Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Na ni Cyrus huyu huyu ambaye anatajwa kuwashikilia Juja na Majuja? Na je bado yuko hai hadi leo? Na kama hayuko hai, na kama ndiye, anawashikiliaje akiwa alishafariki dunia?
Hujasoma uzi vizuri hiyo aya inahadithia nini kilitokea na sio kuwa yupo hai hadi leo. Qur'an kama livyo injili, Zaburi na Torati inahusu jana, leo na kesho. so aya hiyo inatoa masimulizi
 
Hujasoma uzi vizuri hiyo aya inahadithia nini kilitokea na sio kuwa yupo hai hadi leo. Qur'an kama livyo injili, Zaburi na Torati inahusu jana, leo na kesho. so aya hiyo inatoa masimulizi

Kama alishakufa yuko wapi na kwa uwezo gani alionao hadi aweze kuwashikilia wale Juja na Majuja ambao watatoroka siku za mwisho ili waje kuwaangamiza walioamini?
 
Hivi wewe unakiwango gani cha elimu?

Kiwango cha Elimu sio kigezo pekee cha umadhubuti na uyakini wa hoja za mtu.Ingalikuwa ni hivyo,leo Muhammad asingalikuwa amesikilizwa kabisa kwa maana ni afadhali mimi angalau hata nafahamu kutumia Computer,yeye alikuwa kinyume changu.
 
Una shida sana upstairs! Kama ni wewe ndo uloanzisha hii thread kama umesoma basi ni bure kabisa, unashindwa kusimamia ulichokianzisha!
 
Mbona unalazimisha mambo ww sifa za dhul qarnaini mbona zimetajwa unaangaika nn

Manabii wengi wa Agano la Kale waliishi Uyahudi na kufikia Uyahudi.Yesu alizaliwa Uyahudi na kufia Uyahudi.Muhammad alizaliwa huko peninsula ya Arabia na kufia huko huko.Sasa pamoja na sifa zote za Dhul-Qarnaini,tunaomba mtueleze alizaliwa,kuishi na kufikia wapi ili tuweze kuhakikiki historia yake kwa usahihi.
 
aaah M Naona kama Mgekaa zaidi kwenye Mada kuliko kupeana michambo mana m nawafatilia zaidi kama mtu anasema yeye kajahaliwa elimu zaidi basi hatusaidie sisi tupate jibu LA moja kwa moja sio kupeana michambo hapa
 
Una shida sana upstairs! Kama ni wewe ndo uloanzisha hii thread kama umesoma basi ni bure kabisa, unashindwa kusimamia ulichokianzisha!

pambana na hoja mkuu.Stay tuned.Utafika wakati utafahamu vizuri kwamba nimesoma au nimekariri.
 
pambana na hoja mkuu.Stay tuned.Utafika wakati utafahamu vizuri kwamba nimesoma au nimekariri.
Kama umetoka nje ya reli na kuonesha dhamira ilokutuma kuanzisha thread siwezi kuendeleza mjadala na ww maana uelewa wetu ni tofauti acha nikuache
 
Una shida sana upstairs! Kama ni wewe ndo uloanzisha hii thread kama umesoma basi ni bure kabisa, unashindwa kusimamia ulichokianzisha!

Ninaweza kuwa siko vizuri upstairs lakini siwezi kuwa wa kwanza katika orodha ya watu waliokubuhu katika kuharibikiwa upstairs.Unapowaandikia watu mambo yanayoshindwa kuvuka duara ya mashaka, nadhani mtu kama huyo ndiye anakuwa na matatizo makubwa zaidi yangu.
 
Una kazi kubwa sana
 
Kama umetoka nje ya reli na kuonesha dhamira ilokutuma kuanzisha thread siwezi kuendeleza mjadala na ww maana uelewa wetu ni tofauti acha nikuache

Sijatoka nje ya Mjadala na siwezi kufanya kosa hilo.Suala la Dhul-Qarnaini,ni sub-topic.Suala la kufahamu Dhul-Qarnaini ni nani, ni muhimu sana katika kuelewa habari nzima ya masimulizi ya Mungu juu ya Dhul-Qarnaini, kwa Muhammad.Usijaribu kupuuza hoja hiyo hata kidogo.
 
Unataka ujibiwe mara ngapi? Na ndio maana nilikuuliza una kiwango gani cha elimu?
 
Acha kuleta hadith za kutengeneza. Nakuletea vitu vipo kwenye biblia...

Unataka kwenye kulani [emoji117] aliulinda ubikra wake allah na wenzake wakambaka na kumpuliza ku%&% yake [emoji117] allah anaapia kwa dhakar na KU;:$@ [emoji117] allah anaelekeza wanaolana mivutu waachiwe [emoji117] baba kassim alipo mbaka mke Wa mwanae zaid alipoona mtaani wanamzomea akamtia allah mfukoni akaja na mkwala huu [emoji117] nikuongeze [emoji15] [emoji4]
 
Battle za kiiman/dini zilishaanza kupotea ila siku zikianza yan mpk unajiuliza wamefunguliwa toka wapi kwa mbali naona zkrud, hamna atakayetaka kua nyuma kila yule ataleta Mungu Wa imani yake nakumuelezea
Kama una a
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…