masoud mshahara
JF-Expert Member
- Mar 31, 2018
- 4,712
- 2,010
Ahahahahaaaahahhahhaaha ungeanza kumnusuru Mungu wako yule unaesema alichapwa makofi na wayahudi ahahaahahahahahahajajjajjIsiwe kama kuku ambaye vwatoto wake wameingia shimoni unataka kuwanusuru anakuparuwa [emoji15]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye ndie ANAE Ninusuru Mimi Ubavu wa kukunusuru sina [emoji4] KILA SIKU NAMUOMBA ANISAMEHE UOVU WANGU WOTE [emoji120] LAKINI SITAMKANA [emoji117] "HAKUNA ALLAH APASWAYE KUABUDIWA KWA HAQI ILAHA YESU NA PROF PAULO MTUME WAKE [emoji123] [emoji106]Ahahahahaaaahahhahhaaha ungeanza kumnusuru Mungu wako yule unaesema alichapwa makofi na wayahudi ahahaahahahahahahajajjajj
Hivi kwani kuna kitabu kinachoelezea masuala ya Ulimwengu mzima bila ya kanuni!?.
Sifa za jina “DHULKwakweli umwonyesha maarifa ya Hali ya juu kutolea ufafanuzu hili swala la Dhu al-Qarnayn. Lakini na Mimi najambo nataka unifafanulie kidogo kuhusu huyu MTU. Wasomi wa kiarabu wa mwanzo waliokuwa wakihisi dhu al- qarnain ni Alexander the Great na wengine walimfananisha na mtawala wa kiarabu ya kusaini mfalme al-Ṣaʿb bin Dhī Marāthid na wasio amini dini ya kiislamu wanasema hii story ya dhul-qarnain iliibiwa kutoka katika vitabu vya zamani vya historia ya Alexander the Great. Na kwa kukuthibitishia hivo naomba urejee historia ya dhul-qarnain pale alivyojenga ukuta kuwazuia kuja WA maajuja kiislamu au gog and Magog kiikristo kuwazuia wasifanye uharibifu juu ya wale wakazi wa matopeni. Lakini kwenye historia iliyo hai inaonyesha mtawala mfalme aliyejenga ukuta kuwatenganisha gog and Magog na watu ni Alexander the Great pale alipojenga ukuta katika mlima Caucasus. Kama ikikupendeza Naomba uthibitisho zaidi kutoka kwako juu ya huyo MTU dhul-qarnain. Ila sio kwenye Aya za Qur'an Bali kwenye historia.
Hahahaa Yaani kwa hali hii hata kungekuwa na mstari kwenye hivi vitabu vya dini ukisema "Kitabu hiki Ni cha uongo" Watu wangeutetea huo mstari na kusema haukumaanisha hivyo! [emoji28][emoji28][emoji28]Hakyamungu Sisi watu kazi tunayo! Yaani watu wanaweza kukulisha Tango wakikuaminisha kuwa ni keki na wewe unaliona ni tango pori.
Kifupi nimefurahiswa sana na clip hii.Ule mjadala mpana wa kisayansi unaoendelea jf kuhusu aya ndani ya kitabu kitukufu cha Quran,aya inayotaja JUA KUZAMA KATIKA TOPE JEUSI...Maelezo ya kina na ya kueleweka yamefafanuliwa vizuri katika video hii na Sheikh Suleyman Abbas,Mungu ampe kila jema Sheikh huyu.
Sheikh ameelezea kwa mapana sana jinsi Quran inavyotumia baadhi ya maneno ili kumpa nafasi binadamu apate kufanya tafiti zaidi,lakini pia iwe chachu kwa binadamu kuamini kwamba Quran ni maneno halisi ya Mungu mwenyewe muumbaji na kwamba si maneno ya Muhammad.
Kwa wale ndugu zangu tuliokuwa tunaikebehi Quran kwamba imekosea sasa hebu itazame video hii kwa nia ya kujifunza...utagundua kuwa Quran ni kitabu cha ajabu sana na kwamba hakuna neno wala jambo lililokosewa katika kitabu kile.
Hii ndiyo Quran tukufu,kitabu kisicho na shaka,kitabu kilichopokelewa na Mtume Muhammad s.a.w,mtume asiyejua kusoma wala kuandika.
Aya ilianza hivi:
83-Na wanakuuliza khabari za Dhul- Qarnaini. Waambie: Nitakusimulieni baadhi ya hadithi yake.84 -Sisi tulimtilia nguvu katika ardhi na tukampa njia za kila kitu.85 - Basi akaifuata njia. 86 - Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika chemchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema.”
Na sheikh Abbas anafafanua hivi:
Usijifanye uko upande mwingineKifupi nimefurahiswa sana na clip hii.
Haya mambo ndiyo napenda kusikiliza mie, maswali ya dini yanye kujibiwa kisayansi!
Ubarikiwe sana mtoa hoja.
Ingawa mie si mfuasi wa dini hii, lakini hata katika madhehebu ninayoyaamini na kuyafuata, hujibu hoja kinadharia zaidi na kumfanya muumini abakie kwenye "mataa" yaani ajenge mwenyewe jibu na kujijibu mwenyewe, sasa hiyo ni hatari sana kwa afya ya uumini!
Kungelikuwa na uwezekano wa kupata mahubiri ya huyu Sheihe, direct ama indirect waalah ningelitumia muda wangu mwingi kusikiliza hotuba zake hizi zenye manufaa.
Tatizo jamii yetu ukijiexpress uhalisia wako unaanza kuzodolewa kama hivi, ndiyo unafiki wetu unapoanzia!Usijifanye uko upande mwingine
Hujaisoma Quran na huna nia ya kuielewa,kwa taarifa yako Quran ndo kitabu pekee cha ajabu kinachoweza kujitetea chenyewe bila kuwepo mtu yeyote.Quran ni kitabu ambacho hakijitetei chenyewe mpaka watu wakiteteee.