Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakuna kitu mambo makubwa haya uyaweziWakati ukifika ndio utajua ukweli wa mambo kama ni nyepesi au nzito sana.
Hujasoma uzi vizuri hiyo aya inahadithia nini kilitokea na sio kuwa yupo hai hadi leo. Qur'an kama livyo injili, Zaburi na Torati inahusu jana, leo na kesho. so aya hiyo inatoa masimuliziNa ni Cyrus huyu huyu ambaye anatajwa kuwashikilia Juja na Majuja? Na je bado yuko hai hadi leo? Na kama hayuko hai, na kama ndiye, anawashikiliaje akiwa alishafariki dunia?
ina maana ww ushahidi wa quran ujauona au unajitoa akili
Hivi wewe unakiwango gani cha elimu?Ukituko uko katika mafundisho ya Kurani na mimi naonyesha tu kujikanganya huko.Tuambieni Dhul-Qarnaini ni nani?
Hujasoma uzi vizuri hiyo aya inahadithia nini kilitokea na sio kuwa yupo hai hadi leo. Qur'an kama livyo injili, Zaburi na Torati inahusu jana, leo na kesho. so aya hiyo inatoa masimulizi
Hivi wewe unakiwango gani cha elimu?
Una shida sana upstairs! Kama ni wewe ndo uloanzisha hii thread kama umesoma basi ni bure kabisa, unashindwa kusimamia ulichokianzisha!Kiwango cha Elimu sio kigezo pekee cha umadhubuti na uyakini wa hoja za mtu.Ingalikuwa ni hivyo,leo Muhammad asingalikuwa amesikilizwa kabisa kwa maana ni afadhali mimi angalau hata nafahamu kutumia Computer,yeye alikuwa kinyume changu.
Mbona unalazimisha mambo ww sifa za dhul qarnaini mbona zimetajwa unaangaika nn
Una shida sana upstairs! Kama ni wewe ndo uloanzisha hii thread kama umesoma basi ni bure kabisa, unashindwa kusimamia ulichokianzisha!
Kama umetoka nje ya reli na kuonesha dhamira ilokutuma kuanzisha thread siwezi kuendeleza mjadala na ww maana uelewa wetu ni tofauti acha nikuachepambana na hoja mkuu.Stay tuned.Utafika wakati utafahamu vizuri kwamba nimesoma au nimekariri.
Una shida sana upstairs! Kama ni wewe ndo uloanzisha hii thread kama umesoma basi ni bure kabisa, unashindwa kusimamia ulichokianzisha!
Acha kuleta hadith za kutengeneza. Nakuletea vitu vipo kwenye biblia...Mambo ya Ilimu islam hayoView attachment 816365View attachment 816366View attachment 816367View attachment 816368 [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Una kazi kubwa sanaNinaweza kuwa siko vizuri upstairs lakini siwezi kuwa wa kwanza katika orodha ya watu waliokubuhu katika kuharibiwa upstairs.Unapowaandikia watu mambo yanayoshindwa kuvuka duara ya mashaka, nadhani mtu kama huyo ndiye anakuwa na matatizo makubwa zaidi yangu.
Kama umetoka nje ya reli na kuonesha dhamira ilokutuma kuanzisha thread siwezi kuendeleza mjadala na ww maana uelewa wetu ni tofauti acha nikuache
Unataka ujibiwe mara ngapi? Na ndio maana nilikuuliza una kiwango gani cha elimu?Sijatoka nje ya Mjadala na siwezi kufanya kosa hilo.Suala la Dhul-Qarnaini,ni sub-topic.Suala la kufahamu ni Dhul-Qarnaini, ni muhimu sana katika kuelewa habari nzima ya masimulizi ya Mungu juu ya Dhul-Qarnaini, kwa Muhammad.Usijaribu kupuuza hoja hiyo hata kidogo.
Acha kuleta hadith za kutengeneza. Nakuletea vitu vipo kwenye biblia...
Kama una aBattle za kiiman/dini zilishaanza kupotea ila siku zikianza yan mpk unajiuliza wamefunguliwa toka wapi kwa mbali naona zkrud, hamna atakayetaka kua nyuma kila yule ataleta Mungu Wa imani yake nakumuelezea