti zaidi,lakini pia iwe chachu kwa binadamu kuamini kwamba Quran ni maneno halisi ya Mungu mwenyewe muumbaji na kwamba si maneno ya Muhammad.

Kwa wale ndugu zangu tuliokuwa tunaikebehi Quran kwamba imekosea sasa hebu itazame video hii kwa nia ya kujifunza...utagundua kuwa Quran ni kitabu cha ajabu sana na kwamba hakuna neno wala jambo lililokosewa katika kitabu kile.

Hii ndiyo Quran tukufu,kitabu kisicho na shaka,kitabu kilichopokelewa na Mtume Muhammad s.a.w,mtume asiyejua kusoma wala kuandika.

Aya ilianza hivi:
83-Na wanakuuliza khabari za Dhul- Qarnaini. Waambie: Nitakusimulieni baadhi ya hadithi yake.84 -Sisi tulimtilia nguvu katika ardhi na tukampa njia za kila kitu.85 - Basi akaifuata njia. 86 - Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika chemchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema.”

Na sheikh Abbas anafafanua hivi:
 
Watu kazi tunayo! watu wanaweza kukulisha Tangopori wakikuaminisha kuwa ni keki wakati wewe unaona kabisa ni tangopori na baadae ukaanza kuamini huenda kweli ni keki.
 
Hakyamungu Sisi watu kazi tunayo! Yaani watu wanaweza kukulisha Tango wakikuaminisha kuwa ni keki na wewe unaliona ni tango pori.
Hahahaa Yaani kwa hali hii hata kungekuwa na mstari kwenye hivi vitabu vya dini ukisema "Kitabu hiki Ni cha uongo" Watu wangeutetea huo mstari na kusema haukumaanisha hivyo! [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Ule mjadala mpana wa kisayansi unaoendelea jf kuhusu aya ndani ya kitabu kitukufu cha Quran,aya inayotaja JUA KUZAMA KATIKA TOPE JEUSI...Maelezo ya kina na ya kueleweka yamefafanuliwa vizuri katika video hii na Sheikh Suleyman Abbas,Mungu ampe kila jema Sheikh huyu.
Sheikh ameelezea kwa mapana sana jinsi Quran inavyotumia baadhi ya maneno ili kumpa nafasi binadamu apate kufanya tafiti zaidi,lakini pia iwe chachu kwa binadamu kuamini kwamba Quran ni maneno halisi ya Mungu mwenyewe muumbaji na kwamba si maneno ya Muhammad.

Kwa wale ndugu zangu tuliokuwa tunaikebehi Quran kwamba imekosea sasa hebu itazame video hii kwa nia ya kujifunza...utagundua kuwa Quran ni kitabu cha ajabu sana na kwamba hakuna neno wala jambo lililokosewa katika kitabu kile.

Hii ndiyo Quran tukufu,kitabu kisicho na shaka,kitabu kilichopokelewa na Mtume Muhammad s.a.w,mtume asiyejua kusoma wala kuandika.

Aya ilianza hivi:
83-Na wanakuuliza khabari za Dhul- Qarnaini. Waambie: Nitakusimulieni baadhi ya hadithi yake.84 -Sisi tulimtilia nguvu katika ardhi na tukampa njia za kila kitu.85 - Basi akaifuata njia. 86 - Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika chemchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema.”

Na sheikh Abbas anafafanua hivi:

Kifupi nimefurahiswa sana na clip hii.

Haya mambo ndiyo napenda kusikiliza mie, maswali ya dini yanye kujibiwa kisayansi!

Ubarikiwe sana mtoa hoja.

Ingawa mie si mfuasi wa dini hii, lakini hata katika madhehebu ninayoyaamini na kuyafuata, hujibu hoja kinadharia zaidi na kumfanya muumini abakie kwenye "mataa" yaani ajenge mwenyewe jibu na kujijibu mwenyewe, sasa hiyo ni hatari sana kwa afya ya uumini!

Kungelikuwa na uwezekano wa kupata mahubiri ya huyu Sheihe, direct ama indirect waalah ningelitumia muda wangu mwingi kusikiliza hotuba zake hizi zenye manufaa.
 
Usijifanye uko upande mwingine
 
Usijifanye uko upande mwingine
Tatizo jamii yetu ukijiexpress uhalisia wako unaanza kuzodolewa kama hivi, ndiyo unafiki wetu unapoanzia!

Tunatumia anonymous id kwanini niidanganye hadhira, nina wasi wasi na nini kwa mfano?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom