Wwatu werevu hawajisifu wenyewe kwa werevu wao. Hujiona hawana werevu kwa sababu wanaelewa kwamba wasiyojua ni mengi kuliko wanayojua.
Kwa hiyo unapoanza kwa kujisifu tu kwamba wewe ni mtu mwerevu, hilo linawekea werevu wako shaka.
Mjadala wako umesha u corrupt wewe mwenyewe.
Umeishambulia Quran kwa sababu ina uongo. Sawa.
Kama hutaki uongo, ukioneshwa uongo hata kwenye Biblia, kubali huu ni uongo, au onsha kwamba si uongo.
Si unashambulia uongo kwenye Quran tu, wa Biblia unauacha.
Hiyo tunaita ni "double standard".
Ndiyo maana nikasema, wewe nia yako si kuushambulia uongo.
Nia yako ni kuishambulia Quran.
Ungekuwa na nia ya kuushambulia uongo, ungeushambulia hata uongo wa Biblia au kujaribu kuelezea kwamba Biblia haina uongo.
Unaji contradict mwenyewe. unaishambulia Quran kwa uongo, uongo wa Biblia unakataa kuujadili.